SIRI NZITO FAMILIA YA LOWASSA YAMKATAA KIKWETE VIBAYA " ALIMFANYIA UBAYA LOWASSA KIGOGO 2014" AIBU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 74

  • @EsauPetro-u6p
    @EsauPetro-u6p 2 หลายเดือนก่อน +1

    sawa nakubari

  • @celestinshayo7295
    @celestinshayo7295 8 หลายเดือนก่อน +16

    Mnakumbuka Lowasa alipojiuzulu Uwaziri Mkuu Kikwete alisema Lowasa ni mtu safi ila tu alipata ajali ya kisiasa. Lakini alipooondoka CCM na kujiunga na upinzani na kugombea uraisi Kikwete huyohuyo alituambia yeya hahusiki na Richmond bali tumuulize Lowasa? Kama kuna anayekumbuka gonga likes za kutosha hapa?

    • @mahyorokalokola4012
      @mahyorokalokola4012 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa ulitaka aseme uongo kwamba hakuhusika.

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 7 หลายเดือนก่อน

      ​​@@mahyorokalokola4012 wewe kwa akili yako unaona inawezekana kweli msalaba mkubwa unaoligharimu taifa fedha nyingi kama uko wa Richimondi unaweza kufanywa na Waziri Mkuu pekee huku Rais amekaa pembeni tu hana habari ! Hiyo inawezekana kweli? Halafu baada ya mambo kuharibika ndipo Raisi anajitokeza na kusema yeye hahusiki eti tumuulize Waziri Mkuu aliyejiuzulu! Ama kweli watanzania tunafanywa kama chekechea tena baby class

  • @romualdmukandara9544
    @romualdmukandara9544 8 หลายเดือนก่อน +2

    YESU aliwafananisha WANAFIKI NA MAKABURI MEUPE ILA NDANI MWAKABURI NIUOZA MTUPU. MNAFIKI HANA TOFAUTI NA NYOKA . INAMGOMGA MTU AKIFA WALA NYOKA HAMLI MTU HUYO ALOMGONGA. TUCHUKIE WANAFIKI SANA.

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 8 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo kigogo amejaa negative thinkings utumbo wake ni mweusi sana.Familia ya Lowasa ni Wastaarabu wametulia. Kikwete amejitahidi ktk utawala wake. Mungu amjalie Afya na Maisha yenye Amani

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 7 หลายเดือนก่อน

      Mungu huona silini yaliyofichwa ndani ya moyo na ndie atakae lipa kila MTU Kadli ya matendo yake

  • @muhidinishauri5035
    @muhidinishauri5035 8 หลายเดือนก่อน

    Shida yao wanapopata nguvu kwenye utawala hujisahau kana kwamba wao wataishi milele kwenye hizo nafasi za utawala na kujimilikisha nafsi zao kwamba hakuna mwingine zaida ya yeye kumbe kuna maisha mengine ya kuishi na jamii zaidi ya uongozi wanadamu lazima tujifunze usimnyanyase mwanadamu mwenzio ukiwa madarakani hujui kesho yako !!

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 8 หลายเดือนก่อน +6

    Kikwete ni mnafiki no 1

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kikwete si mnafiki tu wa familia ya Lowasa bali ni mnafiki kwa Taifa Zima la Tanzania. Nchi hii hawezi kuwa salaam na tulivu hadi Mwenyezi Mungu atakavyo amua vinginevyo kuhusu Kikwete. Alimwandaa Membe Mungu akawandaa Magufuri.

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 7 หลายเดือนก่อน

      Shetani

  • @juvenalkabunduguru5798
    @juvenalkabunduguru5798 8 หลายเดือนก่อน +2

    Imekaa vizuri sana. Unafiki ni ugonjwa. Unafisha

  • @salimsaid4304
    @salimsaid4304 8 หลายเดือนก่อน +1

    Msema kweli mpenzi wa Mungu. Mnafiki sio mpenda fitna tu bali ni mtoto wa shetani na mjukuu wa Ibilisi. Tuwalaani wanafiki bila ya woga au muhali

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 8 หลายเดือนก่อน +3

    Shida iko wapi hapo kikwete hana ubaya wowote kwa tunaemjua msure yule kikwete yupo super sana kaa kwa kutulia mzee kikwete huna baya

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 7 หลายเดือนก่อน

      Mbwa koko

  • @mahyorokalokola4012
    @mahyorokalokola4012 7 หลายเดือนก่อน

    Hakuna alichokosea Jakaya. Na wala hakuna la ajabu. Katika siasa kuna mambo mawili ambayo huwa hayabadiliki. Usaliti na masilahi. Zaidi ya hayo kuwa rafiki wa mtu hakumaanishi umuunge mkono kuwa kiongozi wa kisiasa. Na wala Jakaya hakuwa na sababu ya kijikomba kwa Lowassa. Maana yeye aliachieve zaidi kisiasa kuliko Lowassa.

  • @MohamedSalum-d4t
    @MohamedSalum-d4t 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kama nihivyo pongezi sana wafiwa

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera familiar ya Edward Lowassa kwa kuweka historia ya mpendwa wenu sawa.

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi ule wakati anaugua hosiptalini,wangapi walikwenda kimuangalia ?

  • @AllyDaudiNgoyeji
    @AllyDaudiNgoyeji 8 หลายเดือนก่อน

    Tangu akiwa mwanafunzi pale Monduli S/M, Lowasa huyu alionekana kabisa kuwa na kila dalili za kuwa kiongozi.Nilimwona nikiwa mmoja wa Ma-bwanashamba miaka a1968. Ni mimi Ally Daudi Ngoyeji wa Itilima,Kishapu, Shinyanga.

  • @BakuzaSimon
    @BakuzaSimon 8 หลายเดือนก่อน +6

    Amezidi huyo MZEE msimtetee anatabasamu iliyoficha miiba mibaya

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ongeza neno SHETANI

  • @isayaOdali
    @isayaOdali 8 หลายเดือนก่อน

    Na bado, hiyo ni trailer picture inakuja. Kwenye msiba wa JPM aliongea kinafiki halikadhalika katika msiba wa Membe alifanya vivyo hivyo. Kwa Lowasa msiba wake umetafsiri mwisho mbaya wa Kikwete na group lake.

  • @mikidadmhando2504
    @mikidadmhando2504 8 หลายเดือนก่อน +1

    Achaneni na mambo hizo kigogo wa tweeter, mnawagawa watz, msiba usifanye jukwaa la kutangaza makosa ya wengine kwani kifo ni haki ya kula binaadam, Mungu anajua yote ya kweli na ya uongo

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kuumbuana Hadharani.

  • @jumakiduka4625
    @jumakiduka4625 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kigogo wacha uchonganushi we NDIO MNAFIKI MKUBWA

  • @pendomalisa9308
    @pendomalisa9308 8 หลายเดือนก่อน

    Kikwete mungu anakuona

  • @Timothymlamba-pq3oi
    @Timothymlamba-pq3oi 3 หลายเดือนก่อน

    Kikwete anaroho mbaya

  • @AdonKamota-s1u
    @AdonKamota-s1u 8 หลายเดือนก่อน

    Una juA watu wengi wa meka Riri vibaya sana wa kimwona mtu Ana cheka cheka wana mchkuriA nimtu mzuli sana ogopa sana watu kama Ao uficha ubaya wao kwa kucheka cheka Rakin kwa kuwa yeye Nimtu m Baya mabaya yake yote yata one kana

  • @yusuphmpenja3288
    @yusuphmpenja3288 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mze kikwete mungu akusimamie

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 8 หลายเดือนก่อน

    Wamsamehe tu hapo alipo anajuta anayopitia ni magumu acheni mungu atamuhukumu

  • @BettyNyanda
    @BettyNyanda 8 หลายเดือนก่อน

    Kama sisi watu wa Mungu tusamehe saba mara sabini si vizuri kukaa tunasemasema hivyo. Tumuache marehemu apumzike kwa amani huko aliko.

    • @mikidadmhando2504
      @mikidadmhando2504 8 หลายเดือนก่อน

      Ogopa wenye kujinasibu na uchamungu, ni yaleyale yasemwayo, Mungu anajua yote ya kweli na yale ya batili, poleni sana familia na Mungu awape moyo wa subira na uvumilivu

  • @DawnMurcas-pz4uq
    @DawnMurcas-pz4uq 8 หลายเดือนก่อน

    Absolute amazing true kikwete Hippocrates

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 8 หลายเดือนก่อน +2

    Unaweza kumsamehe mtu na usimwamini yaani unamkataa

  • @SaadaNdaro
    @SaadaNdaro 8 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli niaibu uyr mtu jamani mbona anatuumiwA kila msiba jamani

  • @KaluwiMtemi
    @KaluwiMtemi 7 หลายเดือนก่อน

    Sass mtasemaje kuhusu rais wa kwanza kuhusu lowasa

  • @Timothymlamba-pq3oi
    @Timothymlamba-pq3oi 3 หลายเดือนก่อน

    Kikwete nimuhuni alimuuza lowasa,

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ninawaombea kwa sababu siwezi kuhukumu mtuyoyote

  • @YusuphMchomvu
    @YusuphMchomvu 7 หลายเดือนก่อน

    Ukimtenga jk unampunguzia kitu gani? Hamumuwezi jakaya

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 7 หลายเดือนก่อน

      Asante. mungu maana huwadhili wenye kibuli na huwapa neema wanyenyekevu nawe ndiwe mtawala juu ya ufalme wa wenye mwili wote humlipa kila MTU Kwa Kadli ya njia zake

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 7 หลายเดือนก่อน

      😅

  • @saalimlubeya4236
    @saalimlubeya4236 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe muongo, si ulitangaza kua mzee Mwinyi Rais wa awamu ya pili ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mbona hajafa yupo hai?. Acha maneno ya uongo.

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tunawashukuruni kwa kutowapa wanafiki nafasi ya kuongea kwani mnafiki ni mnafiki tu habadiliki.

    • @OttoChiduo
      @OttoChiduo 8 หลายเดือนก่อน

      Una uhakika gani kuwa waliopewa nafasi wakaongea wote sio wanafiki ?

  • @jumakiduka4625
    @jumakiduka4625 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kigogo na wenzako ni wanafiki

    • @JustinaKaronge
      @JustinaKaronge 8 หลายเดือนก่อน

      Unafki uko wapi hapo? Usitutoe Kenya hoja

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sumu kamuua ccm upuzi yatawakuta mungu anaandika

  • @MohamedLanga-dg4tf
    @MohamedLanga-dg4tf 8 หลายเดือนก่อน +1

    Umezid umbeya utakuwa shoga

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 8 หลายเดือนก่อน

    Waswahili husema mla ndizi husema ila mtupu maganda hasahau kumbukeni yatawakuta ipo siku.

  • @allyorry2013
    @allyorry2013 8 หลายเดือนก่อน +1

    Media ya kizushi, uongo mtupu! Kigogo ni nani? Mengine ni ya kipumbavu! Hata yeye iko siku atakufa! Acheni upumbavu!

  • @saidhinda9096
    @saidhinda9096 8 หลายเดือนก่อน

    Hata hivyo ana moyo mkubwa kuhudhuria mazishi

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 8 หลายเดือนก่อน +1

    ACHENI UNAFIKI WATU WA MEDIA NA FAMILIA YA MAREHEMU MAMBO YA KIKAZI YALIENDA KIKAZI
    NA HATA HUYO MAREHEMU HAKUWA MALAIKA KUNA MAZURI NA MABAYA ALIYAFANYA.

  • @bakarimkwizu4335
    @bakarimkwizu4335 8 หลายเดือนก่อน

    Kigogo na wahuni wenzio muacheni JK hata mkipambana hamtashinda

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 8 หลายเดือนก่อน

    Kwani lazimaa

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 8 หลายเดือนก่อน

    MUNGU MLAZE PEMA PEPONI MZEE WETU LOWASA HAKUWA NA BAYA MZEE WETU LOWASA

  • @abuumicheni1935
    @abuumicheni1935 8 หลายเดือนก่อน +1

    wacheni fitna nyinyi waandishi wa habari

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kikwete hajawahi kufanya jema mara anauwa kwasumu kwahiyo akumbuke kuwa yeye Kikwete tena ni mkatili utakufa vibaya utaona

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 8 หลายเดือนก่อน

      Anaekufa vizuri ni nani.
      Na hio sumu alioulia ulimtafutia wewe ama unalopokwa tu.
      Ulitaka huyo Lowasa aishi maisha.

    • @petronillamnyambi7607
      @petronillamnyambi7607 8 หลายเดือนก่อน

      @@salmahalfani6307 mbona unajishuku unahusika pia wewe? Mbona kakataliwa kwenyekilio kaanzakulia upumbavu wenu huo

  • @LeilaSadik-o1w
    @LeilaSadik-o1w 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe kigogo domo km nyelo mnafki mkubwa mchonganishi utupati utawapata hao wafuas wako

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 8 หลายเดือนก่อน

    Duuuuu

  • @husseinmbaya4855
    @husseinmbaya4855 8 หลายเดือนก่อน

    Achauongo

  • @sondajohn1371
    @sondajohn1371 8 หลายเดือนก่อน

    Kiukwer mnafk moyo wake nipango lashetani

  • @husseinmbaya4855
    @husseinmbaya4855 8 หลายเดือนก่อน

    Bwenge achauongo

  • @mekapu7638
    @mekapu7638 8 หลายเดือนก่อน

    Ina maana hakwenda hata kumuona hospitali?

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 8 หลายเดือนก่อน

      Ndiyooooo😂😂😂😂

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 7 หลายเดือนก่อน

    SHETANI

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus 8 หลายเดือนก่อน

    Mstaafu unatakiwa kuomba radhi kwa watanzania kudhihirisha kufanya hivyo vinginevyo Rais Samia aeleze kashfa hiyo kwa wananchi.Si kitendo cha busara hata ndani ya CCM, naamini kuna taratibu za kuchukua endapo kuna haja

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 8 หลายเดือนก่อน

    Alijisafisha hata kwa magufuli alimchangua pia kamuuakwa simu bumbavu mkuu atakufa kama umbwa barabarani

  • @jeremiahnestory
    @jeremiahnestory 8 หลายเดือนก่อน

    Kikwete munafiki sana