BAWACHA WAPATA MSUMARI WA MOTO ALIEKUA MWENYEKITI WA CHADEMA ACHAFUKWA VIBAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 75

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 หลายเดือนก่อน +2

    Vizuri sana bora kusema

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela หลายเดือนก่อน +1

    RAIS AMIR JESHI MKUU WA NCHI KWA KUPITIA UPOLE WAKE WAMEAMUA KUMKANYAGA KICHWANI , WAMESAHAU KUWA AKIWAGEU KA NA KUTUMIA MAMLAKA ALIONAYO MTAJUTIA KUWA KWANINI MLIKUJA DUNIANI, MHESHIMUNI RAIS MKOSOENI KWA HOJA NA SIO KUMDHALILISHA AU KUFANYA VITENDO VYA NAMNA HIYO HATA MIMI NALAANI NA KUWAKEMEA VIKALI

  • @ABDULRAHMANIDAS
    @ABDULRAHMANIDAS หลายเดือนก่อน +1

    Nashauri msajili wa vyama vya siasa afute hiki chama cha chadema kifutwe kitakuja kuleta balaa nchi hii.

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa ni mkweli, kwa yote haya anayokuwa akisema na bado Chadema hawajamshita, wanaogopa nini?

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 หลายเดือนก่อน

    Siasa ya hasra haifai ,kuchoma picha ya Mh Rais wa nchi Amirijeshi wa nchi ,kweli mnathubutu kuchoma vitenge vyenye picha yake ili nini na mmepata faida gani zaidi ya kujifedhehesha, maana mnatuonyesha siasa mnayofanya nyie ni hasra na koforce.

  • @LusiaThom
    @LusiaThom หลายเดือนก่อน +3

    Ata mm nakuuga mkono baba ogea mwanetu Samia piga kazi iedeleee

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo walikosea saaana saaana, hakuna anaeweza kufurahishwa na hilo.

  • @BatazalNdifwa-nk2hl
    @BatazalNdifwa-nk2hl หลายเดือนก่อน +2

    Mambo ya Wanawake Wanaume yanawahusu nini ? @ Huku kwetu wametoa bendera zote za Chadema ruvuma Mbinga. Ok

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji หลายเดือนก่อน

      MNYIKA VIPI BADO ANATUBU 😢😢😢😢😢

    • @BatazalNdifwa-nk2hl
      @BatazalNdifwa-nk2hl หลายเดือนก่อน

      @@OmmyJames-xn7ji . Mnaonea Watu huku mnacheka sio ? Subirini upako wa kiroma Akitoka hukooooo kwa Mapadre! Hah hah hah! Ok

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji หลายเดือนก่อน

      @@BatazalNdifwa-nk2hl HATA AKITOKA KWA PALOKO 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @KabujeFulaha
    @KabujeFulaha หลายเดือนก่อน

    Ninyi wahuni tu mmekosa kaz kufanya au uchawa ndo unawatesa

  • @HAFIDHIFAKIHI
    @HAFIDHIFAKIHI หลายเดือนก่อน

    Chadema ni wajnga kwer

  • @JoachimMwananjela
    @JoachimMwananjela 29 วันที่ผ่านมา

    Acha.umbea.we.kizee.umekula.shi.ngapi.za.kulopoka?

  • @MonicaKaskaz
    @MonicaKaskaz หลายเดือนก่อน

    Hawana shukran kabisa hawa wamefanya kitendo kibaya sana

  • @KhamisSeif-t3d
    @KhamisSeif-t3d หลายเดือนก่อน

    Watanzania muwe makini sana na watu kama Hawa wanaoropokwa ovyo watawasababishia watu kugawika naomba tuwe makini sana Tanzania ni yetu sote

  • @petermaqway5433
    @petermaqway5433 หลายเดือนก่อน +1

    Waambie hao watulie na waache maandamano

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 หลายเดือนก่อน +1

    Polis sasa unawatuma wewe .wao siwanajua kazi yao.tukemee mauwaj jaman .wanawake hawa ni wa mama. Wache wanawake wamalizane wao

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 หลายเดือนก่อน

    Bawacha wa puuzi wameonyesha kua chadema hawana uwezo wa kuongoza nchi

  • @zainabunuhu8669
    @zainabunuhu8669 หลายเดือนก่อน

    Bawacha ni wendawazimu kbs haya tuwaulize wamechoma vile vitenge faida gani wamepata?

  • @RugakiMsingo
    @RugakiMsingo หลายเดือนก่อน

    Ww unatafuta mchawa kweli kama nchii ndoivi tunapotea mnashindwa kuongelea jamii mnashinda kutwa mnaongea ujinga.

  • @JoachimMwananjela
    @JoachimMwananjela 29 วันที่ผ่านมา

    Mimi.ni.chadema.dam.dam.kitendo.cha.kuchoma.vitenge.kiukweli.uo.ni.utovu.wa.nizam.hawajakomaa.kisiasa

  • @MoEd-k8w
    @MoEd-k8w หลายเดือนก่อน

    Kuchoma vitenge kumewaumiza kuliko watu wanaopotea na kuuwawa, hizi sasa ndio drama

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 หลายเดือนก่อน +1

    Chadema utoto mwingi,sasa vitenge vinamakosa gani

    • @safiaothman5175
      @safiaothman5175 หลายเดือนก่อน +1

      WASHAMBA NA mahasidi wakubwa wasiokuwa na ahukraan bawacha,Mwenyezi Mungu anawaoba malipo ni hapa hapa duniani wayekaji ma wauaji wakubwa anawaona

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 หลายเดือนก่อน

    Kulaani maana yake nini bhana,tunataka kuwajua watu wanaotuteka

  • @zainabunuhu8669
    @zainabunuhu8669 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mtanzania ana haki ya kutoa mchango wake

  • @DaurdCharles
    @DaurdCharles หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa nimchochezi sana Tena mnafikii mkuu au nimbeya sana watu kama wewe hawatakiwi kuishi tanzania kwanza uongozi wamama nikama nani mama amenyamaza ww unalopoka kumchonganisha achukuwe maamuzi yasiyokuwa namaana mama usiwasikilize wanafikii kama hawa mashetani hata shetani alikuwa anajipendekeza kwa mungu ila ndo muasi mkuu

  • @AngumbwikeMwalupaso
    @AngumbwikeMwalupaso หลายเดือนก่อน

    kwan wamechoma vtenge vya samia au vya kwao

  • @sifunimelkizedeck882
    @sifunimelkizedeck882 หลายเดือนก่อน

    Unafiki acha ushamba wewe hiyo msingi yakujaliana wakati watu wanatekwa na kuuliwa kwanini hujatoka na kuwaambia watu walaani utekaji na uuwaji wa raia wasiyokuwa na hatia ww endelea kupiga debe huenda ukapewa uteuzi 😢

  • @MonicaKaskaz
    @MonicaKaskaz หลายเดือนก่อน

    Waambie baba

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b หลายเดือนก่อน

    Nadhani Wewe Ndie Hujitambuwi. Hujuwi Usemalo. Fagilia Upate Uteuzi.

  • @expeditormwalyu
    @expeditormwalyu หลายเดือนก่อน

    vimechomwa vitenge jamaa analalamika vip alienda kwa PDD nini?.

  • @yassinnabwera4273
    @yassinnabwera4273 หลายเดือนก่อน

    Sheria inyooke,kwani wamechoma nguo za mkeo?

  • @OnesmoSamaki
    @OnesmoSamaki หลายเดือนก่อน

    Kaka nisawa unachosema lakini hayayote nihasila watu kutekwa kuuliwa majibu hayalizishi chukulia ange uliwa nduguyako ungesema hayo alafu huo uchawa ndoo unakufanya uwechawa mlaf

  • @RobinsonKilango
    @RobinsonKilango หลายเดือนก่อน

    Sasa picha ikiwa kwenye gazeti ukichoma sio hatia au hatia iwekwe sheria ukiona picha ya raisi itunzwe kama misahafu acha hizo chawa

    • @KulwaSwedy
      @KulwaSwedy หลายเดือนก่อน

      We'we masikin hunjipya

  • @PatrceKimario-ws6nl
    @PatrceKimario-ws6nl หลายเดือนก่อน

    Ww ni mpumbavu sana unatafuta kik nawaunga mkono wachome ni sawa tu

  • @salvatorykimbori7091
    @salvatorykimbori7091 หลายเดือนก่อน

    Wewe huna unachojua ila unatafuta cheo

  • @Grace-s3z
    @Grace-s3z หลายเดือนก่อน

    We una uchungu na vitenge? Mbona ukulaani mauaji na utekaji? We una akili ndogo sana acha uchawa!!!

  • @SebastianCharleskayanda
    @SebastianCharleskayanda หลายเดือนก่อน

    Acha usenge mambo yawanawake yanakuhusu nini?Jessica linaingiaje Fala kweli wewe

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji หลายเดือนก่อน

    BAWACHA KUMBE NAO NI WAGONJWA KAMA SACCOOS 😢😢😢😢😢

  • @CleyKobelu-j8n
    @CleyKobelu-j8n หลายเดือนก่อน

    mbaya zaidi wewe waelewa awakuangalii .

  • @zainabunuhu8669
    @zainabunuhu8669 หลายเดือนก่อน

    Mnajiteka wenyewe nani asiewajua shwayni nyie

  • @SebastianCharleskayanda
    @SebastianCharleskayanda หลายเดือนก่อน

    Njaa mbaya sana jamani

  • @CleyKobelu-j8n
    @CleyKobelu-j8n หลายเดือนก่อน

    sina chama ila kiukweli wanao kuunga mkono wanatakiwa wajiulize waanze na wewe kutwa mtandaoni je unatumwa na ccm

  • @SebastianCharleskayanda
    @SebastianCharleskayanda หลายเดือนก่อน

    Katoa hela yake mfukoni au umemkuta amebeba zege

  • @josephwilliammnyune5464
    @josephwilliammnyune5464 หลายเดือนก่อน

    Jitahidi u DC unakuja.

  • @EdwardBundara
    @EdwardBundara หลายเดือนก่อน

    Huna lolote na laana hizo ,ulaniwe ww na kizazi chako

  • @SolamhelaKulwa
    @SolamhelaKulwa หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mjinga mwingine huyu ni punguani kama punguani wengine wewe ndo utakuja kujibu mpumbavu kabisa

  • @marwamagere
    @marwamagere หลายเดือนก่อน

    Wewe ndiye unjidhalilisha bawacha wapo sahihi mkundu wewe

  • @marwamagere
    @marwamagere หลายเดือนก่อน

    Musenge wewe samia suluhu ndiye rais wa hovyo haijawahi tokea

  • @DeoMsenegal
    @DeoMsenegal หลายเดือนก่อน

    Ulisha wahi kulaani watu kutekwa,kuuwawa? nguo kuchomwa ndio umeona ni kitu cha msingi sana kutokana na Akili yako.

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 หลายเดือนก่อน

    Kama ni utoto,sasa unajibu vitu vya kitoto ?

    • @KulwaSwedy
      @KulwaSwedy หลายเดือนก่อน

      We'we chawa guns haupo sawa

  • @amanipeace6642
    @amanipeace6642 หลายเดือนก่อน

    Wasema uwongo wa Kwanza ni ww,unatakiwa ukamatwe,

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh หลายเดือนก่อน

    Acheni ujinga na upumbavu ccm ilichoma moto kombati za chadema mchana live viwanja vya mahakama mjini shinyanga halafu nikuulize uulifanya nikama rho inakuumambina hujalalamika yamagufuri au hujamsifia acha uchawa utazeeka vibaya subiri uchaguzi utapona majibutapeli mkubwa wewe pumbavu

  • @EdwardBundara
    @EdwardBundara หลายเดือนก่อน

    Usenge

  • @CleyKobelu-j8n
    @CleyKobelu-j8n หลายเดือนก่อน

    wajinga watakuunga mkono lakini waelewa wanajua kama umetumwa .

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 หลายเดือนก่อน

    Tunakushukuru sana kaka kutushitua kuhusu hawa majambazi ya kaskazini tumeshayachoka kiukweli mama alitukosea kuwasamehe haya manyangau baadae wamemgeuka na kumtukana mama haya majambazi hayawezekani mama usikutane nayo tena kama huyo Lissu mpaka kazi alisha ajiriwa huko belgium

  • @JoachimMwananjela
    @JoachimMwananjela 29 วันที่ผ่านมา

    Acha.ujinga.we.mzee.kwanin.unakuwa.na.akili.za.kijinga.unaongea.kama.kichaa

  • @JuliusWandwi
    @JuliusWandwi หลายเดือนก่อน

    Kwa nn msilaani wanao wsus wananchi bila sababu na wanao wanyanyasa kupendana kuteka wanachams wa chadema?

    • @safiaothman5175
      @safiaothman5175 หลายเดือนก่อน +1

      Chadema wanatekama wenyewe msisingizie Serikali

  • @KishimbaAdelaridi
    @KishimbaAdelaridi หลายเดือนก่อน

    Kujikomba na njaa uchawa tu😊

  • @amanipeace6642
    @amanipeace6642 หลายเดือนก่อน

    Tena unatakiwa ukamatwe ww unasema bawacha wamegawa miili, unaweza kuthibitisha ukiitwa?

  • @RugakiMsingo
    @RugakiMsingo หลายเดือนก่อน

    Hivi mbona amuna kazi kutwa mitandaoni mnaongea utumbo mnajiita wana alakati mnaongea utumbo.

  • @DeoMsenegal
    @DeoMsenegal หลายเดือนก่อน

    Zungumza mambo ya wanaume na si yawanawake.Acha uchawa wako

  • @EdwardBundara
    @EdwardBundara หลายเดือนก่อน

    Unaongea usenge

  • @FosterBwalya-rh9lh
    @FosterBwalya-rh9lh หลายเดือนก่อน

    Wewe ndo mtu mzima hovyo umesomea wapi sheria acha ujinga nawewe unajiona unaongea kumbe pumba tu

  • @zainabunuhu8669
    @zainabunuhu8669 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mtanzania ana haki ya kutoa mchango wake

  • @amanipeace6642
    @amanipeace6642 หลายเดือนก่อน

    Tena unatakiwa ukamatwe ww unasema bawacha wamegawa miili, unaweza kuthibitisha ukiitwa?