KANISA KATOLIKI huwapumbaza watu wafikiri kwamba ukizikwa Kwa nyimbo za DINI na viongozi wakidini kunauhusiano na kwenda mbnguni/ paradiso na hvyo WTU wengi hulazmika kutii Kwa kicho Cha kidini wakijua watamwona Mungu Kwa njia hiyo!. Hakuna kitu km hcho,hata uzikwe na mapadre na mkuu wao yule mkuu,hueziiona mbngu Kwa vyovyote vle Isipokuwa Kwa mambo 3 Kupokea neema ya wokovu,kubatizwa ubatizo WA KWELI na kuishi utakatifu mambo ambayo yte hupingwa na taasisi hii km sio kugeuzwa Ukifa Hali umeyatimiza hayo,ht usipozikwa wewe n paradiso,huna hayo matatu ht aje papa kukuzika haitakusaidia lolote!
Vitu vingine sio maandiko ndugu, ni kutumia tu reasoning tuliojaliwa na Mungu....wapi kwenye bibilia pameandikwa ukikanyaga bibilia no kufuru?? Lakini Kwa akili za utashi na ufunuo wa Roho Mtakatifu huwezi kukanyaga bibilia Sasa kama umeelewa hivyo kuelewa kama kukanyaga bibilia inaweza kua kufuru basi ni rahisi kuelewa kukanyaga mafuta ya krisma ni kufuru just logically
@@magreth dada Kama ni mafuta hayo sawa lakini Kama ni kukanyaga mafuta ya upako kibiblia ipo siyo kufuru usiishi kidini ishi kiroho, Mungu ni Roho (siyo Dini)so wamuabuduo imewapasa kumuabudu katika Roho na kweli (siyo katika Dini )
@@patsonkyando1732 na nani kakwambia Mimi namuabudu Mungu kwenye dini? Unafahamuje connection yangu na Mungu kama ni ya kiroho?hapo ndugu zetu ndo mnapokosea kuhisi kwamba unapojibiwa basi umejifungamanisha kwenye dini
Asante sana Baba Askofu Mkuu Damian Denis Dallu. 🙏🙏Umesema vyema tuombe tu Mungu ATUSAIDIE🙏🙏
Asante sana baba askofu Dallu kwa ukweli huo
Mafundisho Mazuri Sana Baba Askofu🙏🙏
Asante baba kwa mafundisho mazuri
Amina
Ahsante Baba askofu Dallu wa mafundisho mazuri sana 🙏
Religious teachings not spiritual ones
Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Kanisa Takatifu Katoliki,Ushirika wa Watakatifu, Maondoleo ya dhambi,Ufufuko wa Miili,na Uzima wa Milele.Amina.
Dini hiyo, Yesu Kristo Akusaidie kuijua kweli yake
Mh! Umekariri vibaya,pambanua Leo Neno Kwa Neno Sala hyo,maana sio ya kweli ni ya kubuni Ili kupofusha wengi!
Kukanyaga mafuta wenyewe hule ni wizi kwa sababu mungu aliumba ulmwengu kwa wema tumjue mungu sio kukanyaga mafuta
Nimeyapenda haya mahubiri yamenibariki sana🙏
Pole sana
@@patsonkyando1732 Pole wewe
Ubalikiwe baba
🙏🙏🙏🙏🙏
Sasa kama nimafuta matakatifu kwanini ukanyage
Mafundisho ya mnibariki Tena kila jambo limejipambambanua
tunataka maaskofu kama hawa 10 tu wanatosha
KANISA KATOLIKI huwapumbaza watu wafikiri kwamba ukizikwa Kwa nyimbo za DINI na viongozi wakidini kunauhusiano na kwenda mbnguni/ paradiso na hvyo WTU wengi hulazmika kutii Kwa kicho Cha kidini wakijua watamwona Mungu Kwa njia hiyo!.
Hakuna kitu km hcho,hata uzikwe na mapadre na mkuu wao yule mkuu,hueziiona mbngu Kwa vyovyote vle
Isipokuwa Kwa mambo 3 Kupokea neema ya wokovu,kubatizwa ubatizo WA KWELI na kuishi utakatifu mambo ambayo yte hupingwa na taasisi hii km sio kugeuzwa
Ukifa Hali umeyatimiza hayo,ht usipozikwa wewe n paradiso,huna hayo matatu ht aje papa kukuzika haitakusaidia lolote!
Amini kile unachoamini, wacha waamini wanachoamini.
Kama Kukanyaga mafuta ya upako Ni kufuru tumia Maandiko ya biblia siyo kusema tu ya kichwani mwako hiyo kofia ni ya duniani tu,Torati 33: 24
kofia hiyo imeokotwa?Tangu lini Mafuta matakatifu unakanyaga?acha upagani
Vitu vingine sio maandiko ndugu, ni kutumia tu reasoning tuliojaliwa na Mungu....wapi kwenye bibilia pameandikwa ukikanyaga bibilia no kufuru?? Lakini Kwa akili za utashi na ufunuo wa Roho Mtakatifu huwezi kukanyaga bibilia Sasa kama umeelewa hivyo kuelewa kama kukanyaga bibilia inaweza kua kufuru basi ni rahisi kuelewa kukanyaga mafuta ya krisma ni kufuru just logically
@@magreth dada Kama ni mafuta hayo sawa lakini Kama ni kukanyaga mafuta ya upako kibiblia ipo siyo kufuru usiishi kidini ishi kiroho, Mungu ni Roho (siyo Dini)so wamuabuduo imewapasa kumuabudu katika Roho na kweli (siyo katika Dini )
@@patsonkyando1732 Lete kifungu Cha kukanyaga mafuta ya upako sio kufuru....