Mkate wa Sinia/Kumimina in Kiswahili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Mahitaji:
    Mchele vikombe 2 (roweka usiku kucha au kiasi masaa 6)
    Tui la nazi zito kikombe 1 1/2
    Ute wa yai 1 au vijiko 2 vikubwa
    Sukari kikombe kasoro robo 3/4 ( unaweza kuzidisha au kupunguza)
    Hamira vijiko 2 vidogo
    Kwa vipimo vya mugs:
    Mchele mug 2
    Tui la nazi mug 1 na nusu ( 1 1/2)
    Hamira vujiko 3 vidogo
    Sukari Mug kasoro
    Ute wa mayai 2
    Choma moto 400F/200C
    Halafu shusha 350F/180C

ความคิดเห็น • 829

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 หลายเดือนก่อน

    Shukrani sana aunt, kiukweli siku yakeo nina furaha sana ,kwanza mchana nimepika pikau tamu sana,jioni nioafanya mkate wa sinia aisee mkate umekuwa mlaini mashaallah, Mungu kuzidishie❤❤❤

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  2 หลายเดือนก่อน

      Shukran Sana an mini pia nimefurahi kuona positive comment, Allah Barek

    • @shukranjulius9526
      @shukranjulius9526 2 หลายเดือนก่อน

      @@aromaofzanzibar Amin Aunt yangu mwenye upendo wa dhati😘

  • @mariamjuma4589
    @mariamjuma4589 7 ปีที่แล้ว +5

    Asante mpenz nmeona kweli ndio hvi hivi tu mungu akubarik nmeangalia kwa umakini sana Asante kwa mapishi mazuri

  • @latfakingwaba2583
    @latfakingwaba2583 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa somo zuri Allah akupe moyo zaid wa kutujuza Inshaallah

  • @sabrasaid5712
    @sabrasaid5712 7 ปีที่แล้ว +1

    MASHA ALLAH, mungu akuzidishie kila la kheri.. AMEEN.. I real enjoy ur video very much.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว +1

      Sabra Said Thank you for your support

  • @sophianyoni7997
    @sophianyoni7997 8 ปีที่แล้ว +1

    mummy nimejaribu kwa mara ya kwanza nimetoa mkate lain na mtamu balaaa.. nakushukuru sana mana niliwah muuliza mtu anafanyaje hakunijibu kbs ... thanks mummy my hubby kaupenda sana ... kesho nitest chapati

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว

      Nashkuru sana kwa marejesho, thanks for your support

  • @khadijahahmed8716
    @khadijahahmed8716 7 ปีที่แล้ว

    mashallah mapishi mazuri sana.Allah akuzidishie kipaji chako.ningependa kuuliza haya mikate ya sinia tambi na mayai kubake kwake ni kama cake yaani moto wa chini tu ama ni vp.shukraan

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Alkm salaam shukran, ku bake ni kama keki lazima moto wa juu na chini ,

  • @zassyhushy4640
    @zassyhushy4640 7 ปีที่แล้ว +1

    Aslm alkm. Nimejaribu tena leo mkate wa sinia, Wallahi umetoka vizuri, shukran

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว +1

      Yeeah! Mashallah, mambo si hayo , nashkuru kwa kunijulisha

    • @samahalmamariya6171
      @samahalmamariya6171 4 ปีที่แล้ว

      Ma sha.Allah mzuri lakini vipimo sijakufahamu ungetupa kwa vikombe

  • @salhasaidsalhasaid8346
    @salhasaidsalhasaid8346 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah umetoka mzuri. Naomba kujua umetumia mchele sina gani

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  3 ปีที่แล้ว

      Nimetumia basmati

    • @MozaAbdullah-it4cq
      @MozaAbdullah-it4cq หลายเดือนก่อน

      ​@@aromaofzanzibar basmati zipo nyingi basmati gani

  • @gastrogubi6144
    @gastrogubi6144 4 ปีที่แล้ว

    The only cook I trust with her recipe,they never ever fail me,tabarakaAllah bint zanzibar

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Thank you so much! 😘😘

    • @Noorally24
      @Noorally24 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar s,akm ilikuwa nauliza mpnz mchele wowote tu unaweza kutumia

  • @nouratymsellem6051
    @nouratymsellem6051 8 ปีที่แล้ว

    thnx a lot my..... yanii naenjoy ninapokuwa najifunz kupika toka kwakoo..... Mungu akupe kila lililo la khery kwa kujitolea kwako.

  • @ashaadeh4131
    @ashaadeh4131 6 ปีที่แล้ว +1

    I love your recipes.nimejifunza mengi

  • @maryammohammed1991
    @maryammohammed1991 2 ปีที่แล้ว

    mashaAllah mkate mzuri ute wayai unaweka hapo hapo

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว +8

    You are welcome, thanks for yr support

    • @Binti1801
      @Binti1801 4 ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa hii recipe, nimejaribu ila chini uliungua sana na kati ukawa mtepe🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️ sijui nimefeli wapi, guide me please. Pia km nikitaka ku adjust moto wa oven ili usiungue ni vyema ni adjust to how much please? Ntashukuru kupata jibu, I real want to do it properly. Thanks a lot for your time❤🙏

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว +1

      @@Binti1801 Sorry darling it sounds kama moto ulikua mkali sana. I started with 400F/204C for 10 mins and then 350F/176 for about 30 mins

    • @Binti1801
      @Binti1801 4 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar yeah that what I set to, natumia jiko la gas so may be ndio maana imekua too hot. 🤦‍♂️

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      @@Binti1801 May be so or perhaps the pan is too light.

    • @Binti1801
      @Binti1801 4 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar may be, ntajaribu tena, hadi kieleweke😅😅😅😅 thanks for all your hard work. Niulize uko wapi au kama una restraurant?

  • @nilufermukadam299
    @nilufermukadam299 7 ปีที่แล้ว +3

    Salaamz. Maa shaa Allah looks lovely yum yum😍 surely gonna try out soon inshaallah.

  • @preciouspallangyo3605
    @preciouspallangyo3605 6 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo zuri,,naomba maelekezo jinsi ya kutumia jiko LA mkaa mpnz

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Ahsante dear, mie nipo Marekani, sina jiko la mkaa huku

  • @nellymusa5210
    @nellymusa5210 6 ปีที่แล้ว +5

    nakupenda Sana my Dada nimejifunza mengi Sana kupitia kwako,nashukuru Sana nimejua kupika hatar,Mpaka mume wangu ananiuliza mmmh mbona siku hizi napika vitu vitam Sana.lav u so much

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว +2

      Ahsante sana na hongera kwa jitahada zako dear, mwanamke kuwa na ujuzi ni kitu kizuri na muhimu sana x love you too dear

  • @rou7alrou784
    @rou7alrou784 6 ปีที่แล้ว +1

    My favourite, all time recipe. Tried without the egg in another recipe and tried it with egg in your recipe i think it works well with an egg (kiini cha yai). Just how i wanted. JazakAllah

  • @annalema5272
    @annalema5272 7 ปีที่แล้ว

    Shukrani mumy,Mungu akupe umri mrefu.love you my sister

  • @shadyamohamed6313
    @shadyamohamed6313 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallaaaaah thank you auntyyyy.. Best result ever..dats y i always love and confident to follow up your recipes.. Exactly the way i love, exactly the taste i like n exactly the smoothness (as a sponge)i love.. May Allah bless you n guide you..Ameen

  • @hanifaali7922
    @hanifaali7922 6 ปีที่แล้ว

    mashaallah Allah akuzidishie mkate nimeupenda

  • @gladnessmakyao4191
    @gladnessmakyao4191 6 ปีที่แล้ว +3

    I tried it and come out so so nice and yummy and so soft! Thank you dada😚

  • @mupenzishamavu948
    @mupenzishamavu948 8 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa iyo kazi abayo unafanya Allah akubariki

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว +1

      +mupenzi shamavu ahsante kwako for your support, karibu tena

  • @kishadafour8307
    @kishadafour8307 8 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa pishi hili nitajaribu kupika. Ningependa kuona mapishi ya mkate wa sembe wa Kiswahili wa asili. Nimejaribu kutafuta sana video hapa sijauona. Nitafurahi ukitupikia tukafaidika. Asante.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว

      +Kishada Four Inshallah

    • @aishakassim456
      @aishakassim456 8 ปีที่แล้ว

      +Aroma of Zanzibar umetumia mchele gani na size gani umepima...na tui lako umepima size gani sjaona vizuri

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว

      +Aisha Kassim Shukran, vipimo vyote nimeandika bonyeza hiyo heading , na mchele nimetumia basmati wa kawaida tu

    • @aishakassim456
      @aishakassim456 8 ปีที่แล้ว

      +Aroma of Zanzibar shukran sana mamangu...in shaaAllah nkirudi nyumbani ntaujaribu sije sahii nipo kwa waraabu sije nkapikishwa kila siku

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว

      +Aisha Kassim Inshallah

  • @jikoninaAsya
    @jikoninaAsya 8 ปีที่แล้ว +2

    assalaam aleykum .shukran for the recipe i tried n all was good n today im making that again.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว

      Thats wonderful, thank you for the feedback

  • @yasminsalim6603
    @yasminsalim6603 7 ปีที่แล้ว +1

    Tried it and it turned out amazing mashallah. Thank u so much keep up the great job.

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 ปีที่แล้ว

    Mie nkiupika unakua juu mkavu kumbe lazma uupake siagi au mafuta ili uwe mlaini. Nmekupata.thanks ma love🥰

  • @sophianyoni7997
    @sophianyoni7997 8 ปีที่แล้ว +1

    siku zote nilikua natoa jiwe.. naamin ntatoa 😘😘😘 kwa sasa

  • @khalidosman
    @khalidosman 5 ปีที่แล้ว +1

    Sallams Dada. Thank you so much for your videos they are very well put together. I soaked the rice last night and am going to attempt to make the bread that i love so much. Please note that the cardamom has been left out of your ingredients list on both the Kiswahili and English version. Will update you on how the bread turned out. Thanks again.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Thank you, I will update it. Hope your bread cake out well

    • @khalidosman
      @khalidosman 5 ปีที่แล้ว

      Sallams Dada my cake came out a little heavy without much holes in it. I dont know if my hamira has lost its power..also the top had a few deep cracks i dont know if you can help solve this solution..The taste was yummy and quiet a few slices have been eaten. Not bad for my first attempt. Any tips on how to perfect it would help me greatly. Asante in advance.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Sorry to hear about your bread but I think you did good if its your first time, it could be the rice not blended well and thats why the bread is dense.

  • @princessyvetteevedollyisma2586
    @princessyvetteevedollyisma2586 8 ปีที่แล้ว

    Wow nilitamani sana kujuwa kupika mkatee huu shukran sana

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana. Usitie madole kwenye chakula bhana!

  • @nouratymsellem6051
    @nouratymsellem6051 8 ปีที่แล้ว +1

    pia mamy nipo very interesting na kujifunza kupika cake za birthday, wedding etc..... naomba mamy utuandalie video inayohusiana na decorations za cake ya birthday and wedding.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว +1

      Shukran sister, if you check my earlier videos I had some cakes. Right now am on vacation but Inshallah I plan to go back to cakes and cake decorating when I get back home in Aug, stay tuned check me out on instagram kwa jina la fathiya.ismail or its all about good food

    • @jescacosta5768
      @jescacosta5768 5 ปีที่แล้ว

      nimempenda hongera sana

  • @salmarage7048
    @salmarage7048 8 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah kheir for sharing this with everyone.

  • @ahmedfaraj3771
    @ahmedfaraj3771 7 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Aunty u r so inspiring.

  • @salmmasalmma1591
    @salmmasalmma1591 6 ปีที่แล้ว

    Mm nataka vipimo mashaallah vyakula vyako vizuri

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Salmma Salmma Vipimo vyote nimeandika hapo chini kwenye description box chini ya tarehe

  • @doreengama2808
    @doreengama2808 6 ปีที่แล้ว +1

    Very fruitful video. 😘😘😘😘😘

  • @hythamalmaamiry9355
    @hythamalmaamiry9355 7 ปีที่แล้ว +2

    mashallah
    mm naomba utufunze kupika kashata za karanga

  • @asiyamuscat-oman2283
    @asiyamuscat-oman2283 6 ปีที่แล้ว +3

    Thanks Habibty. Looks yummy

  • @lonelyparent
    @lonelyparent ปีที่แล้ว

    Umefanya mzito sana ndio sababu hauna vitundu sana

  • @salmandege3961
    @salmandege3961 3 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah...mi nataka wa kupika kw jiko la makaa

  • @panjusu
    @panjusu 8 ปีที่แล้ว

    asante sana, mkate imetoka superb

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว +1

      +suki panju Thank you dear for your feed back, nimefurahi sana

  • @beijajamal8634
    @beijajamal8634 7 ปีที่แล้ว

    nice recipe unaeza nionesha jinsi ya kupika mkate wa tambi na tambi za kukaanga

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Inshallah nikijaaliwa kupika nitafanya video

  • @salhajuma2250
    @salhajuma2250 4 ปีที่แล้ว

    Mashallaah I tried it and came out so sponge and nice 👌👌

  • @carolynelululuflenge7598
    @carolynelululuflenge7598 8 ปีที่แล้ว

    Asante mwali nimefurahia sana nilimiss mkate wa kumimina nipo Tanga for vacation mama akaleta kwa ajili ya chai nikaenjoy sana. Nataka kujaribu kupika nimependa recipe yako. Japo sijaelewa mchele kiasi gani, hamira sukari n.k.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว

      Shukran, vipimo vyote nimeandika hapo just scroll down kwenye hiyo heading ya video utaona

    • @njeshkymani9656
      @njeshkymani9656 2 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar Hamira vijiko 2/3 u have both plus you missed the cardamom measurements ty.Making this right now…

  • @rozaali3241
    @rozaali3241 7 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah 👍... shukran wa jazaki allahu khairan.

  • @khadijakhamis1253
    @khadijakhamis1253 8 ปีที่แล้ว

    Nimeujaribu lol very nice Allah batik ...

  • @abuuidris2111
    @abuuidris2111 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa kazi. Nzuri wallah lakin nisaidie nikipika wangu u akuwa mgumu pia sijui vipimo

  • @nouratymsellem6051
    @nouratymsellem6051 8 ปีที่แล้ว +1

    thnx my love .... have a nc vacation ishallah..... I'll be waiting for dat lectures.....

  • @mkewaasuu932
    @mkewaasuu932 8 ปีที่แล้ว +1

    Maasha,allahThat,s looks yammiest

  • @MariamsLifestyle
    @MariamsLifestyle 6 ปีที่แล้ว

    Ntaka nijaribu mkate wa kumimina kesho inshaallah

  • @kibibiseif2497
    @kibibiseif2497 8 ปีที่แล้ว

    mashallah Aroma...... Allah akuzidishie wema ulionao.... ila kilio changu sambusa

  • @azizaabdu9485
    @azizaabdu9485 5 ปีที่แล้ว

    Tafadhali jee naweza kutumia unga wa mchele nimenunua ukiwa kwa pakiti sijawai haribu jee utaeza faa

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli mimi sijawahi kujaribu na unga wa mchele wa pakti lakini kuna wapishi wanejaribu wengine wamewezs wengine hawajapenda inategemea na aina ya mchele pia

    • @azizaabdu9485
      @azizaabdu9485 5 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar shukran

  • @aminambaraka4157
    @aminambaraka4157 2 ปีที่แล้ว

    Assalam alaykm warahmatullah
    Moto ni juu na chini ama

  • @natashangwanakilala1549
    @natashangwanakilala1549 10 หลายเดือนก่อน

    Ma sha Allah.i love yr recipes.Have been revamping mine and trying new ones...did u use basmati rice or normal as the latter is sticky

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  10 หลายเดือนก่อน

      I have used basmati rice, thank you for your support

    • @umumuhammad1352
      @umumuhammad1352 3 หลายเดือนก่อน

      Can I use pishory rice?

  • @brendasasi4388
    @brendasasi4388 6 ปีที่แล้ว

    Asante, nimejaribu kwa mara ya kwanza umetoka mzuri sana.

  • @ahmediman6518
    @ahmediman6518 7 ปีที่แล้ว

    shukran kwa. mapishi mashallah suali langu. naweza kutumia maziwA badala ya tui? katika upishi mkate sinia

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Ahmed Iman mim sijawahi. lakini unaweza kujaribu uone vipi itakua

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana ubarikiwe mumy kwa mapishi bora

  • @josephinenm7932
    @josephinenm7932 8 ปีที่แล้ว

    beautiful! so glad i stumbled into your video. making chapati your way tonight. love from Kenya. asante sana na kiswahili chako nakitamani sana.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว +1

      Thank you, hope you like them. Kiwahili umekitamani, yaani sina comment ;) shukran

  • @fatmabaya850
    @fatmabaya850 6 ปีที่แล้ว

    Shukran dadaa mungu akujaalie kila la kher

  • @sumaiyaabdi7078
    @sumaiyaabdi7078 7 ปีที่แล้ว

    Hilo mixture yawezekana ikatengeneza Anjera nyeupe za kisomali bora uwe umeumuka. I actually never thought of it but yes it can come out nice. Ill try in shaa Allah, Tnx AOZ

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      sorry dear, am just seeing this comment, I think it might work

  • @biommy6700
    @biommy6700 3 ปีที่แล้ว

    Yani uwaga nakuelewa mamy hatari, penda sanaa wewe mwalimu wangu

  • @zitalobo116
    @zitalobo116 7 ปีที่แล้ว +1

    I can't wait to try In shaa Allah

  • @ummkhuluudaboud2723
    @ummkhuluudaboud2723 8 ปีที่แล้ว

    mashaallh allha akujaze kila lakheri

  • @usnamusa5315
    @usnamusa5315 4 ปีที่แล้ว

    Najaribu leo naomba Mungu utoke vizuri

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Inshallah usiwe na wasiwasi

    • @usnamusa5315
      @usnamusa5315 4 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar Ahsante nimejaribu ila haujaeka rangi juu nimechoma kwa mkaa

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      @@usnamusa5315 hamna tabu labda Mara nyengine uweke makaa zaidi juu

    • @usnamusa5315
      @usnamusa5315 4 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar InshaAllah my nitajaribu tena

  • @SAa-c9i
    @SAa-c9i หลายเดือนก่อน

    Kwetu pemba huu tunaita mkate wa kuumuwa, wa kumimina hatutiihamira lkn unapika km hv ni mtamu zaidi y huu

  • @ahmediman6518
    @ahmediman6518 7 ปีที่แล้ว

    m.mungu akuhifadhi, shukran kwa recipe zako, mashallah, mi mamake ahmed lakini hii ingrd ya .mkate ufuta haiko clear on screen

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Aleikum Musalaam, shukran vipimo nimeandika kama hivi
      Unga wa ngano vikombe 3 na 1/2
      Hamira vijiko 3 vidogo
      Tuwi la nazi au (maziwa ya kwaida) vikombe 2 na 1/4 mpka na 1/2
      Mtindi vijiko 2 vikubwa
      Chumvi kijiko 1 kidogo

  • @fatihiasalim8753
    @fatihiasalim8753 4 ปีที่แล้ว

    Thanks hbbty for ure video,mashallah mashallah u're the best wajina

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Shukran dear

    • @Noorally24
      @Noorally24 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar mchele wowote best unaweza ukatumia, ilikuwa ntk kufhmu maana kuna mtu kaniambia mpk mchele w VIP eti

  • @rukaiymohamed7441
    @rukaiymohamed7441 4 ปีที่แล้ว

    hongera ant kwa mapish mazur na matam lkn mm nlitaka kujua vile vifaa vya kupambia keki ntapata wapi

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Ahsante, vifaa vya kupambia keki ulizia huko , mie siishi Tanzania, pia ingia kwenye community page yangu hapa youtube nimeweka namba za wanauza vifaa hivyo, pia instagram wapo wengi wanauza

  • @chefserengetimigrationcamp8596
    @chefserengetimigrationcamp8596 4 ปีที่แล้ว +1

    looks very nice bread

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 7 ปีที่แล้ว

    Asalaam aleykum habibty wallah tunafaifika sana kwa mapishi yako....Zuhura kutoka Northampton uk...special request pls
    naomba utuletee mkate wa Ajemi ama mikate ya bwana inavyoitwa kiswahili...
    kama sijakosea...ahsante

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว +1

      Aleikum Musalaam, Zuhura mkate wa ajemi inshallah soon utakuja inshallah

    • @mamitomamita6284
      @mamitomamita6284 7 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar samahani ningependa kujua vipimo ?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Vipimo bonyeza hapo chini ya tarehe utaona

  • @mriamsamy3129
    @mriamsamy3129 7 ปีที่แล้ว +1

    asante dada kwa mafunzo hongera.

  • @salmasaltra4394
    @salmasaltra4394 4 ปีที่แล้ว

    Wow mashaAllah mzur mkate wko lkn my dear unga kiasi gn

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Shukran vipimo vyote nimeandika hapo chini kwenye description box chini ya tarehe

  • @aaliyatoussoufa3758
    @aaliyatoussoufa3758 8 ปีที่แล้ว +1

    it's look like a comorian cake and its name is the same: mkatre a sinia. waw there is no differences betwen comorian and swahili. your language really seems like ours.

  • @wlkmwlkm8486
    @wlkmwlkm8486 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah, mapishi yko ni rahis sana kujua Shukran mamake. Na huo mkate wa sinia. Watumia mchele aina gani. Ama ni mchele wowote??? Swal la 2 ute wa yai. Huwa watoa ile York ya katikati ambayo iko yellow. Ama wapiga yai zima. Shukran

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Mie natumia mchele wa basmati lakini mchele wowote wa pishori inafaa. Ute wa yai ni nyeupe tu bila ya manjano. Shukran

  • @zainabubakari5963
    @zainabubakari5963 4 ปีที่แล้ว

    Asante dada mungu akubariki

  • @zuuniece6635
    @zuuniece6635 8 ปีที่แล้ว

    mashaallah asante kwa kutujuza

  • @witnessmoshi8667
    @witnessmoshi8667 5 ปีที่แล้ว

    Napenda Sana mpishi yako dad

  • @roseamandus1065
    @roseamandus1065 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sana

  • @arasa904
    @arasa904 6 ปีที่แล้ว +1

    Ndio naona huku nyumbani wao wamekariri mapembe zaidi kwaiyo cjawahi kujaribu kwa aina nyngn ya mchele ila nitajaribu

  • @elizabethodindo2593
    @elizabethodindo2593 8 ปีที่แล้ว +1

    shukran sana kwa funzo lako

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 ปีที่แล้ว +3

    nice nime jifunza

  • @salhasaidsalhasaid8346
    @salhasaidsalhasaid8346 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah nimependa mapishi yako.lakini nauliza ni kwa nini mkate umefanya kupasuka pasuka juu

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Mkate huwa unapasuka juu mara nyingi ni kwasababu ya moto mkali

  • @madamfathmachimammy2389
    @madamfathmachimammy2389 4 ปีที่แล้ว

    Dada shukran kwa mapishi tafadhal unaweza nisaidia leo nimejaribu kupika mkate lkn kwa nini wangu unakua brownish Sana ndani hautoki Kama wako colour white instead na kidgo unakua mgumu pia .. shukran

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Sijui kwanini unakua brown labda sukari , na kwa ugumu itakua mchele haujasagika vizuri , kuganda itakua ni sufuria unayotumia ni ya kuganda

    • @madamfathmachimammy2389
      @madamfathmachimammy2389 4 ปีที่แล้ว

      Shukran sana Allah bareeq 🤲

  • @umimogaeka7895
    @umimogaeka7895 8 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa muda wako, na enjoy na unajua kufundisha mapishi!

  • @saluasalha8502
    @saluasalha8502 7 ปีที่แล้ว +1

    and asante kuchukuwa mda kunijibu

  • @madamfathmachimammy2389
    @madamfathmachimammy2389 4 ปีที่แล้ว

    Bismillah maasha Allah nice wacha na mm insha Allah leo nijarbu dada niko na swali hili yai nilazima ? Alafu mchele kikombe kwa g ngap na tui ml ngap shukran

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว +1

      Yai sio lazima na vipimo vyote nimeandika hapo chini kwenye description box

  • @rahmatumam357
    @rahmatumam357 6 ปีที่แล้ว

    Mchele aina gani mzuri ama wowothe

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Mimi natumia mchele wa basmati lakini kinyumbani zamani wanasema nivizuri kutumia mchele mkukuu

  • @sallykanze
    @sallykanze 8 ปีที่แล้ว

    Asante sana nimejaribu kuupika na nashukuru umetoka mzuri hata kuliko wa kwako hahahaha

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว +1

      +jefason kingy Aww nimefurahi sana, na napenda mwanfunzi akimzidi mwalimu Mashallah

  • @zeddyshiznit
    @zeddyshiznit 8 ปีที่แล้ว

    Kila wakati Nanunua mkate wa sinia Marikiti nikidhani inaitaji ujuzi kutayarisha. Shukran sana leo tayari najaribu kupika.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว

      +zeddy Inshallah, tujulishe vipi umekua

  • @missyabdull142
    @missyabdull142 7 ปีที่แล้ว +1

    asante dada kwa upishi wako mzuri

  • @MohammadAhmad-qy3qs
    @MohammadAhmad-qy3qs 5 ปีที่แล้ว

    shukran kwa mapishi, na nikiupika moja kwa moja blia kusubiri uumuke ama ufure pia utakua? plz naomba nijibu

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Hamira lazima iumuke ( kufura) mkate utakua mgumu

  • @WinnieMwatsuma-l2r
    @WinnieMwatsuma-l2r 6 หลายเดือนก่อน

    Hello..siwezi tumia maziwa

  • @masseanadir2904
    @masseanadir2904 8 ปีที่แล้ว +2

    am goona try it today inshaallah

  • @zayunnumanbyarugaba1416
    @zayunnumanbyarugaba1416 7 ปีที่แล้ว +1

    Asante dada kwa kutufundisha mapishi wanawake wenzio Allah akulipe.naweza kupika mkate wa kumimina kwa kutumia jiko la mkaa?

  • @jamilajuma369
    @jamilajuma369 4 ปีที่แล้ว

    Mbn juu hukuufunika Maa au sio lazima naona ufinika na moto Wa chini

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Sio lazima nilikua nataka upate rangi juu

  • @fatmamohammed1173
    @fatmamohammed1173 8 ปีที่แล้ว

    Asante sana ntajaribu leo in Sha Allah

  • @safiaahmed5246
    @safiaahmed5246 6 ปีที่แล้ว

    Aunty nimejaribu na huu mkate lkn pia haukutoka vizuri haukujishika.this is my second tym kuufanya natamani niujue lkn hautokei

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Pole dear, naona vitu vya mchele vinakupa tabu inaonekana ni mchele na tui labda punguza kidogo liwe zito labda utakubali

  • @xaummusa5593
    @xaummusa5593 6 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Allahu barik

  • @fauziyaswaleh2510
    @fauziyaswaleh2510 5 ปีที่แล้ว

    Nice maelezo please inamtiya mchele gani

  • @aishaathuman6461
    @aishaathuman6461 5 ปีที่แล้ว

    Jamani sasa hv nitajua kupika

  • @byaombewilondja4047
    @byaombewilondja4047 6 ปีที่แล้ว

    Nilaswali mamaangu huho mkate umeuchumeyajuhu hahu chini kwenye hoveny

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Nimetumia moto wote wa juu na chini pamoja

    • @byaombewilondja4047
      @byaombewilondja4047 6 ปีที่แล้ว

      Asante nitajaribu Leo mungu akupe maisha marefu mama angu

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Shukran, amin kwetu sote