😂Dah nakumbuka tulichelewa shule tukapanga hakuna kupigwa watu wanne bas kufikw school mwalim wa zam kwann mmechelewa nenda chini nikagoma akasema kaa pembeni wenzangu saa ngap wasikubali dah bas nikaambiwa twende ofini kwa waalimu nilipigwa na waalimu wote na kengele juu utovu wa nidham suspension ndo nilichofaid tu😂
Wa kwanza kutokea Burundi
warundi 🔥🔥🔥🔥
sema uyo mzee namkubali sana joti yani uyo mzee anajua kinoma yani
Mzee talent kubwa
Mzee mbaya sana😂😂😂
Hiv huy ni mzee kumbe
Eti bomu mzee mpaka mabomu anayo😂😂😂😂
"Mwanamke atakuja kutuua, Me angeniambia tu ujue me nimetumwa" Joti is second to none when it comes to dismantling my ribs
Daaahhh Zito anarohombaya kinyama
Wote stoloway harafu unamwachia mwenzio jumba bovuu
Napale ilikuwa wote mnatoboaa😅😂😂😂
Wa kwanza mmekuwa wengi mpewe mauwa yenu🎉
Sawa traole
Watu kama Hawa hawajawahi kuwa wa kwanza darasani hata siku moja ndio Hawa huku wanaoomba like kuwa ndio wakwanza
Ila joti jamani kipaji unacho na unajua halafu unajua tena 👏 👏 👏 👏
😂😂😂JOTI MBUNIFU SANA!COMEDIAN WENGINE WAIGE KAZI HUKU WAWE WABUNIFU.
😂😅 Aliecheka kama mim nip like 👍
Sema zito kafany roh mbay ya kufunga get 😂😂😂
Waze Baba mumetisha💪💪
❤❤❤❤❤ umetishaass mwamba jotiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiuuuuuiiiiiii
Zidlto umemuuza Kitombangile 😂😂😂😂 ila mzee leo katoka powa sana kama Cowboy 😂😂😂
Mi wa kwanzaaaa leo 🤗🤸
Zito ulicho mfanyia mwenzio Mwenyezi Mungu amekuona. Wamubania mwenzio gate akamatwe
Joti I surrender 🙌🏾🙌🏾🙌🏾😹😹😹
You have made my day ASANTE 🤝🏾
Hongera Joti KAZI nzur na jopo lako
Joti plz naomba uwe unatupa 2 episodes per week bcz we love so much kazi yako!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
Nimemiss ngozi😂😂ngozi Kama ya mdudu😂😂
😂😂😂😂huyu jamaa fala sana
Umetisha jotiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉
Mzee mbembe na zitto mmeuwa leo 😂😂😂
Leo nimekuwa wakwanza naombeni like zangu kama zote yani😊
like unazipeleka wapi kenge wewe ?
acha ushamba 😏
video aweke Joti like upewe wewe.
utaliwa....
@@officialkamdudu duu..bro.
Anangatwa nini na manyingu😮
We mbwa nn
hukuwa like❤
Sema joti umeshindikana ngozi kama ya mdudu 😂😂😂😂
😂😂
ZITO KAKUUZA ANATKA WE UFE AWE ANAFAIDI PEKEAKE😅😅😅
Eti umemiss ngozi na kweli wameyatimba leo😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 jot et ngozi kama ya mdudu,watu wanasubilia vifaa sait,ummeyatimba leo😅
Lazima Kwanza Mzigo Utoke Ndo Nione🤣😂
razima niwamwage damu 😂😂😂
Ngozi kama ya mdudu ngroooo😁😁😁
,,,,,,,This guy's is so funny like this from,,🇮🇱
Wa kwanza leo naombeni like jmn
Nimechelewa😅😅
Joti My Best Commedian Keep It Up With Your Team 👊👊
Katika huu mwezi hii ni Kali zaidi😂😂😂❤❤
Ee😂
Tusikifulu nomaa
Leo nnekua wakwanzaaa😂😂😂😂
Zitto cyo pow kumfungia mwenzio get😀😀
Ani naipenda hii nailudia kila ck😂😂
Kazi zuri san brother mwenyezi mungu akubariki san 🙏🙏🙏🙏
Leo kidogo nimewah 😅😅😅😂🤣 like zenu
Joti haya mpinzani katika fani
Bunduki zinaua jamani..🤣💔💔
Nimekuja Kuchachuka Kidogo 😂🤣
Jaman wa 64 mie nipen maua yangu
Saidi umemuacha mwizi mwenzio daah😂😂😂😂
Leo Nimekuwa wa Mwisho hakuna kunipa LIKE👍
mie nimekupa kipenzi
Umekuwa wa mwsho unafkl.hii video unaangalia peke ako
Joti you are more than a comedian 😂😂😂 me naona ukatoa series sasa......toa series moja Safi ama movie
Wa kwanza mnipe like zangu
Joti hatari sana wewe ni mfalme wa comedy 😂😂😂 hongera sana😂sanaa 🎉😅😅😅😅😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉
Dah huwa sipendelei kukoment ila ya leo kaliiii😂😂😂😂
😅😅😅😂 Zito kamuuza mwenzake
Sijawa wa mia leo naomba like ata mbili 😂😂😂😂 Ijumaa ya kutoa stress wallai
like unazipeleka wapi kenge wewe ?
acha ushamba 😏
video aweke Joti like upewe wewe.
utaliwa....
@@officialkamdudu acha makasiriko
Nishai hapo ulikwama wapi?mbona ulishafanya mchongo wa kutoka wote getini,🙏🙏❤❤👍👍
😂😂😂Mnara umesimama
Baada ya saa moja nimepata mcezo
😂😂😂😂😂kimeumana bado hamjasema 😅😅😅
nakubali san jot
Uyo mzee anajua sana joti yuko vizuri sn
Ila hizi akili jmn🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wameelewana fasta humo uvunguni. Ghafla wamekuwa marafiki😂😂😂😂😂😂😂
Joti nomaa
Zitto kazinguwaaaa hahahahahaha
😂😂😂😂😂 sasa zito umemuuza mwenzio wakati plani ilikuwa ya wote msepe
Kuna watu huo hawaaminiki kabisaa lazima wakuchomeshe tuu haijalishi mmepanga kipi...
@@Fgldesigns 😂 kabisa ndugu
😂Dah nakumbuka tulichelewa shule tukapanga hakuna kupigwa watu wanne bas kufikw school mwalim wa zam kwann mmechelewa nenda chini nikagoma akasema kaa pembeni wenzangu saa ngap wasikubali dah bas nikaambiwa twende ofini kwa waalimu nilipigwa na waalimu wote na kengele juu utovu wa nidham suspension ndo nilichofaid tu😂
Hahhaaaa leo nimecheka
Sijapenda huyo jamaa kumfungia mwenzake mlango 😏😏
Daaa bora ata mngeendelea tu kusafishaa😅😅😅
Kazi nzuri 👏👏👏
Mungu akulinde joti na timu yako yote from Kigali
Wasalimie kigali
Nilikua nimenunu ila ukitizama jot comedy lazimq ucheke ukitaka kicheka Wala isipate tabu mtazame jot 😂😂😂😂
Nimemiss iyo ngozii hahaha
Jotiii salute 😂😂😂 na Mzeee Mbembe nawakubali Sana 🤣🤣🤣
Never disappoint jotiiii😂🎉
❤❤❤❤❤😅😅😅😅
Jamani hii si chuma ya ukweli ukweli mimi na wake za watu bc😢😢😢
Hatari sana ❤
Joti umetish san... 🔥🔥
Anhhhh jamn jaman
Siku Yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 🤣🤣🤣😃
Angesema, "Siyo mkojo huo ni sabuni ya maji"
Naam 💥💥💥
😂😂😂😂😂😂😂 happy Friday 🎉🎉🎉
Daah 3:10 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kmamaee nmecheka kw nguvuuu mpk nmejaza watu
Zitto snitch kweli ndo nini sasa kumfungia mwenzio geti 😂😂😂
Jasho la kwapa leo😂😂😂
❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 joti mpumbavu nimechekaaaa na kupaliwaaaa apaaaa
Ngozi kama ya mdudu 😁
It was a good one😂
One of the best😂
Joti noma sana 🤣🤣🤣🤣
mofos joti aisee eti ngozi ka ya mdudu #kitimoto daaah
Joti wew ninoma
nakuliza wenani 😂😂
Mbembe kama BILLY BLANKS😂
Hiki ni muvi, lakin imagine ndo mkeo yupo kazini,
Kuna kazi zingine ngumu sana aiseeh
Ngozi kama ya mdudu😂😂😂😂
Mbona mtu wa usafi
Good work
Umetisha baba pacha
Duh Zito msenge kweli 😂😂😂😂😂 duh nimecheka!!!!
,hahahahahha nimemiss hiyo ngozi hahaha
KUMEKUCHA😂😂😂🤙🤙🤙
Ngoja tuanze jamali uyo
Duu! zito fala xana kakuuza😂😂
Joti we nomaa
Wa kwanza ndoo anapata likes kama ulikua hujuii😂🙏🏾
like unazipeleka wapi kenge wewe ?
acha ushamba 😏
video aweke Joti like upewe wewe.
utaliwa....