Nay pambana mkali wangu bila shaka umeiona nembo yako katika miguu yangu nakukubali nay wa mitego si mwingine zaid bali ni mimi mchimchi mbishi kutoka songwe mpe hai nini
Huyu bange ndio wale kazi ni kutaka kubebwa tu usipomsaidia kosa ukitumia vya kwako wanachukia anatamani kuwa na rose Lois lakini wapiii we vuta hiyo mibange yako
Rais. Rais Rais Rais💪💪💪💪💪💪👊👊👊👊 #Bigup.
big up xana ney true boy
Pmj uko vizuri kaka
Haziendag bila kumtaja mondi mwechen ...wabongo bana
Safi sana ney
Safi kabisa Nay wamitego
Nakukubali baba
Nay nakupenda hunaile yakujidai poa san
Ney wewe ni. Mwanamziki bola tena wewe nimkombozi ktk jamiyetu Tanzania nakubaliana Mungu akutienguvu zaidi
waaav bongo ii
Namukubali can nyimbo xake naxipeda san
Nakubali san . The trueboy
Ney🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
The true boy
True boii in building
Nay napenda confidence yako. Anayependa ukweli anampenda Mungu.
Nikweri sana kaka nay sema maana
May.anachoongea,nisahihi
Nay.... love from London
Kamanda ney
Nay pambana mkali wangu bila shaka umeiona nembo yako katika miguu yangu nakukubali nay wa mitego si mwingine zaid bali ni mimi mchimchi mbishi kutoka songwe mpe hai nini
King ney
The legend
super
Ok
Wewe ni makili wa wote kwa sasa nei🇹🇿🏋️
True boy
@mwijaku moment of silence as if he has died🤔🤔🤔🤔
🤔🤔🤔🤔🤔Au kweli
Nyinyi munatafuta sijuwi Nini😏 mbone hajamuongeleya diamond
Noma sana
Respect
Hiyo takataka mwijaku ndo hamna kitu
Nakuamini sana ney
Ney kaongea ukweli wake kutoka moyoni mwake
Mr. Don't care King Kiba
Safi ney uko sawa wewe usikate tamaa endelea kusemea watu mungu yupo nawe!!
True boy in the bulding
Kauriyanyelele
Rais was kitaa Sina team
👊
Safi Ney wa mitego
sema ukweli ndio unatuweka huru
Alomtoa kiba ni Mr blue na ebiskills acheni ujinga
Nice
Mwijaku musenge tu hana adbu siku izi
sio wote watakupenda bro
Title chenga kabisa, umbea mwingi adi mnachapiaa
serikali haitaki kusemwa ukweli wao sio zaidi ya wengine
Nahuyo mvuta bangi nini
Ney baba lababa atukupingi ata wewe nifagio lachuma mzee pamoja
Mnaonaje tumpe ubunge??????
Unamtaja mond hila unatufanya tusikilize interview nzima
Karibu kuitazama nyimbo Hii
Gusa th-cam.com/video/SC_-nPqlnw4/w-d-xo.html
Ninyi munao tupia video no wapumbavu opoles
Hakuna mwandishi wa Habari anayeweza kumkamata dully kwa maswali ya kipuuzi
Huyu bange ndio wale kazi ni kutaka kubebwa tu usipomsaidia kosa ukitumia vya kwako wanachukia anatamani kuwa na rose Lois lakini wapiii we vuta hiyo mibange yako
Upumbavu tu,, mwijaku
Neey ni kweli sann
Unakubarika Sana Kaka big up
Respect