Prof hujafanya utafiti was kutosha. Waswahili walikuwa na bado wako na misamiati yao Ila waarabu na wale Waswahili was Unguja ndio wanazidisha misamiati ya Kiarabu katika lugha hii ya Kibantu. Kama vile hapa nchini Kenya makabila mengi yamekuwa yakichanganya misamiati toka lugha ya Kiingereza na ile ya "kiswahili ya chuoni" na kuingamiza lugha zao ambapo kesho mtu atasema tena kuwa lugha hii ni 95/100 Kibantu na asilimia nyingi nix Kiingereza au kiswahili. Tafadhali usipotoshe watu kuwa Muarabu na Mbantu ndio walikizaa kiswahili, mbona hakukizaa lugha I gone na Msomali? 😂😂😂😂
Fafanua matawi ya iisimu jamii
Mimi nakataa kabbisa historia yahuyu Dr.Nuru,halijui tumbuko la kiswahili wala waswahili.
Prof Ibrahim nuur wachuchanganya kuhusu hoja yako
Mzuri👍
Shukran ndugu. Pia ukishare kwagroup zengine, utakuwa wa msaada sana
🔥
Asanta sana
Mimi sijakuelewa kabisa Kwa unayo yazungumza
Anapotosha tu.
Prof. Hujafanya utafiti. Taarifa zako hazing balance.
Hujajibu, (nani mswahili ? ) Kama wabantu walikuja baadae mbona aslimia 75 ni maneno ya kibantu ? Rudi tena chuoni mwalimu.😂
Prof hujafanya utafiti was kutosha. Waswahili walikuwa na bado wako na misamiati yao Ila waarabu na wale Waswahili was Unguja ndio wanazidisha misamiati ya Kiarabu katika lugha hii ya Kibantu. Kama vile hapa nchini Kenya makabila mengi yamekuwa yakichanganya misamiati toka lugha ya Kiingereza na ile ya "kiswahili ya chuoni" na kuingamiza lugha zao ambapo kesho mtu atasema tena kuwa lugha hii ni 95/100 Kibantu na asilimia nyingi nix Kiingereza au kiswahili. Tafadhali usipotoshe watu kuwa Muarabu na Mbantu ndio walikizaa kiswahili, mbona hakukizaa lugha I gone na Msomali? 😂😂😂😂
Kuna kabila la Waswahili popote duniani?! Hamna! Tunaowaita Waswahili ni wakaazi Tu WA pwani. Wadigo, Wangozi, na wengineo.