🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 look alike imewezaaa big up sana kingwendu,Niko na classics zako zote kwenye vcd's kwa vintage collection zangu za bongo and Kenyan comedy...big up sana👋👋🔥🔥🔥
Sema wana wamefiti sio pw wamefanana na hao wana myziki wahusika sii pw hilo house la Mond na Harmo sio pwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 like zangu wanangu me wa mwisho leo😂😂😂
Nlikua nimeingia box untill i saw diamond 😅then i looked twice...good content. I grew up watching kingwendu all the way from kenya and i respect his efforts...+1 like ,+1 subscriber from me.
Hongera Kingwendu,ushauli wako umefika wamesikia ila majamaa wamefanana sana Konde Boy na Diamond.bravooo K
Amakweli hapa dunian wanadam ni wawili wawili🤔watching from Africa in Kenya🇰🇪🙏🏾
This guy is a legend 🔥🤣🤣 from Kenya we respect you
MWAGIA NDANI KURYA BOY
🤣🤣🤣
th-cam.com/users/shorts7SRgsWml72g?si=NfuDTmZNV4vUMaFF
th-cam.com/users/shorts7SRgsWml72g?si=NfuDTmZNV4vUMaFF
O
Kigwendu jamaniii nikianzaa kukutazama nikiwa darasa la pili Sasa hizii Mimi Nii Mzee from Kenya
Kwenye cinema za mabandani
Dah hatali sana
Nimeipenda hii #KingwenduOG,,,,Much love from 254 KENYA
apo kwenda kwamiguu ndo wamefeli😂😂😂😂😂😂
Diamond platnumz na konde boy much love from Kenya 🇰🇪
Muonekane wa Konde Boy 100%😂
Nlijuwa ni yeye
Me too😂😂
Much love from Uganda nawapenda sana konde na simba
Nakupata hapo kabisaa...nyadundo ni kijaka more love from luo nation Kenya...
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 look alike imewezaaa big up sana kingwendu,Niko na classics zako zote kwenye vcd's kwa vintage collection zangu za bongo and Kenyan comedy...big up sana👋👋🔥🔥🔥
MWAGIA NDANI KURYA BOY
Habali Baba Kingwendu napenda sana vituko vyaki nikiwa🇧🇮🇧🇮
Much love from kenya 😂😂😂😂
acha u,vile nimecheka chigude alipookezea keyboard haina emitocons ningebandika kama zote.
Hey
MWAGIA NDANI KURYA BOY
Mwanangu Konde Boi 🤣💪🏿🖤
Kingwendu forever love 🖤🇰🇪🇰🇪
🤣🤣
Hahahaha kikwendu on fire 🔥 nice job 👍✔️
Wametokelezea kwer yan
Sema wana wamefiti sio pw wamefanana na hao wana myziki wahusika sii pw hilo house la Mond na Harmo sio pwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 like zangu wanangu me wa mwisho leo😂😂😂
Wametisha sana nimekubali
th-cam.com/video/eEorbVWi0ys/w-d-xo.html
Mimi nilijua wao kabisa jamani
Uhakika
Wametisha sanaa
😂😂😂😂😂😂😂😂
Umefanya sana Mr kingwendu💪💪❤️ MUNGU akubariki na kuKutunza🙏na watu umewapatia
😂mzeee mwenye hekima kupatanisha vinadagi
Iyo imeenda😂😂
Isipokuwa ni venye nimegudua Diamond ni fake, nilikuwa nimeona ni Harmonize kutoka mwanzo🤣🤣
From 254 hii tumeikubali...😂 Kingwendu Mzee wa kazi🔥
😂😂 love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Uyu jamaaa anazidi Ata Konde Boy mwenyewe😂😂😂
Hahaha,
Huyu pacha wa Konde.
Sw sw kbs baba uyu ameweza kbs tjr créateur kakazao en forme
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 since i was a kid i have loved this guy...hello helooo
He made my childhood so great damn ❤😂. Namfahamu sana
Sautitu ndio hazijakop ila sura kidogooo
hahahaha, uyo konde na iyo mimoshiii, duuhh...hahahaha kauwah
😁😁😁😁Yaani mimi sina comment ila imependeza sana. Nimecheka sana 😄😄😄
Simpozii Africa
duh sio kwa mnguu huo
Kaliii
Mbna kweli wamefanania na Simba na kondeboi
Piicy n laave,peace n love oyah
Afuu hyuu. Mzee nae kafanana Na kingwendu
ii sauti ya mzee ama 😆😆😆😆
umejitaidi mzee lakin iyo ni ndot
Acheni watambe ndo wakati wao au vp bwana😎😎😎🇹🇿
Kweli mzee umefikiria mbali kabisa
Uyo babu nifariser tuuuuu
Jamani Dunia wawili wawili dahh
😂😂😂😂 mwamba sana wewe
Wameshindwa kuwaigiza wanavyoongea tu 😂😂😂
Sema huyu sio mond bhn
Hapa 254 tunawalombotov
😮 sio kwa hio nyumba wabongo noma
Hko kukohoa..safi...."yao yao"🤣🤣🤣
Eti pole 🇨🇩
Asante
@@kingwenduogtv Sawa boss
Kenya tunaye Ruger
Mwanangu nakubali
Hatari wewe😂😂❤❤❤
This guy is more of konde boy than konde boy himself. 😂
Very true Aisha
😂😂😂😂
Than konde boy himselfu😂
Umetowa ushauri mzuri mzee✌✌
Kali san
Huyo konde boy katisha😂😂😂
Kingwend,🎉 una mambo
You guys nailed it on the lookalikes 😅😅
Ahhhhh nyadundo majina zako mzeee zinaniya raha sinanyama gegedu kisauti
Mzee umeuwa lakini Hawa hawapatanishiki
Wee Kingwendu wewe hahahaha
Micheni mipete wow good creativity
Sasa hii kweli ama photocopy😂😂😂
My boy ako viti sana
Legend👆💪💪💪
I thought n harmonize kumbe sio yeye😅😅😅
''Nyadundo'' kikwetu ina maanisha mtu mfupi🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣hata nashangaa kijaluo kingwendu alikijua wapi?? eti nyadundo 🤣🤣🤣
@@bilaleesaleem7626 🤣🤣🤣
Jaman munafulahisha sana
Kwani hamo huna gari 😂😂😂😂
Nlikua nimeingia box untill i saw diamond 😅then i looked twice...good content. I grew up watching kingwendu all the way from kenya and i respect his efforts...+1 like ,+1 subscriber from me.
Kali hii😂
Asante Mzee Kingwedu
Huyo si real diamond aki 😅😅😅😅😅
Konde kampatia kishenzi 🤣
Amefanya nione nyumbake Diamond 😂
What a look alike
Kingwendu salute, umejitaidi
mmetixha kinyamaa kaz n nzur san kam wenyew😊😊
😂😂😂😂😂😂waaah watu wamefanana kweli😅😅😅😅😅😅
They had me in first half. They had me. 😂
Ain’t gonner lie
Hiii wenyadundo wew mim nikajua wew ni kind boy kwr😂😂😂😂😂semanini umetishaaaaakaka❤❤❤❤
Asante
Rungu la Siri 😅
Duukweri elamwnaalamu kingwendualivyo
Hapa hakuna cha kusuluhisha wala nn wacha wapigane kabisa
nakubal kingwendu atarii
Walete naa Alikiba
Wote.wako.shega.kweli.duniani.niwawiliwawili.mzee.umetisha😅😅🎉
Iko fine san inapendeza sn
😂😂😂😂😂😂hii imekaa kinoma
Looks sawa shauri bado
🤣🤣🤣🤣🤣eti nyadundo aisé nomo sana
hii imeenda 2.3million views😊
😂😂😂hawa wote sio hapana konde wala simba hapa
😂😂😂😂😂😂 awaezi kungaa mukono baba
😂😂😂
Hiyo kali jomba
Da! Ndo kufanana huko,, yaani Konde boy kwelikweli...
Niatari sana
Kama konde❤❤❤
😂😂😂kongwendu kani chekesha