Mamajusi Choir Moshi - Hosana
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Shuhudia wimbo wa Hosana, kutoka kwa kwaya kongwe nchini, Mamajusi Choir kutokea Moshi - wakimsifu Mungu pamoja na washirika wa Kituo cha Uamsho cha Kimataifa (Revival International City) wakati wakiadhimisha Septemba ya Kukumbukwa pamoja na wateule wa Mungu kwenye kanisa lililopo Erangau, Njiro.