Kijiweni Part 1 - Hashimu Omary, Erica Sanga, Madebe Lidai, Hidaya Boli (Official Bongo Movie)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ส.ค. 2018
- Kijiweni (Bongo Movie Part 1) Madebe Lidai
Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music - เพลง
Kazi ni nzuri sana lakn Hiyo saut inavyokuwa inapotea Ndo inabore sana
Sauti hupotea kwenye sehemu tofauti tofauti ya filamu
Madebe we nikiyoo cha jamii haukoseagi kufundisha nakuelewa sana yaan na napenda sana unavyotumia mafumbo mazito n yakili uko vzur kingne rekebishen sauti kuna sehem huw inakata na kunitoa kwenye mzuka sn ila kwa kwel npend mv zako uk vzr sn
Martini Ghandai
Thanks madebe maana misemo yako ishaa nigenganga kitambo zaidi sasa inayi fata huwa naskia rahaatu kupitiya filam zako
Kaka madebe Unamaneno Mazuli Sana Ndomana Amepewa Jina fickr Afikir Nakukubari Sana Kaka Madebe MUNGU Akupe Maisha Marefu Sana.
Tatizo la move nyingi za Madebe huwa zinazingua sana sauti
kazi nzuri madebe, funzo nzuri kwa jamii tatizo sauti, inapotea potea na kutufanya tupoteze mtiririko wa ujumbe
Madebe unajua kuigiza sana🤣🤣👍👍👏👏
Move Tamu Sauti Amna.
Mbuzi kafia kwa muuza supu
Fantastic
Nice
Tatizo za filamu za Madebe sauti inajikata pamoja na Ile inaitwa Nabii mswahili sauti inajikata sana
Sauuuuuuuuuut
Movie zote za madebe ovyo sauti hazina
Sauti inswashinda Sana kwa kila uigizaji wenu, tatizo hili halina solution hapo kwenu Tz au?
Wao
Mtoto anajicho balaa
Nick
Epinesi
The mistress team
3fulll
Nimependa
That's good,,,,a well organized movie with full of lessons just feel much encouraged Ed appreciated
Te
Mbona movie inakatakata sauti aaaaaaaaa inakera movie nzur alafu sauti chenga
vizuri
Move nzuri ila ila tatizo vipande vingi havina sauti
Tokoss
Dada umeshindwa kutongoza mwanzot
Upande wa Saudi mmechemka sana tuu
Ongera kwamuvi mzuli
Muvizenu jamani mbonazinakatasauti
improve the sound quality
Sauti inapotea
Iyo nembo apo itolewe
❤🎉Richards fivhard@@@@@#@@@@##@@
Hahaha nmefel masomo lakn mipango ya hela bado cjafel
👏👏😂😂😂
Nike olando
Madebe amegeuka askare lini
Mmeboa kwenye sauti
Hii movie part 2 yake iko wapi!?????
Kg
Swaumu
1w
Sauti yapoteapotea Why???
Ottoman
Asante Sana Bröo madebe ninapenda Sana movie zako ílaaa naomba usiwe unakatä sauti kwenye baadhi ya matukio ndani ya movie
Nazipenda sana move za hyu jama sema zinaniuziii sehem zingine hazina sautii
Aiseee kuhusu sauti mjitahid move zenu ni mzur sana
Jitahidini kwenye movie zenu zisiwe zinazingua kwa upande wa sauti maana ikifika kwenye point unashangaa et saut imepotea so mjitahidi sana na kwa upande wa sauti ili tuendelee kuifurahia bongo movies na wala sio tuendelee kufurahia movie za wenzetu tu mwisho wa siku tunaipoteza bongo movie ila kwa uigizaji huu wazungu hawata nipata kucheki movie zao na wala sio kila kukicha hadithi ziwe zile zile tu ndo maana walipoteza soko la movie zao . hahaha mm ni mmoja kati ya wanao kubali kazi ya Lp media aka madebe huyu kwa upande wangu aaaaa ni mkali wa bongo movie salute kwako bwana madebe lidai👏👏👏👏👏👏👈✅✅✅✔✔✔✔✔
THE GOLDEN TIME saut najanga
haswa ilo nalo ni mujarabu sana
Yani mnatengeneza movie, mnazisikiliza mnagundua sauti hakuna na bado mnazipeleka sokoni tunajifunza nini sasa jamani
ni mbinu ya kuepuka kipigo cha kopi raiti
Hatari nimekubali
Kama unakubali kazi za lp media gonga like hapa
Wavigood Jr hallow! is thi movie complete na pia sauti iko poa?
chichi back ya its true namkubali sana Adam juma mzee wa totoz
full Part 1 is complete
Wavigood Jr u did not even get to understand my quistion your just ignorant
Hapo kazi
naipenda kazi ya Lp japo sauti mmeimeza
Unatisha lidai waonyeshe kwamba unaweza
🇨🇩🇨🇩🤞🏿🤞🏿naipenda Sana mu movies zako madebe wetu
Filamu iko vizuri sana tu tatizo sauti mbona kwengine haisikiki.plz sisi kama sisi watazamaji twaomba mturekebishie sauti,Madebe lidai producer vp kk mbona watubwagaa
Uko vizuri kaka maana filamu zako zinafundish kama mtu akiwa makin nakuelewa kinoma.
hongera sana bonge la movie
Sehemu zengine hazina sauti mjirekebishe na hilo. Ila movie zenu ninzuri sanaaaaaa
Unajitahid sana made be kwa movie zako nzut zinamafundisho
Sauti inazingua sana
daaah unafeli brother kwenye sauti
LP media movie zenu tamuu, tatizo sautiiiii
i do enjoy all your movies brother. your the best Madebe . Abdallah ilu from Mombasa kenya
Abdallah ilu kumanina jitaidi sauti madebe
Lidai madebe kiswahili kama meno kiswahili safi misemo
From 254 check on ur voice
Madebe uko juuu ongera sana una tengeneza vtu kwa kutumia akili sana vina sisimua kiukweli safi sana
movies dhako zuli tatizo sound
nice movies
Wallah nimeshindwa kuhimili ukosefu wa sauti... Yaani inakera sana jaribu kurekebisha naomba
Nzur sn jamani mmejitahidi sana Ila sauti tatizo
Madebe oyeeee 😀😀🌷🌷
xaf
SAUTI SAUTI SAUTIIIIIIIIII
Daa jitaid kweny saut mnazingua
Uyo mtt mwenye jich zur anaitwa nan jmn
Maisala
My Sarah ama hidaya
Nakubari sana kazi zenu mkuu ila saut mnazingua
Sauti bana argh!
wanawake tunahitaji kujifunza kitu kwenye hii move
Hongera.kaka.ila.Saudi.
Party 2 sasa
Mov nzuru kikwazo. Sauti
Mov. Nzuri. Kikwazo. Sautu
Duh ata mimi zaman likua siogopi ukimwi nlikua naogopa mimba lkn saii naogopa ukimwi sijui nani atanipa mimba naogopa ukimwi.
Kama ww ni mume wa mtu Sema😀😀😀
Sauti ndo shida madebe mnazingua
Iko pouwaaaaaa
Iko vzr
Dah!!! Jman jtahdin xan upnde wa xaut inapnguza ladha ya movie....
Sana br Madebe nakubali
Movie inazingua sauti
nakubali
Kmhhk.,bgf
Kwenye utamu saut hakuna dar madebe jitahid kwa hilo bro
inakera mpaka dhambi an
l like all your movies you ' re a best one ,frome DRC lubumbashi
🤩🤩🤩😋🇨🇬😉👐🏿👐🏿
movie zen kal
Tisha sana nabii mswahili
sauti madebe othman
Sauti bro zinakosea kweli
Mke wa Fikiri jamani.
Namkubari sana yuko makini na Kazi ivi anaitwa nani wadau?
Hata mm namkubal sana huyu dada ni character makin sana
Eliud Chubwa Hidaya
👆 ujumbe mwema uriomo ndaniya moves hii 😂😂😂😂😂😂😂😂
mmb n moto ilaa saut 2
Fikiri hilo kwapa
Dah saut Jau ndg zng
Sauti takriba sinema zote sauti
Ujumbe mzur ila tatzo sautiiïiiiiiiii
Kovizr
Movi zao zinafeli sauti