FINAL:ILIBIDI NIMPE M!MBA MAMA YANGU ILI NILETE HESHEMA NYUMBANI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 มี.ค. 2024
- #foxetv #hardmovement Bonyeza alama ya Subscribe kisha weka notification on ili kupata matukio yote kwa wepesi zaidi Asante.#FoxeTv Ni Bora Zaidi
.
.
.
.
.
.
.
.
©Instagram @FoxeTvTanzania tufollow sasa kwenye mtandao wetu wa kijamii
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Tag;
#video #bongomovie #truestory #majanga #mikasa #msaada #update #trendingvideo #trending #trendingnews #oman #omannews #omanchannel #omannewstoday #kenya #kenyanews #kenyadigitalnews #kenyanewsmedia #usa #usanews #america #american #amerika #tanzania #tanzaniasafari #tanzaniayetu #uganda #ugandanewsupdates #rwanda #rwandanmovies #burundi #burundinews #uchawi #mikasa #udakutz #udaku254 #ngono #VideoChafu #VideoXxx #Xxx #xxl #uchib #tikitv #tikitvkiakilizaidi #zanzibarbeach #maximumtvonline #maximumtv #DavistarMatal #mtoto #watoto #Ubakaji #diamondplatnumz #harmonize #comedy #comedyvideo #film #movie #movie #ayo #millardayo #millardayoupdates #GroblaUpdates #global #AingiliwaKinyume
Sijui ilikuaje nikasikiliza upumbavu huu hadi mwisho story ya kitoto ya uongo na uzushi! Hizi online media uchwara zifungwe zinatupotezea muda na focus
Sio kweli uongo mungu anakuona
Kijana anaongea huku akifurahia.
Badala ya kusikitika kuwa ni laana anachekelea tu. Mshenzi kweli.
Maajabu kabisa kumbuka n mother -inlaw huyu n kujisahau tu uwezi toka ata hapo kwa kitanda ukicheka hivi ama n comments unataka nmecomment basi vil ulikuwa unataka
Beee nimuongooo uyuu jamaaaa
Kwani ulilewa au ulichukuliwa msukule? 😮😮
Laana gani
Wanao enjoy story hii ya uongoo like zenu plz
Ni mshenzi😂
Kama ni mama mkwe bas ni kweli,, wapo wamama waizaini hi
Daaaaah jamaa muongo kichizi
We yakwako ya ukwery ikowap
Wakwe wanatiwa sana kama hauamini mambo yaukweli ulimwenguni
Wewe kijana ni mjinga sana
Huyu jamaa anakaa mjinga mjinga
Hii story unnepimia marafiki sio huku kwa dunia nzima, wewe ni chizi fresh
Hii story kama ni kweli basi we ndiye mbaya coz hukujiondoa kwenye majaribio baada ya kuona red flags
Wengne huzaa na wakwe zao kbsa
Mama wa muke wako ni mama yako piya
Iyo ni lawama amboyo ita sumbuwa maisha yako yote ata na kizazi yako
Mama mkwe pia ni shetani, mbona asingemuita msichana wake? Kijana pia ni sence
Hatari sana
Pole yako
Mimba haiwezi kutunwga na kukubainika baada CK 7 at list siku 28 na kuendelea hii ni story ya Uwongo😮
Kuwekwa mambo haya kwenye mitandao hayafai, ni aibu, na fedheha yanakiuka maadili yote ya utu.
Dunia aina la Siri siku izi
ulikua wampenda pia ww
Kwenye mitandao kuna mengi sana
Uwongo toka hapa
Hivi jamaa hili linafamilia kweli.jinga sana
Hii imeenda na uongo.tupu
Msimulauku kijana mama ni malaya
Waaaaah 😢😢😢😢😢
Hii ndio nilikuwa natafuta
😂😂😂😂
Hata hivo ,basi hangemwodokea😒😏
Hata hivo ,basi hangemwodokea😒😏
Wewe mjinga hata huyo Paulina humpendi acha kuongea kiluga mjinga wewe kwani huyo mama hajaona wanaume wote mpaka akufungie wewe? Mlikuwa na yenu wote ni malaya hamna adabu mungu atawakomesha
Mbuzi weee
Umeelewa umeelewa umeelewa umeelewa umeelewa umeelewa umeelewa umeelewa umeelewa
Subhanallah 😢😅😅 wiki ulimpangia kbs 😢😢😮😮
Ni kweli ushenzi huu ni alama za kiyama
Ni laana
Mwenye kuangalia pia kwani hamuelewi taira hilo lipo lipo
Daah
Napitia comment to
😂😂😂😂 ni noma xana
😂😂😂😂
Huyu karogwa kabisa,, 🤗🤗🤗🤗🤗 kidogo tarudi wazimu,, shhiiiiindweeer
😂😂😂😂yani hii mitandao
Uyo ni. ChiZi
Kumbe tayari ulishatumiwa text bodo ukakubali kupanda kitandani?
Pole saan kinjana wewe unatisha KBS 👏
Mimba ya wiki moja 😅😂 tunadanganyana
Subhannallah,wasema huna hata haya ,hiyo ni laana
😢😢Usijalip kwongea hiyo jina eti mamamkwe,,,Sema Malaya wako....
Pole
Huyu Jamaa ni fala nanampenda mkwewe bt mkewe amemkana
Wewe Msheshi tu
😮😮😮😮😮
This is story come yes come
I understand him 😢its not easy to this boy
Jaman mbona anatudhalilisha wanawake mavi yake
Kwani huongopi. Mtu 😢
Yan nasikiya asiraaa
Wewe na hilo lijimama ni Kenge maji Acha kutoa story ya uongo
Ata kama story ya uwongo haoni aibu wala haya kuyatamka maneno hayo alaaaniwe bilisi alokuandama
Mmmh
Wewe huna akili hata kidogo nyani weee! Dunia imefika mwisho.
Uongo kuliko uongo mwenyew 😂😂
Hujui kukataa
😅😅😂😂box empty
Nimbumbafu sana
Muogo
Hiyo siyo laana angemforce sawa ingekuwa laana
😳😳😳😳😳
Zitaje izo sehemu alokushika mamako
Mshenzi sana
Mimi. Uyu. Ni. N
gombe. Tu
6:19
Huyo alitaka mwemyewe kwann amekibali kulala humondan kamayeye ni mkwe
Atawewe ulikuwa unataka uzitundanganyi
We we in mujinga
Chai jaba hii
Hivi hili hapa nikabila ngani
Una maradhi ya kisaikologia wewe bwege
😂😂😂😂
Ulipenda na kukimbia
Uliskia sje😂😂😂😂😂
Hawa walikwisha elewana waongee uwongo wore wana. Penda na ndio mchezo wao labda soup kawaida angalieni maadili yetu watanzania
We mbuzi kweli
Mwehuuu
Liongoo hilo..
Tena limelaaniwa ...
Ndo mijitu ambayo inatibid serikali ivitafute vinywongwe.
Linapotosha jamiii...
😅😅😅 mama mkwe kanichezea is tryping........😂😂😂😂
Hivinikweli
hauko serious
Ni huu sio story ya kusema ukitabasamu, hata ungelia ukinarate, JINGA SANA
Mimi siamini kabisa anachosema huyu kijana. Kwani mimba inaingia na wiki moja na kutoa kama amefungiwa chumbani? Hii stori si ya kweli kabisa na hata kama ingekuwa ya kweli, ni aibu tele. Hata kwetu Kenya mambo kama haya si ya kusema mbele ya watu. Najua Tanzania na Kenya tu wamoja. Hata vile alivyoongea lugha ya mama, nilikuwa naelewa maneno fulani kwa maana sote tu wabantu. Mila zetu ni sawa. Aibu!
Mimba huingia hata na sec bora sperms ziko active na mwanamke mayai iko tayari mimba unapata tu
Mama alimtega... definitely she knew the time of the month... she knew her fertile time of the month na akawahi.
Ongo😂😂😂😂😂
Du ukweli ata mi ningepita nae
Huyu hata sio binadamu mbwa
Anachekacheka sio unaelewa nini huyu mbwa mwitu
Ivi mwanaume Kuna sehemu akishikwa analegea??
😂😂😂😂😂
Ndio
Basi m sjawahi kuotelewa🤣🤣
Hii Ni Maiti Inaonge Mtandaoni!!!!
😂😂😂😂 kwa kwelii
Achauongo wee mnyoo
Ngo😂mbe. Tu
😂😂😂😂 uongoooo huu bn
Sehemu gani hiyo paulina anatakiwa kuweka
Kwann hukukimbia?
Uwogo Huwo tu
Mambo yko sana hayo
We mpupavu kweli huwezi kulala na mama chumba kimoja
Anazalilizha watu haha lofoten huyo
Uya mama ni mlevi nn
Wewe ni MBWA!.
Na Laana hii UTALIPWA Tu●
Huyo mama ni mchawi
Jamaa dishi limeyumba
2:45 laana tupu
Yn ww kaka unaniudhi sana unavyojichekesha km mkoba awa malaya umetudhalilisha sana sisi wanawake pumbavu tena ni lijita la majita nyokoooo mjita gani mpumbavu hivyo hauna hata hofu ya mungu utakufa vibaya
Kama ni kweli basi mama ndie ovyooooo
Wewe ni mjinga sana kiukweli
Omg 🤔🤔😂😂😂😂😂😂
Pesa utazipata walakini jehanamu yakungoja maana wamaanisha Mungu akiandika habari ya Yusufu kumtoroka bibi ya wenyewe alikuwa haelewi watu kama wewe wenye tamaa potovu wanaishi hapa ulimwenguni
Ulaaniwe mpaka kwa mungu
Staghfiru llahu hii ni mitihani mikubwa na aibu kwa watanzania hata kutowa hizi stori ni dhambi kubwa jamani ogopeni allah
Ungemwambia umekusa fire
Dog's behaviour.Tubu
Mama Mkwe wahaina ngani? Wewe ni shetani mkubwa.... Eti kuna sehemu ukishikwa hata awe dada yako? Mjinga kijana wewe.... Umelaaniwa... Ukirundi nyumbani utafanya hiyo mchezo tena na mkeo? Shetani kasoro mkia wewe. Kwanini wewe na sio mtoto mdogo uwezi ukaondoka, ungefunja mulango uondoke. Na kwani babake Pauline alikuwa wapi.... Hata weeeeeeeeeii? Ukiwa ulipanda kwa kitanda, hapo ndio ulikwisha (kijana shetani wewe) Umelaaniwa na laana kubwa. (Tafuta Mchungaji akuombee, uokoke... Kwa YESU tu ndio utapona)
😂😂😂😂😂😂🙌🙏
Hiyo ni laana huyo mtoto hauwawe kwanza huyo Ni labila lipi?