Hii kazi ni ngumu kweli yahitaji subira kwa sababu swali limeuliza na wakati ukaisha kabla halijajibiwa....mashallah Allah awape hifadhi my brothers and colleagues!!!
Poleni sana walimu. Allah awalipe janah. Walahi kazi ngumu. Wanawake wanajipandisha roho wakiona wanaume wanawapigia makofi na wakipewa mic ni shida kuchukua kutoka kwao. Huyu dada anaona kama anasema kitu maana lakini anaropoka tu.
Wakristo washangaza sana mtu anaulizwa swali rahisi anabakia anababaika tu, wanapoulizwa waislam wanakuwa straight wanajibu wao wanapiga kelele tu. Someni maandiko muyaelewe, na mkiyaelewa tu basi ukristo baibai
Kwakweli hao wazungu walioleta u kristo huko kwao wanasilimu makundi kwa makundi sijui wakenya hawaini hio???mzungu ni mtu wa kufanya research sio wafrica ubishi bila akili na hawataki kusoma bible wajue makosa ni mengi wanamkosea Mmungu
Wallah mwenye zimungu awaongoze ndugu zetu kw a adam hawa wairisto manake wataenda uchomwa hawa vibaya milele sababu wamedanganywa ati ww uwamini yesu tuu bc waenda peponi ingekua huvyo sote tungeenda huko kwa ukiristo hakuna kazi ww kuamini tuu bc juma pili tuu bc sini raha hio alafu wazini, waiba,watembea uchi kaa huu dada hapa alafu ati apandisha mapepo hahhah 😂😂😂 moto huo mujue

Amin sote
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu...Maa Shaa Allah, naona Ustadh Mwirigi amehitimu, Allah awahifadhi nawapenda sana
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu, Amin sote
Ustadh Wambugu,, kafiri ndacha ameleta jeuri mda mrefu sana wakati haupo. HEBU FANYA UMCHAKARISHE.
#Armie2Palestine
#WorkForChange
#WorkForPeace
#WorkForKhilafah
Ustadh Inshallah next time toa hao watu nyuma ya msomaji
MashaAllah TabarakaAllah
Wakristo washangaza sana mtu anaulizwa swali rahisi anabakia anababaika tu, wanapoulizwa waislam wanakuwa straight wanajibu wao wanapiga kelele tu. Someni maandiko muyaelewe, na mkiyaelewa tu basi ukristo baibai
Mnakuanga lini nkuje
Sawa
Pia mombasa mfike sheikh yusuf karibuni xaana ❤❤❤❤❤
InshaaAllah
Apo kweli lkn tujitumeni kama waislam kuwachangia wafike maeneo tofauti
Mashallah tabarkala...Allah awazidishie bless you 🙏 kazi mzuri maustadh
Amin sote
To be a muslim is a massive from Allah
Yesu mzaliwa wa kwanza mamake kazaliwa wa ngapi
Simba ya Allha uwanjani
Mfike na uku Ruiru tafadhali maana cjawai ona midahalo uku na kunahitaji daawa zaidi
Haya maeneo uku waslam ni wachache sana na pia wanahitaji daawa kama izo ili kujenga imani
Shekh YUSUPH please🙏 kumbukeni na uku pia
Wazugu wenyewe wanaona haki nakufuata.islam is the only way to almighty God
Kwakweli hao wazungu walioleta u kristo huko kwao wanasilimu makundi kwa makundi sijui wakenya hawaini hio???mzungu ni mtu wa kufanya research sio wafrica ubishi bila akili na hawataki kusoma bible wajue makosa ni mengi wanamkosea Mmungu
huyu mwanadada hana elimu anaongea kama kasuku bila maandiko
Wallah mwenye zimungu awaongoze ndugu zetu kw a adam hawa wairisto manake wataenda uchomwa hawa vibaya milele sababu wamedanganywa ati ww uwamini yesu tuu bc waenda peponi ingekua huvyo sote tungeenda huko kwa ukiristo hakuna kazi ww kuamini tuu bc juma pili tuu bc sini raha hio alafu wazini, waiba,watembea uchi kaa huu dada hapa alafu ati apandisha mapepo hahhah 😂😂😂 moto huo mujue
Na wanawake wanyamaze 😂😂😂 hiii nayo huyu mdenge haoni ama nini
🤣🤣🤣Yaarabi Madenge
Ukristo bila kupiga kelele hawana hoja. They don't have evidence to prove their faith.
Ukristo unaongozwa na akili za wanaadam na sio mafundisho ya vitabu
HatakitabuChao.hawakiamini.nimdomoni.basi