ความคิดเห็น •

  • @bennyframa4505
    @bennyframa4505 16 วันที่ผ่านมา +1

    Sema hawa madogo wana Talent wanaweza kuziba mapengo ya wakina Dullah! Wana great Pottential! All the best

  • @user-hu9bf7nw4c
    @user-hu9bf7nw4c 18 วันที่ผ่านมา +2

    Hio nyimbo walipga fresh ,yaan wakirud pamja kwa mtindo huo ,watafika mbali sana Zaid walipo Sasa na watakosha mashabiki wengi

  • @AlfroLyd
    @AlfroLyd 19 วันที่ผ่านมา +3

    Chemistry ya DIAMOND PLATINUMZ Na NEY ilikuwa Kali Sana Na wakirudi Tena pamoja ineza kuwa fresh Sana sababu NEY Kweli ana kipaji kweli

  • @manp9091
    @manp9091 20 วันที่ผ่านมา +7

    Patamu apo waachie mawe ayo

  • @osmankhoke254
    @osmankhoke254 18 วันที่ผ่านมา +1

    Duu Richie ako na sauty ya utangazji na vibe kwa snaa 2

  • @johnmwandu2116
    @johnmwandu2116 20 วันที่ผ่านมา +2

    Ww dogo ambae upo km anchor, unashida gan na vivanja vyako, hutuliagi, pekechapekecha muda woote, nilikuona kuanzia kwenye interview ya

  • @Official_bizedd
    @Official_bizedd 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mala bange mala matusi sa ndo mziki ganiu
    Hi ni hip,hoo nanananan malafiki wa nyumban
    Daah collabo nzuri sana rudin tena ila sasa mond kuna ka msitar
    Kwamba hiyo michezo yenu ya kutoboa pua chaajabu yee ndo katoboa.

  • @Jumamussa.-gm1eo
    @Jumamussa.-gm1eo 18 วันที่ผ่านมา +1

    We mwamba unaongeaga vibaya afu mjuaji sana na nguo zako nyeusii

  • @MonarqueMso-YaJr370
    @MonarqueMso-YaJr370 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hm!!😮

  • @natanaelsantos5286
    @natanaelsantos5286 20 วันที่ผ่านมา +4

    COMEÇAM LOGOO

    • @trofinlyimo3520
      @trofinlyimo3520 20 วันที่ผ่านมา

      Ney ni true boy bhnaaaaaa

  • @officialhansi4462
    @officialhansi4462 20 วันที่ผ่านมา +2

    😅

  • @anolddavid2585
    @anolddavid2585 19 วันที่ผ่านมา +1

    week nzima mnamuongoloea Diamond, kwel mond ni staa aisee

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 19 วันที่ผ่านมา

      Kwani wee ndo unajua leo kuwa Mond ni staa au kipindi chote hicho ulikuwa kuzimu nn

    • @daylight1707
      @daylight1707 19 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂​ Tobaa@@IbniAbbas-yz3kt