Muelevu anajifunza ubunifu na kuvumilia maumivu katka utaftaji kiukwel tunacheka lakin ivo vbao na kukaliwa lakin yoye kupush movement ahead, bravo king comedy
Jamani ndugu zangu watanzania naombeni like zenu huyu jamaa kwa hapa tanzania ana shika namba moja kwa komed joti hakuna kama wewe 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💝💘💘💘💝🙌🙌🙌🙌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Joti jamani mm napenda zaidi ukiigiza kama dada, mm hii ya leo sijaipenda sana, ukweli ukiiza kama kiboga navutiwa zaidi mm ni fun wako kabisaaaaaaa na nakupenda kaka angu
Hapana kaka angu, sina maana awe shoga hapana najua yupo kazini na naelewa joti ni mtu mwenye msimamo na kazi haimpelekeshi...nimesema kama fun wake tu kwa kile ambacho mm naona anapendezea. Najua ni mwanaume na anafamilia but kama fun nimetoa ushauri tu .
Kaka Jot wewe ndio mfalme wa Comedy Tanzania 😂😂😂😂😂😂😂
Really
Icho kibwagizo jamani😂😂😂😂😂😂joti bwana.. nipeni maua yangu⚘️⚘️⚘️utanitakaaaaaaa?
Thank you so much Mr Joti!!!
Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
th-cam.com/video/PRZi_zbJnbM/w-d-xo.html
mtoto eee unatafuna mpaka kijiko....😂😂😂😂😂ila joti....watching it from south africa
Nilivyoona lugalo tu nikasema Leo Kuna mtu atarudi Hana nguo😂😂😂😂❤❤❤
Uliwaza km mm
yaani nilijuwa yatatokea aya,hii movie inaitwaga vp,au lugalo pia
Tangu enzi za Ze comedy Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Joti izi siku unapenda kula tu from Burundi 🇧🇮
Joti 😂😂😂
Jamani Mimi pia naombeni like hata moja
Chukua MAUA yako
Hivi like zinasaidia Nini maana naona watu wanaziomba, anaejua anisaidie
@@leonardmathias9948Hazisaidii chochote basi tu, mtu anapiga hela kwa MB zao yeye analilia likes😅😢😢😢😢😢
@@raffeiystar2870 🤣🤣🤣🤣🤣
Umefanya kitu gani upewe
Hii sehemu ya kuchezesha mkia nimeirejea mara kumi wallah😅😅 dahh
Nikwere kwishaaaaaàaaa jot Kama jot big up Sana 💪 nyie kengee
Jamaniii nimechewa like ata moja basi nishai pesa hana 🤣🤣🤣🤣🤣
like unazipeleka wapi kenge wewe ?
acha ushamba 😏
Uki igiza na uyo dada munaigizaga vizuri sana , usikae mbali naye
Hahaaaa ume toa ujumbe kwa wanaume hawajiamin ndo tabia zao hana hela anataka piga kelele
Leo nimewah jmn my best comedian
Joti you're very silly 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😹😹😹😹😹😹 and we love it and your creativity
Ukisikia kuyakanyaga ndio huku leoo😂😂😂 jotii we ni nomaa
Hata usipotaka utanitaka, nakupa maji kwenye kata unatakata unatoa taka😂😂
Joti my best ever nauku Uganda Kampala we follow you kiboga😂❤😂😂
Dah sema mi napenda unavyochangamka brow yani hadi raha
Vijana wa kiume ambao wameyaaga mshindano😂😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😅😅😅😅
Muelevu anajifunza ubunifu na kuvumilia maumivu katka utaftaji kiukwel tunacheka lakin ivo vbao na kukaliwa lakin yoye kupush movement ahead, bravo king comedy
Diamond platnumnz this man is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥in Africa
😁😁jot ukujua kama hapo ni jeshi pole sana.
Eti wameaga mashindano!bless up Bro!
Yn nimecheka Joti yn we baba jmn una kipaji sana 🙏🏻
😂😂😂 "Eti watoto wa kiume walioaga mashindano"
Alooo alooo alooo..
Joti waniuwa miee, wallah sina mbavu hapa kw kucheka
Hyo kula kama mbuz alaf chezesha mkiaaa, hatariii😅😅😅
Huyu kichaa, joti alisha shindikana kabisa...😂😂😂
😂😂😂nimekupenda kote kote nnje ndani ila joti nimseeeee
Never disappoint jotiiii 😂🤣😋
th-cam.com/video/PRZi_zbJnbM/w-d-xo.html
Ivi ndo wana jesh ndo walivo mamaee waliii apanaa seeee🤣🤣🤣🤣🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Nakukubali bali sana . mwanangu nishai 26 hapa jr car wash kibada ndio kwetu nishai
😂😂😂😂lugalo nao 😂😂😂wapo tayari kukuharibia siku😂😂😂
Hahahaha et ukitembea kaza kiuno kama wanaume wengne waloaga mashindano Jot mpuuzi kweli
wewe ni hatari hauna mpinzan legend kama legend 😂😂😂
Yes
King of Comedy Tz 😂😂😂😂
Ety nishai anauliza hapa niwapi na vile wamesema hatofika mbali😂
"HAPANA, mimi ndo mtoto wa kike!" MAE! Hahahahaha
Mbuzi jike😂😂😂😂😂😂😂😅😅 ❤❤❤❤❤❤❤❤fanya fuju uone 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
Bro ur a real comedian...
Unatembea kama wale wameaga mashindanooo😂😂😂😂
Sema ayo makofi ya kweli yanauma😂😂😂
Mtembeleee Page ya Dr Ridhiwan ❤ vipimo Bureeeee
Unapenda sana kuwachezea hawa wajomba we haya 😂
Yaan me kwa kucheka kote hivyo ni wa kunyimwa likes jmn😂😂😂😂
Nakubali joti from🇺🇲
Heka heka zote izo za nn kwa uwo wali wake wa 2000 na juice ya 1000 jmn 😂😂😂
Joti akiri huna kwakweri😅😅😅😅
😂😂always hujaw kupoa home boy
Mwanamke mfupi mwenye matako jamani mbarikiwe na sir god
😂😂😂😂😂 Nishai ‘’Utanitaka’’ Ety kila mtu na fleva zake
🤣🤣from Kenya🇰🇪
Nimekupendea kote kote, nje ndani😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 joti utaniuaaa😂😂😂😂 eti meeeeeeee tena mbuzi jike
eti msiwe kama hawa wenzenu walioaga mashindano ila joti daaah😂😂😂
Joti hapa umeamua na huo mkia unavyotingisha 😂😂😂 vibao vya makalio sasa vinavyoitikia mkia sasa joti umeua kama kweli 😂😂😂😂😂😂😂
Jamani ndugu zangu watanzania naombeni like zenu huyu jamaa kwa hapa tanzania ana shika namba moja kwa komed joti hakuna kama wewe 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💝💘💘💘💝🙌🙌🙌🙌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Like za nn ww unakula au
muongo
Nambeni like kwa nihaba ya jot😂
😂😂😂Dah jamaa kapigwa kibao cha tako kimelia paaah!!!
😂😂
Kuna kofi kapigwa la kalio limelia taaaa😂😂😂 Joti 🙌
Ata mm nimeliona jamani daaah
😂😂huyo ndo JT
Noma sana 😂😂❤
Watoto wa kiume waloaga mashindanoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hiyo nimeelewa ila joti acha dharua kwahiyo wenziio ni machoko 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha usitukane mamba kabla hujavuka mto 🤣🤣🤣 umepatikana leo manina
Great episode 🔥❤️🔥
Helow
Unaitwa nani??
th-cam.com/video/PRZi_zbJnbM/w-d-xo.html
th-cam.com/video/PRZi_zbJnbM/w-d-xo.html
😂😂😂😂😂😂Joti amekanyaga waya wa gridi ya taifa
Utanikataka 😂😂😂😂 hivi hapa ni wapi sir 😅😂😂
Chezesha mkiya😂😂😂yeye anachezesha inye
Oyaaa mwanaume unapigwa vp matako ivo vibao UPINDE huyu
Tittle tuu imenichekexha😂😂😂
Leo wa kwanza kabisa nipeni mi like yangu
Nawachemsha, wamelala sana hawa 😂😂😂
Alosikia makofi ya matako ya mlewa kwa joti yanalia pyaaa nani😅
🤣🤣🤣🤣kakiweka kimoja hapo hatar
Hhhhhhhhhhh
😂😂😂King wewe khaa unamuonea mwana wa mwenzio . Looo nikikukamata nalipoza
Usije ukawa tu huna Hela 😂😂😂😂
Kumbe ana lipa mwanamke 😂🤣🤣🤣🤣😂🤣
😂😂😂😂😂😂😂😭 jotii kulaninaaa.. untikisa mkiaaaa😂😂😂😂
Bob J😂😂😂😂 big up unajua mwamba.
Unatembea kama watoto wakiume walioaga mashindano!!???😂😂😂
Niatari kijana wangu kaza kiuno😀😁😂🤣
'Hata usipotaka utataka, ukikataa nitakupakata,nitakupa maji kwenye kata utapakata utakuwa huna hata taka' 🤣🤣🤣🤣 @jotitv #JotiTV @JotiTV
From Kenya we silute u bro nice job
😂😂😂😂joti ndio kiboko ya komed❤❤❤😊
th-cam.com/video/PRZi_zbJnbM/w-d-xo.html
😂😂😂😂😂 Joti Ameyakanyaga 😂😂😂😂😂🔥🔥🔥
Hivi hizi LIKES mnazoomba,zinawasaidia nini jamani?labda mi sielewi
Jotiii ww mngeseew sanaaaa❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
Daaah ila joti, likes kwake za heshima❤🎉
likes unazipeleka wapi kenge wewe ?
acha ushamba 😏
Dah Joti😂😂😂😂😂....umeumbwa na kazi yako unaifanyia haki hapa duniani😅😅😅
th-cam.com/video/PRZi_zbJnbM/w-d-xo.html
joti.....umetisha sana
Joti jamani mm napenda zaidi ukiigiza kama dada, mm hii ya leo sijaipenda sana, ukweli ukiiza kama kiboga navutiwa zaidi mm ni fun wako kabisaaaaaaa na nakupenda kaka angu
mwanaume ataigizaje Kama mwanamke huo ni ushoga
Hapana kaka angu, sina maana awe shoga hapana najua yupo kazini na naelewa joti ni mtu mwenye msimamo na kazi haimpelekeshi...nimesema kama fun wake tu kwa kile ambacho mm naona anapendezea. Najua ni mwanaume na anafamilia but kama fun nimetoa ushauri tu .
Wanawake ndo tabia zao huwa wanapenda wanaume wanaojifananisha nao@@alexjulius6354
Nimejifunz kwan sisi wanaume tukiwa mbel ya mwanamke tunapenda kujikubar mno
Apo joti aliogerea motoni bila kujua😂😂😂😂😂😂😂
Hapo sawa nishai😁😆😆
Kaza kiuno mtt wa kiume
Unatembea kama wale vijana walioaga mashindano
Never disappoint joti😂😂😂
Watoto wa kiume ambao wameaga mashindano😅
🤣🤣🤣🤣🤣
Hata kama ndiyo kuigiza ndiyo mumchape matako 🌈
Hahahhahaha huyu jamaaa ameshindikana
Ume ya kanyaga Kwa kina Malwa 😂😂😂
Joti unajua sana ni kama uhalisia kumbe igozo
Joti nimekuelewa😂😂😂🙌🙌🙌
Maswali Mingi kwa Waiter hauna hela..😊😊😊
#Nishai Mtombangile Kitwango Mikazo miguno 😂🙌