Mashaallah kachara uko juu mungu amzidishye hekma na elmu busara shekhe wetu inshalla wapumbavu km hao wapo wengi sana shukran kwa kuliona hilo kachara usimtoe
Kachara asema hamuachi ng'oooo' na pesa harejesh maana hemtuma ampe ati 😀😀 ondoka icmtizame kwa jicho la huruma na ana haki ya kumfukuza kachara ww noooooma hampati mke mzur km huyu tn ukome ukome kabisa
kuna watu nyumbani hufanyiwa vitendo vibaya , mwanamke atapigwa na kutukanwa na ukoo wake anadai talaka hatoi jamaa ni talaka ya 3 , kupelekana kwa kadhi na kurejesha mahari . ikisha anapata rizki Alhamdulillah katulia kwake yule na bwana anaoa, ikisha yule anakuja kumtia ushawishi achwa nikuoe turejeane tulee wenetu na mwanamke anakubali . ama hapa mimi ni mwanamke lakini huwa naona wanawake tunajidhalilisha wenyewe.
kachara ukimuacha kwa lengo lakurudi kwa mumewe nawe una jukumu . hakuna ndoa hiyo yakutoa muhalili . ndoa nyingi siku hizi zinatumika njia hii , wanaume munapooa muwe makini kuoa wanawake waloachika wengi wao leo nikurudi kwa waume zao.
Hana akili huyu bwana kumuacha mke talaka 3 kwa sababu hakushika cm ni upumbavu kabisa sasa ngoja na umuombe huyu mzee amuache kwa hiari yake ndipo wewe umuoe
I proud to be Muslim and I love Zanzibar's
Wanakuita pemba mm nakuita home
Mashaallah vzr
Mashaallah kachara uko juu mungu amzidishye hekma na elmu busara shekhe wetu inshalla wapumbavu km hao wapo wengi sana shukran kwa kuliona hilo kachara usimtoe
Mashaallah mafunzo mazuri
Shukran Alfatah
Mashallah kwa mafundisho. Ila Shekh unamwambia aombe Amuache au afe!!! Si kila maombi yanaombwa kwa Allah. Hapo umekosea
Mashaallah kachara allah akuzidishie sanaa baba
MashaAllah...elmu nzuri
Ahsante kachara Allah akulipe kheri kw a kutuzindua kupitia njia hii
Kaka kachara ukojuu mungu akubarki iliutuongoze ishallah
Dua ya huyu haivuuki hata mdomo wa juu dah kachara bhana noma sana mungu akupe umri mref na baraka teleeee inshaallah🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Duh kwangu mm kachara ndo superstar kwa znz hii yaani duh amenifurahisha mnoo
Ucnikazie macho mie sina nsaada wakukusaidia katika hili
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 macharahani🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Hongereni sana ujumbe mzuri kweli
Kachara nampenda sana anaweza sana
Mashallah ila mzee kachara wanifurahishaa
Allah awabariki al fatah
mashallah ujumbe mzuri sana baarik alaykum
MashaalaaaAllah
Maashaallah allah awafanyie wepesi katika kutuelimisha mambo ya dini.
Mashaallah
Haiivuukia hata mdomo wa juu ahsante kachara muko vzr
Kweli
Swallallahu alayhi wasallam
Haaaaa haaaaa awali ni awal mashaallah
Asante kW kujisahaulisha mjomba
Good job
mashaallha saf sana imekaa vyema
Maaashallah, nimeipenda
Vipp
Kachara umenenepa Sana Pemba nzuri
Pemba nimzuri lakini ccm waifisidi
Jiko zuri naliona shangazi likaja lilee
Duh asant kachara ww kiboko
Sheikh Rashid salim uko wp nafasi yko hii umeiwacha
Kachara nakukubali kweli unamaneno sijui wayatoa wapi
Mashallah
ehee tena akome ami kachara ww noma
Nntalaka ya tatu na hunkewangu tena hahaha ..hadi raha miss sana . pemba jaman
Good
Hahaha kachara umetisha wallah hata kama ni mm nimuachi
Mkovinzuri...bgp zenu ..
Kachara asema hamuachi ng'oooo' na pesa harejesh maana hemtuma ampe ati 😀😀 ondoka icmtizame kwa jicho la huruma na ana haki ya kumfukuza kachara ww noooooma hampati mke mzur km huyu tn ukome ukome kabisa
Amii kachara cjui haya maneno cjui unayapanga maana uliyaangalia ni usanii wa juu
Code number....4 super Kacharaaaaa
Wanamwita Time shavuwai hahahah
😁😁😁😁kashara unavitukoo
Usimuulize huyo niuliza mie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kuna watu nyumbani hufanyiwa vitendo vibaya , mwanamke atapigwa na kutukanwa na ukoo wake anadai talaka hatoi jamaa ni talaka ya 3 , kupelekana kwa kadhi na kurejesha mahari . ikisha anapata rizki Alhamdulillah katulia kwake yule na bwana anaoa, ikisha yule anakuja kumtia ushawishi achwa nikuoe turejeane tulee wenetu na mwanamke anakubali . ama hapa mimi ni mwanamke lakini huwa naona wanawake tunajidhalilisha wenyewe.
Jamani naombeni jina la hii nashiid????
Kake Kachara tupo pamoja na unanipa furaha.
Daa inahuzunisha
Majuto mjukuu
Dah nimeipenda Mashallah Kachara umenena usimuache ng'o😅😅😅😅😅😂😂😂😂
Amikacharaaaa
Ndio wakome wanaume wenye tabia hio
Fatma said wawakomesha hee hatariii namie pia nipamoja ww
🤣🤣🤣🤣🤣 "hyu ni mpumbavuu na kanauchukua upumbavu kanausokota kilembaa" 👍👍👍👍
ishaka ali
sale
🤣🤣🤣🤣🤣 kachara wapwagia tuwi la mwishooo?
Kusha ugua upumbav
Hat mm simuowi kwa siku tatu nika mwacha 😥😥😥
In-gamhe
Hahahaha mdomo wa juuu
Dua yake hiyo haivuki hata mdomo wa juu kachara mwehu sana hahahahahahahaha
Hahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaha
Kwa hiari yake hafi uyooo niwache nimmalizeee
Wasema msaada utatoa ela hwebu pangiwa!
Duuh kambute bwana
Kachara
Sizirudishi ngo........kifuu tundu........kwa hiyarie hafii huyu
"muache anipige akafungwe" 🤣🤣🤣
@39%"4_4”"4"$*5',;9,
🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥
Papuriiii
talaka tatu
😂🤣
😂😂😂😂😂
Juma fakh
Usimuache ngo🤣🤣🤣
Bishara Omar jini
Antony josephat jini mwenyeo
kachara ukimuacha kwa lengo lakurudi kwa mumewe nawe una jukumu . hakuna ndoa hiyo yakutoa muhalili . ndoa nyingi siku hizi zinatumika njia hii , wanaume munapooa muwe makini kuoa wanawake waloachika wengi wao leo nikurudi kwa waume zao.
Hhhhhhhhh
Vp
Unamuacha mkeo kisa kaacha simu ndani
😂😂😂
Kachara umetisha hebu lete namba yako nikuekee elfu 20 fasta
kachara mjinga jamani asema hajui kilicho haribu tembo
Hana akili huyu bwana kumuacha mke talaka 3 kwa sababu hakushika cm ni upumbavu kabisa sasa ngoja na umuombe huyu mzee amuache kwa hiari yake ndipo wewe umuoe
Mwambiye uyoo
Broo unapoongea jitahd usiew unaongea upes upes sana kwasabab unahrbu👊( muhusika mkuuu )
Ndo maumbile yake huyo hafanyikusudi
Dua ya huyu haivuuki hata mdomo wa juuuu
Nyumbani kumenoga
Ati mke Atanckia redioni
Haina muendelezo
Ujanja mtupu pumbavu
Ujanja mtupu pumbavu
Uyo halima Kama na kwake pia anatabia hiii huyu ni mwanamke wakuoa
Pole kaoe anaishi Ole kianga maarufu tu ukifika onyesha picha yake
@@fatmaahamadabass8080 kweli ee mi nipo sireus namtaka kweli mm
Kaoe yupo hajaolew bado
@@fatmaahamadabass8080 nipatie mawasiliano yake ya wasap
Sina namba zake mm
Mashaallah
Kachara nakukubali kweli unamaneno sijui wayatoa wapi
😂😂😂