THE BOY - SIMULIZI MPYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025
  • Kuanzia siku hiyo bwana Kingston akaanza kuwa rafiki yangu.

ความคิดเห็น • 323

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 2 หลายเดือนก่อน +10

    Napendaga kuwa wa mwisho maana simulizi huwa tamu sana,lakini leo nimejikuta kuwa hapa mapema leo🎉

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 2 หลายเดือนก่อน +14

    Wow kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love.

  • @consolatazacharia
    @consolatazacharia 2 หลายเดือนก่อน +22

    Jmn one minute mshajaaaa akiiii siwawezi ila naombeni na mm like nimewahi pia😍😍

  • @mozabayabanda4248
    @mozabayabanda4248 2 หลายเดือนก่อน +8

    Anko Asante sana unajuwa kutufura isha kweli awawatuzi wa izi simulizi wape salamu zangu kabisa nawapenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 2 หลายเดือนก่อน +16

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @FatmaHassankhamisi
    @FatmaHassankhamisi 2 หลายเดือนก่อน +14

    Asante anko jey naona zarina anafuraha kusimulia mkasa wake 🌹🌹🌹🪑🎧🎧

  • @MamahetuChikuti-mp5lj
    @MamahetuChikuti-mp5lj 2 หลายเดือนก่อน +10

    Weweeee jioni njema Kwa wooote wadau tusikilize uyo THE BOY Hana baya watunzi pamoja na msimuliaji

  • @ZaiZainabu-o4p
    @ZaiZainabu-o4p 2 หลายเดือนก่อน +9

    The boy anasemaje aca niket kusikiliza kwa umakin Asante Ancojey kutukumbuka❤❤

  • @zalelbalawy2459
    @zalelbalawy2459 2 หลายเดือนก่อน +13

    Wa kwanza from saudia

  • @MwajumaToh
    @MwajumaToh 2 หลายเดือนก่อน +6

    Asante kaka tuko pamoja kazi nzuli ubalikiwe sana ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Shadia544
    @Shadia544 2 หลายเดือนก่อน +19

    Haya jamaniii THE BOY JAMANIII KAFANYANINI HUYO BOY TUNASIKILIZA HILI TUJUWE HUYO BOY ✌️

    • @KimezaProduction
      @KimezaProduction หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/ZN3m2Q_WS_Y/w-d-xo.html 1:47

  • @AminaramadhaniAuntminah
    @AminaramadhaniAuntminah 2 หลายเดือนก่อน +18

    Afadhali niliboeka leo, The boy ndani ya nyumba

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 2 หลายเดือนก่อน +9

    Hayaa The Boy uyu hapa kafika🪑🍿🎧Asante Anko Jay❤

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 2 หลายเดือนก่อน +16

    King stone ila ww unajuw kutesa wazee wko bila sbbu mjinga sna ww ila mapnz shkamoo😂😂❤

  • @AffectionateHorse-ws9mp
    @AffectionateHorse-ws9mp 2 หลายเดือนก่อน +9

    Wazii tuzidi kutamba❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Loy-g2m
    @Loy-g2m 2 หลายเดือนก่อน +8

    Waoooooooooooih anko jay shikamoo 😂😂😂leo nimewahi aki

  • @ZainabIssa-nc1pw
    @ZainabIssa-nc1pw 2 หลายเดือนก่อน +12

    Watu mnalala umu ❤❤❤

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 2 หลายเดือนก่อน +36

    ❤❤(No1) Nimimi jamani, lra Ankojy kusema kwel umejua kutuweka, et. Nyie muasemaje huko? Nimimi mcheza kwo hutuzwa, nalalamika hivo.ila nasema asate, nimewahi Sana, maana likuwepo Toka Jana saa1 Asante 🙏 jy mapesa ila mungu akuona😂🪑🎧🏃

    • @FaithPeter-j4w
      @FaithPeter-j4w 2 หลายเดือนก่อน +2

      🎉🎉🎉🎉🎉

    • @RodrigueNishimwe
      @RodrigueNishimwe 2 หลายเดือนก่อน +3

      Wewe ndekeja Leo hauwombi like???

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 หลายเดือนก่อน +4

      Nikiwaomba hamnipi!🙆mukinipa badaee mwaondoa hiyo nimeiona duuh! Acha wanipe toka moyonu c machoni🙏

    • @RodrigueNishimwe
      @RodrigueNishimwe 2 หลายเดือนก่อน +3

      @@TeklaNdekeja nitakuwa nakujaziya Izo like zako

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 หลายเดือนก่อน +4

      ​​​​@@RodrigueNishimwe😂😂Nawe Mungu atakujazia baraka teree❤🙏

  • @EddaFredy
    @EddaFredy 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa hii simulizi babie love upewe maua yako pamoja na musimuliaji wetu anko jay hamjawai kutuangusha mbalikiwe sana❤❤❤❤❤

  • @Lilian-k4s
    @Lilian-k4s 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kazi nzuri bro 🎉🎉🎉🎉

  • @BrinahNchii
    @BrinahNchii 2 หลายเดือนก่อน +5

    Jamn anko tulikuwa wapweke mnooo❤❤

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 2 หลายเดือนก่อน +8

    Aki navenye nimengoja Dan❤❤❤❤❤❤

  • @lisazainabu3626
    @lisazainabu3626 2 หลายเดือนก่อน +45

    Woyoooo sikunyingii napitwa aya sasa nimekuwa wakwanza nipeni like zangu 🎉🎉🎉🎉🎉

    • @KimezaProduction
      @KimezaProduction หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/ZN3m2Q_WS_Y/w-d-xo.html

  • @LilianJoseph-e1t
    @LilianJoseph-e1t 2 หลายเดือนก่อน +8

    Jaman niliisubiri sana mpaka basi❤❤

  • @gracesanga3984
    @gracesanga3984 2 หลายเดือนก่อน +31

    Namimi jmn nakalibia kulia kabisa namimi naombeni like

    • @ziadaziada5390
      @ziadaziada5390 2 หลายเดือนก่อน +1

      Z XOXO 3 t

    • @KimezaProduction
      @KimezaProduction หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/ZN3m2Q_WS_Y/w-d-xo.html

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 2 หลายเดือนก่อน +16

    The boy haumwi huyu ,anapima ni yupi mwanamke alie sahihi kwake , ni nani mwanamke atakae mpenda kwa kila hali

    • @FunnyClownfish-uc6ye
      @FunnyClownfish-uc6ye 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ee na wachaga wanavyo penda. Pesa😂😂

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@FunnyClownfish-uc6ye😂😂😂😂

  • @AishaKhamiss-hg5xl
    @AishaKhamiss-hg5xl 2 หลายเดือนก่อน +11

    Anko j weee hautak tupoe😅❤🎉

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 2 หลายเดือนก่อน +5

    Good work Anko 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RaiyaanRasheedRay
    @RaiyaanRasheedRay 24 วันที่ผ่านมา +1

    hakika inafunza.ni kher tukatulia mabint .... kila.mwenye kusubir basi kher huja mbele yake na kuwa na daraja la.juu kesho kwa Mungu......
    ❤❤❤❤

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 2 หลายเดือนก่อน +2

    Simulizi ni tamu sana ongera anko j ❤❤❤

  • @JoselineNirere
    @JoselineNirere 2 หลายเดือนก่อน +3

    Na mim nimewai gutoka 🇺🇸 ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉thank you so much my Ankojay

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mm binafsi nimeipenda simuliz ya the boy is very nice waoooh ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 mtunzi na msimuliaji pokeeni maua yenu

  • @SalumJumaSalum-d9e
    @SalumJumaSalum-d9e 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sometimes you need to consume a light meal with a heavy taste, Good!!! unasikiliza unamaliza, yanini kuwekana roho juuu kusubiri mwendelezo

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 2 หลายเดือนก่อน +1

      Umeonaeee😮😮kafupi katamuu😂😂

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m 2 หลายเดือนก่อน +9

    WA 45 SIMBAYA THEBOY FROM WAP HUYU ❤❤❤

  • @FurahaFrancine-e2x
    @FurahaFrancine-e2x 2 หลายเดือนก่อน +2

    Anko Jay n'a babie vole kazi nzuri👌👌👌👌👌👌👌

  • @JujuShabani
    @JujuShabani 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wa 142😂😂❤❤❤nawapenda wapendwa wa ankojay

  • @Messyomi
    @Messyomi 2 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤🎉🎉🎉 iko sawa anko

  • @ZuwenaIsmail-vb4md
    @ZuwenaIsmail-vb4md 2 หลายเดือนก่อน +12

    Kujeni Kujeni Kujeni kitu kipya kwa Hewa 😂😂😂😂CHEZEA kulala you tube kwenye simulizi za anko Jay 😂😂😂😂😂😂😂

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 2 หลายเดือนก่อน +4

    The boy who stay with my heart ❤️ 😂😂😂😂

  • @jamilarimo5546
    @jamilarimo5546 2 หลายเดือนก่อน +11

    Kumenoga huku🎉🎉🎉

  • @Jasmeni-ns9dg
    @Jasmeni-ns9dg 2 หลายเดือนก่อน +16

    Mashaallah leo wa kwanza jaman like zenu ❤🎉 0:15

    • @KimezaProduction
      @KimezaProduction หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/ZN3m2Q_WS_Y/w-d-xo.html

  • @usterbae
    @usterbae 2 หลายเดือนก่อน +7

    AHSANTE ANKOJAY KWA SIMULIZI TAMU MAY GOD 🙏 BLESS YOU WE LOVE YOU SISI FANS WAKO ❤

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di 2 หลายเดือนก่อน +8

    Shasahhhh boss tumakizane nayo kwanza ama ilikwisha nikiwa naosha hamam

  • @Khijratkhijrat-eq1px
    @Khijratkhijrat-eq1px 2 หลายเดือนก่อน +25

    Uwiiii nimekuja wapili Leo Toka nizaliwe like zangu🎉🎉🎉🎉🎉

    • @KimezaProduction
      @KimezaProduction หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/ZN3m2Q_WS_Y/w-d-xo.html

  • @maryrungwe
    @maryrungwe 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wakwanza 🎉🎉🎉

  • @RukiaIma
    @RukiaIma 2 หลายเดือนก่อน +5

    Shukurn Ankojey wetu forever ❤❤❤

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hii imenoga sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MwashambaKibwana
    @MwashambaKibwana 2 หลายเดือนก่อน +10

    Namba 1

  • @generosendume2229
    @generosendume2229 2 หลายเดือนก่อน +4

    Number one ☝️

  • @beatricesemiti5997
    @beatricesemiti5997 2 หลายเดือนก่อน +6

    Bila sauti yako nakonda Anko J safiii karibu The Boy lakini usimsahau Dan

    • @KimezaProduction
      @KimezaProduction หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/ZN3m2Q_WS_Y/w-d-xo.html

  • @rebeccazagabe
    @rebeccazagabe 2 หลายเดือนก่อน +8

    asante anko mimi mwezio nilikuwa nicha boeka na stress kukosa simulizi za anko wetu.Mungu akupe afia nzuri kila siku 🙏

    • @OdethaJohn-x2r
      @OdethaJohn-x2r 2 หลายเดือนก่อน

      Kumbe tupo wengi adi kuumwa bila kumsikiliza Anko j

    • @rebeccazagabe
      @rebeccazagabe 2 หลายเดือนก่อน

      @@OdethaJohn-x2r weacha tuh apa najiisi nipo kwenye dunia peke yangu aisée 🤗

  • @TumainOmar
    @TumainOmar 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ahsante anko j bint Sasha jamani 🎉🎉🎉

    • @norahmunisi
      @norahmunisi 2 หลายเดือนก่อน

      Yaaani adi nitazira sasa😂😂

    • @TumainOmar
      @TumainOmar 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @SophieHak
    @SophieHak 2 หลายเดือนก่อน +8

    Jamani ivi nimekuwa wangap nanirikuw nayisubiri kwahamu sana

  • @neemafesto8126
    @neemafesto8126 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jmn tumalizee ili😢 u kill me😂😂

  • @AzzleBoy
    @AzzleBoy 2 หลายเดือนก่อน +11

    Kaka hijatumalizia binti sasha dah😢😢

  • @YasintaHongela
    @YasintaHongela 2 หลายเดือนก่อน +8

    Ankoj Asante kwa mzigo mpya

  • @LadyzuuOdozuuh
    @LadyzuuOdozuuh 2 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤mauwa kwako Anko lkn tunaomba mwish wa bint sasha jmn😅 wekuwez kuvumilia lkn😢😂😂

  • @MamykevineIrakoze-ry5kq
    @MamykevineIrakoze-ry5kq 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mimi wa 2 Jamaaaaniiii Anko tupe zawadi😂😂😂😂

  • @mwari-wamburu
    @mwari-wamburu 2 หลายเดือนก่อน +8

    First viewer n commenter🎉🎉

  • @BinchaBacar
    @BinchaBacar 2 หลายเดือนก่อน +6

    Simulizi iminitowa mawazo , boa noite família 🇲🇿🇲🇿

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty 2 หลายเดือนก่อน +8

    Weee ankoo atr nanusu jamani aiii ww

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wow shukran kaka Ankojay mpya the boy kulikoni❤❤❤

  • @MoshiMoshi-qy8dq
    @MoshiMoshi-qy8dq 2 หลายเดือนก่อน +26

    Vip ankojay tuvae earphone au ni salama kusikiliza na watoto😊😊😊

    • @IshaeryMwampyate
      @IshaeryMwampyate 2 หลายเดือนก่อน

      Hajasema 🤣🤣🤣🤣🤣 me np na watoto apa 🤣🤣

    • @MoshiMoshi-qy8dq
      @MoshiMoshi-qy8dq 2 หลายเดือนก่อน

      @@IshaeryMwampyate 🤣🤣🤣

    • @IshaeryMwampyate
      @IshaeryMwampyate 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@MoshiMoshi-qy8dq Anii 😂😂😂😂

  • @fatumamberwa1968
    @fatumamberwa1968 2 หลายเดือนก่อน +9

    Siamini leo jamani 😢nimewaii kha hadi raha karibuni kwenye the boy 😂😂

  • @haleemahooir3009
    @haleemahooir3009 2 หลายเดือนก่อน +10

    Sijachelewa sana nimekuwa wa 100 😂😂😂

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 2 หลายเดือนก่อน +12

    Ank nilijuwa unatuletea Dan anko sasha lin jmn😢😢😢😢😢😢😢

    • @FunnyClownfish-uc6ye
      @FunnyClownfish-uc6ye 2 หลายเดือนก่อน +2

      Yaan mm na hamu nayo jaman ila wamenikera . Sasha kumpiga. Kizza kaka ake ila sasha na imani mpelez kupigwa kote kule bado kaludi. Pale pale. Mtu kakweleza mama ake alibakwa mbele yake na kuuwaa et bado wanamuona hana maana😢😢

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😢

  • @MagdalenaMbingi-py1hr
    @MagdalenaMbingi-py1hr 2 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani huyu Zarina ( The boy ) ni pambe

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda 2 หลายเดือนก่อน +7

    Twendeni na mzigo

  • @SAKINASHEEMAMBEA
    @SAKINASHEEMAMBEA 2 หลายเดือนก่อน +2

    Woyoooo tumefkiwa huku❤❤

  • @AnifaPatrick-wb1dd
    @AnifaPatrick-wb1dd 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jmn mm mgen wenu jama sijawai kupata ata like Moja naombae sapot jmn

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 2 หลายเดือนก่อน +10

    YAANI CHENYE NAPENDEA ANKOJ SIMULIZI YAKE NI TAMU ANAEKA SUKARI KIDOGO CHUMVI KIDOGO ALF MWISHO INAKUAJE ANAACHIA NJIANI HIYO SIMULIZI NA 2NABAKI ROHO IKIWA JUU JUU 😂😂😂😂😂

  • @aminasalimu6204
    @aminasalimu6204 2 หลายเดือนก่อน +4

    Asante,kesho,tenamajaliwa

  • @speciozamikole2194
    @speciozamikole2194 2 หลายเดือนก่อน +12

    Malizieni viporo kwanza

  • @rosylinekarisa7652
    @rosylinekarisa7652 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nyie mko fast sana 🎉 hi watu wa zakayo najau mko apa 😂

  • @Fatmamakame-q5w
    @Fatmamakame-q5w 2 หลายเดือนก่อน +14

    Jamani me mbona kila siku nachelewa😢😢 leo mnionee rukuma kwa like ata 10 ty wadau❤😊

    • @Aishwaraimasiennah
      @Aishwaraimasiennah 2 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤❤usilie bac😂😂

  • @ZainabuIbrahim-u7l
    @ZainabuIbrahim-u7l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tuko area mbaya anko Jay ❤

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mambo hayo

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 2 หลายเดือนก่อน +17

    Kwani ninamukubali sana love💯 mi naamini kua tuta enjoy vilivo like kn unaamini hivo❤

  • @StellaMalando
    @StellaMalando 2 หลายเดือนก่อน +9

    Mimi wa 9 naombeni like zenu please ❤❤❤😅

  • @NsimireMurumbi
    @NsimireMurumbi 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kuna mtoto wa darasa la saba hajuwi ku soma kingereza kweli, mimi mtoto wangu iko sarasa la tatu la musingi anajuwa ku soma kingereza vizuritu

    • @consolatazacharia
      @consolatazacharia 2 หลายเดือนก่อน +3

      @@NsimireMurumbi kwahiyo inabidi mwanao amfundishe sasa sio kumsemea huku kwa Anko Jay jamani 😂😂😂🙌

    • @NsimireMurumbi
      @NsimireMurumbi 2 หลายเดือนก่อน +2

      Inabidi mwandishi awe makini na anaye sumulia vivi awe makini

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kuna kusoma kuandka nakuongea vyote n vngereza pia Kama wa mabas ya njano uc2fananshie na knackered kayumba.

    • @mwanajumamohammed4356
      @mwanajumamohammed4356 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂​@@consolatazacharia

    • @UssiSilima-c7o
      @UssiSilima-c7o 2 หลายเดือนก่อน +1

      Inawezekana dear ucshangae mm nimemaliza la saba 2013 lkn nimemaliza na watu karbu ya watano hawjui kusoma tna c kingereza kiswahil tna wengne had majina Yao hawjui kuandka

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂boy wetu ni muigizaji nakwambia😂nia yake ni gani?wacha tufuatilie simulizi hadi mwisho😂😂😂mm adi nacheka tu

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 2 หลายเดือนก่อน

    Weee Anko jay uko 🔥🔥❤️🇴🇲🇴🇲 shukran Kwa simulizi mpyaa

  • @furahangoty5059
    @furahangoty5059 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mbio mbio acha nitulie ilimrad nimefika🎉

  • @NsimireMurumbi
    @NsimireMurumbi 2 หลายเดือนก่อน

    Ankojey ubariwe sana, iku yakuleta simuzi mupya sisi wa Congo tunabeba ushindi. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Yako

  • @DamariJohn
    @DamariJohn 2 หลายเดือนก่อน +3

    aaahhh Zàlina kama Zalina

  • @PaulinaLwena
    @PaulinaLwena 2 หลายเดือนก่อน

    Songea 1 hiyo asante anko jay simuluzi ni bamubamu❤❤

  • @DorcasMuomba-gd3sw
    @DorcasMuomba-gd3sw 2 หลายเดือนก่อน

    Tunamuona mwamba dan tena siku hizi mambo nimoto ila tunaumwa kukosa binti Sasha ilitujuwe mwisho wake ❤❤❤ tunakupenda zaidi anko jay

  • @Neema-qr7lg
    @Neema-qr7lg 2 หลายเดือนก่อน

    Anko mwambie Bby love aambike simuliz kama hii wajuwa hii simuliz nimeirudia zaidi yamaratano kiufupi ninzuri sana nimeipenda muno

  • @مريمكينيا-ش8ح
    @مريمكينيا-ش8ح 2 หลายเดือนก่อน +4

    Asante anko j kwa simuliz nzur jaman munipe like

  • @BoscoGakire-y8x
    @BoscoGakire-y8x หลายเดือนก่อน

    Habari zenu wapwendwa wetu asanteni Hadith zuri sana❤❤❤💯😘🥰😍

  • @usterbae
    @usterbae 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nime Enjoy san for real i like simulizi za Ankojay wetu mapesa❤

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 หลายเดือนก่อน +2

      Musela❤!😂😂 Umeenjoy anavo unguluma😅

    • @usterbae
      @usterbae 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@TeklaNdekeja 😂😂🥰

  • @ayishaHabibu
    @ayishaHabibu 2 หลายเดือนก่อน +4

    Anko jmn Sasha😢😢😢

  • @judikadzo8712
    @judikadzo8712 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uwiiii thanks ankojay mapesa 🥰🥰❤️

  • @UmDonia
    @UmDonia 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi stor jmn eti mwanaumwanaume amenikimbia tena namke anae bado nampenda we sio kwangu tutalea mtoto tu

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 หลายเดือนก่อน

    Nashagaa unaficha mimba lkn mwisho itaonekana namwenye mimba ❤❤ moyo wake uko kwalulu

  • @JaneSanga-b5n
    @JaneSanga-b5n 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jamn nikajua nimewah kumb😢😢😅😅

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 หลายเดือนก่อน

    😮♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹hatimae, asante sana mwamba wetu Ankojay 💪

  • @magrethJilya
    @magrethJilya 2 หลายเดือนก่อน +8

    Namm leo wakwanza jaman maua yangu plz😅

  • @catherinekadima
    @catherinekadima 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera mrembo sisi tunainjoy zimlisi za ango j

  • @ShamsaBakari-qh3ut
    @ShamsaBakari-qh3ut 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wow 😋😋 ❤ ankojey