Katisha vibaya na kanivutia sana kwa hii style yake, pia ukisoma neno kibeniten bila ya kuitizama movie, unaweza ni vichekesho kama tulivyomzoea kikofia, kumbe ni bonge la movie, kiukweli hapa ndio kuna style tuzo sasa
Nice, movie. naitazama nikiwa uganda na marafiki zangu japo hawaelewi kiswahili. mngeweka tafsiri ya kizungu ingekuwa ya kimataifa. ikifaa hiyo season 2 itafsiriwe.
Hakika imeanza vizuri ikaisha vizuri Kila mmoja ametendea haki nafasi yake Ila wa nimewakuli sana> °°Ruta man°° Amina mijudo°° kicheche°° mama yake Ruta man nimewakbali sana
This very is masterpiece ,very educative and interesting I enjoyed every bit especially VP man and kicheche so funny guy😂😂😂😂 more love from Kenya to you all actors and actresses
Movie nzuri aisee, nimecheka na ina mafunzo mazuri ya maisha👍🏾👍🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Kicheche noma sana nakubali👍🇰🇪
kicheche na ruta man big love from Kenya
Turabakunda cyaneeeeeee hano iwacu mu Rwanda ❤️❤️🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Kibenteni ni 💥💥💥💥.. leteni nyingine kama io io.. kicheche ❤❤
Wakwanza mimi Leo nipeni likes tukisonga....kibenten ni 🔥🔥🔥 twangoja ingine kicheche
Uhogkxlglhurfjgkvmvimcml CV lgclhl😅😊🎉❤
Kibenten ni nima sana Kaka kicheche songa mbele ❤
Kicheche😂😂😂😂❤❤more love
Dah huyu Rutha man katisha kinoma 🔥 Kicheche best comedian ever in Tz❤️🔥
Luthaman!
Mashallah mashallah hidaya boli kanenepa mashallah umeolewa saii
Katisha vibaya na kanivutia sana kwa hii style yake, pia ukisoma neno kibeniten bila ya kuitizama movie, unaweza ni vichekesho kama tulivyomzoea kikofia, kumbe ni bonge la movie, kiukweli hapa ndio kuna style tuzo sasa
@@albertkatuga2434 dah hii ni bonge movie afu uzuri wote wametumia vzr uhusika wao
Kibenten noma sana really liked the movie🔥🔥🔥🔥🔥 live nikiwa ushelisheli
Kicheche baada ya hii, kwasabu imesha isha , bora uka endeley Na "Lamba Lamba*
From Congo we follow you
Tuna taka tu mwisho wa Lamba lamba Bro
Tunaomba movie yengene nayamuzuri kama iyi Kigali tunakupana baba❤
Napenda kazi zenu kicheche❤
Much love Kwa staring Makoti....nilisuniri sana hii full movie 🎉🎉🎉
Luta man na mkewe ameua sio kwa uvumilivu huo upendo wa dhati upo moyoni 🎉🎉🎉🙏🙏🙏✋✋
One of the best bongo movie I've ever watched bu so sad....
Nipe mauwa 🎉 yang kicheche makoti
Kutoka baba mwenye nyumba mpk mlinzi waooh inamafunzo kedekede❤❤❤❤
Kicheche man... movie Iko best man.... hongera man... uko juu man... Season ya pili man tunangoja man.... Tuko Mombasani man... Kenya man....
Wakwaza Léo nipeni like hâta 50 jamani nawapenda boss ❤❤
LUTA ndie Alie Uwa Sana Kwenye Movie 👑👌🏾👌🏾👌🏾
Wow nimeipenda saaaana mkovizuri
Umbwa wewe big love from Kenya 🇰🇪😅
mungu wabariki nyinyi wote muliyo cheza filamu hii, hii filamu is very educative. Big up to kicheche and the team.
Hii movie ni kubwa sana imeniliza, imenifurahisha, na imenielimisha, nimeipenda sana hii story, hasahasa kwa mlinzi na mtoto wa boss was nice
Peter kutoka Kenya noma sana napenda mumefanya kazi mzuri sana
This movie is not only entertaining but also educative with so creative actors, au vipi MAN🤣🤣, much love from Kenya
😂😂Kicheche the 30 second man 😂😂. Hii nayo Kicheche ni🔥🔥🔥🔥
Love from Tanzania 🇹🇿
Mimi wakwanza jaman kutoka Burundi 🇧🇮
Wakwanza mie mwaga ❤❤❤
Me ni kamanda man ila kwako nimekua mdebwedo man😂😂😂 kaliiiiiiii
Duuuu kicheche ni noma from ujiji
Napenda kazi zenu❤
First viewer nipeni like zangu
Umepigaje apo???
Umepigaje apo
Nice, movie. naitazama nikiwa uganda na marafiki zangu japo hawaelewi kiswahili. mngeweka tafsiri ya kizungu ingekuwa ya kimataifa. ikifaa hiyo season 2 itafsiriwe.
Ruta man big up maskini mwenzangu
This movie is so educative. That's why every actor played his role perfectly.
Love u more
Wueh kali hii.....mafunzo ni mengi jamani....hongera Kicheche😂😂😂❤❤❤...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
nakukubali sana kibenten 😅😅😅❤❤ pumbavu zako tuko pamoja ❤❤❤❤
Kikofiaaaaa😂😂😂😂😂😂❤🇰🇪
Leo wa Kwanza mm naomba like angalau 10 ❤❤
Nzuri hii movie
2:33:23
🎉😅😢🎉😂 2:33:53
Mamaa Man nakupenda man 😅😅
Kacheza vzr nmependa sana mama ruta
Wapi likes from kenya 🙏🙏💥💥💥
Jaman mimi kiana kutoka burundi making nipo zambia kwasas kiukweli hoi movie nimeipenda xana ruta man ongeza nidiiii kaka usiwaze maisha mzunguko
Movie nturi ya kuburudisha na kuelimisha! Hongera
Imeisha vizur man Ila cjapenda man melina kufa man hakua na noma KBS man
I love this movie!
The gateman’s amazing the turns and twists are despicable
I think I have crush on him
Kwa kua wa Kwanza nipeni likes zangu basi hata tano tuh 😂😂❤❤❤😢😢😢😢😢😢😅😅
Gate man na huyo Dem wake wanajua kazi😊 movie iko liit....so educative and entertaining🎉
Mwanzo mzuri mwisho mzuri
Good ma Ongereni sana
From Germany hii movie amefanya vzur sana kicheche na ruta man
Luta naomba unitumie namba lakini pia hongera kwa kazi nzuri
Wish we get one more like this it was the best best ❤❤❤❤ kicheche salute man❤
That was so well
Ingekuwa vizuri sana kama wangeiendeleza kwa season 2, Tafadhari iendelezeni kwan itakuwa vizuri sana,, Asanteni sana!!!
Hii movie ni tamu sana,kaka Kicheche fanya hima utuangushie bonge lingine la filamu
Naipenda sana kasi yako
Iko powa sana, Mimi nimekuwa nikiangaria vipande vipande tyu. Nainjoitu.😂
Bado Niko ebisoni ya 17.
Leo wa kumi naombeni hata like kumi basi
yoooh babas
Kicheche I love all your acts brakamwshe pumbavuzako
smart movie funzo nzuri kbs asante sana
😂😂😂❤❤❤ umefanya vizuri kabisa baba
Hakika imeanza vizuri ikaisha vizuri
Kila mmoja ametendea haki nafasi yake
Ila wa nimewakuli sana> °°Ruta man°° Amina mijudo°° kicheche°° mama yake Ruta man nimewakbali sana
😂😂😂😂😂mpo vizuri mbwa nyie mnacheza na fursa sisi tunasubir mpya au malizia Simon na LAMBALAMBA
Vipi man niko
Number one nipewe mauwa
The best movie ever in history 🎉🎉🎉
The best educative movie ever from kicheche👍👍👍
Nawapenda sana ❤❤❤ 😂😂😂
Courge❤🔥🔥🇸🇦🇧🇮 😂😂 munaturudisha nyuma😂
kicheche nime kukubali sana 🎉🎉❤❤ najisikia vibaya nilitamani isiishe hii kibenteni ila ndoivyo yani 🎉🎉🎉😂❤❤❤
Man anajua jmnii
Nmempenda Sana Mlinzi Lutta
representing 254, the movie is fire🔥🔥🔥🔥
Applause to all characters for the good played roles.feel the love all the way from Kenya
That's not for Kenya. That's for your gay team. We love our flag 🇰🇪 🇰🇪
Uyu sugar nyanya afanana na mzee fungafunga mzee jegua ata sauti na uteshi wake
❤❤❤❤ i like it
From Kenya 😢😢😢
Yaani kicheche kaenda kijijini hatari abadan😂😂😂👏👏😍
Nimekula ada yako😂😂😂
Min nimeipenda sana
from kenya big up Tz one of the best African movie (VP MAN)
Frexh man karibu Tz
Latifa nakutafuta mama love you
Kicheche rutaman 😂😂😂😂😂😂😂❤
Napeenda😂😂😊
Nifanya mini man
duuh yaani nimemaliza kuiangalia hii movie nimempigia mama..mwandishi amejitahidi sanaaa.
Best movie ever we need season 2 ❤❤
Huyo dada aliyeact kwenye wimbo wa Tuliza Boli hatari sana. Twamshabikia sana huku Kenya
I'm still laughing 😅😅😅😅😅 kibenten left me in stitches 😂😂😂❤❤❤
Best movie ever made kicheche twangoja season 2❤❤
Umbwa mimi 😂😂😂
Mmeliunga mazimaaaa❤❤❤❤
😂😂😂😂kicheche uyu kanivunja mbavu
Tifa unagusa maisha yangu hakuna filam nilio tokea kukupenda tifa Ila hyi move daah umenivuta
Congratulations 🎊 ❤
Hii naye imekubali I like it keep going guyz❤
Kwani mnangojea nini jamani leteni Mara moja iyo season 2..... It's a very professional and educative movie ongeleni jamani
This very is masterpiece ,very educative and interesting I enjoyed every bit especially VP man and kicheche so funny guy😂😂😂😂 more love from Kenya to you all actors and actresses
Kenya weka ✅ tick
Vai Belinda nawapenda Sana kwaku mtetea ruta❤❤❤
Wa kwanza🎉
Mama luta she is very beautiful
Aisee kweli movie iko poa sn nimeipenda kiukwel mmefanya kazi mzuri sn hongera yenu sn
Tifa ni mrembo sana.na mi ningepiga vitu