Stamina Feat Banana Zorro - Ukizaliwa (Official Video) {Part 2} SMS [Skiza 8091568] to 811
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
- #Stamina #Ukizaliwa #SlideDigital
Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/stamina...
Written & Performed by Stamina & Banana Zorro
Video Directed by Khalfani
Follow Stamina on:
/ staminashorwebwenzi
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Siku ukizaliwa nitarudia,tena kwa sauti na utasikia,sitaki kukuonya kuhusu dunia,sababu dunia ipo na utashuhudia. Mwana wa Zorro . Strong Vocalist ever
Good and nice song from legendary
Deep message
😊😊 5:00 😊😅@@jacksonmrope365
“Usiwe mwanamke wa mwanamke,nataka uwe mwanamke wa mwanamume”. Message 💯
Usiwe mwanamke wa mwanamke,nataka uwe mwanamke".message
Ujumbe mzuri sana
Lets fight this Lgbtq ni ujinga
Neno hiyo
Atak mtoto wake awe shoga ana Lesbia
Hii nyimbo imeimbwa na watu ambao wanajua wote ❤️❤️
Banana zorro fundi, mwalimu wa vocal, unyama mwingi sana. Umeniosha roho bro zorro. Stamina uko moto sana bro unajua, sauti iko poa sana, melodie kali sana, uandishi mzuri sana. Nashukuru kwakunipa muziki mzuri
Am from Kenya, but guys let me tell you.... Stamina is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥, nafurahia sana wakifanya kazi na Roma🔥🔥🔥......... How I wish nawezafuatanisha kiswahili kama Stamina.... Bwana, you kill the Mic everytime...... Alafu, Banana Zorro ana sauti nzuri sana, inafanana na ya GrampsMorgan ule wa Jamaica.... Tanzanians we love you guys
Love you too brother
this guy iz legends
Tanzania wana talent bro ,hasa Tracks za Roma ft Stamina
Love much bravo from Kenya
Tujuane tulie rudia zaidi ya mara 3😲😳😲
Sijui kama ipo siku Kenya tutafika hii level ya muziki. Hongera ndugu zetu waTanzania kwa kufanya muziki na passion ambayo haipo kwingine Afrika
So touching. My wife is 5months pregnant. ✨ May she deliver safe. ukizaliwaaaah
Stamina huweza sana wapi like za stamina hapaa +254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Stamina is something else.
🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬👍
He is short but tall in mind. Amazing 🤩🤩
Ngoma kaliiii sana tuendelee kusikiliza na kutizama🔥🔥🔥🔥
Ntampa mwanangu jina la marehemi mama angu,,
"Tambua we sio mdoli ukubali ukachezewa"number one fan from 254🇰🇪 you never disappoint Shorwebwenzi,waiting for part3
A masterpiece that contains :-
No hot girls,
No swearing,
Tells a story,
And sends a message,
Truly a masterpiece by the masterpieces themselves. @STAMINA&ZOLO
Asanteh kwa kuendelea kuiheshimisha Moro Town na pia bongo hip hop Tz,,,,🙌🙌🙌🙌🔥🔥
Sichoki kuuludia ludia huu wimb siku zote ukiwashilikisha Majendali kama banana, Q chief, juma nature, Tid, au Duly Sykes lazima ngoma itambe, big up Stamina kwa kutuletea wimbo wa Kidunia,,,,,,
Stamina...one thing about this guy is that he sings the day to day facts....manze my wish is to meet you one day...you encourage me with your songs bro...baraka kwa mpigo🙏
2²²
Kenyan we salute you guys
Punchline 💯
Creativity 💯
Content delivery 💯❤️🔥🇰🇪
Mr. Bonventure...much love from Kenya. Kazi safi. Mafans wa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we salute you
Stamina hii umeandika San kaka na asa huyu Mt ulomshirikisha ooooh ameuwa vibaya kweny kitikio big up broo
Two legends🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥 what a message hii Ngoma inafaa tuzo 🙏❤️ from Mombasa
Hii Ngoma lazima siku moja nimshikishie wangu..I'm 18 yrs but I can feel it best for my generation
banana zorro made my childhood ♨ its pleasure to hear from you again
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Stamina ana mashairi yenye Stamina
This is definitely a banger. Banana is one of the most talented musician Tanzania has ever had and with the combination of hip hop maestro (Stamina) they killed it
Mwanangu ,wanaume wenye pesa ni wengi,ila wenye mapenzi wapo wachache kishenzi apo akili ku mkichwa.Duuuh!!!!noma sana
Respect for you Brother,, Unatuwakilisha vyema Wana morogoro, watanzania na Wapenda Hip hop wote Dunian,, Iv ndo tuseme watu wafupi wanaakili nyingi ndio maana wanaandika ngoma kali Sana?,
Hakika mwana anajua mpaka anajua tena
🤣🤣🤣🤣
Qwisha 😊
Stamina He is one of the artists who keeps me going and I continue to love hiphop music beautiful music home artist moro town
Big up Stamina and Zorro,Kenyan here
This is gold i love what stamina is doing💯💯💯💯good music
🎉🎉🎉🎉😊
HUYU STAMINA BEI GAAAAANI....UYU JAMAA ANAJUA SAAAANA...NYIMBO NZURI AISEE KAZI KUNTU....BANANA KAKAA VIZURI KWENYE CHORUS....SAMPAMBA KAKAA VIZURI KWENYE BEATI....UPENDO NI MWINGI SANA HUMU KENYA
I can hear Zorro’s voice but also his touch! This is a lesson from Zorro an Maestro
Ngoma Yenye mistary yenye mana big up saana mshabiki wako stamina kutoka congo D.RC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
U kill stamina much love from United States 🇺🇸 🇺🇲
But Tanzania 🇹🇿 is home
State gani Mkuu
@@bensonculture2947 Yuko buza uyo
Ubunivu wa hali ya juu sana ila kaka yetu Roma namtafuta huku simpati
Stamina is living he will live forever some don't understand him now but they wanna understand when it's too late but it will be the best time forever
Stamina na Zorro nawakubali sana, hizi ni vocals powerful,Kenya fans tunawahenzi keep it up
I can’t get enough of this song, I have watched more than 15times. Thanks Stamina & B Zoro for this master piece 🔥🔥🔥
Hongeren sss a ana
@@hamisimganga3328 q
🔥
Its 27th for me🤣🤣🤣 This song is like soup to me.
Keep listening good music! 🎧
Mwanaume ni kuwa na chako sasa penda vys wenzako uonee utavo kula kwa jashoo!!! Respect brther stamina!!😮😮
stamina ukosei nakubali me shabiki yako number one
Umeua ile kizazi mwamba ukiwa na lengend banana zorro ni hatareeee!!!🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Real music, real life. This is a masterpiece ! Kudos Stamina and Zorro
Ukiwa kilema sawa,njiti sawa
#bora ukosee kujenga nyumba utabomoa sio kuoa
Maana mwaminifu hata kwa mwamposa utamkosa
Am not a fan of hip hop, but stamina’s lyrics always hits⭐️ plus banana we missed him😍
Umewaza nn fundi mistali konk mungu ndoanajua saut nzito Tanzanian boys
Damn this song!! Zorro and Stamina Kiilled It!
Haya maisha unaezalala njaa jirani akalala bar pure message big fan from 013 kenya 🔥🔥 banana zorro vocal zimeenda chuo
Ngoma kali sana ase imegusa maisha yangu hadi nimelia bro nimepitia hki kipnd umenipa matumaini respect sana nimekubali sauti ya mkali zoro pia ni unyamaaaaa
#hip hop ndo mziki pekeee wenye kujenga jamiii lakini miziki mingine huwa Ni matusi mpaka unaona aibu kusikiliza ukiwa na wazazi #big. Up mtu mzima #stamina ft zoro
This is more than big song my brother stamina
Stamina allways killing us👍👍👍🔥🔥
Very nice track Zorro B 💥💥💥👌👌💯💯 Stamina u kill it Bob 💯💯💯💣
Macho mawili ndo kipimo cha urijali..ukitoa jicho la tatu vitu utaviona kwa mbalii🔥🔥🔥✨✨
My all-time mind captivator as far as music is concerned, Stamina.It's great to see Zorro back to the industry.
This song is just on another level 🔥🔥🔥
Malenga wapya mji kasoro bahari we brooo sarut kwako STAMINA mwanangu umetisha sanaaa humu ndani👑👑👑
This's a Super Combination of the 2....the message is 100%+ loud ..the video is well set and mannered...no skinned girls with outer breasts /thighs... it's absolutely fantastic. Thanks guys and keep it up
Ngoma za stamina zinaelimisha alafu napata ladha tamu sana ya hip-hop...huku kenya tunakuaminia sana endelea kutupa nyimbo tamu...one love from kenya
utamu unani uwa jamani,Stamina weni noma saaaaaaana.Duh
Lazima uwe mwanafasihi ndo umwelewe stamina....huyu jamaa anajua sana 💪
it's a real masterpiece of 2022 pickup my two favorite musician nice job stamina u nailed it
Nyimbo nzuri sana mashairi mazuri nyimbo inqhisia Yan kwakifupi Hili Goma ni 🔥🔥🔥🔥
Love from Rwanda, Stamina unatupa mistari kbs, Salute!.
Awesome project nayo mpka mwisho ✌️
Represent 🇰🇪
The message is very strong from the legend banana dzoro
Ukizaliwa....# a song from another planet....hiphop for life.... unalala njaa na jirani analala bar....nimepata message .
Mhhh my new all time favorite. The bars are so heavy. Magic is created with the legendary Banana Dzoro and the amazing hard hitting Stamina. Am in love with the progression too.
Mwaminifu hata mwamposa utamkosa pamoja sana kaka❤❤❤❤
Kali Sana Mr zorro hatari combination na fundi chuma stamina umeflow bila huruma, ukizaliwa part 1 nagoja part 2 Amezaliwa msg iedelee kuflow big up guys good job, iyo beat imepewa Haki yake
Mr. Zorro back again with a different melody all together bringing back old memories
We mngese ni fundi dunia ya mwisho daah umetisha kinoma ✌️🙏
Thats why i love hiphop thanks it talks about real life situation.
Salute sanaaaaaaa Mr zoro a brother to marehemu mauzoro may GOD rest in peace her soul INSHALLAH and big up kwa kazi nzuri bro with stamina raisi wa MOROGORO....
I have watched more than 20times!!! Much more love Stamina && 🍌 Zoro For this AMIZING Tune!!!!
Big talents kakutana.... Mashairi yameenda shule teña masomo ya msingi🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Banana Zoro is one my finest artists TZ ever had
Stamina.....kama vile huku kenya twasema...ndio GOAT
I cry a lot when I listen this song 😭😭😭😭😭
Me too
Me too
Aisee stamina we mkali sana nkupe Hongera sana unajua kicha mkubwa....hii ya moto sana
Respect à toi mon frère Stamina the best rap🙏🙏🙏🙏🇨🇩
Msanii ni msanii hata atulie miaka mingapi... Much Love from KE
Am proud being Tanzanian! I can’t get enough of this song 🤼♂️
Waoooo mzikii mzuriii umetulia mashairiii Bora sana hongera kaka zangu
Lets support this guy,he is very intelligent
Big up staminer napenda mziki wako huwa unanijenga na mawaitha kwenye mziki you're my ROLL MODEL 🔥 🔥 CHAPA KOLABO NA KONDE TEMBO BANAAA WEE
Stamina this is my story ... You touch me broh ... Nitarudia inshaAllah akizaliwa
Kosea vyote maishani ila usikosee kuoa 💯 message 👏👏
A real peace of art 🇹🇿🇨🇩
Banana ni korasi killer 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 utunzi mzuri kweli aidia hazijaisha Safi stamina
Heshimu Sana mamako❤️♥️🙏✨
Banana zorro ❤❤❤❤❤❤ more love Stamina 💯💯💯💯💯💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
THIS IS PURE GOLD 🇰🇪
Wimbo Na ujumbe vyote nimeinjoy shabiki ambaye Nipo kwenye mikono salama sijutii
It's kind of music needed in our society.
Salute to Banana & Stamina
Banana zoro for the first time umenikosha sana na koras moja super sana.. flow za stamini kama rocket
Banana zoro legendário d bongo flava parabéns por regressado de novo no game
Uganda 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬
Wimbo mzuri sana hongera kwake Stamina and Banana, Karibuni ndugu zangu naomba mniunge mkono jina la channel yangu Hello Happy Tz 🙏
Mwamba Stamina Shorwebwenzi nakukubali sana, yan unajua kaka hongera sana
KaliSana, Hatari, Nzur Mno, We ni mbayaSana
Tenzi nyingi, Kiswahili Fasaha,
Uandishi na uwakilishi mzur wa Rap
👊👊👊👊👊
Bonge Moja la sehemu ya Pili
baada ya sehemu ya Kwanza
iliyoTUPAGAWISHA.. Can't wait Part3
weuweeee, credit©producer
Kali
Kazi nzuri Mr Bonventure
The true meaning of Stamina is proved
Stamina umenipa hofu sana kaka hadi naangusha shozi nyinyi wote ni noma aise
Stamina Never disappoint point, One love from Germany 🇩🇪 but Iam a South sudanese 🇸🇸