Wanadamu mshike elimu usimuache tunafundishwa na watumishi tunasoma biblia bado mungu wa kweli hatujamjua hata tumeanza kuabudu sanamu simama hapo ulipo tuache kutangatanga tutaangamia kwa kukosa maarifa mungu simama na afrika Ipone asante serikari sana kwa kuliona hili
Nakushukuru mola wangu mlezi Kwa kuzaliwa katika uislam huku kwetu hatuna manabii wa uwongo wala hata tokea mtu akadanganya umma wa kiislam eti yeye ni mtume au Nabii sababu tuna jitambua YAARABI wape fahamu wenzetu nao wajitambue 🤲🤲
SUBHANALLAH!! Huyu mama zumaradi sio mchungji wakaida atakua aliwatumia km msukulo wake kujipatia utajiri..Dunia iko sawa ila binadamu wamebadilika roho km za wanyama.
Wapendwa tujitahidi kujiombe wenyewe tusitegemee sana kuombewa hizi nyakati za mwisho baadhi ya watu wanajifanya wachungaji kumbe wapotoshaji Mungu atupe maalifa na atuongoze vema
This woman managed to establish a Cult 😄😄 What can I say? I think there is some saying that explains that we need to free our minds from what others tell us on how and why we are in this world but rather start experiencing and learning on our own Honestly!!! Tumeumbwa kwa msingi mkubwa wa fahamu.. kwanini udumaze fahamu ulobarikiwa kwa kufuata mkumbo na kuskiliza wengine wanasema nini kuhusu maisha, tena yako! Ishi, jifunze, connect with Nature!!! All the answers are there
Shida inaanzia utotoni. Kila kitu unaonyeshwa na kuiga. So ni kufuata mkumbo wa wazazi, marafiki na ndugu wanaokuzunguka na kusifiwa pale unapoendana nao. Ni ngumu kuja kupata ufahamu wa kujiangalia ndani, we ni nani hasa. Na ukifanikiwa kupata huo ufahamu unakuwa tofauti na jamii inayoluzunguka, wao tena ndo wanaanza kukuona umechizika.
@@RuzoOwzy ni kweli kabisa unachosema Kama jinsi a few of us tumeweza kubreak free nina imani elimu inasaidia na sio hii ya darasani tu, elimu ya maisha asili we need to spread awareness
@@Kristina-fb4jq Yah. Elimu ya darasani inanafasi yake. Ila hiyo elimu ya kujitambua kinafsi, kiroho na kimwili, naona tumeyaachia makanisa na kuamini hakuna namna nyingine.
Huyu mama anaakili sana hata wakimfunga nina imani watoto wake watasoma vizuri dini zingine nazo kila miaka 10 kunaibuka wanabii wa mpya wa uwongo dahh bado hamjuwi kama ni biashara
Wakiambiwa wabishi mana dini hi kila siku mana bee na kuimba basi wana kua kweli kumbe wanadanganywa na kunufaisha hao wezi tu mtu kujita na bee mana bee ni wa kale sio sasa na leo huyu ajita mungu kweli mtu na akili yako unaamini unarukaruka au ni majini hawa Mbona wako hv
Hivi kila mmoja anasikgizia yesu kila atakae taka kufanya maovu lazima ambiwe ni wa yesu jamani muogope ni mungu mtakufa huo na bee isa bin mariam naona anasingiziwa tu wala yy hayumo kabisa na mashetani watakuja kujibu kwa mungu wanaonjita miungu duniani shenzy
@@unknownafrica5568 Usiongelee dini,ongelea watu fulani,maana hata dini yako kuna watu wananufaika kwa njia tofauti pengine hata kwa mwamvuli wa Muhammad,hivyo keep hold on your iman and let others believe what they believe,after all hizi dini za wakolini zisitugombanishe kikubwa upendo.
@@vincentcharles4385 ulifikiri kunijibu muhamad ndio umejibu isa min mariam ni na bee wa mmungu kama mana bee wote na nkiongelea hicho ujue nimemanisha huyo anavyo muharibia masih kua yy ana hubiri vitendo vya na be na kahubiri hv kufika kuimba kuvaa suti wapi hiyo isa ni mtume wa mungu aliteremshwa kwa wana esrael walipo kufuru na isa alimuabudu mungu na kusujudu na sio dini ya wakoloni kama unavyo fikiri dini ni ya mwenyezi mungu alie umba ardhi na Mbinga isio na nguzo isa na muhamad (saw) ni kitu kimoja ila makafiri wakatoa isa ibada isio takiwa wakati yy hakufanya hivyo wamechukua kutoka kwa wazungu kuimba na wanawake kupiga kelele barabarani kibiashar isa hajaimba alisujudu na kutawadha na kufumika kichwa mzungu hana nabee na shanga mnatenganisha mitume wa mmungu katokea dini hi na mitume wote ni wametokea huko kwa muhamd saw) dini ni ya mmungu mkoloni anadini yake ya kibiashara fuatilia utagundua yote kama hao wanawake mana bee au kila kukicha mana bee wa uongo wapumbavu ndio wanawamini
@@unknownafrica5568 Kumtaja Muhammad sio kwa nia mbaya,point ni kwamba ume generalize dini na sio mtu aliyefanya kitu fulani,hivyo siwezi kuukosoa uislam kwakuwa kikundi fulani kinatumia mwavuli wa kiislam kuteka watu,kuuwa watu kwa kuwa uislamu haupo hivyo,lakini pia suala la dini ni imani ya mtu,hakuna aliyeenda kwa Mungu akarudi na kutoa ushuhuda wawote,hivyo imani yako na matendo ndo kitu muhim.
Mjue sana Mungu upate kuwa na amani Sasa watu wavivu kumtafuta Mungu wanawatafuta wanadamu matoleo yake ni kuburuzwa,,,, huyu mama anaroho ya Yezebeli kwa mnaojua neno mtanielewa vizuri maana ya Yezebeli ni mzinzi mharibifu mchawi mpenda madaraka mharibu kanisa Kwa hiyo Kumjua Mungu inahitaji kujitoa haswaa soma biblia usisubiri kusimuliwa, omba, mkristo kamili anatakiwa awe mwombaji sio kila kitu uombewe, funga kama ikiwezekana, Wakristo tuache kuwekeza imani zetu kwa watu bali imani zetu Tuziweke kwa Bwana. Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana
HUYO ZUMARID NI MALAYA NA HAO WATOTO ANAWAFUNDISHA USENGE NA UMALAYA SERIKALI LAZIMA IMCHUNGUZE NANI MDHAMINI WAKE NA PESA ANAPATA VP AU ANATOWA WAPI. MALAYA MKUBWA HUYO YEYE NA ANAEMTUMA.
Jamani watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa watu wamekuwa kama zombie huyo mama kwa kweli hastahili hata kuwa mchungaji huyo ni zaidi ya pepo anazozitoa
Huyu Mama Wanamuonea wivu kwa mafanikio yake makubwa. amesaidia watanzania wengi ndio maana wanampenda na kumfuata sana. mungu wake atampigania. mambo ya aina hii ndiyo inafanya Afrika ishikilie mkia kwenye maendeleo. achecni huyu mama hajamdhuru yeyote
Kabisa ndiye yezebeli muuaji wa manabii wa Mungu,,tuweni macho wakristo kwani watu Hawa Ni jasiri Sana kuongea uongo kwao Sio Shira,,tuutazame wokovu wa kweli ulio katika Kristo Yesu
Huyuu mtuu basi si wakawaida ananguvuu za gizaa ndio anazotumia kuteka watuu hongera MFARME ZUMARIDI umeniloa utajiri kwa kuzurumu watuu maana hiyo nyumba ya lbada ni nguvu za watuu wainda chomwaa wewe dada acha utapeli sio nzuri T
MUNGU WA DUNIA,NABINADAHAMU,WANAMFATA KWERI?JAMANI WATANZANIA TWENDENI TUKAMUOGOPE MUNGU,WITH GOD NOTHING IS IMPOSSIBLE,UMASKINI USITUFANYE KUMCHUKIZA MUNGU WAMBINGUNI,
Ukweli ulivyo Shetani amepofusha ufahamu wa watu hapa duniani,ikiwa watu wanawatukuza watu badala ya Mungu ,ushaur ni vyema Zumaridi na wengine wanaojiita watumishi wa Mungu serikali ifunge huduma hizo.
Ukweli upo wazi,kunadini mtu akijiita Mungu viongozi wakubwa waiyo dini awanauwezo wakumuoji,uo uungu umeupataje,wanamuacha afanye anavyotaka.mfano Kenya Kuna Mungu wanyonyi na watu wanamuabudu
Uyo ni tapeli na mpumbavu anawaibia watu wasiomjua Allah. Inakuaje mwanamme mzima anakudanganya mwanamke km uyu anakata viuno mtandaoni uwezi ona anaitaji watu wakumshugulikia uyo
Tatizo nikwamba ni nani anaekuwekea Mikononi Kichwani ili kukuombea? Mwanadamu ana Akili sana.. NINA AMURU AKILI YAKO INAYOSHIKILIWA KICHAWI IACHILIWE KWA JINA LA YESU
Daah MUNGU atusaidie hawabinaadamu utasema si wezetu tunaoishi nao Kama maigizo kumbe kwelii,,,Eeh Mwenyezi MUNGU tusaidie tusiangamizwe kwakukosa maarifa
Kesi hii ya mchongo tu kwan aliwalazimisha wamtumikie hapa Kuna wivu wakichungaji kuona huyu zumaridi anaushawishi Sana hadi kujengewa nyumba za kifahari japo zumaridi hajafnya vizuri kukaa na watoto wanafunzi kwahiyo aadhibiwe kwa hilo Ila sio human trafficking
Can ZUMARIDI BE AKING OF KINGS IN HEAVEN?JAMANI SHERIA ICHUKUWE HATUA TAFADHARI WATANZANIA TUNAELEKEA WAPI AU PESA IMETUFANYA MASKINI TUMSAHAHU MUNGU WAUKWERI?
Hili sakata limemsadia dada hapa naishi nae alipoteza mtoto toka mwaka jana mwezi wa 3 kaja kupatikana humo alikuwa kafungiwa tena mtoto alikuwa mkubwa miaka 9 walimchukuwa nje akiwa anacheza na wenzie.hakika mungu nimwema .anakabidhiwa mtoto akaambiwa asali saana.
Nendeni Ukrein acheni kumaliza nguvu zenu bure pumbavu mnashindwa kusoma maandiko mnatekwa hovyo na mwanadamu tena mwanamke mwenye kuingia period kila mwezi shenzj
La Ajabu ni wale wanamfuata na hii ni utapeli tu au ibada ya Mashetani. Hongera kwa polisi kumshika. Wako wengi kama hawa wanadai kutumia dini kwa maslahi zao. Tunaomba wote kuchukuliwa hatua.
Wakiona mtu anavaaa vizuri au kanisa zuri basi hapo atabudiwa huyo mwenye kanisa kumuabudu mmungu hata ukiwa chumbani muabudu vaa kiheshma mmungu ni mmoja Mbona waislam hawafanyi mambo kama haya kukufuru ukaona msikiti wa mashoga marekani mara huyu na bee anasema yy kaongea na mungu mara yy kamuona kristo basi watajaaawatu wajinga na bee kichwa wazi minyele bandia mitako nje mekup hiyo ni ujanja tu wa kuingiza pesa haram ole wao
sema sahiv tanzania hakuna rais wala amri kali ya serkal hao wote walitakiwa kutiwa ndani nahuyo mwanamke nasio kuwabembeleza hivi awwn jeshi ya police haiwez washika kwa kuwaonea hilo nikosa la jinai jamani serkal ya samia kuweni wakali katka mambo yote yakijinai sasa hao watoto wadogo jamani nyiye inchi yenu imeshikwa na laana kubwa sana
Jamn hao wat wameshaharibiwa ufahamu ili wamtumikie hyo malikia wa kuzimu anayejita mtumishi wa Mungu, kuna shemj yet nae alishakimbia mji wake anatumikishwa huko, dunia imeisha
Sijawahi pata kuona mtu mpumbavu kama huyu mama leo nasema wazi kuwa huyu mama ni mjinga huu ni ushetani na hata nashangaa kwanini polisi hawakutandika hawa watu wanaojidai kupagawa kwanza natamani ingekua kenya wangekula viboko vizito vizito hawa kwamana wana resist arest...
ujinga upumbavu na kukosa Akili na Maarifa munatakiwa mujitambue nyinyi mumeletwa duniani binadamu pamoja na majini kuja kumuabudu Allah kwani dini ya kweli ikiwa mutafahamu mukiwacha ubishi ni UISLAMU PEKEEE
Wana chukua watoto wakiwa wadogo wanawashulutisha kwenye mambo Yao ili baadae wawe watoaji ushuhuda wengine wajifanye vilema wengine vipofu wengine wajifanye maiti yani ukafiri kazi
Bila shaka viongozi unasubir huyu mdada mpaka achome watu na moto kama kibwetere ndo mshituke . Nmemuona anaita mizimu iwaingie watu na mizimu ilipo waingia watu wakacheza kama Michael Jackson et washirika wakashangilia. Washirika kama hawa wakiambiwa wachomwe moto bila shaka watakubal tu .washirika wa namna hii wanahitaji msaada. kwasababu hawaelewi hata maana ya ukristo
@Christina, Ndio hapo sasa, watu wanakua hawawezi kujaribu kutafuta, kujifunza, na kuyajua mambo ya kiroho wao wenyewe kama wao... Navyoona ni kwasababu watu wamekariri wanachokiamin, na kukariri inaleta hofu ya kukiachia... Sasa watu hawathubutu ku-question kile wanachokiamini., maana ili uweze ku-question jambo lolote, inabidi ukae pembeni kidogo ya hilo jambo ili uweze kuli-observe vizuri, na hapo ndio utapata chance ya kulijua vizuri kwa undani na kwa ukweli, na baada ya hapo ndio utapata uwezo wa kuamua. Kwasabu ukikaa pembeni na ku-observe, unapata chance ya kuiona kweli kwenye jambo fulani na kufanya maamuzi sahihi... Tatizo ni kwamba watu wame-cling kwenye wanachoamini kwa hofu kwamba wasikipoteze na kuangamia...
Mungu wangu! Kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa!
Wanawekwa hapo ndani kujifunza kuigiza kama mapepo ili wakienda kanisani watu waamini kuwa nikweli ana towa mapepo Allah nijalie mwesho mwem yarab
Sahihi
Kbisa
Amin
Wanadamu mshike elimu usimuache tunafundishwa na watumishi tunasoma biblia bado mungu wa kweli hatujamjua hata tumeanza kuabudu sanamu simama hapo ulipo tuache kutangatanga tutaangamia kwa kukosa maarifa mungu simama na afrika Ipone asante serikari sana kwa kuliona hili
Nakushukuru mola wangu mlezi Kwa kuzaliwa katika uislam huku kwetu hatuna manabii wa uwongo wala hata tokea mtu akadanganya umma wa kiislam eti yeye ni mtume au Nabii sababu tuna jitambua YAARABI wape fahamu wenzetu nao wajitambue 🤲🤲
Ata kwetu akuna dada hao atujui wana muabudu nani wanataja jina la Yesu bure lakini kiama ipo maan imeandikwa tusitaje jina la bwana bure
Hata ukristo Hauna mambo haya hata sisi wakristo
Yes mi ni mkatolic lakini hatuna manabii wala mitume so cjui hawa mitume wamesoma bibilia gani?
Huko Kuna uchawi na Faraq na blooji Elimu Dunia majini ni waislamu na mapepo 😈😈😈 Ni waislamu wafuga misukule nimesoma Elimu Dunia ya kiislamu
@@mwigarleysaid5406 akili zako ndo zilipoishia hapa..unajifariji kwa uongo ingali ukweli unaujua...video io imekuimiza moyo kuona dini yenu inavodharilika....haya endlea kujipa moyo ivyo ivyo😂
Kuitazama mpaka Mwisho uone Maajabu ya Mfalme Zumaridi toa maon yako Comment like na Share
Mambo mengine unaweza hisi maagizo kumbe ni kweli,,,watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
SUBHANALLAH!!
Huyu mama zumaradi sio mchungji wakaida atakua aliwatumia km msukulo wake kujipatia utajiri..Dunia iko sawa ila binadamu wamebadilika roho km za wanyama.
Wapendwa tujitahidi kujiombe wenyewe tusitegemee sana kuombewa hizi nyakati za mwisho baadhi ya watu wanajifanya wachungaji kumbe wapotoshaji Mungu atupe maalifa na atuongoze vema
Kweli kabisa!!! I wish watu wengi wangejaribu kufahamu na kuelewa kiundani kuhusu mambo ya kiroho wao wenyewe na sio kutegemea watu
Karibuni katika dini ya haki , dini ya mitume wote, dini ya Uslamu mtaokoka hapa duniani na kesho Akhera.
True
Kabisaaa dini ya haki uisilamu
Alhamdulillah Rabbil Ala meen. Thanx Allah for Islam
Nimekaribia kua muislamu kwakwel
@@immaculatejohn9906 ❤️
Subhanna Allah Mungu atunusuru Yaarabi kukutana na mabalaa kama hayo na vizazi vyetu Yaarabi
Jamani WaTanzania.
Tujitahidi KUSOMA na kujua Dini ya Haki.. Kwakweli Dunia imefikia kubaya😔😔😔
Iyo kweli
Dini ya kweli ni uislam
Dini ya haki ndio ngani? Wewe sema watu wamjua MUNGU Kwa sababu MUNGU sio dini
@@minabuelysee8 mawazo Yako wewe MUNGU sio dini
@@minabuelysee8 mm siwezi kuja kufikia uzombie huo wa kuabudu binadamu alhamdullah nipo huku kwenye dining ya haki🤲🤲😅😅😅
@crazy billionaire then tutakukosa mbinguni itakuwa huruma sana, kile kitu MUNGU hanataka tumwabudu Kwa kweli na tufanye yampendezayo
Mungu asamehe watu wanajifanya kuwa watumishi wa Mungu kumbe la shatwani.haya Yote Mungu atawawulizz
Huyu ni malikia wa kuzimu sio mtumishi wa kweli wa Mungu.
Anajiita Mfalume
Shatani kubwa hili
Ahahahaaaa Tena mfalmenjoz
Kwenye ibada zake anacheza kama anacheza kisengeli 😂😂😂😂😂😂
akijiita mfalme shindwe gasia hii kupotosha watu wa Mungu
Tatizo watu wamekuwa kama makinda ya ndege yanaachama tu Yale, hawataki kusoma neno la Mungu, hayo ndio kinawapata
Polisi punguzeni Ujinga.
Mumemkamata MTU kwa ushahidi harafu mnasema ushahidi ukikamilika.
Pumbavu sana nyie.
Pigeni huyo zamaradi mpaka anyeeee.
Pumbavu mwenyewe wewe umesomea police watu wameyaibua ayo wamesaidia ndg zetu unawafundisha chakufanya ivi kwanini msiwalamu majirani wauyo mjinga sikuzote hawakutoa tarfa kila kosa ni police wangepambana nao wakafa bado mgesema wauwaji muwakome police mkiona hawatendi sawa kawakamateni nyie 😌
Wakikamatwa watu mnadai ushaidi niwauwongo acheni wakamirshe ushaidi wanaotaka wenyewe kama unaona police wajinga mpeleke wewe mahakamani na ukatoeushaidi unaojua wewe kilakosa police undg zenu wakipotea ni police kumbe wengine wapo sehem tu achenikukaaa kilasiku mnawapamakasiriko yenu police mnakeraaaaaa wapeni ata pongezi wakifanya kz vzr
Atawageuza mapepu na wenyewe. Sedan uyo mchungaji
Wapigweeeeeeeee kwa Jina La Yesu Kristo Mfalme. AMEEEEN
Umemusahau.mungu wangu wamuabudu mwanadamu nakuonea huruma
This woman managed to establish a Cult 😄😄
What can I say? I think there is some saying that explains that we need to free our minds from what others tell us on how and why we are in this world but rather start experiencing and learning on our own
Honestly!!! Tumeumbwa kwa msingi mkubwa wa fahamu.. kwanini udumaze fahamu ulobarikiwa kwa kufuata mkumbo na kuskiliza wengine wanasema nini kuhusu maisha, tena yako! Ishi, jifunze, connect with Nature!!! All the answers are there
Shida inaanzia utotoni. Kila kitu unaonyeshwa na kuiga. So ni kufuata mkumbo wa wazazi, marafiki na ndugu wanaokuzunguka na kusifiwa pale unapoendana nao. Ni ngumu kuja kupata ufahamu wa kujiangalia ndani, we ni nani hasa. Na ukifanikiwa kupata huo ufahamu unakuwa tofauti na jamii inayoluzunguka, wao tena ndo wanaanza kukuona umechizika.
@@RuzoOwzy ni kweli kabisa unachosema
Kama jinsi a few of us tumeweza kubreak free nina imani elimu inasaidia na sio hii ya darasani tu, elimu ya maisha asili we need to spread awareness
@@Kristina-fb4jq Yah. Elimu ya darasani inanafasi yake. Ila hiyo elimu ya kujitambua kinafsi, kiroho na kimwili, naona tumeyaachia makanisa na kuamini hakuna namna nyingine.
Tunamuomba Mungu Atuonyeshe haki kua ni haki na kuweza kuifwata.
Na Atuonyeshe uovu kua ni uovu na kuweza kujiepusha.
Ameen.
Ukweli gani mnautaka tofauti na biblia?
@@finiasezra7072 bb ni uwongo mtupu
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Hosea 4:6.
Ndugu wanaangamizwa sio wanaangamia.
Huyu mama anaakili sana hata wakimfunga nina imani watoto wake watasoma vizuri dini zingine nazo kila miaka 10 kunaibuka wanabii wa mpya wa uwongo dahh bado hamjuwi kama ni biashara
Wakiambiwa wabishi mana dini hi kila siku mana bee na kuimba basi wana kua kweli kumbe wanadanganywa na kunufaisha hao wezi tu mtu kujita na bee mana bee ni wa kale sio sasa na leo huyu ajita mungu kweli mtu na akili yako unaamini unarukaruka au ni majini hawa Mbona wako hv
Hivi kila mmoja anasikgizia yesu kila atakae taka kufanya maovu lazima ambiwe ni wa yesu jamani muogope ni mungu mtakufa huo na bee isa bin mariam naona anasingiziwa tu wala yy hayumo kabisa na mashetani watakuja kujibu kwa mungu wanaonjita miungu duniani shenzy
@@unknownafrica5568 Usiongelee dini,ongelea watu fulani,maana hata dini yako kuna watu wananufaika kwa njia tofauti pengine hata kwa mwamvuli wa Muhammad,hivyo keep hold on your iman and let others believe what they believe,after all hizi dini za wakolini zisitugombanishe kikubwa upendo.
@@vincentcharles4385 ulifikiri kunijibu muhamad ndio umejibu isa min mariam ni na bee wa mmungu kama mana bee wote na nkiongelea hicho ujue nimemanisha huyo anavyo muharibia masih kua yy ana hubiri vitendo vya na be na kahubiri hv kufika kuimba kuvaa suti wapi hiyo isa ni mtume wa mungu aliteremshwa kwa wana esrael walipo kufuru na isa alimuabudu mungu na kusujudu na sio dini ya wakoloni kama unavyo fikiri dini ni ya mwenyezi mungu alie umba ardhi na Mbinga isio na nguzo isa na muhamad (saw) ni kitu kimoja ila makafiri wakatoa isa ibada isio takiwa wakati yy hakufanya hivyo wamechukua kutoka kwa wazungu kuimba na wanawake kupiga kelele barabarani kibiashar isa hajaimba alisujudu na kutawadha na kufumika kichwa mzungu hana nabee na shanga mnatenganisha mitume wa mmungu katokea dini hi na mitume wote ni wametokea huko kwa muhamd saw) dini ni ya mmungu mkoloni anadini yake ya kibiashara fuatilia utagundua yote kama hao wanawake mana bee au kila kukicha mana bee wa uongo wapumbavu ndio wanawamini
@@unknownafrica5568 Kumtaja Muhammad sio kwa nia mbaya,point ni kwamba ume generalize dini na sio mtu aliyefanya kitu fulani,hivyo siwezi kuukosoa uislam kwakuwa kikundi fulani kinatumia mwavuli wa kiislam kuteka watu,kuuwa watu kwa kuwa uislamu haupo hivyo,lakini pia suala la dini ni imani ya mtu,hakuna aliyeenda kwa Mungu akarudi na kutoa ushuhuda wawote,hivyo imani yako na matendo ndo kitu muhim.
Mjue sana Mungu upate kuwa na amani
Sasa watu wavivu kumtafuta Mungu wanawatafuta wanadamu matoleo yake ni kuburuzwa,,,, huyu mama anaroho ya Yezebeli kwa mnaojua neno mtanielewa vizuri maana ya Yezebeli ni mzinzi mharibifu mchawi mpenda madaraka mharibu kanisa
Kwa hiyo Kumjua Mungu inahitaji kujitoa haswaa soma biblia usisubiri kusimuliwa, omba, mkristo kamili anatakiwa awe mwombaji sio kila kitu uombewe, funga kama ikiwezekana, Wakristo tuache kuwekeza imani zetu kwa watu bali imani zetu Tuziweke kwa Bwana.
Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana
Amina ubarikiwe sanaaaa
Uko sahihi yizaber wapili
Dada nmekuelewa Sana pitia peps kwa mangi nakuja kulipa, wakristu tuache uvivu tusome biblia tulijue neno tuspende miujiza ya wanadam
@@mwlramah amen barikiwa pia sana
@@saidmkumbi8622 yaani inasikitisha sana kuona watu kuangamia
Mungu atupe masikio na macho ya rohoni tujue kuchuja mema na mabaya
Subhana Allah
Sema alhamdulilah kwakuwa ww ni muislamu
WAKRISTO WASHILIKINA SANA TENA SANA kwanza UWA WANAJISAJIL
NA FREEMASO hili maubil Yao
Yawe na mvuto
Akili zako
Zinakutosha
Mwenyewe
Hakutakiwa kuchangia
Ungekaa na utopolo wako
Kichwan mwako tu
Umeandika utumbo ,, acha udini shehe akikosea haimaanishi uislam haufai pumbu ww
Mbona vioja 😂😂😂, ahsante Mungu kwa kunifanya kuwa muislam.
Safari bado inaendelea kwa kweli kufika nchi ya ahadi ni kazi.
innalillah wainnalillah rajion
HUYO ZUMARID NI MALAYA NA HAO WATOTO ANAWAFUNDISHA USENGE NA UMALAYA SERIKALI LAZIMA IMCHUNGUZE NANI MDHAMINI WAKE NA PESA ANAPATA VP AU ANATOWA WAPI. MALAYA MKUBWA HUYO YEYE NA ANAEMTUMA.
Jamani watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa watu wamekuwa kama zombie huyo mama kwa kweli hastahili hata kuwa mchungaji huyo ni zaidi ya pepo anazozitoa
Sema tu polis ilibidi wasambaze fimbo na uzombi wao ungeisha
Mwisho wa aibu ni fedheha, mwenye macho aambiwi ona ✍️
Huyu Mama Wanamuonea wivu kwa mafanikio yake makubwa. amesaidia watanzania wengi ndio maana wanampenda na kumfuata sana. mungu wake atampigania. mambo ya aina hii ndiyo inafanya Afrika ishikilie mkia kwenye maendeleo. achecni huyu mama hajamdhuru yeyote
Sio Mchungaji bwana huyo ni mfalme na haamini Mungu wala yesu maana yeye mwenyewe anajiita Mungu
Majanga haya. Mungu aturehem. Amen.
Uyo mama jamn sio mtu mzuri watoto wawenzio ukawafanye ivo alafu anajiita mfalme subuhana allah
Jifunze quran kwa hukmu gusa picha yang hapo kama hautojl
Na hiyo mapepo mbona wamevaa sare kama walipangwa? Jaman Mungu atusaidie
Ndio Maana Hata Habari Za Kusali Sishobokei Naamini Katika #Mungu Na Si Vinginevyo
Tafadhqlini rudini kwa dini za mitume ambayo Mwenyezi Mungu Amechagulia wanadamu wote.
Ningekuwa ni polisi ningewachapa bakora hawa vijana wanaojifanya wehu
Ndo dawa yao😀😀😀😀😀😀😀😂Kichapo cha kwenda
Kabisaaaa yaniiii akili zingewakaa sawa ningetandikaaaaa
Yaani mimi nimepata dhambi🔫🔫🔫
Kabisa ndiye yezebeli muuaji wa manabii wa Mungu,,tuweni macho wakristo kwani watu Hawa Ni jasiri Sana kuongea uongo kwao Sio Shira,,tuutazame wokovu wa kweli ulio katika Kristo Yesu
Innalillah wainnailayh rajiu'un.
Mnakosea sana kumwita MCHUNGAJI ile hali hata yeye hajiiti mchungaji kwanin mmwite mchungaji
Huyuu mtuu basi si wakawaida ananguvuu za gizaa ndio anazotumia kuteka watuu hongera MFARME ZUMARIDI umeniloa utajiri kwa kuzurumu watuu maana hiyo nyumba ya lbada ni nguvu za watuu wainda chomwaa wewe dada acha utapeli sio nzuri
T
Polisi wenyewe mnasema huyo ni mfalme zumaridi Kwa hiyo alikuwa kwenye kasili lake na watu wake
MUNGU WA DUNIA,NABINADAHAMU,WANAMFATA KWERI?JAMANI WATANZANIA TWENDENI TUKAMUOGOPE MUNGU,WITH GOD NOTHING IS IMPOSSIBLE,UMASKINI USITUFANYE KUMCHUKIZA MUNGU WAMBINGUNI,
Ukweli ulivyo Shetani amepofusha ufahamu wa watu hapa duniani,ikiwa watu wanawatukuza watu badala ya Mungu ,ushaur ni vyema Zumaridi na wengine wanaojiita watumishi wa Mungu serikali ifunge huduma hizo.
Mwenyezi mungu tusaidie😭😭😭
Ukweli upo wazi,kunadini mtu akijiita Mungu viongozi wakubwa waiyo dini awanauwezo wakumuoji,uo uungu umeupataje,wanamuacha afanye anavyotaka.mfano Kenya Kuna Mungu wanyonyi na watu wanamuabudu
@@mohamedidangeni346 she came, she saw then she conquer. 😂
Bora nabii Tito huyu shetani kamili bila chenga
Uyo ni tapeli na mpumbavu anawaibia watu wasiomjua Allah. Inakuaje mwanamme mzima anakudanganya mwanamke km uyu anakata viuno mtandaoni uwezi ona anaitaji watu wakumshugulikia uyo
Kwa wakiristo nikawaida tu kwao Binaadamu mwenzao kumwita Mungu, hakuna cha ajabu hapa,,
Hahahahahaaa!!!Daaah!!!mbona Zumaridi mwenyewe anaonekana mtamu mnooo!!!
Mungu ni mwema
Tatizo nikwamba ni nani anaekuwekea Mikononi Kichwani ili kukuombea? Mwanadamu ana Akili sana.. NINA AMURU AKILI YAKO INAYOSHIKILIWA KICHAWI IACHILIWE KWA JINA LA YESU
Daaaah sijui hata nacheka nini haki,kama misukule vile🤣🤣🤣🤣🤣
Hii movie Kali sana aseee, ina episode ngapi??
Ina lilahi waina ilaihi rajiun
Tufike mda tumuogope mungu Jamani
Kwenda mbinguni ni kazi kweli kweli
Watu wengu wanapotea kwasababu wanapenda kudanganywa ,,Huu ni Upotoshaji wa nafsi za waty na hizi ibada za Kishetani
MIMI NIKIWA RAIS NINGEFUTA DINI ZOTE NIKAACHA MOJA TU
Mwisho wa siku unakuta ni mganga tu huyu na mbaya unakuta nyuma ya pazia anauza viungo vya watu
Naiona neema kubwa ya mimi kua muislamu. Namshukuru Allah kw kuniongoza kwenye njia sahihi
Daah MUNGU atusaidie hawabinaadamu utasema si wezetu tunaoishi nao Kama maigizo kumbe kwelii,,,Eeh Mwenyezi MUNGU tusaidie tusiangamizwe kwakukosa maarifa
Huyu Yezebeli achukuliwe sheria na Mungu atamlipa kwa-kadili ya matendo yake
Kesi hii ya mchongo tu kwan aliwalazimisha wamtumikie hapa Kuna wivu wakichungaji kuona huyu zumaridi anaushawishi Sana hadi kujengewa nyumba za kifahari japo zumaridi hajafnya vizuri kukaa na watoto wanafunzi kwahiyo aadhibiwe kwa hilo Ila sio human trafficking
Can ZUMARIDI BE AKING OF KINGS IN HEAVEN?JAMANI SHERIA ICHUKUWE HATUA TAFADHARI WATANZANIA TUNAELEKEA WAPI AU PESA IMETUFANYA MASKINI TUMSAHAHU MUNGU WAUKWERI?
😅😅😅😅😅uwiii nakufa eti mazombi jmn 😅😅😅 kumbe wakiombewa tena wanakanyagwa 😅🤲 jmn mwanza wasukuma vp lkn mbona ivo eeh nsije nkawa zombie na mm bure 🚶♀️🏃♀️😅
Alikuwa anajiita mungu enzi hzo , sasa hiv malkia ....mm nikishika nchi nadhani atakuwa madam nyapara tu..
Huyu ni mfalme wa giza kwa kweli mungu atusaidie
Wapumbavu sana hawa wafuasi.Nchi haiwezikuvumilia upumbavu huu.Serikali wamfunge jela mwaka mmoja atashika adabu.Huko so kuabudu ni ushirikina mtupu
Hili sakata limemsadia dada hapa naishi nae alipoteza mtoto toka mwaka jana mwezi wa 3 kaja kupatikana humo alikuwa kafungiwa tena mtoto alikuwa mkubwa miaka 9 walimchukuwa nje akiwa anacheza na wenzie.hakika mungu nimwema .anakabidhiwa mtoto akaambiwa asali saana.
Nendeni Ukrein acheni kumaliza nguvu zenu bure pumbavu mnashindwa kusoma maandiko mnatekwa hovyo na mwanadamu tena mwanamke mwenye kuingia period kila mwezi shenzj
Uyo MCHUNGAJI atakua anajambo sio bule inabidi ahojiwe.
Misukule hiyo jamani mmh Kwa Mungu kila goti litapigwa Ohoo Lord have mercy of us 🙏
La Ajabu ni wale wanamfuata na hii ni utapeli tu au ibada ya Mashetani.
Hongera kwa polisi kumshika.
Wako wengi kama hawa wanadai kutumia dini kwa maslahi zao.
Tunaomba wote kuchukuliwa hatua.
Wakiona mtu anavaaa vizuri au kanisa zuri basi hapo atabudiwa huyo mwenye kanisa kumuabudu mmungu hata ukiwa chumbani muabudu vaa kiheshma mmungu ni mmoja Mbona waislam hawafanyi mambo kama haya kukufuru ukaona msikiti wa mashoga marekani mara huyu na bee anasema yy kaongea na mungu mara yy kamuona kristo basi watajaaawatu wajinga na bee kichwa wazi minyele bandia mitako nje mekup hiyo ni ujanja tu wa kuingiza pesa haram ole wao
sema sahiv tanzania hakuna rais wala amri kali ya serkal hao wote walitakiwa kutiwa ndani nahuyo mwanamke nasio kuwabembeleza hivi awwn jeshi ya police haiwez washika kwa kuwaonea hilo nikosa la jinai jamani serkal ya samia kuweni wakali katka mambo yote yakijinai sasa hao watoto wadogo jamani nyiye inchi yenu imeshikwa na laana kubwa sana
Jamn hao wat wameshaharibiwa ufahamu ili wamtumikie hyo malikia wa kuzimu anayejita mtumishi wa Mungu, kuna shemj yet nae alishakimbia mji wake anatumikishwa huko, dunia imeisha
Tunahitajiwa kunyenyekea na kujisalimisha kwa Mola wetu Muumba wa mbingu na ardhi
Wakristo wengi wanadanganywa wanakubali Quran aijawai kuchezewa
Sijawahi pata kuona mtu mpumbavu kama huyu mama leo nasema wazi kuwa huyu mama ni mjinga huu ni ushetani na hata nashangaa kwanini polisi hawakutandika hawa watu wanaojidai kupagawa kwanza natamani ingekua kenya wangekula viboko vizito vizito hawa kwamana wana resist arest...
Mungu wangu, is two Mitch, siku hizi kila koma maksnisa, mtu akijisikia kufungua ksnisa anafungua mungu tusaidie,
ujinga upumbavu na kukosa Akili na Maarifa munatakiwa mujitambue nyinyi mumeletwa duniani binadamu pamoja na majini kuja kumuabudu Allah kwani dini ya kweli ikiwa mutafahamu mukiwacha ubishi ni UISLAMU PEKEEE
Eeeh jamani this is crazy. Wabongo wamekua wehu ama nini hiki?
Wana chukua watoto wakiwa wadogo wanawashulutisha kwenye mambo Yao ili baadae wawe watoaji ushuhuda wengine wajifanye vilema wengine vipofu wengine wajifanye maiti yani ukafiri kazi
Hayo siyo mapepo mtangazaji, hawa ni watu waliojiondoa ufahamu, hapo ukimzaba mmoja kofi la maana, wote watatembea vizuri.
At jina la Yesu silisikii😂😂😂😂😂😂 huyu Mama ni mbwa Tena auwawe haraka sana pumbavu kabisa nyoko huyu
Sawa kusoma hamjui basi ata picha hamuoni??? Nashkuru mungu sana nimekua mwenye bahati kuzaliwa muislam
Acha zako unamaanisha uko uchafu hakuna? Bora ayo uliyoona fungua akili yako mzee acha udini ata uko kuna wachawi wakubwa wana mandondocha ndan balaa🤫
Daah aisee nmecheka sana.
Kumbe Kuna wapumbav wengi sana
Mashaka haya sjui ibada gan
Huyo mwanamke. Sio mtu mzuri. Ni mbaya sn sn. Kwanini achukuwe watto wa Mika 4?polic muwe macho na hili
Ukimtegemea sana mungu na kimwamini Wala hizi laana hazikuafuti maana mungu anakulinda na ushetani kama huo
Wacha nibaki Catholic ....mfalme mwenyewe anasemaje 🙄🙄🙄😂 Waaah 🙌
Kabisa
Kweli haya madhehebu mapya ni hatari
Aiseeeee naona Afande Oc kavutwa na kunyanganywa radio call
Frimason mungu akushindeni na akushindilieni
Dili hizi zililetwa tu..Pole sana Tanzania pole kitovu changu..
Ctaki kutetea upande wowote, ila Nataka niulize swali wanajamii
vipi Huyu mama angelikuwa mzungu ndo anafanya haya,,ingekuwajeee?
Bila shaka viongozi unasubir huyu mdada mpaka achome watu na moto kama kibwetere ndo mshituke . Nmemuona anaita mizimu iwaingie watu na mizimu ilipo waingia watu wakacheza kama Michael Jackson et washirika wakashangilia. Washirika kama hawa wakiambiwa wachomwe moto bila shaka watakubal tu .washirika wa namna hii wanahitaji msaada. kwasababu hawaelewi hata maana ya ukristo
,😂😂😂😂😂😂 ngoja nicheke kama mazuri maana nivichekesho tuu eeeh mungu wanusuru Hawa watu hawajui walitendalo
Kazi nzuri ,bongo zombies live na sio fake .
Mlikua muwapige mikwaju tu.
Ukosefu wa kazi kwa vijana, kungekua na kazi hawa vijana wangekua kwenye shughuli za ujenzi wa Taifa, wazazi muwaongoze watoto kwenye njia sahibi
@Christina, Ndio hapo sasa, watu wanakua hawawezi kujaribu kutafuta, kujifunza, na kuyajua mambo ya kiroho wao wenyewe kama wao... Navyoona ni kwasababu watu wamekariri wanachokiamin, na kukariri inaleta hofu ya kukiachia... Sasa watu hawathubutu ku-question kile wanachokiamini., maana ili uweze ku-question jambo lolote, inabidi ukae pembeni kidogo ya hilo jambo ili uweze kuli-observe vizuri, na hapo ndio utapata chance ya kulijua vizuri kwa undani na kwa ukweli, na baada ya hapo ndio utapata uwezo wa kuamua. Kwasabu ukikaa pembeni na ku-observe, unapata chance ya kuiona kweli kwenye jambo fulani na kufanya maamuzi sahihi... Tatizo ni kwamba watu wame-cling kwenye wanachoamini kwa hofu kwamba wasikipoteze na kuangamia...
Jaman duniani kunamambo ya ajabu sana kwann amefanya hivoo kwa binadamu wenzie kuwafanya kama mizukaaa😔😔😔
Baade yakiwatoka wakiangalia hii video hawakuja kuamin km ni wao maskin inatia huruma sana binadamu mwenzio kumfanya zombi
Waombewe akili zao zirudi kwa jina la Yesu Kristo
Waombewe nini wana akili hao wanajidai tu uvivu wa kufanya kazi na kutaka vya bwerere
@@ummukulthumsaid6158 usinichekeshe Mimi, as asante
Tatizo hapo wanafanya hayo yote kwa jina hilo hilo la Yesu na wanaamini wako sahihi,ni utafute jina lingine
@@adammj6258 wanamsingizia isa bin mariam kwa mambo ya ushetani
@@unknownafrica5568 huo ni ubaya na utawarudia siku ya qiyama
Kitu gani hiki jamani???
Mapepo na mizimu yalipuka kwa huyu mungu feki, miungu feki hua zinaambatana na mapepo.. Ni Yesu pekee yake anaweza kuokoa roho zao yangu na yakoo..