Bofya hii link ya blue ili kudownload mwongozo wa kuomba mkopo 👉🏻ENGLISH BOFYA www.heslb.go.tz/?lang=english 👉🏻 KWA KISWAHILI BOFYA www.moe.go.tz/sw/nyaraka/mwongozo-wa-utoaji-mikopo-ya-elimu-kwa-wanafunzi-wa-shahada-ya-awali-20242025
Kama ni mikopo kwann kuwe na madaraja?Lakini kiuhalisia mnachokieleza siyo kabisaaa.kuwa watoto wapo kwenye madaraja mnayoeleza wanastahili kupata asilimia kubwa...lakini hawapewi.Mungu anawaona..
Bofya hii link ya blue ili kudownload mwongozo wa kuomba mkopo
👉🏻ENGLISH BOFYA www.heslb.go.tz/?lang=english
👉🏻 KWA KISWAHILI BOFYA www.moe.go.tz/sw/nyaraka/mwongozo-wa-utoaji-mikopo-ya-elimu-kwa-wanafunzi-wa-shahada-ya-awali-20242025
Mwongozo kutoka board ya mikopo 2024 2o25
JE NURSING AND MIDWIFE KWA DIPLOMA KUPATA MKOPO IPO KWENYE KUNDI GANI LA KIPAUMBELE?
Samahani mbona kozi za health and allied sciences haziko zote?
Kuna tofauti yeyote kati ya transport and supply na procurement and supply?
procurement inaenda mbali zaidi kwenye ununuzi na ugavi wa goods za kiofisi/kampuni husika...
Samahani mbona kozi za health and allied sciences haziko zote
Mbn kozi za arts hujaweka??
Jamn accontacy ipo kweli
Pharmaceutical science haina mkopo?
Kama ni mikopo kwann kuwe na madaraja?Lakini kiuhalisia mnachokieleza siyo kabisaaa.kuwa watoto wapo kwenye madaraja mnayoeleza wanastahili kupata asilimia kubwa...lakini hawapewi.Mungu anawaona..
Vp kuhusu vigezo ngaz ya diploma
bro vp kuhusu mambo ya Uwasibu akuna mkopo