Mashallah uctadha kazi nzrr Allah humuongoza amtakaye jitahdn ukwel ukidhihirika uongo utajitenga. Hamna haja ya kurdi nyumba Allah ndie mlinzi wenu ipo cku watajua ukwel na kuingia ktk dini aliyoridhia Allah na hkuna wa kuabudiwa ile yy peke ake. Msonge mbele nyuma mwiko. Pambaneni kesho Akhera mtaishi km wafalme. Allahumma Amiin Waa- Iyyaka.
Hata huko studio ni ujanja ujanja ramadhan anafanya sema kwa vile nyie hamsomi ndio mnamuona mkali ila hakuna kitu zaidi ya kuungaunga na hata akielezewa vizuri anajifanya hajaelewa ili awachanganye nyie mlioelewa
@@saleemadhiyabalkhatri7800 Sasa si bora sisi nyie mnaamini Yesu atakuja kuchoma nguruwe, atakuja kuoa, mara kuvunja misalaba, hivi inakuingia akilini eti Yesu atakuja aoe duniani 😂 na bado eti mnaamini upuuzi kama huo dah si msiba mzito, halafu mnasema mnamjua Yesu 😂, Mohamad mwenyewe alishawaambia anasubiri hukumu kutoka kwa Yesu ila nyie mmeamua kumfata anayesubiri hukumu, asiyejua siku ya kiama atafanywa nini wala nyie mtafanywa nini na yupo katika wanaoongoja hukimu ila mkamuacha yesu anayesubiriwa namohamad na atakayetoa hukumu, hii haihitaji akili kushituka ni vile tu jini zam zam ashawashikilia ubongo.
@@mobutu3884 mjanja mjanja ni Stephen Gichuhi, maneno mengi na kutoa maandiko nje ya mada. Ukiitwa studio uwe umejipanga, pale hatutaki story. Maandiko yatembee.
Yes Shekhe,jibu lako la kuhusu kupewa wake peponi limenifanya nifikirie kwa logic: peponi hakuna kufanya kazi ya kutafuta rizki nk;ni sehemu ya starehe;na maisha ni ya milele;so kuwa na wanawake 70 ina logic ndani yake. Just imagine hapa duniani mtu mwenye miaka 80 akisema ahesabu watu aliowahi kutana nao basi uwiano utaupata akiishi milele
@@wakeshojana Dies kweli maana ulimwenguni tunaona uislamu ukimea wakristo huchukua shahada kila time ni raha tupu uislamu unakua mkubwa wewe baki na chuki zako tu, hao wazungu waliokuletea u kristo wanasilimu na family zao na makanisa kuwa miskiti kazi kwako
Kabisa wenzetu wanachuki nasie halafu niwabishi na hawana subra wanakasirika maramoja lakini mtazame shekh wetu anamoyo wasubra kweli wao ni mijeuri mibishi wakaenad8ni yao ya upotoshi mijinga kweli
Ni sawa sheikh Ramadhani yaani huyo mgala umemzima vizuri hana haja ya kumwita studio mana yupo kibishi sio kusoma (jamaa time waster) Bora ndacha kuliko huyo...mana ndacha anajuwa maandiko lkn huyo totally blinded.
Kwa elimu yangu ndogo nadhani Surah At Taubah haina BASMALLAH بسم الله الرحمن الرحيم Unapoanza kusoma. Wakristo na wasujudu kivitendo sio kiroho😂 Allah Awahifadhi Ma~Ust wetu.
Huyo jamaa wa jacket la blue ni msabato mbishi na mkorofi. Ana julikana hata madaawa wenzako hawamruhusu juu hupenda kupoteza mda usimruhusu huyu mbishi. Ramadan huyo msabato mbishi sana
Watu wanasilimu makundi kw makundi wakiona haki wanasilimu.someni Quran mtajua Mohammad n Mtume wa mwenyezi Mungu kwan maneno aliyatoa si kutoa akilini kwake .hakua msomi
Huyu jamaa wa blue hana lolote wake ni ubishi tu na lengo lake huwa ni kupoteza muda na nashkuru kuona sheikh umeliona na ndio maana leo umemdismiss mapema.
Bibilia haipoteshi, straight path ndio wanaopetesha kwa kutumia maandiko ya bibilia vibaya. Bibilia inasema Sinagogi ni musikiti ya wayahudi sio waisilamu. Quran ndio ina maneno ya kupotisha kama vile jua kutua kwenye matope 18:86 na vi;e vile kusema kuwa 'sperm" inatoka baina ya kifua na mgogo sehemu ya mwili 86:5-7.
Muslims do not have to interpret the Quran but to act the way it is written. Therefore, Quran 22:78; Fight in the cause of Allah… is to be literally acted upon. What Ramadhan is trying to justify that fighting does literally mean inflicting pain is out of place. He has explained “kusujudu” literally not like the Christian puts it. I beg the followers of this channel to come to the Lord Jesus Christ - He is the Prince of Peace, the Lord of Lords and the Eternal God who will judge both the living and the dead. He is the Way, the Truth and the Life. Islam is summarized in this verse, “There is a way that seems right to a person, but its end is the way to death”, Proverbs 14:12
Othis , mungu akuongoze kaka. Unakubali mungu iliakusamehe madhambi kwa kumkosea, akawa mwanadamu kwa kubebwa kwa tumbo miezi 9 kuzaliwa kuwa mtoto mpaka akawa mkubww ndo akufe ili tu akusamehe madhambi. Yaani hana uwezo kuksamehe bila yeye kufa!
@@ufafanuzi4382 Deuteronomy 29:29 - The secret things belong to the Lord our God, but the things revealed belong to us and to our children forever, that we may follow all the words of this law. Mambo ya Mungu ni ya Mungu. Kwa hivyo kama aliamua mwanawe afe ndiposa tusamehewe dhambi sisi hatuna pingamizi.
@@kennodhiambo si mwanawe afe bana. Ni mungu mwanyewe afe , so yesu ni part of one God. Ni son na yeye ni mungu. Ndugu, God the almighty haezi samehe tu hivi mpaka afe ! Mungu wa agano la kale alikuwa anasamehe bila yeye kufa! Mbona enzi ya yesu baada ya tora mungu aamue sasa lazma nife ndo nisamehe madhambi kwanzia sasa. Kisha verse ya " for God so loved the world......" ingekuwa ni wakati ya mwanzo ya wanadamu kuishi duniani wakati wa akina noah, tunge elewa. Lakini mwisho wa dunia wakati wa yesu baada ya musa ndo mungu aamue sasa ntakufa kusamehe madhambi na wakati ya kale watu waliomba tu msamaha. Huoni hili ni jambo lipya! Kwani mungu hakupenda dunia wakati wakina noah , mpaka abraham mpaka musa. Kuna karne mingi kati wa wakati wa noah mpaka musa , zaidi ya yesu mpaka sasa. Mbona mungu abadilike form awe one in 3 mwisho , ilhali tangu kitambo kwa agano la kale mungu alikuwa mmoja tu bila utatu. Wala hoja ya mwanawe ambaye ni yeye pia kafa kuajili ya kusamehe madhambi haikuwepo hizo karne zote. Hili ni jambo jipya kaka, hauoni!
@@kennodhiambo nauliza tu ni wapi yesu ama mungu alisema yesu atakufa kuajili za thambi zenu ! Ama mnaenda na statement ya wale ambao wamemuua "But one of them, Caiaphas, who was high priest that year, said to them, “You know nothing at all. 50 Nor do you understand that it is better for you that one man should die for the people, not that the whole nation should perish.”51 He did not say this of his own accord, but being high priest that year he prophesied that Jesus would die for the nation, 52 and not for the nation only, but also to gather into one the children of God who are scattered abroad. 53 So from that day on they made plans to put him to death." Was it plan of God or those that disbelieved in him wanting to kill him
Quran ni kitabu cha mpinga Kristo, Malaika walioanguka ndio waliompa Muhammad Quran, Galatians 1:6-9 [6]I marvel that ye are so soon removed from him that called you into the grace of Christ unto another gospel:⬅️ [7]Which is not another; but there be some that trouble you, and would pervert the gospel of Christ.⬅️ [8]But though we, or an➡️ angel from heaven,⬅️ preach any other gospel ⬅️unto you than that which we have preached unto you, let him be accursed.⬅️ [9]As we said before, so say I now again, If any man preach any other gospel unto you than that ye have received, let him be accursed.⬅️
Sasa ndugu qurani haipingi agano la kale na jipya ikija kwa mungu ni nani. Ingekuwa hija toka kwa huyohuyo mungu ingeleta mambo mapya kabisa. Mungu wa waislamu yuleyule wa watume wa kale, mungu wa yesu. Ni wakristo tu wakamfanya yesu aliyekuwa na mungu kuwa mungu mwenyewe.
@@ufafanuzi4382 wewe unajua agano la kale kweli? Unafahamu kwamba kulikuwa na kafara za wanyama ili waisraeli waweze kusamehewa dhambi zao? Unafahamu umuhimu wa kafara katika Torati? Unafahamu kwa nini Yesu Kristo alikuwa mwisho wa kafara kwa ulimwengu wote kwa wote watakaoamini? Kama kweli Quran inafahamu maana ya agano jipya kwa ulimwengu wote ingekubali haya maneno 1 Wakorintho 11:25 [25]Na vivi hivi baada ya kula akakitwaa kikombe, akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu; fanyeni hivi kila mnywapo, kwa ukumbusho wangu. After the same manner also he took the cup, when he had supped, saying, This cup is the new testament in my blood: this do ye, as oft as ye drink it, in remembrance of me. Mathayo 26:28 [28]kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi. For this is my blood of the new testament, which is shed for many for the remission of sins.
yesu hakuwa mkiristo....meza wembe... hata wakati wake hakukuwa wala kanisa....wala hajui ukiristo...ninyi ndio mlijikusanya mkapanga dini ya ukiristo....
ninyi hata hamjui yesu....sisi ndio tunamjuwa zaidi tena tuna mu enzi...tena tunamuamini...ni mtume wa mungu....tena mwenye daraja ya juu....yesu sio mungu...hata sifa za uungu hana
mwenyezi mungu hawezi leta mitume na dini tofauti tofauti...mitume wote walikuwa dini moja....aliyokuja nayo nabii Adam...so nikuulize,,labla ya yesu...wale manabii wa kwanza walikuwa dini gani ? kwa sababu ukiristo umeanza miaka mingi baada ya yesu kuondoka duniani
Mbingu zitatoweka dada, hata yesu mwenyewe tutakua naye peponi, sasa wewe na mbingu yako jipange, sisi waislam hatutaki mbingu, tunataka JANNAH, na yesu hatambui bibilia, hatambui makanisa wala watu wanaojiita wakiristo, waislam ndio watu pekee wanaomjua yesu na kumpenda ,hizo chuki zako pelekea Paulo huyo ndie alikwambia uwe mkiristo
Wajaluo na kingereza lazima mtatii❤❤❤ anyway ma Sha Allah
Suratul waqiyah, imeongeza pia, watapewa mahururaini wazuri kabisa
Ramadhan kuria Allah Akufanyieni wepesi pamoja na ustadh mwenzio❤❤❤🤲🤲🤲🤲🤲
WalykmMsalamWarahamatullahWabarakatuh.AllahAwahifadhiMashekh.wetuInshaAllah.
Mashallah uctadha kazi nzrr Allah humuongoza amtakaye jitahdn ukwel ukidhihirika uongo utajitenga. Hamna haja ya kurdi nyumba Allah ndie mlinzi wenu ipo cku watajua ukwel na kuingia ktk dini aliyoridhia Allah na hkuna wa kuabudiwa ile yy peke ake. Msonge mbele nyuma mwiko. Pambaneni kesho Akhera mtaishi km wafalme. Allahumma Amiin Waa- Iyyaka.
maashallah natamani ningekuwa kenya nikafatana nanyi❤❤❤❤❤❤❤❤
Mwanga wa Uislamu unaendelea kuwafikia hawa ndugu zetu. Allah awaongoze njia iliyo sahihi ya Uislamu amiin yarabb ❤❤❤.
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa iendelee Allahamdhullah barikiweni sana sana kwa mafundisho bora yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran
😂😂ama mm nimujinga Innalmutakina mafaza innshaallah. Kurya🎉🎉🎉 mwenyezi mungu. Awaongoze wasokuwa waislam
Mashallah maalim
Shukran jazaka llah kheir
Mashaallah Allha 💖
Ma sha Allah
Masha'Allah ❤❤❤
MashAllah
Huyo msabato fanya kweli Sheikh aje studio. Anaonekana mbishi sana, na watu wabishi dawa yao one on one, maandiko kwa maandiko.
Hata huko studio ni ujanja ujanja ramadhan anafanya sema kwa vile nyie hamsomi ndio mnamuona mkali ila hakuna kitu zaidi ya kuungaunga na hata akielezewa vizuri anajifanya hajaelewa ili awachanganye nyie mlioelewa
Hunajipy nyie wabishi katika watu wabishi ninyie eti yesu atakuja kuwakomboa atakuja kuwakataa kilammoja abebe msaraba wake
@@saleemadhiyabalkhatri7800 Sasa si bora sisi nyie mnaamini Yesu atakuja kuchoma nguruwe, atakuja kuoa, mara kuvunja misalaba, hivi inakuingia akilini eti Yesu atakuja aoe duniani 😂 na bado eti mnaamini upuuzi kama huo dah si msiba mzito, halafu mnasema mnamjua Yesu 😂, Mohamad mwenyewe alishawaambia anasubiri hukumu kutoka kwa Yesu ila nyie mmeamua kumfata anayesubiri hukumu, asiyejua siku ya kiama atafanywa nini wala nyie mtafanywa nini na yupo katika wanaoongoja hukimu ila mkamuacha yesu anayesubiriwa namohamad na atakayetoa hukumu, hii haihitaji akili kushituka ni vile tu jini zam zam ashawashikilia ubongo.
@@mobutu3884 mjanja mjanja ni Stephen Gichuhi, maneno mengi na kutoa maandiko nje ya mada. Ukiitwa studio uwe umejipanga, pale hatutaki story. Maandiko yatembee.
Mashallah sheikh
Inn kama kawa kama dawa
مشأ الله تبارك الله
Yes Shekhe,jibu lako la kuhusu kupewa wake peponi limenifanya nifikirie kwa logic: peponi hakuna kufanya kazi ya kutafuta rizki nk;ni sehemu ya starehe;na maisha ni ya milele;so kuwa na wanawake 70 ina logic ndani yake. Just imagine hapa duniani mtu mwenye miaka 80 akisema ahesabu watu aliowahi kutana nao basi uwiano utaupata akiishi milele
😅 Mashallah
Yan ww usidanganywe labd hiyo pepo sio ya mungu wa isaka,ibrahim,na yakobo ila km n ya muhamad utakuta hao wanawake
@@SiriliNachan WITHOUT LIES, ISLAM DIES!!
@@wakeshojana
Dies kweli maana ulimwenguni tunaona uislamu ukimea wakristo huchukua shahada kila time ni raha tupu uislamu unakua mkubwa wewe baki na chuki zako tu, hao wazungu waliokuletea u kristo wanasilimu na family zao na makanisa kuwa miskiti kazi kwako
Kabisa wenzetu wanachuki nasie halafu niwabishi na hawana subra wanakasirika maramoja lakini mtazame shekh wetu anamoyo wasubra kweli wao ni mijeuri mibishi wakaenad8ni yao ya upotoshi mijinga kweli
Ni sawa sheikh Ramadhani yaani huyo mgala umemzima vizuri hana haja ya kumwita studio mana yupo kibishi sio kusoma (jamaa time waster) Bora ndacha kuliko huyo...mana ndacha anajuwa maandiko lkn huyo totally blinded.
😂
Kazi kubwa munafanya nawapenda kw ajil ya MUNGU
Ramadhan huwez hoja za wakristo
Kwa elimu yangu ndogo nadhani Surah At Taubah haina BASMALLAH
بسم الله الرحمن الرحيم
Unapoanza kusoma. Wakristo na wasujudu kivitendo sio kiroho😂
Allah Awahifadhi Ma~Ust wetu.
Lazima wakimbie kwenye Qurani kkkk KKK Bilia ni moto.
Huyu jamaa wa bluu ameuliza maswali mazuri sana lakini Ramadhan hakuweza amekwepa
Ramadhan ameshindwa
Huyo jamaa wa jacket la blue ni msabato mbishi na mkorofi. Ana julikana hata madaawa wenzako hawamruhusu juu hupenda kupoteza mda usimruhusu huyu mbishi. Ramadan huyo msabato mbishi sana
Watu wanasilimu makundi kw makundi wakiona haki wanasilimu.someni Quran mtajua Mohammad n Mtume wa mwenyezi Mungu kwan maneno aliyatoa si kutoa akilini kwake .hakua msomi
Mohamed alioa mtoto wa miaka 9
@@pamelaoganga4367Na'am,, wee wasemaje?
@@jamilaomari2444na yeye anataka wa 5yrs mana kaona wivu Muhammad kuoa 9yrs😅
@@mimahmimah1595 😂😂😂🤣
@@jamilaomari2444 yan wenzetu hua wana makasiriko na mtume wetu cjui aliwakosea nn
Maalim timbiliya isiolo
Wasabato wapinga aya
kuhusu sinagogi kuwa msikiti kwa mujibu wa bibilia je imekosea kusema hivi
Fukuza watu kama hao wanapoteza wakati
Huyu jamaa wa blue hana lolote wake ni ubishi tu na lengo lake huwa ni kupoteza muda na nashkuru kuona sheikh umeliona na ndio maana leo umemdismiss mapema.
Umejulikana huo unjanja wako
Uyu jamaa ajitia uzungu na hali ya kuwa ni mkenya na ndio maana wakaletewa ukristo bila kuchunguza yaliyomo wakaingia ukichwa ukichwa wakapotea
Ramadhan wewe ni mcheshi sana eti mkristo atafute usaidizi kwenye Quran!!! Usaidizi gani Quran inaweza kumpa aliye na Yesu Kristo?
Bibilia haipoteshi, straight path ndio wanaopetesha kwa kutumia maandiko ya bibilia vibaya. Bibilia inasema Sinagogi ni musikiti ya wayahudi sio waisilamu. Quran ndio ina maneno ya kupotisha kama vile jua kutua kwenye matope 18:86 na vi;e vile kusema kuwa 'sperm" inatoka baina ya kifua na mgogo sehemu ya mwili 86:5-7.
Huyo achana naye zero brain huyo
Ijumaa yenu mlitoa wapi
Ujanja wako huo Ramadhan mlishindwa na ndacha mwaenda kwa vichochoro
wacha chuki pastor wenu ndacha alishanyolewa na ww weka maswali yako ujibiwe
Muslims do not have to interpret the Quran but to act the way it is written. Therefore, Quran 22:78; Fight in the cause of Allah… is to be literally acted upon. What Ramadhan is trying to justify that fighting does literally mean inflicting pain is out of place. He has explained “kusujudu” literally not like the Christian puts it. I beg the followers of this channel to come to the Lord Jesus Christ - He is the Prince of Peace, the Lord of Lords and the Eternal God who will judge both the living and the dead. He is the Way, the Truth and the Life. Islam is summarized in this verse, “There is a way that seems right to a person, but its end is the way to death”, Proverbs 14:12
Bibles wrote to fight women who are pregnant, breastfeeding old people etc Bibles are dangerous people don't read the Bibles
Othis , mungu akuongoze kaka. Unakubali mungu iliakusamehe madhambi kwa kumkosea, akawa mwanadamu kwa kubebwa kwa tumbo miezi 9 kuzaliwa kuwa mtoto mpaka akawa mkubww ndo akufe ili tu akusamehe madhambi. Yaani hana uwezo kuksamehe bila yeye kufa!
@@ufafanuzi4382 Deuteronomy 29:29 - The secret things belong to the Lord our God, but the things revealed belong to us and to our children forever, that we may follow all the words of this law. Mambo ya Mungu ni ya Mungu. Kwa hivyo kama aliamua mwanawe afe ndiposa tusamehewe dhambi sisi hatuna pingamizi.
@@kennodhiambo si mwanawe afe bana. Ni mungu mwanyewe afe , so yesu ni part of one God. Ni son na yeye ni mungu. Ndugu, God the almighty haezi samehe tu hivi mpaka afe ! Mungu wa agano la kale alikuwa anasamehe bila yeye kufa! Mbona enzi ya yesu baada ya tora mungu aamue sasa lazma nife ndo nisamehe madhambi kwanzia sasa. Kisha verse ya " for God so loved the world......" ingekuwa ni wakati ya mwanzo ya wanadamu kuishi duniani wakati wa akina noah, tunge elewa. Lakini mwisho wa dunia wakati wa yesu baada ya musa ndo mungu aamue sasa ntakufa kusamehe madhambi na wakati ya kale watu waliomba tu msamaha. Huoni hili ni jambo lipya! Kwani mungu hakupenda dunia wakati wakina noah , mpaka abraham mpaka musa. Kuna karne mingi kati wa wakati wa noah mpaka musa , zaidi ya yesu mpaka sasa. Mbona mungu abadilike form awe one in 3 mwisho , ilhali tangu kitambo kwa agano la kale mungu alikuwa mmoja tu bila utatu. Wala hoja ya mwanawe ambaye ni yeye pia kafa kuajili ya kusamehe madhambi haikuwepo hizo karne zote. Hili ni jambo jipya kaka, hauoni!
@@kennodhiambo nauliza tu ni wapi yesu ama mungu alisema yesu atakufa kuajili za thambi zenu ! Ama mnaenda na statement ya wale ambao wamemuua
"But one of them, Caiaphas, who was high priest that year, said to them, “You know nothing at all. 50 Nor do you understand that it is better for you that one man should die for the people, not that the whole nation should perish.”51 He did not say this of his own accord, but being high priest that year he prophesied that Jesus would die for the nation, 52 and not for the nation only, but also to gather into one the children of God who are scattered abroad. 53 So from that day on they made plans to put him to death." Was it plan of God or those that disbelieved in him wanting to kill him
Ramadhan wewe wagonganisha wakristo c vzuri ivo hao wote wajumapili wanaamini yesu kafa na kufufuka
Mbona unajitetea sana toa Hoka ujibiwe na sio kokoment tofauti tofauti kama hujiamini
Quran ni kitabu cha mpinga Kristo, Malaika walioanguka ndio waliompa Muhammad Quran,
Galatians 1:6-9
[6]I marvel that ye are so soon removed from him that called you into the grace of Christ unto another gospel:⬅️
[7]Which is not another; but there be some that trouble you, and would pervert the gospel of Christ.⬅️
[8]But though we, or an➡️ angel from heaven,⬅️ preach any other gospel ⬅️unto you than that which we have preached unto you, let him be accursed.⬅️
[9]As we said before, so say I now again, If any man preach any other gospel unto you than that ye have received, let him be accursed.⬅️
Sasa ndugu qurani haipingi agano la kale na jipya ikija kwa mungu ni nani. Ingekuwa hija toka kwa huyohuyo mungu ingeleta mambo mapya kabisa. Mungu wa waislamu yuleyule wa watume wa kale, mungu wa yesu. Ni wakristo tu wakamfanya yesu aliyekuwa na mungu kuwa mungu mwenyewe.
@@ufafanuzi4382 wewe unajua agano la kale kweli? Unafahamu kwamba kulikuwa na kafara za wanyama ili waisraeli waweze kusamehewa dhambi zao? Unafahamu umuhimu wa kafara katika Torati? Unafahamu kwa nini Yesu Kristo alikuwa mwisho wa kafara kwa ulimwengu wote kwa wote watakaoamini?
Kama kweli Quran inafahamu maana ya agano jipya kwa ulimwengu wote ingekubali haya maneno
1 Wakorintho 11:25
[25]Na vivi hivi baada ya kula akakitwaa kikombe, akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu; fanyeni hivi kila mnywapo, kwa ukumbusho wangu.
After the same manner also he took the cup, when he had supped, saying, This cup is the new testament in my blood: this do ye, as oft as ye drink it, in remembrance of me.
Mathayo 26:28
[28]kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.
For this is my blood of the new testament, which is shed for many for the remission of sins.
There is not Muslim he well go to heaven
Muslim bhna tusichoshane ww km hauna yesu jesus christ kweny maisha yako we mbingu isahau kabisa yan USAHAU
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
yesu hakuwa mkiristo....meza wembe...
hata wakati wake hakukuwa wala kanisa....wala hajui ukiristo...ninyi ndio mlijikusanya mkapanga dini ya ukiristo....
ninyi hata hamjui yesu....sisi ndio tunamjuwa zaidi tena tuna mu enzi...tena tunamuamini...ni mtume wa mungu....tena mwenye daraja ya juu....yesu sio mungu...hata sifa za uungu hana
mwenyezi mungu hawezi leta mitume na dini tofauti tofauti...mitume wote walikuwa dini moja....aliyokuja nayo nabii Adam...so nikuulize,,labla ya yesu...wale manabii wa kwanza walikuwa dini gani ? kwa sababu ukiristo umeanza miaka mingi baada ya yesu kuondoka duniani
Mbingu zitatoweka dada, hata yesu mwenyewe tutakua naye peponi, sasa wewe na mbingu yako jipange, sisi waislam hatutaki mbingu, tunataka JANNAH, na yesu hatambui bibilia, hatambui makanisa wala watu wanaojiita wakiristo, waislam ndio watu pekee wanaomjua yesu na kumpenda ,hizo chuki zako pelekea Paulo huyo ndie alikwambia uwe mkiristo
MASHA ALLAH 💚💚💚
Ramadhan huwez hoja za wakristo