Asalaam aleykum , nimejaribu huu mkate nimefata yte na wakati nimemaliza kusaga nikauweka ulifura km wako, kuja kuweka jikoni hapo juu, ulichukua masaa mengi na still haukukuka km huo wako, ulikuwa maji maji, nilichoka kusubiri nikauweka kwa oven hivyo hivyo, matokeo sikupata mkate, suala langu kwanini haukukauka juu? Na nimeweka masaa mengi tu still ulikuwa topetope
Mungu akubariki san my sister nilijifunza half keki kwako shiv ninauza napata viela vyangu
Eeeeh jamani mungu nimwema kwakweli na nafurahi sana nikiskia hivi mungu atubariki sote
Masha Allah nice receipe ya mkate wa sinia nitajaribu na mm Insha Allah
Shukran love
A.alkm vp hali yako umzima ...tumekumisssss sanaaaaaYeeey🎉🎉🎉ur back .. welcome back
Waaleykhm mussalam my love yes am.back Alhamdullillah mimi nimewamiss zaidi yaani sanaa
@@HadijaSheban glad 😘
Mashallah I will give it a try. Walikomsalaam Warahmatullahi Wabarakatoo.
Afwan
Umeweka iliki,hamira,...na ukaongeza kituingine inakaa bread crum????..naona nikama umemimina vitu 3 kabla uweke maziwa?...na umetaja vitu viwili iliki na hamira...tafadhali tupeleke slow 😂😂ndio tuelewe.asante barikiwa sana unatufunza vyema twakupendaa sanaa.🙏
Maa Shaa ALLAH ❤
Tabarakallah ❤️
أحسنتي
Did u bake the rest of it in the oven ?
Mi napenda tu unavyoongea!!🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣asante love
Maa sha ALLAH
Tabarakallah
@@HadijaSheban pls jibu wapi nakosea
Masha allah
Tabarakallah
Maashallah na mm napika hapa muda c mrefu nimeuloeka mchele wangu since morn
Natumai ulitokea vizuri
TabarakaAllaah
Afwan
In sha Allah nitajaribu
Shukran sis
Asalaam aleykum , nimejaribu huu mkate nimefata yte na wakati nimemaliza kusaga nikauweka ulifura km wako, kuja kuweka jikoni hapo juu, ulichukua masaa mengi na still haukukuka km huo wako, ulikuwa maji maji, nilichoka kusubiri nikauweka kwa oven hivyo hivyo, matokeo sikupata mkate, suala langu kwanini haukukauka juu? Na nimeweka masaa mengi tu still ulikuwa topetope
Wawooooo sooò yummyyyy
Maa Shaa Allah, hapo pap ndani
Juweeeey wanguu
Kwhyo umepika n glass 2 1/2
Afwan my dear
Asante
Karibu
👌
Aa hadija long time!
Huwezi kupika direct kwenye oven ?
Mimi sijawai fanya hivo
Waiwacha how many minutes kwa jiko?
mpaka ikauke
Hi daa kama huna nazi si unaeza tumia maziwa
hi lazima nazi
😋😋😋😋😋😋
❤️❤️
Dada hadija naomba unifundishe vitumbua vya kupikia uji
Nishaeka search vitumbua hadija sheban
Huo unakaa mda gani bila kuaribika dad
Yategemea na sehemu
Mungu akubariki san akupe mahitaji Yako yote
Hujatuekea kipimo cha tui la nazi
Umetumia mchele gani dada
Sikiliza video vizuri kipenzi
Maa sha ALLAH
Tabarakallah