MIKOPO KWA DEGREE: VIGEZO MUHIMU VYA KUZINGATIA KATIKA UOMBAJI WA MIKOPO YA HESLB 2024/25

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @hopehope6451
    @hopehope6451 3 หลายเดือนก่อน

    Sorry naomba kuulza cheti chang Cha kuzaliwa kimekosea heruf moja ya jina la baba lkn cha kifo cha kipo kipo sawa na chet cha 4m4 je?,kuna ulazma wa kubadilisha chet cha kuzaliwa!???

    • @Teacher_sharak
      @Teacher_sharak  3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna ulazima. Muhimu kiverify kwnz cheti chako kikikubal bas kitumie bila shida yyt

    • @DeonatusMaila
      @DeonatusMaila หลายเดือนก่อน +1

      Mh ko asipopata inakuaje?

  • @SharubuAthanas
    @SharubuAthanas 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa continuous inakuwaje wenyew kweny kuaply

    • @Teacher_sharak
      @Teacher_sharak  3 หลายเดือนก่อน

      Unaapply tu kama kawaida... Kwa kufuata taratb zote

    • @SharubuAthanas
      @SharubuAthanas 3 หลายเดือนก่อน

      Asanteee sana kwaio nassi tunaweza kuaply saiz au kuna dilisha lingne watafungua kwaajir ya continuous

    • @Teacher_sharak
      @Teacher_sharak  3 หลายเดือนก่อน

      Unaaply dirisha hilihili

    • @PrinceJerryson-un7oj
      @PrinceJerryson-un7oj หลายเดือนก่อน

      Naomba unisaidie namba zako nna shida na ufafanuzi🙏

    • @Teacher_sharak
      @Teacher_sharak  หลายเดือนก่อน

      Karibu 0686 962590