Jinsi yakupika mkate wa mchele/wa kumimina/wa sinia na mambo yakuzingatia | Mkate wa sinia/mchele.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 64

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +3

    If you would like to watch this recipe in English language press the link ➡️ th-cam.com/video/zo3PK5Z8P-0/w-d-xo.html

  • @mwaksmathings1884
    @mwaksmathings1884 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah for the first tym mkate umekuwa laini , the gas works for me,shukran Kwa ujuzi 😍

  • @maryamsaid7972
    @maryamsaid7972 ปีที่แล้ว

    MA Sha Allah

  • @SalmaSeif-sm1hb
    @SalmaSeif-sm1hb ปีที่แล้ว

    Allah akulipe khery habibity nimejifunza

  • @AnceaAsap-tm5ue
    @AnceaAsap-tm5ue 9 หลายเดือนก่อน

    Unafundisha vizuri ♥️

  • @tajiriskitchenswahiliflavo1723
    @tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 ปีที่แล้ว

    Mkate umetokea vizuri 👌❤

  • @nkudweezekiel4815
    @nkudweezekiel4815 ปีที่แล้ว

    Mzuri sana

  • @thehonesty6765
    @thehonesty6765 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa kwanza kulike n comment

  • @lailajeremia1259
    @lailajeremia1259 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @mulyatalofi9241
    @mulyatalofi9241 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallh naomba kujuwa mkate sembe plz

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Ckk0Cw_s02k/w-d-xo.html

  • @joycembabazi-y9n
    @joycembabazi-y9n 5 หลายเดือนก่อน

    Hasante Sana umenikumbusha mbali

  • @ruqayyah5072
    @ruqayyah5072 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana dear !!!!

  • @amourbundrez3731
    @amourbundrez3731 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mkate untokea vizuri. Shukran kwa kutujuza, keep up the good work

  • @zenaboi3294
    @zenaboi3294 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa grill joto kiasi gani pls

  • @monahnurdin1638
    @monahnurdin1638 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah ila samahn nmchele wowote unatumia

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mzury moto wa chini tu ulikuwa kdgo ukawa mweupe

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +1

      Shukran habibty, ni kwasababu ya pan ya kuvunjika it's non stick huwa watoka hivyo lakini uko sawa kabsa

  • @sheikhanasserali8194
    @sheikhanasserali8194 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah 😋😋😋 ,shukran habibty, have to try this ..miss my Mombasa snacks 😘

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +1

      Ameen yarabi inshallah 🙏 Shukran habibty 😘

  • @thehonesty6765
    @thehonesty6765 4 ปีที่แล้ว

    Ni yummy kwa chai ya maziwa ya yangawizi😋

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Kabsa habibty wangu 😘 😋😋👌

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah una rangi nxuri mate hayoo...je huo moto wa oven utachoma chini kisha juu ama n vp

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +1

      Juu na Chini kwa symbol ya eco fan mood 40/45 min yategemea na oven yako

    • @aishaabdallah4560
      @aishaabdallah4560 4 ปีที่แล้ว

      @@RukiaLaltia Shukran habibty

  • @lucyazizi81
    @lucyazizi81 3 ปีที่แล้ว

    Mm unanisumbua kwenye kuumuka sijui naweka amira kidogo sielewi

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @alsmawat
    @alsmawat ปีที่แล้ว

    Je Kwa mfano umekosa nazi yakuweka ,,je unaweza kupika na maziwa au

  • @jazilambaji2789
    @jazilambaji2789 2 ปีที่แล้ว

    Utawasha moto wa chini kisha wa juu?au wa juu peke yake??

  • @paulinadmelo9508
    @paulinadmelo9508 3 ปีที่แล้ว +2

    Can one use rice flour instead of rice grains?

  • @laylatali9203
    @laylatali9203 4 ปีที่แล้ว

    Moist mashaallah

  • @malachimassawe1160
    @malachimassawe1160 2 ปีที่แล้ว +1

    Huwezi pika kwa mchele uliopikwa (wali)

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 4 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah looks delicious 😋😋

  • @alshabje7185
    @alshabje7185 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah 💞

  • @ruqiyambarak4960
    @ruqiyambarak4960 3 ปีที่แล้ว

    A. Alaykum je naweza kutengeza kutumia unga wa mchele. Kama naweza je nitumie vikombe viwili vya unga?

  • @thehonesty6765
    @thehonesty6765 4 ปีที่แล้ว +1

    Tushakaribia habibty 😘

  • @rechoevarist9103
    @rechoevarist9103 2 ปีที่แล้ว

    Kusaga Haichagui blenda mie Nina blenda ya kawaida

  • @fatmasaleh1067
    @fatmasaleh1067 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah Asante kwa kutujuza habibty mkate ni mzuri nimependa nitaenda kupika 😋😋

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Shukran habibty 😘 🙏

  • @thehonesty6765
    @thehonesty6765 4 ปีที่แล้ว

    Me nafarijika nikiona recipe zako nafurahi na nazidi kuwa mjuzi jikoni Allah akujaze kheir Rukia habibty 🌹❤️

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Ameen ameen yarabi inshallah 🙏 Shukran habibty 😘

    • @thehonesty6765
      @thehonesty6765 4 ปีที่แล้ว

      @@RukiaLaltia 3fwaaan

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 3 ปีที่แล้ว

    Huu mkate huwa hauna radha ya mchele??

  • @gamarjeizan1430
    @gamarjeizan1430 2 ปีที่แล้ว

    Mkate wa sinia ukichomea oven unaweka moto wa chini then wa juu au moto wa juu na chini moja kwa moja

  • @sitially2112
    @sitially2112 7 หลายเดือนก่อน

    Habadi Dada naombakujuwa ukichoma mkate wakumimina katika oveni unaseti moto chini na juu ama unasiti motoupi

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  7 หลายเดือนก่อน

      Juu na chini

  • @mehboobdosa3719
    @mehboobdosa3719 ปีที่แล้ว

    🤪👌

  • @faridaali1580
    @faridaali1580 3 ปีที่แล้ว

    Umetumia mchele gani plz

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 ปีที่แล้ว +1

      Basmati

    • @MozaAbdullah-it4cq
      @MozaAbdullah-it4cq 5 หลายเดือนก่อน

      Samahan basmati ziko nying umetumia basmati gani??​@@RukiaLaltia

  • @fatmahassan2083
    @fatmahassan2083 4 ปีที่แล้ว

    Naomb kuuliza mimi nliwah kujarbu km hivi lakini ulitoa unanata sana na rangi ya njano sana hapo ntakua nimekosea nini

    • @rahimahamad5211
      @rahimahamad5211 4 ปีที่แล้ว

      Mashallah nimwjifunza Allah akupe kheriy cheef

  • @fatmajezan6812
    @fatmajezan6812 4 ปีที่แล้ว

    I am very sorry the link doesn't open

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 4 ปีที่แล้ว

    Unasauti nzr xna dada ang

  • @rahmahamood4266
    @rahmahamood4266 4 ปีที่แล้ว

    Sorry sis sio sascribe ni sabuscribe

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂lol Hahahaha sorry hyo accent hainibambi 😉

    • @hajrafarid8942
      @hajrafarid8942 4 ปีที่แล้ว

      Dada Rukiah ametamka the right pronunciation. The 'b' is always silent

  • @nuruomar7966
    @nuruomar7966 3 ปีที่แล้ว

    Ni mchele wa Aina gani..huo

  • @gretarwijage5162
    @gretarwijage5162 ปีที่แล้ว

    s 0