MAPEMA KABLA YA KUPIGWA KURA DR MWAKYEMBE “NILIKUJA KYELA NIKIWA NIMESHIBA NINA KILA KITU”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ค. 2020

ความคิดเห็น • 83

  • @ramadhanimbulu6716
    @ramadhanimbulu6716 4 ปีที่แล้ว +4

    Tuchunge ndimi zetu,nilikuja kyela nikiwa nimeshiba! Wana kyela wameamua Kwa Neno Lako LA dharau. 0

  • @allyfaraji1697
    @allyfaraji1697 4 ปีที่แล้ว +5

    😀😀😀 wamembidua na mwanawe makonda 😀😀😀 watu noma sana. Seanson 2 inaendelea 😀😀😀

  • @masoudali2631
    @masoudali2631 4 ปีที่แล้ว +4

    Ulikua umeshiba siyo, kwa maneno hayo Magufuli hawezi kukupitisha. Kuwa mnyenyekevu Kama Mwigulu Nchemba

  • @dnaofgodtv4873
    @dnaofgodtv4873 4 ปีที่แล้ว +4

    Dharau zako mzee, mambo ya darasa la saba na kushiba kwako wkt wapiga kura hawajawahi kushiba, ndilo anguko lako!

  • @eliamwaisumo5600
    @eliamwaisumo5600 4 ปีที่แล้ว +6

    Sasa mbona unalilia bado madaraka mheshimiwa wachie nawengne washibe hahaahahahahaaaa kyela yetu hongera kwa mabadiliko

  • @davidnicholaus5304
    @davidnicholaus5304 4 ปีที่แล้ว

    Hana social awareness....hilo neno tayar ni 0 kwana anae gombea nao wana njaaa

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 4 ปีที่แล้ว +4

    Njakysa wana vibuli na kujiona wame somaa Sana'a nenda kalime sasa na mjomba magu ana kutoa uwaziri.

    • @lubatikoseme6613
      @lubatikoseme6613 4 ปีที่แล้ว

      Wanyakyusa wa kyela ndio wana nyodo sio wote

  • @alexsalum7824
    @alexsalum7824 4 ปีที่แล้ว +1

    We auoni unazid kushuka kama ulikua mbunge wa A.Mashariki tena ulikua unalipwa mara 3 ya mshahara wa mbunge wa bunge la Tz,Ukashuka ukawa wa mbunge wa kyela,Kinachofuata ungeomba udiwani ukamalizia.

  • @almujibually7580
    @almujibually7580 3 ปีที่แล้ว

    Unaweza ukawa na degree lakini mbumbumbu hata kujielezea shida

  • @gabrielmapunda6017
    @gabrielmapunda6017 4 ปีที่แล้ว +2

    Explain five factors for the fall of Mwakyembe Empire (20% marks).

    • @gabrielmapunda6017
      @gabrielmapunda6017 4 ปีที่แล้ว

      @@lubatikoseme6613 good!!!

    • @fatumachagudadui3138
      @fatumachagudadui3138 3 ปีที่แล้ว +1

      1.Selfishness 2. Lack of intelligence.
      3. Lack of awareness 4.Not honesty 5.irresponsibility due to poor speech

  • @dullaubinadamu8465
    @dullaubinadamu8465 3 ปีที่แล้ว

    Unaweza ukashiba pia ukapata hamu maisha ayaji na maelekesho

  • @mohamedomary5216
    @mohamedomary5216 4 ปีที่แล้ว

    Kwa mtaji huu ndipo tunapoitafakari vyema dhana ya kusoma na kuelimika
    Pole baba

  • @shadyrich2143
    @shadyrich2143 4 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo limeanzia hapa

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwakyembe acha hasira!!

  • @dctbawiliahmadimasato6486
    @dctbawiliahmadimasato6486 4 ปีที่แล้ว

    Umenuna mzee Mambo hayo kwakweli mwkyembe ulinikosea kwakifupisha habari za magazetini eti wakisoma kwaurefu hawata uza naww umeuzwa Asante mungu wakuda wore myakiona chamtemakuni

  • @deezg5310
    @deezg5310 4 ปีที่แล้ว

    Tabia mbaya hiyo mzee wetu sio maneno mazuri

  • @leswaiswai7635
    @leswaiswai7635 3 ปีที่แล้ว

    kawakera wanakyela kavuna alichopanda haaaaa eti alikuja ameshiba aliekushibisha ninani ni mabeberu au ni watanzania pmj na wana kyela

  • @lubatikoseme6613
    @lubatikoseme6613 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyodo imekuponza.. ilikuwa umeshiba eh

  • @reubenmuganyizi4712
    @reubenmuganyizi4712 4 ปีที่แล้ว +3

    Mmmmmm jamani, anaongea maneno ya dharau

    • @shabanmohamed1545
      @shabanmohamed1545 4 ปีที่แล้ว

      Mzee umepaniki ,hao ndo wajumbe sasa .pumnzikaaaaaa!!!!!

  • @josephmapunda7321
    @josephmapunda7321 4 ปีที่แล้ว +3

    Wajumbe wa halmashauli wanafiki wanangata hku na kule
    Mwakyembe pumzka sasa waachie na wakina njolo sasa

  • @ntulimwaihola7085
    @ntulimwaihola7085 4 ปีที่แล้ว +2

    Sijajua kuna laana gani kyela tunawasomi wengi lakini hawana msaada na wilaya yao sijui ndio kulogwaaa? Hawakumbuki nyumbani kwao, hongera kinanasi tunaujua upendo wako kwa wana kyela wako piga kazi,kwako hatujaona dharau nawashukuru kwa wajumbe mliomchagua kinanasi.

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 4 ปีที่แล้ว

      Tuko pamoja malafyale

    • @evimanmmbogo5332
      @evimanmmbogo5332 4 ปีที่แล้ว

      Kiukweli nimefurahi sana kuona Mwakyembe kapigwa chini kiukweli hana uadilifu hata kidogo.
      Ametawala Kyela miongo mingi sana lkn hamna Cha maana sana alichokifanya

    • @felixbarack3109
      @felixbarack3109 4 ปีที่แล้ว

      Kwel aiseee mungu ampe nguvu kinanasi... 🙏 katika kuakikishaaa jimbo la kyela linaendelea.. katika kila sector na ndo maana chama tawala kikamuamin katika kura za maoni... AMEN

  • @mako331
    @mako331 4 ปีที่แล้ว

    Huu ni wakati wa kuwaadhibu bila huruma wale wabunge ambao hawaonekani majimboni kwao, yani wengine lazima uulize ni mbunge wa wapi kwa sababu kila siku yupo Dar au kwenye vyombo vya habari

  • @mohamedhashim6728
    @mohamedhashim6728 3 ปีที่แล้ว

    Madaraka ya kulevya ayo mzee aya sasa angalia sasa rawama izo

  • @saidseleman6004
    @saidseleman6004 4 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo la kuhesabu hadharani😂😂😂

  • @ivanmbilinyi5656
    @ivanmbilinyi5656 4 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁 ko saiz shibe imeisha

  • @hamadlwanda1100
    @hamadlwanda1100 3 ปีที่แล้ว

    Mwakyembe hajavunja makundi wilaya yakyela ili mgombea aliyepo akose Ubunge

  • @bakariyusufujuma
    @bakariyusufujuma 4 ปีที่แล้ว +4

    Kama una kila kitu mbona huwaachii vijana wasio na kitu? Kwa heshima yako utapewa hata ubalozi

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 4 ปีที่แล้ว

    Nimesikiliza kama mara kumi ivi, na bado mzee wa busara leo sijamuelewa. Lo, kweli watu wengine huenda wanaandikiwaga hotuba zao. Ulikuwa umesiba eeh, yule jamaa kashaidaka hiyo. Na utatapika hiyo shibe yako🤣🤣🤣. Anko akikamata mic wiki hii ama ijao, lazima atatuua mbavu raia wake.🤣🤣🤣

  • @gradnessemma3240
    @gradnessemma3240 3 ปีที่แล้ว

    Duhhhhuuu

  • @onesmombelle4724
    @onesmombelle4724 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa ulikuja kuchukua nn

  • @alawiali3475
    @alawiali3475 4 ปีที่แล้ว +1

    Mukimpa ubunge huyo jamaa nitawaona wajinga sana coz ana maneno ya kifedhuli

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe ndo maana😁😁😁
    Degree 4

  • @hamadlwanda1100
    @hamadlwanda1100 3 ปีที่แล้ว

    Magufuli embu tuma timu yako imchunguze Mwakyembe anakihujumu chama Cha mapinduzi Kyela kwakumhujumu mgombea aliyepo Ally Mlaghila kupitia CCM ili apoteze Jimbo aonekane yeye nibora anamfadhili mgombea ubunge kupitia Chadema wilaya yakyela

  • @athumanmfangavu7320
    @athumanmfangavu7320 3 ปีที่แล้ว

    Hhh mh.

  • @hjlpoi8739
    @hjlpoi8739 3 ปีที่แล้ว +1

    Twa mbombo. Ungonile mwana fyaree. Mpa i spoon.

  • @emanuel4148
    @emanuel4148 4 ปีที่แล้ว

    Hapa ndipo alipoakosea 😁😁😁😁

  • @nasmayahya7642
    @nasmayahya7642 4 ปีที่แล้ว +1

    Amepaniki ....SAA itakuaje

    • @lutenganofred9545
      @lutenganofred9545 4 ปีที่แล้ว

      Anaznguliwa....wachukue wengne wenye busara

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 4 ปีที่แล้ว

    Baada ya hapo kapigwa chini

  • @gabrieldavid3689
    @gabrieldavid3689 4 ปีที่แล้ว +2

    Alile kako

  • @asiaokelay8421
    @asiaokelay8421 4 ปีที่แล้ว

    Imekula kwako

  • @masoudkipara5053
    @masoudkipara5053 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe mzee ulilikoroga mwnyw🤣🤣🤣🤣

    • @hjlpoi8739
      @hjlpoi8739 3 ปีที่แล้ว

      Weeee usiseme hayo atachukua treni yake ujue usafiri ni shidaaaa.

    • @masoudkipara5053
      @masoudkipara5053 3 ปีที่แล้ว

      @@hjlpoi8739 🤣🤣🤣🤣

  • @hajingojwike8735
    @hajingojwike8735 4 ปีที่แล้ว

    Laana iyo toka

  • @evimanmmbogo5332
    @evimanmmbogo5332 4 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika tu mzee huna jipya tena!
    Huwezi kuwafanya wanakyela wajinga kwa muda wote huo waliokuvumilia, uwe na aibu pia..
    Ulile kako, inatosha si ulikuja umeshiba na ukaendelea kushibishwa lkn sasa umeonyeshwa kwamba siyo wajinga sisi...

  • @Traditionallife-b3t
    @Traditionallife-b3t 4 ปีที่แล้ว +1

    Unaweza zani ccm wote wapo kwa magufuli kumbe niwanamtaka lissu au membe
    Mapya yazuka kuhusu barua ya makonda kwa magufuli
    th-cam.com/video/W-JsBjNmG4w/w-d-xo.html

  • @salomemlagila5757
    @salomemlagila5757 3 ปีที่แล้ว

    Kinanasi mjingoni

  • @immahkobeh7620
    @immahkobeh7620 4 ปีที่แล้ว

    Piga keleleeeeeee

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 ปีที่แล้ว

    Dudu Baya, pewa whisky leo

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣

  • @justinekashiriririka8690
    @justinekashiriririka8690 4 ปีที่แล้ว

    Kapigwa chini mzeee aibuu!

  • @eliasshuma4607
    @eliasshuma4607 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @edyhasan9071
    @edyhasan9071 4 ปีที่แล้ว

    Kapaniki

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 ปีที่แล้ว

    Wamemjinjaaa

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe huyu mponea kifo cha kuwekewa sumu anajeuzi sana kwa watu wa kyela.Asidhani wa Tz wajinga kwa kuona hatutomfaham na misali yake ya kikwembe kwembe eti ooh mimi nimesoma hatishwi na mshamba mwenye kuishia darasa la saba ! ☻☻☻☻☻☻☻.

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 4 ปีที่แล้ว

    Nkurunziza

    • @johnisrael1968
      @johnisrael1968 4 ปีที่แล้ว

      baden bensoni nkurunziza kaingiaje hapa .akina mseveni ,Mugabe,kagame Ali bongo hujui historian yso acha kukaririshwa

  • @davidheche839
    @davidheche839 4 ปีที่แล้ว +1

    Ujinga wa mjumbe akishakula hela hata atukanwe huwa hakomi, hizi ni dharau

  • @mwakaloboambele5161
    @mwakaloboambele5161 4 ปีที่แล้ว

    Mwakyembe kwa heri

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 ปีที่แล้ว

    Madaraka matamu jaman tatizo mkipata wajumbe mnawadharau

  • @sportevents220
    @sportevents220 4 ปีที่แล้ว

    Bovu lilimtoka

  • @seddamwaipungu6566
    @seddamwaipungu6566 4 ปีที่แล้ว

    Eeeeeee be

  • @agnesmpiluka7929
    @agnesmpiluka7929 4 ปีที่แล้ว

    Nyie kiela siyo watu wa zur hahah

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 4 ปีที่แล้ว

    Minadhani usomi nikwafaida yamtu nafamilya yake ndowasomi wasio takiwa kwenye uwongozi Kama hawa

  • @asiaokelay8421
    @asiaokelay8421 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @Traditionallife-b3t
    @Traditionallife-b3t 4 ปีที่แล้ว

    Unaweza zani ccm wote wapo kwa magufuli kumbe niwanamtaka lissu au membe
    Mapya yazuka kuhusu barua ya makonda kwa magufuli
    th-cam.com/video/W-JsBjNmG4w/w-d-xo.html

  • @Traditionallife-b3t
    @Traditionallife-b3t 4 ปีที่แล้ว

    Unaweza zani ccm wote wapo kwa magufuli kumbe niwanamtaka lissu au membe
    Mapya yazuka kuhusu barua ya makonda kwa magufuli
    th-cam.com/video/W-JsBjNmG4w/w-d-xo.html

  • @Traditionallife-b3t
    @Traditionallife-b3t 4 ปีที่แล้ว

    Unaweza zani ccm wote wapo kwa magufuli kumbe niwanamtaka lissu au membe
    Mapya yazuka kuhusu barua ya makonda kwa magufuli
    th-cam.com/video/W-JsBjNmG4w/w-d-xo.html

  • @Traditionallife-b3t
    @Traditionallife-b3t 4 ปีที่แล้ว

    Unaweza zani ccm wote wapo kwa magufuli kumbe niwanamtaka lissu au membe
    Mapya yazuka kuhusu barua ya makonda kwa magufuli
    th-cam.com/video/W-JsBjNmG4w/w-d-xo.html

  • @Traditionallife-b3t
    @Traditionallife-b3t 4 ปีที่แล้ว +1

    Unaweza zani ccm wote wapo kwa magufuli kumbe niwanamtaka lissu au membe
    Mapya yazuka kuhusu barua ya makonda kwa magufuli
    th-cam.com/video/W-JsBjNmG4w/w-d-xo.html