Kituo chako ni nzuri! Ninaona hii kila siku! Njoo uone kituo changu cha jikoni! Ninatoka Brazil na natumahi umejiunga na kituo changu na ushiriki video zangu katika nchi yako! Asante!
Rukiya assalam aleykum..nakuulixa tu dadangu mwanzo unawasha oven at 350° kwa dakika tano..baada ya hapo..unaounguza temperature iwe 180° ndo uache kwa dakika 35 ama
Its not supposed to be wet inside, try to first cook at the upper cooker with lower hit atleast 40 minuts then put it in the oven only with the upper hit for 10 mnts.
Jaribu kuanza kuweka kwenye jiko la juu moto mdogo kabisa atleast dakika 40 kisha hamisha kwenye oven kwa dakika kumi moto wa juu tu ili kupata rangi ya juu.
Daa Rukia shukran sana kwa mafunzo Jana nimepika na leo pia nimejaribu tena kuupika lkn sijui kwa nn mkate wngu ndani hautoko mweupe kamawko wngu unakua brownish kbsa unaweza nisaidia tafadhal
Wow! I love the way you present your kookings, keep it up my dear sister.
Tried it out and it came out so good MashaAllah, everyone at home loved it. Can't wait to make it again
Happy to hear that!🥰🥰
Simple recipes, na mapishi yummy
Wao nizuli sana mm nataka kujifuza
Yaan huu mkate mm naupenda balaa😊
Uko vizuri nimependa
MashAllah nitajaribu Leo usiku insha'Allah
Mashallah umejaaliwa
Mm nakufuatilia xana,Asante
MashAllah unaelezea vizuri na kwa utulivu sana.
Kituo chako ni nzuri! Ninaona hii kila siku! Njoo uone kituo changu cha jikoni! Ninatoka Brazil na natumahi umejiunga na kituo changu na ushiriki video zangu katika nchi yako! Asante!
Asalaam aleikum tuweke vipimo chini tuone shukran
Asante mpenzi leo nimejifunza kupika mkate wa mchele pambe kama niniiii😋😋..na nimeupika hasa wa kuftwari mwenywe
My dear unaonghea kiswahli safi .Mimi ntajaribu mkate mimina.
Awww jamanii asante kujaribu tu 🙈🙈😅
Mashallah unaeleza vzr na mtu anaelewa
Mashaalah
Masha-Allah Nice
MashaAllah. Nzuri. Yummy 😋👏🏼👍🏼👌🏽shukran
Shukran sisz❤️❤️ramadhan kareem
Trying this today 🤭
Mashallah nice
Kwa hio Kama mchele ni kikombe kimoja tui pia ni kikombe kimoja, I hope nimeelewa sawa sawa
Asante leo nitajaribu
Mashaallah umetumia mchele ngani da
Basmati dear
Waweza ktumia mchle wowot
Nakama hauna tuwi maziwa ni sawa
Assalam Aleikum oven yangu moto mwisho ni 230 degrees sina 350.... nifanye vp moto?
Ilike ur video
Asante kwa pishi zuri naweza Tunis maziwa sure maji badala ya tui ?
naeza ingeza yai?
I love your cooking
Thank you soo much
So easy to follow.
Thank u 🥰
nimeuelewa
Masha Allah
Naupenda ntaupika jpili
Asante sana nimekuelewa vema
nafanyaje kama sina tui?
Kuhusu hiyo 350 ni moto juu na chini? Na je km ovem inaishia 225 hapo inakuwaje?
Rukiya assalam aleykum..nakuulixa tu dadangu mwanzo unawasha oven at 350° kwa dakika tano..baada ya hapo..unaounguza temperature iwe 180° ndo uache kwa dakika 35 ama
Dada sielewi bora blenda kubwa hii ubabaifu
Sister naweza kutumia maziwa badla ya tu la nazi?
Hata maji tu poa Sawa na iliki.
😂😂😂😂😂@@allbyhisgrace8925
Thank you for this recipe, I tried it last weekend mkate ulikua mzuri, lakin wakat nakata ilinata kwenye kisu? What might I have done wrong
MashaAllah
Mashallahh
Mi hua naona wanaweka nauji kidogo au sio lazima kufanya hivo nisaidie kwailo
If u dont have coconut milk can u use whole milk?
Kama hauna oven ni jiko la makaa
Woooow
Maasha Allah Daa Rukia kuweka yai sio lazima ?
Ni lazma inasaidia kufanya mkate wa sinia kuwa na tundu tundu
Shukran Allah bareeq 🤲
Je kama ninaunga wa mchele ulio tiari kusagwa dukani unafaa
Sasa Kaa sna Nazi nitafanyaje
yummy
Mashallah
MashaAllah Love your videos.... In the oven waeka moto wa juu na chini, or just chini then mwisho ndio waeka juu for colour?
Asya Omar juu na chini shukran
Uje utufundishe kupika sega la nyuki
Inshallah
Hi is it usually wet inside when its done
Its not supposed to be wet inside, try to first cook at the upper cooker with lower hit atleast 40 minuts then put it in the oven only with the upper hit for 10 mnts.
Je kama natumia sufuria
Asc
Rukia mambo mbona mimi nikipika hautoki
Ni mchele tumia Lokal nzuri kwa mkate wa sinia na sufuria iwe nzito
Nakumbuka mama alipokuwa akitaka Kupika mkate huu huwa tunasubiria sufuria Kwa ajili ya kuziramba...
kwani siezi tumiaa unga wa mchele yaani mchele uliosagwa mtamboni🤭🤭
A.aleikum umetumia mchele gani?
Ws Basmati
Why did mine have cracks ontop please help
The baking pan was too small
Bila nazi kuna shida ?kama mtu anatumia maziwa awu mafuta
Kama watumia ile oven ya mwisho ni 250 waeka moto kiasi gani
Hi Rukia, mimi nimejaribu saana kupika mkate wa Sinia. But sijui kwa nini mkate wangu umekuwa mugumu saana. Nilifata all the steps.
Jaribu kuanza kuweka kwenye jiko la juu moto mdogo kabisa atleast dakika 40 kisha hamisha kwenye oven kwa dakika kumi moto wa juu tu ili kupata rangi ya juu.
Mchele gan mzur wa mchele
Ikiwa upo kenya local nzuri kwa kupika mkate wa sinia ila mm hutumia basmati
Mie nipo zanzibar ila huku hutumia mapembe ila bado hautok vizur labda nitumie uo basmat sijui ipi nzur mana basmat zipo nying plz
A alaykum where can i get or find this recipe in English.. jzk
th-cam.com/video/c63K253ew0o/w-d-xo.html
Daa Rukia shukran sana kwa mafunzo Jana nimepika na leo pia nimejaribu tena kuupika lkn sijui kwa nn mkate wngu ndani hautoko mweupe kamawko wngu unakua brownish kbsa unaweza nisaidia tafadhal
Labda kwa sukari yenye umetumia haikuwa nyeupe
Kitubuwa
Naweza tumia any rice habibt?
Yes
Yes
One question! Moto wa juu na chini at the same time ukianza kuweka mkate wako wa mchele?
Mchele wa basmati unakubal kupika mkate
Kwani dad ukitumia unga ulio sagwa aufai
Waeza ila sijajaribu
Nitumia no yako plz
Unaeza kutumia maziwa kama huna nazi?
Noo hapana huwezi
@@RukiaLaltia habari, naomba kujua kwanini huwezi kutumia maziwa please? Asante🙏
Tried this twice and back fired
Uweki mafuta
I tried your recipe on my instagram page utamu.halisi it was marvelous
Maana naona mara mbili saga kwa mara moja kwa blenda