MAMBO YA 6 YAKUZIGATIA KUOMBA MIKOPO ELIMU YA JUU 2023-2024HESBL MIKIPO ELIMU YA JUU 2023/24

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 25

  • @andrewpeter5244
    @andrewpeter5244 ปีที่แล้ว

    Je waliokwenda koz ya mujibu wa sheria mtawasaidiaje kuweza kufanikisha jambo hili maana baadhi ya maeneo hawana huduma hiyo

  • @FlorahLeo
    @FlorahLeo ปีที่แล้ว

    Samahani,ukiwa mnufaika wa tasaf unaambatanisha nn

  • @isaacnaton
    @isaacnaton ปีที่แล้ว

    Teacher mbna mfumo wa uombaji mkopo hazifanyikazi

  • @ansbertseverinemagomba2965
    @ansbertseverinemagomba2965 ปีที่แล้ว

    teacher wa kufanya marakebisho kwenye taarifa zilizojazwa?

  • @peterenock142
    @peterenock142 ปีที่แล้ว

    Uki Apload fomu mbili zile zilizosainiwa naona kama rangi hazibadiliki kama hatua za mwanzon zile
    Je inakuwa imekamilika au kuna hatua zingine zinafuata

    • @teacherd
      @teacherd  ปีที่แล้ว

      Inakuruhusu kwenda Hatua nyingine?

    • @peterenock142
      @peterenock142 ปีที่แล้ว

      @@teacherd Hapana hainiruhusu ila baada ya ku apload na ku submit rabgi haijabadilika kuwa kijani

  • @humphreygabriel7379
    @humphreygabriel7379 ปีที่แล้ว

    Tunaweza apply mkopo bila ya matokeo?.

    • @teacherd
      @teacherd  ปีที่แล้ว

      Matokeo yashatoka..

    • @humphreygabriel7379
      @humphreygabriel7379 ปีที่แล้ว

      @@teacherd hmn kwa wale wanaotokea diploma matokeo bado kwenda degree

  • @godfreysanga3548
    @godfreysanga3548 ปีที่แล้ว

    Samahan naomba niulize vyuo vya kati kupata mkopo nie kwa kozi zipi serikali imewaacha watu njia panda

    • @teacherd
      @teacherd  ปีที่แล้ว

      We omba kozi yoyote mradi unavigezo vyote

    • @yohanamakali4743
      @yohanamakali4743 ปีที่แล้ว

      Jamn passport size zinakataa kuupload msaada

  • @FrolaMathayo
    @FrolaMathayo ปีที่แล้ว

    teacher kufanya marekebisho kwenye taarifa nilizojaza nafanyaje

    • @teacherd
      @teacherd  ปีที่แล้ว

      Jaribu kufanya mawasalinao na HUDUMA kwa wateja

  • @director_staddi7160
    @director_staddi7160 ปีที่แล้ว

    mi nimepata changamoto kwenye mfumo nishaweka account na kulipia tayari hila nikijalibu kuingia (Log in) inakatakaa inaandika no active account nikijalibu ku create wasema account ipo kwenye mfumo. yaani nimechemk. nikiwapigia kila mmoja ana comment yake.

    • @teacherd
      @teacherd  ปีที่แล้ว

      Hakuna option ya forget password.. Niko njee ya mfumo.. kwaiyo nashindwa kujua namna ya kukusaidia.. maana Kila mwaka mambo yanabadilika

  • @ReginaldSulle
    @ReginaldSulle ปีที่แล้ว

    Wanaopiga diploma wanpata mkopo. Kak vyuo vya kati

    • @teacherd
      @teacherd  ปีที่แล้ว

      Raisi aliekeza ivyo ngoja tusubiri

  • @BahatiSeda
    @BahatiSeda ปีที่แล้ว

    Mimi kwa sasa NIDA sina na tayari mfumo umefunguliwa wa uombaji wa mkopo ambao ni ndani ya siku 90 lakini namba yangu ya simu ninayoitumia nilisajili kwa NIDA ya kaka yangu naomba unifafanulie hapo naweza kuruhusiwa kutumia hiyo namba au laah...???

    • @teacherd
      @teacherd  ปีที่แล้ว

      Jaribu kufanya utaratibu Wa kupata namba ya NIDA mbona process ni nyepesi sikuiz? MAKOSA madogo mdogo yanweza kufanya ukose mkopo.. jaribu kufatilia namba ya NIDA kwanza ukikosa basi tumia iyo iyo..

    • @AshrafMohamedi
      @AshrafMohamedi ปีที่แล้ว

      Nitajiungaje jamani msaaada

  • @martinemaganga5253
    @martinemaganga5253 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza , je kama shule nimetumia majina mawili halafu bank na nida nimesajili majina matatu hali inakuwaje?

    • @teacherd
      @teacherd  ปีที่แล้ว

      Zingatia MAJINA hayo mawili ya mwanzo yasikosewe..

    • @martinemaganga5253
      @martinemaganga5253 ปีที่แล้ว

      @@teacherd shukrani sana kiongozi wangu asante