Mshkaji amekuw mkweli san kweny stor yake kwa kuw mm pia nipo Iran na nikweli mamb yao haw sio mabaya Ila hapo kweny kumuabudu Hussain tu ndio amechemka kwakuw hajui maswala ya Dini Hawamuabud bali wanakwend kumtembelea tu kama kupat baraka kwa mtu mtukufu,kama vile kuend ktk kabur la Mtume Muhammad na wengineo
We muhongo bhana njaa tu hyo,c i irani tuna ijuwa,kakaa jail gani uyo muhongo na wewe muhojaji mwenyewe ujui kitu,muhulize alikuwa anakaa wap na ķwa leizi wpi
Pole sana jeshi
Asante kwa kutue muendelezo🎉🎉🎉🎉
Pole sana ndugu yet
Pole ndugu yangu maisha safali ngumu
Hongera Kwa mahojiano wenye mafunzo
Braza bado kwenye interview... Jitahid hujifunze kwa wenzio wakina AYO. stor hata kama ilikua nzuri inapungua ladha
Asante sana kaka umetuekea muendeleze
Wah watching you from Nairobi Kenya ❤
Thanks @joyce❤️
Mi bado sijajua sababu ya kwenda Iran ilikuwa ni nini. Tuweke sawa
TAZAMA Sehemu ya kwanza th-cam.com/video/PC0e170GSug/w-d-xo.htmlsi=co6ZGyQAClS8dox6
Pole sana
Daaah sio poa maisha
Mbona unagicha ficha? Ulienda kufanya nn? Kwann waliwakamata? Mimi najua Iran wabongo wengi wanaenda kubeba unga
Mshkaji amekuw mkweli san kweny stor yake kwa kuw mm pia nipo Iran na nikweli mamb yao haw sio mabaya
Ila hapo kweny kumuabudu Hussain tu ndio amechemka kwakuw hajui maswala ya Dini
Hawamuabud bali wanakwend kumtembelea tu kama kupat baraka kwa mtu mtukufu,kama vile kuend ktk kabur la Mtume Muhammad na wengineo
Ye ndio siku yake yakwanzandio Mana akasema Wana abudu ivo
Pole
Bro jifunze kutengeneza kipindi hiki kipindi hakieleweki jifunze kwa jamaa anaitwa mbaga mnaficha sana ukweli
Sawa kiongozi tunaufanyia kazi ushauri wako
Mimi hayo ya watu weusi siwezi kukubali maana kila mahali wapo watu weupe na weusi….uongo usio na macho
Hzo nchi za kiarabu wanabagua sana Tena sana njoo oman
Hujatembea na hujakutana na unaguzi wa watu weupe
Huyu jamaa ni mushamba .
Akili ni hamuna kweli huyu kweli ni mulugulu ..😊
MMMH SIO POA
🎉🎉🎉🎉
Kaka Arafati wanawake wana siri nyingi sana hadi ufanye DNA ndio utasadikisha kweli mtoto alikua wako
Kwaiyo unataka kutuambia iyo pich ya uyo mfungwa ndo yeye we jamaa mbona muongo sana unazan atumjui uyo sharobalo ad akawa modo wa nguo
Ngumi jiwe,karibie uue😂😂😂
Shukrani sana kaka kwa kutuekea mundelezo 🎉🎉🎉
Mnatumalzia bando alikuwa antokea wapi njaaa tu
Sielewi huyu jama alipelekwa jela kwa kosa gani?
Anzia Sehemu ya kwanza ndugu yangu
Nac
We muhongo bhana njaa tu hyo,c i irani tuna ijuwa,kakaa jail gani uyo muhongo na wewe muhojaji mwenyewe ujui kitu,muhulize alikuwa anakaa wap na ķwa leizi wpi
Kiongozi hyo ni Sehemu ya pili ukitaka kuelewa vzur anza kutazama vdeo ya kwanza👇👇👇👇👇👇
th-cam.com/video/PC0e170GSug/w-d-xo.htmlsi=qLVvP6H-2Ktjb86O
Mtoto miaka mi 8 tena?
We kuku alimuacha mke ni mjamzito ye kakamiaka kumi Basi alimuacha anamimba changa na mtoto Hadi Ana Rudi mtotoana miaka minane kuku pija esabu
Pp]
Asante kwa MUENDELEZO wa stori hii
Asante mtangazaji kwa kutuekea mundelezo 😂😂