Mmenifanya nitokwe machozi ya matumaini...Huu wimbo unaujumbe mzito na wenye matumaini ya kusubilia majibu kwa Mungu wetu kwa wale tunaoomba mahitaji yetu kutoka kwa Bwana . Mungu azidi kuwainua Zaid na zaidi kwa viwango vya juu🙌. Hongera kwa mwalim na mtuzi wa nyimbo Mungu aendelee kuwa weka kuinjilisha katika utume wenu pamoja na wanakwaya wote
"Hajawahi Shindwa ,Ana Majibu Ya Kila SWALI"✊🏿🙏🏾 From Utunzi ,Melody And Everything Ni Utukufu Tu Mbele Za Mungu Wetu Mkuu...Wimbo Huu Utaishi Muda Mrefu Sana ,Mbarikiwe Sana 👏🏿
Mbarikiwe sana Aiseeee kutoka Moyoni nilivyoisikia huu wimbo kwa mara ya kwanza nikajihisi kuwa mpyaa Tena,,niliuona kwa mara ya kwanza TBC jpili nikiwa nimekaa na familia yangua,,ilinibidi niutafute TH-cam hatimae nimefanikiwa,,popote mlipo nyie waimbaji Mungu awaangazie njia za miguu yenu na awabariki.Amen
Amina Habakuki 2:3 Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.
Hakika yeye Yesu Kristo anamajibu ya maswali yetu. Utukuzwe Mungu kuwatumia Bethlehem Choir kuponya nafsi zetu, hongereni mno, kwenye the coming Live Recording ya October 29, 2023 nitakuja niwaone live najua mtakuwa mmetuandalia package ya kukonga nyoyo zetu. Mungu awabariki sana
Wimbo huu ukawe Faraja kwa yule anyejihisi kuchoka na kuandamwa na mitihani ya maisha asiye lala atakujibu kwa wakati mungu wetu ni mwema sana mtazame yeye a nayo majibu ya kila mtihani wako mbarikiwe watoto wa mungu sifa na utukufu tumrudishie yeye aliepasua bahari ya shamu
Kaka unayeongoza taji yako mbinguni ipo na waimbaji wote
Mmbarikiwe sana watumishi wa mungu kweli mmeimba vizuri mno mungu wa mbinguni awainue viwango zaid
I love this song ❤❤❤❤❤❤❤❤hapa Kenya tunaanguka nayo
❤❤ mungu awabarki sana muendelee kumtumikia mungu ktk wimbaji
Uwiiiiiiiiiiii jamaniiiiiiii!!! Huuuu wimbo unanibariki sanaaaa mbarikiwe watumishi wazuri wa Mungu alie hai
Mmenifanya nitokwe machozi ya matumaini...Huu wimbo unaujumbe mzito na wenye matumaini ya kusubilia majibu kwa Mungu wetu kwa wale tunaoomba mahitaji yetu kutoka kwa Bwana . Mungu azidi kuwainua Zaid na zaidi kwa viwango vya juu🙌. Hongera kwa mwalim na mtuzi wa nyimbo Mungu aendelee kuwa weka kuinjilisha katika utume wenu pamoja na wanakwaya wote
May God bless you for me, love you❤️❤️❤️
Ni melody za malaika wa bwana,,,nabubujikwa na machozi ya furaha GOD BLESS U PEOPLE,,mwanza- Tz
Bethlehem mbarikiwe. Nyimbo zenu zimejawa na neno na uwepo wa ROHO wa Mungu. Asante kujipeana kutumiwa na Mungu Baba Yetu. Upendo 🇰🇪
Amina Amina Barikiwa ndugu
Amen
❤❤
❤❤❤
"Hajawahi Shindwa ,Ana Majibu Ya Kila SWALI"✊🏿🙏🏾 From Utunzi ,Melody And Everything Ni Utukufu Tu Mbele Za Mungu Wetu Mkuu...Wimbo Huu Utaishi Muda Mrefu Sana ,Mbarikiwe Sana 👏🏿
Mbarikiwe xn xn maana huu wimbo umenivusha
Wala sijisumbui yeye ananijua vyema atanijibu kwawakati..).nibaazi yamistari ambayo nimeielewa sana
Ameeeeen ....amepasua mbarika na jibu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kudos to us instrumentalists with his level of concentration❤❤!
Much love from +254❤❤
Mbarikiwe sana Aiseeee kutoka Moyoni nilivyoisikia huu wimbo kwa mara ya kwanza nikajihisi kuwa mpyaa Tena,,niliuona kwa mara ya kwanza TBC jpili nikiwa nimekaa na familia yangua,,ilinibidi niutafute TH-cam hatimae nimefanikiwa,,popote mlipo nyie waimbaji Mungu awaangazie njia za miguu yenu na awabariki.Amen
Machozi yananitoka nasikia furaha moyoni nauona ushindi kesho 🙌
MUNGU AENDELEE KUKUTETEA MPENDWA
Amani nimeipata MUNGU ni mwema❤
Hakika baba utanijibu anajua shida zetu
Amina
Habakuki 2:3
Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.
ni swala la Muda tu..Atajibu kwa wakati🙏🙏🙏🙏...Hi imeeenda alooo
Ujumbe mzitooo
This is Another ANTHEM
Hii imeenda kabisa, Lazima East Africa nzim Iwajue kuanzia saa hii
Utukufu kwa MUNGU 🙌🙌🙌
Kweli ana majibu
Ndio yulee atanijibu kwa wakatii mbarikiwe sana bethlehemchoir
Hakika yeye Yesu Kristo anamajibu ya maswali yetu. Utukuzwe Mungu kuwatumia Bethlehem Choir kuponya nafsi zetu, hongereni mno, kwenye the coming Live Recording ya October 29, 2023 nitakuja niwaone live najua mtakuwa mmetuandalia package ya kukonga nyoyo zetu. Mungu awabariki sana
Hongereni Watumishi wa Mungu,
Anatajibu kwa Wakati.
Glory glory glory, mpo vizuri sana sana sana
Amen Barikiwa Sana ndugu
@@bethlehemchoirmajengomoshi8788 amen, mbarikiwe zaidi mfanyike baraka kimataifa
Good work Bethlehemu Choir...
Mnatubariki sana
...Jina la Bwana lihimidiwe.....nyimbo zinaujumbe....zimejaa NENO
Hongereni kwa nyimbo nzuri huwa zinanibariki sana pindi ninapozisikiliza. Hakika Yesu Ana majibu yetu
🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️💪Atajibu kwa wakati
Ni kweli yesu anamajibu yetu
Barikiwa sana
Anayo majibu ya maswali yooooteeee yaaani YOOOOTEEE😂🙏🙏🙏
Siwezi mwacha bwana kwake Kuna majibu ya maswali yagu
Wimbo huu ukawe Faraja kwa yule anyejihisi kuchoka na kuandamwa na mitihani ya maisha asiye lala atakujibu kwa wakati mungu wetu ni mwema sana mtazame yeye a nayo majibu ya kila mtihani wako mbarikiwe watoto wa mungu sifa na utukufu tumrudishie yeye aliepasua bahari ya shamu
Amen
Mungu wa Mbinguni awabariki mnooooo nyimbo zenu zimevuviwa jaman nabarikiwa sana 🙌🙏
2025 mpo hapa
Hakika hajawahi Shindwa…Hongereni sana Bethlehem Choir. Mungu awainue zaidi
I love this chour jaman Mungu azidikuwatumia
Amen
Hongeren sana. Mungu aendelee kuwainua viwango vya juu. Njimbo zenu zi abariki sana
Hingereni sana Bethlehem choir wimbo wa baraka sana huu kwa majira haya
Amen Amen
Wimbo wa ajabu Sana , sijisubui Tena anayomajibu, Mungu awainue Sana nakosa la kusema by ni wimbo wa majira yangu, amen
Mpaka machozi yananitoka ujumbe mzito uliopo kwenye wimbo huu,mbarikiwe sana
Oh haleluya
Please upload your music on spotify too, thank you.
Natazama kutoka Nairobi. Mungu atanijibu kwa wakati. Hallelujah!
Hakika bwana ana maswali yetu Wala tusijisumbue
Wooooooow...I just love it,I know tunaeza kuwa tunapitia magumu lakini Mungu atatujibu Kwa wakati...I love this team,salamu kutoka kenya
🙏🙏🔥🔥atanijibu kwa wakati Mimi sijisumbui
Ni suala la Muda,,, MUNGU ananijua hali ni nayo pitia nasubiria wakati wake ufikee,☑️☑️ huu ujumbe ni wabaraka sanaa
Atajibu kwa wakati.. Wala sijisumbui🥺😩♥️🙌🏾just what I needed to hear right now
Amen Amen
Hakika Majibu ya mawaswali yetu yako kwake hakika nimebarikiwa sana.
Asante Kwa wimbo mnzur sanaaaa 🙏🙏
Barikiwen sanaaa mungu ni mwema wimbo mzuri mnooooooo🙏🙏🙏
Hakika Yesu ana majibu na anajibu kweli kwa wakati. Twendelee kumwamini na kumsubiri
Wimbo mzuri sana
Amen Glory to GOD
Twaziyaka kwenye tiktok tafadhali
Soon
hajawai shindwa, ana majibu ya kila swali. Amazing, may God bless and increase Bethlehem Choir
Mtumishi Steve Sabugo hongera kwa kanzi nzuri, God bless you
Nabarikiwa na huu wimbo mbarikiwe sana
Lovely, soothing, peaceful & comforting 😊
I am blessed God has answered my prayers l thank Him
Amen
God bless wimbo mzuri mbalikiwe♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥
Hakika mungu wangu atanijibu kwa wakati😢
Hakika na haipingiki kabsaaa
Always God has never fail. Mbarikiwe Bethlehem Choir
Amen amen ,😢😢 hajawahi shindwa ana majibu ya kila kity
Wooow I am so blessed.....hakika atanijibu kwa wakati
Hakika atajibu kwa wakati💪
Mungu azidi kuwa inua
The song is so peaceful😢,,, have been listening to it over and over
🔥🔥🙏🏿
Wimbo mzuri umenibariki. Kazi nzuri mbarikiwe
Amen Amen
❤waooh waooh❤mbarikiwe
Aminaaaaa🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mubarikiwe sanaaa
God bless you na azid kuwatumia vyema ktk ufalme wake
Na mpate kuingia ktk ufalme wa mbinguni
The Lord will answer my prayer someday.
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮nawapenda kwamoyo wangu wote
Very poweful song!!
Hakika atajibu kwa wakati 🙏🏽🙏🏽
Amen
Athari sana. More grace and much blessings the bethrehems choir
Amen....Ninaamini.Mungu atanijibu
Ameeeeeen sitawahi jisumbua tena❤❤❤❤❤
Lyrics for me❤❤
🔥🔥🔥. Aki this choir is blessing. Mungu aendelee kuwatumia kubariki mataifa 🙏🏽
Yesu anamajibu ya maswali ya moyo wangu 🙌🏼
Hakika atatujibu kwa wakati❤️❤️
in deed he will answer us on time. This goes hand in hand with his teaching on prayer "may your will be done on earth as it is in heaven"
Utukufu kwa Bwana.
Amen
Mbarikiwe waimbaji na mtunzi.
Amen
Wimbo umenibariki sana umenipa nguvuu mbarikiwe sanaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Always on time, thanks watumishi.
Zidi kubarikiwa Mtumishi
Aisee mmetidha sana
Mungu awadumishe..nimebarikiwa sana
Hajawahi shindwa ♨🖤
❤
oooohhh how this song make me happy! any way god bless you Bethlehem choir
Powerful one,rhumba nadhani :;nzuri,good music❤❤❤🎉🎉
Mungu awabalik watumish