Shemasi Atoa Homilia Nzito Dominika ya 2 ya Kwaresma, Mafundisho Yake Yagusa Mioyo ya Waamini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • 𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
    Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
    𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
    Instagram: / jugo_media
    Facebook: / jugomedia2019
    𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
    JUGO MEDIA,
    Sokoine Drive, Posta
    P. O. BOX 34014,
    Dar es Salaam.
    For Bookings and other Enquiries
    Phone Number +255757560764/657790405
    #jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

ความคิดเห็น • 21

  • @estabauna3604
    @estabauna3604 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Baba Shemasi ni hazina ya Kanisa Katoliki. Ubarikiwe Sana Baba Kila la heri katika Utume wako. Sihami ng'o Kanisa Katoliki, niende wapi? Nikatafute nini ambacho kimekosekana katika Kanisa Katoliki? Najivunia kuwa Mkatoliki.

  • @japhetkyarukambaaristides8698
    @japhetkyarukambaaristides8698 2 ปีที่แล้ว +2

    Tunashukuru Jugomedia kwa uinjilishaji😇🤗

  • @japhetkyarukambaaristides8698
    @japhetkyarukambaaristides8698 2 ปีที่แล้ว +3

    His voice is persuasive n he makes point all the time #ahsanteh sana shemasi 🙏 // ubarikiwe sanaaa 😇

  • @Eva-f4n
    @Eva-f4n 27 วันที่ผ่านมา

    Amin saana

  • @richardkibe6467
    @richardkibe6467 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimefarijika kwa homilia yako yenye ujumbe wa Mungu. Asante sana.

  • @margaretoyugi7137
    @margaretoyugi7137 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mwana wa Mungu
    Shemasi Kwa Neno jema🙏🏽

  • @fortunatamango4889
    @fortunatamango4889 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Shemasi umenisaidia kuujua mlima wangu. Barikiwa sana🙏🙏

  • @uttimwangamba1312
    @uttimwangamba1312 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa neno, waumini tunapaswa tusikilize neno la Mungu kwa umakini na kulitafakari.Mungu akubariki kwa utumishi wako

  • @valerianazunda5854
    @valerianazunda5854 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa homilia nzuri Mungu akubariki saaaana saaaana

  • @Matutinaize
    @Matutinaize 2 ปีที่แล้ว

    Very powerful homily. Asante sana 🙏🏿

  • @scolasticajacobo4371
    @scolasticajacobo4371 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana nnimejifunza sana meno mlima

  • @blancaurassa5317
    @blancaurassa5317 2 ปีที่แล้ว

    Good job shemazi nimekuelewa safi sana.

  • @piusmdoe8094
    @piusmdoe8094 2 ปีที่แล้ว

    Amina,

  • @emmyjohn4755
    @emmyjohn4755 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukupa hekima kuliinua jina lake

  • @reginamsaki6848
    @reginamsaki6848 2 ปีที่แล้ว

    Uko viuri Shemasi umenibariki kwa lnjili yaleo.kwa neno hili mllima nimeilewa vizuri.

  • @anthonymahinya1537
    @anthonymahinya1537 2 ปีที่แล้ว

    Nmesikiliza neno hili bila kuchoka ,tunahitaji neno kwelikweli

  • @martinkanuth5324
    @martinkanuth5324 2 ปีที่แล้ว

    Ni Homili ya kufaa sana

  • @patrickmuchiri7480
    @patrickmuchiri7480 2 ปีที่แล้ว +1

    patrick Muchiri - TH-cam pray for us behind you deacon and fans.patrick Muchiri - TH-cam

  • @kwayayakristomfalme-kibaon6333
    @kwayayakristomfalme-kibaon6333 ปีที่แล้ว

    Najua sasa hivi huyu ni padre, alikuwa anaitwa frate nani?

    • @priscamassoro
      @priscamassoro 7 หลายเดือนก่อน

      Fr. Hamilton Kikoti