Kila nikiwa Dar kukosa misa kwenye huu usharika huwa nakosa raha. Mchungaji Mastahi ndivyo nasikiaga jina likitamkwa ni baba mzuri wa kiroho. Huu wimbo ni mzuri huwa nabarikiwa nao sana. Msimu wa christmas hii ulikua mtamu sana. huku krismasi ikilishwa neno na mch Katto wa Uganda. Njooni tumsifuni Mungu(heshima kwa choir master anayeongozaga hii nyimbo) hata ukiwa nyumbani ukiisikia kwa mbali inakuita
Barikiwa sana baba Mchungaji Mastahi pamoja na usharika wa kimara,hakika nimebarikiwa
Tunaomba na ibada ya mkesha mwaka mpya,2020
Kila nikiwa Dar kukosa misa kwenye huu usharika huwa nakosa raha. Mchungaji Mastahi ndivyo nasikiaga jina likitamkwa ni baba mzuri wa kiroho. Huu wimbo ni mzuri huwa nabarikiwa nao sana. Msimu wa christmas hii ulikua mtamu sana. huku krismasi ikilishwa neno na mch Katto wa Uganda. Njooni tumsifuni Mungu(heshima kwa choir master anayeongozaga hii nyimbo) hata ukiwa nyumbani ukiisikia kwa mbali inakuita
Najivunia kwakweli
More than 5 yrs kabla ya ukarabati mpk kunekua hiv
I miss Mastai
God is good all the time and is its nature
Naipenda kwaya yangu jaman
Kam namwon mastai akiwa madhabauni na Mike akiwasikiliza wakiboronga tuu 🤣🤣 nakupnd bba
Asante baba mastahi unamafundisho mazuri sana
Ameen
njoo tumsifu MUNGU anayetawala
It is awesome, nimebarikiwa kwakweli
Baba baba barikiwa Sana naupndag San huu wimbo
Kumsifu Mungu ni jambo kubwa sana mioyoni mwetu,Mbarkiwe sana.
Amen
hakika mastah ni mchungaji wa mfano
Idrisidy Mdangaya kwakweli
Amen
Karibuni saaana kimara
Safi sana
Hii ndio kimara
Masai Mung azide kumeinua
Beatha Mariwa ameni
Ni mastai
Sio masai ni Mastai
nitumie nyimbo za kwaya kuu kkkt kimara nazipenda
Barikiwa sana baba Mchungaji Mastahi pamoja na usharika wa kimara,hakika nimebarikiwa
Amen
Amen