Ila mi naona yule was bodaboda anamapenz ya dhat kwa binti, huyu anavoonekana tu wasingefika mbali, pesa tu zilimpa nafasi lakn hatabinti hampendi uyu jamaa huyu Ni kipenz chamama kwakua mama anapenda pesa na inaonesha binti alikua anakandaminzwa kuish na huyu, ila binti na yule boda wanapendana Sana huo ndo ukweli, licha yapesa mwanamke anapenda amani ya moyo jamani
Mapenz na matunzo, sema shida anaetunza halidhish kwenye tendo, mwenye shoow tam Hana pesa Hana uwezo, wachache Sana wenye vyote, ila mwisho wa siku mapenz yananguvu
Kaka mashaAllah mstaarab Duh ila Mungu anakupenda saaana pole ndy life lazima liendelee bro we kuwa be free tu utampata mwanamke mzuri mtapendana tu congratulations kwa ustaarabu🎉
Daah wengine tunataka mkaka mkubwa kama uyo ili ufanye nae maisha mwenzetu anamcheat Duuh..sema kaka unaroho nzurii sana may you find another good girl
Ww kaka ushauli wangu huyo mtoto wakwako saw kama kweli umemkuta hajaingiliwa sisi wanawake viumbe zaifu saw hizo tamaa tu zadunia maisha yote mbinguni kaka saw ww kamlee mtoto wako saw achana namambo yampenzi ndo umkomoe saw
Kwakwel n ngumu kujua baadh so wote kk usiyaogope mahusiano utapata mtu sahihi wa kudumu nae ba usimpaniki kumfanyia useriously utakaempata sababu ya aliyepita
Pole kakangu najua unavoumia MI ni mwanamke ilinitokea hivo nilitolewa bikra na kushika mimba siajabu mwanaume alinisaliti akaenda kuishi ni mwanamke mwingine 😭😭 afu wakashindwana akapata mwingine bado waliachana leo hii anataka kurudiane
Ushauri tu bro nikuachana nae huyo mwanamke siyo mwema kwake so tahadhari nimzuri kuliko madhara hatapa mwingine wakuendana nae achane na watto 2000 nipasua vichwa
Yaani huyo dada ni fala sana anaacha ugali na nyama anaenda kula dagaa 😂😂mwanaume amejitolea kumpa mama yake mtaji halafu anaenda kutafuta bodaboda anae toa afu tatu afuu tano
Hongera Kwa ujacli kk nimekupenda bule jmn mdda ww👀 utamkumbuka
Ila kk mweupee una moyo ww daaah mungu akupe ujasiri ulimalize hili na huyo Binti achana nae tuu hamna mke apo😢
Duuh,, pole sana kaka mie yamenikuta. Lakn nkajua mapema zaid,, wewe lako nikubwa sana pole kaka,,😭😭🤝🙏🙏
Daaah.kaka ni mstarabu huyo na ana hofu ya Mungu.pole sana bro Mungu akupe yule aliye sahihi kwako.broo chukua maua yako 🌷🌷🌷
Daah
Ila mi naona yule was bodaboda anamapenz ya dhat kwa binti, huyu anavoonekana tu wasingefika mbali, pesa tu zilimpa nafasi lakn hatabinti hampendi uyu jamaa huyu Ni kipenz chamama kwakua mama anapenda pesa na inaonesha binti alikua anakandaminzwa kuish na huyu, ila binti na yule boda wanapendana Sana huo ndo ukweli, licha yapesa mwanamke anapenda amani ya moyo jamani
Penye miti apanaga wajenz ILa pole sana kaka
Dah Jamaa anaujasiri sana
Sehemu ya tatu jamani maana unamjua kumchora huyo kaka ,😅😅😅 acha tu nicheke
Aaaaah maskin kak wa watu hadi huruma analia kbs daah wadad tujitahid bas kuto kuwa na tamaa jmn na uongo tuache😢😢
Niulizeee tu swali moja,wanawake huwa tunatakaaa nini??kwenye hii duniaa😢😢😢
😢😢😢𝐀𝐤𝐲 𝐦𝐦 𝐬𝐦𝐰𝐳😢😢𝐰𝐞𝐞𝐞𝐞𝐡
Mapenz na matunzo, sema shida anaetunza halidhish kwenye tendo, mwenye shoow tam Hana pesa Hana uwezo, wachache Sana wenye vyote, ila mwisho wa siku mapenz yananguvu
Pole sanaa ila una moyo alo
Pol San kak mungu akupe ujasir ivyo ivyo kiukweli jap unaumia Ila wew ni shujaa kwa hil chukua mauwa Yako 🌹🌹🌹🌹🌹
umetishaa
Kaka mashaAllah mstaarab Duh ila Mungu anakupenda saaana pole ndy life lazima liendelee bro we kuwa be free tu utampata mwanamke mzuri mtapendana tu congratulations kwa ustaarabu🎉
Daaaaah huyu kaka anacheka anaonyesha tabasamu la maumivu makali sanaa 😢😢😢😢
Hahahahahah nimemuona huyu
Ukiuliza wanawake tunataka Nini sisi wenyewe hatujui Nini tunataka😂😂😂
kabsa😢
Sisi ni mashetan siy kidog mungu wangu
Daah wengine tunataka mkaka mkubwa kama uyo ili ufanye nae maisha mwenzetu anamcheat Duuh..sema kaka unaroho nzurii sana may you find another good girl
Daah!!! Mungu atunusuru ,kaka mungu amekupa moyo wa pekee sana hongera kwa hilo japo inaumiza sana
😂😂😂😂😂😂 hata ukiniuliza nacheka nini mimi sijui kwa kweli😅😅😅😅😅😅😅
Jamani jamani monsuly mpe pole sana kuyo kaka pia mwambie nampenda sana naomba basi hata uniunganishe nae please 👏👏👏 uwiiii
Khee
Tena alipata bonge la bwana, na ndiomana mama ake anaumia sana.
Kaka shikamo mala mia moja jaman duu mungu akupe hitaji ya moyo wako🙏🙏
Ety dada ako ananipenda sana 😂😂😂😂 qmmk
😢😢 big up brother 💪 umetumia akili nyingi hii ni fuzoo kwa wadad wotee ila ni maumivu makli sana
Ww kaka ushauli wangu huyo mtoto wakwako saw kama kweli umemkuta hajaingiliwa sisi wanawake viumbe zaifu saw hizo tamaa tu zadunia maisha yote mbinguni kaka saw ww kamlee mtoto wako saw achana namambo yampenzi ndo umkomoe saw
Huyu kaka kanitia huruma sana 😢😢Anajua kujizuia sana aisee
Wanawake wengine kama mazoba hivo nahuyo mama naeaache tamaa
Wangu me angekuwa ashaniuwaaaaa😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Aaah uyu mwamba mwanaume knoma nimemkubali, yan ka act ki gentleman pole lkn broh
Nyie mwanamke Mjamzito anawezaje kichepuka😮😮 au ni usinz tuuu
Jomoni wanaume km hawa bado wanapotezwa daa 😢
Kwel kabis kk
Kwakwel n ngumu kujua baadh so wote kk usiyaogope mahusiano utapata mtu sahihi wa kudumu nae ba usimpaniki kumfanyia useriously utakaempata sababu ya aliyepita
Dah Kuna vitu vinauma sana lakini tumeumbwa matatizo watu tunaowaamini ndo watu pekee wakwanza kutuumiza dah pole sana😢😢
Kaka una mbingu yako jaman🎉🎉🎉🎉🎉
Duh mama mkwe anakula uku na uku ovyo sana
Tunasubili sehemuu ya tatu
Maskini kweli uyo kaka😢
Wanawake ni wauaji makatili sanaa
Kaka nimekupenda bure kwa sababu umetumia akili kubwa ssna hongera
Sioi Mpaka Asaivi Ninavoona Changamoto Ya Yamapenzi Na Mashine Yangu Naifunga Balafu Iache Xhobo Ya Kudinda Ovyo
Me naua 😁
Kaka mungu akubaliki Sana dhaaa
Daah yaani mwacheka hadi nimecheka
Yamenikuta ayo kaka nimerea mimb tokea chang adi miez 8 naambiwa mimb sjyo yangu
Pole kakangu najua unavoumia MI ni mwanamke ilinitokea hivo nilitolewa bikra na kushika mimba siajabu mwanaume alinisaliti akaenda kuishi ni mwanamke mwingine 😭😭 afu wakashindwana akapata mwingine bado waliachana leo hii anataka kurudiane
Wewe ni Mimi kabisa yani afu now siko naye anateseka sana mpaka nimemsaidiya pakini no kurudi nyuma nashukuru Mungu maisha yangu yako good
Daah nimejifunza uvumilivu kwa huyu kaka chukua maua yako bro
Wahanga tupo wengi shida wanawake wamejaa tamaa na baadhi ya wazazi hawana maelezi bora kwa watoto wao mfano mzr ninao
Wanawake sijui tunataka nn
Yanii sijui nini wanawake tunataka ikiwa kubwa tabuu ikiwa dogoo tabuuuuu
Matangazomengi adikero.nitahamahii chanel
Uyu kaka muigizaji wa muvi za kibongo duh kumbe na wao wanaigiziwa
Wanawake sie utafika mbinguni upande mmja umechka
Ukiwa wa kwanza uwezi kua wa mwisho
Bro wanake wajanja aweza kuwa aliweka bikra ya bandit kukuadaa ww
Ilq mansur mjinga sn ww kaa na uyo kaka ana moyo yn ana gonga kbs 😂😂😂
Wanawake tuna Siri kubwa Sana daah
Ushauri tu bro nikuachana nae huyo mwanamke siyo mwema kwake so tahadhari nimzuri kuliko madhara hatapa mwingine wakuendana nae achane na watto 2000 nipasua vichwa
Bro anajimaliza 😅😅
😂😂😂hajui kuna nn😂
Hili limeniaminisha kua huenda nae muita baba huendi sio babangu mzazi😢😢 ila wanawake hatujui tunataka nini
Unaambiwa siri ya babaangu nani ni mama
Ukapime DNA tu
Katafute mchaga au msukuma wanajiheshi sana
Nipe like zang wakwanza mm leo
Tuwekee nyingine mpka mwisho bas
Huyo mtoto japo simjui ni wahuyo kaka wakwanza kuja kwako
Kaka hiyo subscib yako tayar punguza tangazo lake kidogo
Dah
Jamaa mwnyw mshamba yaan madem cjui wanafel wap wallai😢
Daaaaah sema kiongozi hapo amekaza kiume Sana ane maan situation inauma lkn anakuw normal ne Jambo la kumpongeza daaah so poa
Huyu kaka eti elf tano elf tatu dah sis wanawake sjui tunataka nn jmn
shemej kacheka kicheko cha kinatki uku anaria
Yaani huyo dada ni fala sana anaacha ugali na nyama anaenda kula dagaa 😂😂mwanaume amejitolea kumpa mama yake mtaji halafu anaenda kutafuta bodaboda anae toa afu tatu afuu tano
Mapenzi hayaangalii vitu kama hivo
Sema jamaa amekaza kiume akin anapitia very pain
Kaka usiwe unachelewesha jmn wengine bando letu la mawazo
Itaendelea lini
weka nyingine
Kaka wewe nijasili unacheka namwalifu uuuuuuuu
Mmmmmmh