ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Temeke SDA Choir - Usiku mtulivu (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2023
  • Usiku ulikuwa wa huzuni sana, dunia ilipokuwa kimya sana, nyota na mwezi hata vikashindwa kutoa wanga, Mwokozi wa Ulimwengu akipitia machungu kwa ajili yangu, Akapigwa, akatemewa mate, kachomwa mkuki ubavuni. Nitamjua kwa alama za misumari siku hiyo.

ความคิดเห็น • 103

  • @josephmunene4010
    @josephmunene4010 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa unyenyekevu mkuu naomba nota za huu wimbo mtamuuu.

    • @Temekesdachoirtanzania
      @Temekesdachoirtanzania  6 หลายเดือนก่อน

      Sawasawa nitakupatia. Utanitumia namba yako ya whatsup tywasiliane

  • @DavidAminieli
    @DavidAminieli 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nabarikiwa sanaaa MUNGU azidi kuwaongoza katika nyimbo zenu

  • @user-yz4kb8cq6f
    @user-yz4kb8cq6f 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ❤

  • @isaacnicolao5684
    @isaacnicolao5684 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ni baraka sana kuwasikiliza ndugu zangu. Wimbo una nguvu sana. Bwana awabariki sana

  • @user-tc5ge4sf4e
    @user-tc5ge4sf4e 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu Mdemu na mwl Odhiambo mbarikiwee

  • @user-ts8nw6qc5c
    @user-ts8nw6qc5c 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amina sana MUNGU AWABARIKI na kwaya nyingine ziige mfano huu wa uimbaji unabariki sana

  • @dreamsuccess7187
    @dreamsuccess7187 ปีที่แล้ว +6

    Naitwa Makoba Charles kutoka Newstart Life Limited bagamoyo Pwani. Kila wakati nimekuwa nikisema kwaya Tanzania zingebakia nne tu, Temeke, na Kurasini kwa Dar, na Kanda ya ziwa kamunyonge na Kirumba. Huu ndiyo uimbaji mtakatifu kwa wazee waheshima kuimba sauti za maana na ubunifu wa hali ya juu. Nawakubali sana na wadada na wamama wa aina yake na sauti zao.wimbo mtamu sana

    • @Temekesdachoirtanzania
      @Temekesdachoirtanzania  ปีที่แล้ว

      Asante sana. Utukufu ni kwa Mungu wetu wa mbinguni

    • @mako331
      @mako331 ปีที่แล้ว

      Nawapenda temeke sana, ila kwa hiyo list hayo ni maoni yako, zipo kwaya nyingi tu nzuri Tanzania temeke ni mojawapo utukufu kwa Mungu

    • @Temekesdachoirtanzania
      @Temekesdachoirtanzania  ปีที่แล้ว

      Asante sana Ndg Makoba, Tunanyenyekezwa sana na maneno na ushauri wako zaidi tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uwezo na nguvu kutenda hiki tulichofanya. Endelea kubarikiwa

    • @GladnessIsaya
      @GladnessIsaya 9 หลายเดือนก่อน

      Uimbaji flani hivi amazing mpaka mtu unajihisi upo angani,yaani ni kama mashahidi SDA na magomeni na kirumba uuuuwiiiii nabarikiwa mimi hadi najiogopa ❤❤❤❤❤

  • @kimilasayi2626
    @kimilasayi2626 6 หลายเดือนก่อน +2

    Amen kwaya ya temeke SDA Mungu azidi kuwabariki sana

  • @FranklineOgot
    @FranklineOgot หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉

  • @user-tc5ge4sf4e
    @user-tc5ge4sf4e 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda buree na nimewamic jaman

  • @boniphacekessy3699
    @boniphacekessy3699 5 หลายเดือนก่อน +2

    A very strong and spiritual amazing song, congratulations to all, God blessing you.

  • @JeanPierreKashala
    @JeanPierreKashala ปีที่แล้ว

    Jhon Congo mubariwe kabisa watoto wa Mungu

  • @eliasmhuli3774
    @eliasmhuli3774 ปีที่แล้ว +1

    Great song.nawapenda

  • @josephmunene4010
    @josephmunene4010 7 หลายเดือนก่อน +2

    What a beautiful piece! Munene Joseph from Nairobi feels blessed by the beautiful choral arrangement. Hongereni sana.

  • @dr.alexmagufwa9131
    @dr.alexmagufwa9131 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo mzuri sana, hakika NITAMJUA BWANA WANGU!., Hongereni sana kwa utunzi mzuri wa viwango vya juu.

  • @Mtangazaji
    @Mtangazaji ปีที่แล้ว +1

    Hii ndio kwaya ya Temeke ninayoijua mimi toka enzi na enzi,Mmeimba vizuri sana

  • @newkingsbiblos
    @newkingsbiblos ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe kwa wimbo mzuri
    Sauti zimetulia vizuri sana

  • @greggjames2166
    @greggjames2166 11 หลายเดือนก่อน +2

    What a blessing to have such men and women with unmatched talents. Thank you for blessing me with heavenly music.

  • @millcentjerry9059
    @millcentjerry9059 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @rukororomkama553
    @rukororomkama553 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sio uimbaji tu, ad mwonekano, uimbaji usio wa biashar ila Mungu atukuzwe

  • @kennethchambilo
    @kennethchambilo ปีที่แล้ว +1

    Temeke Mnafanya wimbaji Mzuri Sana kucheza maxabahuni siviziri Mm ni .kkkt

  • @sirinaelyohana7950
    @sirinaelyohana7950 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuwa na hamu ya kupata rekodi za Temeke Kwa muda mrefu sana. Hakika nimefarijika. Utukufu una Mungu hakika mnanibariki. Mbarikiwe pia

  • @user-yi8py4mg7y
    @user-yi8py4mg7y ปีที่แล้ว

    mzuri sana

  • @kennedymwilamwesa3839
    @kennedymwilamwesa3839 หลายเดือนก่อน +1

    Blessings brethren. I am from Zambia, l am asking for Lyrics and if possible notations to the song. Your music is so uplifting. May God Protect all of you. More grace to the directors !!

  • @patrickchicco3270
    @patrickchicco3270 ปีที่แล้ว +2

    Haleluya,mbarikiwe sana watu wa Mungu

  • @nadiamkimbizi6153
    @nadiamkimbizi6153 ปีที่แล้ว +1

    Amina🙏

  • @poolkingservices6928
    @poolkingservices6928 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sana SDA Temeke. Nimewapenda.

  • @abelchamriho6846
    @abelchamriho6846 ปีที่แล้ว

    Waooh mbarikiwe🙏 sana wimbo mzuri sana . Niliusikia wimbo huu ukiimbwa ki Ghana na kwaya ya kisabato ya huko kilugha Chao. Mmeutafasiri vizuri sana
    Hongereni kwa uimbaji mzuri

  • @eliaminimgonja180
    @eliaminimgonja180 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mbarikiwe sana Temeke SDA

  • @jeremiahsarungi4244
    @jeremiahsarungi4244 ปีที่แล้ว +2

    Amen🙏🙏🙏

  • @joshuamanyerere3858
    @joshuamanyerere3858 ปีที่แล้ว +1

    Aah kimya kingi kishindo mkuu Bwana ametukuzwa

  • @godwillchesiromasai9155
    @godwillchesiromasai9155 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @phoebeoyugi1023
    @phoebeoyugi1023 ปีที่แล้ว +1

    Eiiihhh! Hallelujah 🔥!

  • @samwelmwazini
    @samwelmwazini ปีที่แล้ว +3

    AMEN AMEN AMEN.. Perfect song

  • @noahfilimoni4703
    @noahfilimoni4703 ปีที่แล้ว +1

    True difinition ya kanisa kubwa na kwaya kubwa.
    Tunabarikiwa sana hongera Temeke

  • @stephanopierre638
    @stephanopierre638 ปีที่แล้ว +1

    othiambo teacher so nice GOD BLESS ALL

  • @elyxhadee
    @elyxhadee ปีที่แล้ว

    Alooooooooooooo 🔥🔥🙌
    Watu Wa Mungu Mmefanya Jioni Iende Poa sana Si ni leo nilipatapo ka bando nikasema wacha nichungulie vitu kipande hiii .... You made it......✊❤️❤️

    • @Temekesdachoirtanzania
      @Temekesdachoirtanzania  ปีที่แล้ว

      Naam mtumishi, Ubarikiwe sana kwa jioni yako kwenda poa. Asante sana kwa kuchungulia. 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @deboramunema3003
    @deboramunema3003 ปีที่แล้ว +1

    Temeke mnatisha Mungu awabariki

  • @mirleyenoc6759
    @mirleyenoc6759 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen wimbo umekamilika kila idara mbarikiwe san

  • @square8638
    @square8638 ปีที่แล้ว +1

    I wish someone would like to post the lyrics of this beautiful song that I can sing long this African choir

  • @euniceokoth3677
    @euniceokoth3677 ปีที่แล้ว +1

    Amen. Wonderful singing.

  • @hellenmteki1863
    @hellenmteki1863 ปีที่แล้ว

    MBARIKIWE SANA WIMBO MZURI SAUTI ZIMETULIA MANENO YANASIKIAKA

  • @dorcasojwang2414
    @dorcasojwang2414 ปีที่แล้ว +1

    I'm blessed

  • @briannyaberi5022
    @briannyaberi5022 ปีที่แล้ว

    You guys are really blessing me with your sweet melodious songs❤❤❤

  • @dralfred7937
    @dralfred7937 ปีที่แล้ว

    Kanisa la mwenyezi Mungu litabakia kuwa na warudi wetu... Mmepata new subscriber.. Mungu atukuzwe.

  • @dorcasojwang2414
    @dorcasojwang2414 ปีที่แล้ว

    D my my
    I'm
    Jk en🎈🎈😢

  • @selemanmadebe6395
    @selemanmadebe6395 ปีที่แล้ว

    🥰🥰🥰

  • @jacquesiragi7121
    @jacquesiragi7121 ปีที่แล้ว

    Comment faire pour être en contact avec vous ?? Waouh

  • @godfreynashumba7480
    @godfreynashumba7480 ปีที่แล้ว

    Naomba mawasiliano yenu please!