PART 5: MZEE SENI AFICHUA WALIVYOMCHOMA MNYAMPARA USONI kwa MAFUTA ya MOTO GEREZANI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +2

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @Doreen_ONLINE
    @Doreen_ONLINE ปีที่แล้ว +1

    ana miliki watoto 😁😁😁😁

  • @antonmbwile3316
    @antonmbwile3316 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mnachelewa Sanaa kuleta part nyingine

  • @Lynnalice217
    @Lynnalice217 ปีที่แล้ว

    Ana miliki watoto 😂😂

  • @mosesgasana7109
    @mosesgasana7109 ปีที่แล้ว

    Interview nyingi za hawa jamaa waliowahi kufungwa gerezani ni waongo sana, hawaelezi ukweli kuhusu changamoto walizokutana nazo. Athari za kisaikolojia zinachangia sana kutokuwa wakweli.

  • @kachabisnea8815
    @kachabisnea8815 ปีที่แล้ว

    Sasa huyu mbona anachanganya babu seya aliingia jela kama 2004 inakuaje tena eti miaka ya 2002/3 akikutana nao gerezani

    • @YunusYahya-gr6ks
      @YunusYahya-gr6ks 4 หลายเดือนก่อน

      Mtu kafungwa Toka 90 kumbukumbu inapoteaa ya miakaa

  • @julianayesayamwailolo8240
    @julianayesayamwailolo8240 ปีที่แล้ว

    Yaani wanachelewa haswaa mpakaa wana bore