SHEIKH KISHK AINGIZWA GEREZANI / MAXMUM PRISON KISUMU KENYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 366

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 หลายเดือนก่อน +43

    Kichwa cha ujumbe tumieni maneno ya busara kuna watu wapo na ugonjwa wa moyo mtakuja shtua watu pressure .tafadhali tumieni hekma kwa kwa kuweka ujumbe watu waelewe sheikh jazakumlakheri 🙏❤❤ Kenya we love you More in the sake of Allah 💕

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน

      View

    • @AshrafyYousuf
      @AshrafyYousuf หลายเดือนก่อน +4

      Hata mm nime shitika sana

    • @saadali838
      @saadali838 หลายเดือนก่อน +4

      Bora anwani inge kua, Kishki atembelea jela huko Kisumu Kenya.

    • @jamalsaid5409
      @jamalsaid5409 หลายเดือนก่อน

      ​@@saadali838sawa kabisa

    • @FghgRyy
      @FghgRyy หลายเดือนก่อน +1

      Kwa kweli maana nimesoma mara mbili mbili Subhana Allah

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah sheikh mawaidha yatia moyo Allah humma mamiin ❤

  • @Abdidirir4494
    @Abdidirir4494 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah,barakajjah fikum,for visiting our brothers in prison,may give our brothers nuzraah.

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 หลายเดือนก่อน +5

    Hapa zanzibar tunakuombeni MASHEKH ingieni magerezani muwape dawaa na wafungwa pia wanahitaji mawaidha. Na hao ni binaadam. Wengine wanategemea kuwa huru na wengine wamo huko huko maisha yao yote. Allah atufanyie wepesi amin

  • @yoramabubakar8012
    @yoramabubakar8012 หลายเดือนก่อน +6

    From Burundi🇧🇮 nimesituka sana nilipo soma kichwa cha habali sio poa jamani . Allah amhifadhi mashekh zetu 👏

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 หลายเดือนก่อน +12

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika Allah awafnyie wepesi wlio kuwa na mitihani kwenye Gereza Allah awatoe salama

  • @سالمالجابري-ق8ك
    @سالمالجابري-ق8ك หลายเดือนก่อน +1

    Wallahi sheikh mimi pia nimeshtuka mwanzo niliposoma kicwha cha habari, kua sheikh anaingizwa gerezani kisumu, lakini nilipofatilia vizuri kua una wazuru wafungwa waliomo ndani ya jela, wallahi Allah akuhifadhi zaidi washukran.

  • @khadeejahrashid3177
    @khadeejahrashid3177 หลายเดือนก่อน +8

    Kumbe sio mm peke nimeshtuka, nilikua nataka kumuombea dua Alhamndulillah Allah awahifadhi mashekhe zetu

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 หลายเดือนก่อน +1

    Masha ALLAH Tabarakallah..ALLAH akuhifadh sheikh

  • @jamillahmussa3775
    @jamillahmussa3775 หลายเดือนก่อน +9

    Alhamdulillah, Masha Allah, katibu wageni, laiti nigekuwa kenya ningefika kisumu ili nimuone tu sheikh kishik, huwa namfatilia mawaidha zake sana, one day tutakutsna,

  • @JokhaJokhaabla
    @JokhaJokhaabla หลายเดือนก่อน +7

    Badilisheni kichwa cha habari mnatushtua kwa presha haipendezi .Allah azidi kumlinda shekhe wetu na kila aina ya mitihani .pia hongera sana sheikh wetu kwa ulichokifanya Allah akujaze kheri nyingi na baraka pia Amin yaarab

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw หลายเดือนก่อน +3

    Jamani nilisoma marambili marambili Alhamdulillah Shehkh yetu ALLAH akupe maisha malefu na Pepo ya filidas inshallah

  • @أمخالدالعلوية-ل5ي
    @أمخالدالعلوية-ل5ي หลายเดือนก่อน +2

    Mbona mnatustua jmn😢
    الله يحفظك شيخنا ويطول بعمرك

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah MashaAllah Shkh Kishk Allah akupe umri na afya Yarrab

  • @AsiaAdamu-h9h
    @AsiaAdamu-h9h หลายเดือนก่อน +2

    Thank you, I like it

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +2

    Jazakrllah khaillah mashehezetu. Alĺah awahifadhi. Awajaalie mwisho mwema

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 หลายเดือนก่อน +1

    Maasha Allah
    ....ALLAH ampe umri mrefu Shehe Kishki ..Tunakupenda kwa ajili ya ALLAH

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn หลายเดือนก่อน +26

    Allah. Amuhifadhi. Shekhe kishki. Amlinde. Na husda. Za waja tunakupenda. Kwa ajili. Ya Allah❤

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah Ustaz wote wa Prisons na Sheik Kishki.

  • @FASSALEHALIB
    @FASSALEHALIB หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo anwani karibu nillie. Kuweni waangalifu mnapo andi anwani IN SHAA ALLAH.

  • @zackariyayussufnooryussufn4180
    @zackariyayussufnooryussufn4180 หลายเดือนก่อน +1

    Manshallah thabarakallah Allahuma hafidh YAA RABIL_ALAMEEN

  • @salimkarisa2849
    @salimkarisa2849 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah mwenyezi mungu amlinde sheikh wetu.

  • @NajmaAli-yw9iv
    @NajmaAli-yw9iv หลายเดือนก่อน +24

    Allah azidi kukupenda mwanangu akuepushe na hasad ya kijini na kibinadamu

  • @nurusaeed4554
    @nurusaeed4554 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah tabarakallah Allah akuhifadhi shekhe shukran jazakallah khery

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed หลายเดือนก่อน +1

    Maishallah Maishallah ❤ niwatakie Duaah NJEMA.Amiina.

  • @DjumaAsha
    @DjumaAsha หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana wapendwa Shekh wetu mpendwa yupo salama salimina Ma sha Allah Allah azidi kutuhifadhia shekh wetu 🤲 🤲

  • @rehemaabdallah9370
    @rehemaabdallah9370 หลายเดือนก่อน +1

    Subuhanallah nimeshtuka sana, sheikh kishk Allah akulinde tunakupenda Kwa ajil ya Allah

  • @MohamedHozi-p1u
    @MohamedHozi-p1u หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah shekh kishki umefanya kitendo chema allah akujaze kheri..daawah apo nmuimu ili iwebadlishe kwa uwezo wa allah

  • @Asha-tt8in
    @Asha-tt8in หลายเดือนก่อน +1

    Subhanaallha nimeshtuka san allah akuhifadh shekh wet

  • @ikramsuleyman2710
    @ikramsuleyman2710 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi shekh wetu tunakupenda sana nappa Allah awahifadhi mashekh wetu wote popote duniani Aamin.

  • @HalimaIssack-jj2xh
    @HalimaIssack-jj2xh หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah tabaraka rahman Allah akuepushe na hasad shukran sheikh

  • @zainabudotto
    @zainabudotto หลายเดือนก่อน +1

    Ameen kwa sote Allah atuongoze 💯

  • @hassanboru
    @hassanboru หลายเดือนก่อน +1

    Mseme amehudhuria gerezane jameni tumeistuka sana bona sheikh wetu ameshekuwa mola akuhifadhe sheikh wetu wote Allahmudulilah tunawapenda sana kutufikishia Dawaha mungu awalipe mema hapa duniani na kesho Akheira na hatupe mwisho mwema hapa duniani na kesho Akheira in shaa Allah I love you ❤ Muslims Brotherhood ❤️🤝 one ❤my Brothers And sisters tusimsahau kufanyea ndugu zetu Palestine Lebanon Syria na kote duniani In shaa Allah 🙏

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi apo waliandika Ivo wambie wasirudi kutufanyia ivo

  • @sikosiko7058
    @sikosiko7058 หลายเดือนก่อน +1

    Nimestuka kwa hiyo anwani ya sh kishki aingizwa gerezani kumbe Alialikwa, Allah awahifadhi mashekhe wetu amib

  • @SophiaMbogo-in7yt
    @SophiaMbogo-in7yt หลายเดือนก่อน +25

    Jamani mkitoa kichwa cha Habari muwe Makin mutauwa watu na pressure nimetulia nafsi baada ya kuskiliza Allah awabariki wote walio andalia hili na shekhe wetu mungu muhifadh

    • @mwanatumuswaleh1529
      @mwanatumuswaleh1529 หลายเดือนก่อน

      AMIIN Ya Rabb Allah amlinde sheikh kishki

    • @AminaKaifa
      @AminaKaifa หลายเดือนก่อน +2

      Yaan had m nimeshtuka vibaya mno

    • @hasnakid
      @hasnakid หลายเดือนก่อน

      Aameen

    • @rozinangeti4996
      @rozinangeti4996 หลายเดือนก่อน

      Wanatafta viewers na headlines za upuuzi

    • @suleyazidu4991
      @suleyazidu4991 หลายเดือนก่อน

      Mim pia et

  • @SuleimanSwidiq-fj5px
    @SuleimanSwidiq-fj5px หลายเดือนก่อน +2

    Manshallah Allah akuhifadhi n'a akupe umri mlefu sheikh wangu kipenzi

  • @AbubakarSebuhoro
    @AbubakarSebuhoro หลายเดือนก่อน +2

    مشاء الله تبارك الله Mawaidha mazuri
    yenye nasaha kwetu sote,Aamin

  • @KuuzaSaid
    @KuuzaSaid หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi shk nurdin

  • @uiavajiwgav5441
    @uiavajiwgav5441 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah tuna kupenda wakenya kwa ajili yaallah al alama shekh nurdin kishki ❤☝️

  • @safiyaalharthy6382
    @safiyaalharthy6382 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi Sheikh wetu YaaRaab ❤

  • @kondomiraji2834
    @kondomiraji2834 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuhfadhi shekh wetu tunakupenda kwa ajil ya Mungu

  • @Raissaabdoul
    @Raissaabdoul หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuifazi sheikh Allah akulinde sheikh Allah akuzawadiye pepo kwa uruma wake

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 หลายเดือนก่อน +2

    Tumefaidia ata ss tuliokua huru
    ALLAH atusamehe na atuondolee mazonge ya dunia
    Ameen

  • @MkuuHussein
    @MkuuHussein หลายเดือนก่อน +2

    Aaamin ishaallah Allah awabadilishe awafanyie wepesi

  • @mohmadalmahrizi3717
    @mohmadalmahrizi3717 หลายเดือนก่อน +1

    Mama ummy oman
    Jamani hivi vichwa vya habari mnaweza kuua watu wenye presha maana nilikuws ns kazi niliacha ili nione sababu
    Allah akuhifadhi shekh kishk duniani na Akhera
    Allah awahifadhi wote

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 หลายเดือนก่อน +17

    SubhanaAllah Nimeogopa😢😮😂
    ALLAH Akulinde sheikh Wetu kipenzi ❤

    • @eddymaphy
      @eddymaphy หลายเดือนก่อน

      Aamin yarabbal'alamin

    • @jumahamad3723
      @jumahamad3723 หลายเดือนก่อน

      Amiin

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akulinde Sheikh wetu❤ tunakupenda kwa ajili ya Allah ❤❤❤❤❤

  • @Sakina-j2b
    @Sakina-j2b หลายเดือนก่อน +1

    Allah Akbar atujalie mwisho mwema Inshallah

  • @jumahamad3723
    @jumahamad3723 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh kishki Allah Akuhifadhi popote ulipo na Allah akuzidishie elimu unatupatia darsa muhimu kwetu na pia Allah atupe mwisho mwema

  • @RajabJuma-m2n
    @RajabJuma-m2n หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi tuzidi kufaidika 🤲🤲🤲

  • @ayoubmohamed5348
    @ayoubmohamed5348 หลายเดือนก่อน

    From Tanzania 🇹🇿 Daa imenishua kichwa cha habari mana kipo tofauti na yaliomo ndani

  • @SweetLove-j6z
    @SweetLove-j6z หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe Wetumpka kish mungu mungu mlinde na hasada

  • @hasnakid
    @hasnakid หลายเดือนก่อน +4

    Nilivyoona kichwa cha habar, nimeshtuka kwa kwel
    But Alhamndulillah hajaingizwa kwa ubaya.
    Allah akuhifadh ew Sheikh wetu #Kishk tunakupenda kwa ajil yake.

    • @nailaomar4810
      @nailaomar4810 หลายเดือนก่อน

      Hata mm nimeshtuka sana Allah amuhifadhi shekh kishki kwa Kila shari lakini nilishtuka sana nilivona kichwa Cha habari 😢

  • @am2323tze
    @am2323tze หลายเดือนก่อน +1

    Ya Allah wakubalie dua zao hao na uwasamehe makosa yao na uwatoe humo jela yaa rabbit aalameen

  • @rukiamashaka7577
    @rukiamashaka7577 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akulinde sheikhe uzidi kutuelimisha na kutuongoza,,,nimeshtuka😓

  • @MamiMohamed-c6l
    @MamiMohamed-c6l หลายเดือนก่อน +1

    Nimeshtuka jammani hivo mulivyoelezea eti sheikh kishki aingizwa gerezani waaaah Allah amuhifadhi

  • @Suhaiba-c9g
    @Suhaiba-c9g หลายเดือนก่อน +1

    Allah akujaze kila la heri ❤❤❤

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 หลายเดือนก่อน +7

    Ya ALLAH tunakuomba uwafanyie wepesi ndugu zetu wafungwa hawa nawengine washinde mtiani huu

  • @sakinakassu1419
    @sakinakassu1419 หลายเดือนก่อน +1

    Kichwa cha habari sasa Dah....😢
    Allah amhifadh Sheikh wetu Aamiin

  • @ssme-g6j
    @ssme-g6j 29 วันที่ผ่านมา

    Allah akupe hidayaa, khiqma na akufanyie wepesi Kwa yote ustadh 🤲🤲💯

  • @zahariawaziri6794
    @zahariawaziri6794 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman Jaman mm nimerudia mara mbili Allah akuhifadhi kipenz cha watu

  • @popokessi2048
    @popokessi2048 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akupe umri taweel yarabby kwakuwa wazidi kutupa da'wa alhamdulillah

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn หลายเดือนก่อน +2

    Allah akuhifadhi sheikh wetu kipenzi cha watu❤❤❤

  • @TwahibaMtumbuka
    @TwahibaMtumbuka หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah Kenya kwa utaratibu wenu huu na Rehema kwa watanzania kwa kumpa nafasi shekhe wetu mpendwa kwa wa kwanza kutembelea jela

  • @nasramusaro
    @nasramusaro หลายเดือนก่อน +1

    Subhana Allah mmenitisha jamani😢😢😢

  • @KhadijaMuhammad-v7m
    @KhadijaMuhammad-v7m หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah mpaka huko kwa maskari duh.AllAh awalinde wote

  • @nooornoor120
    @nooornoor120 หลายเดือนก่อน +1

    Walaah nimeshutuk tunakupenda shekh wetu karibu 🇰🇪 🇰🇪

  • @MustafaAwino
    @MustafaAwino หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah jazaakumullahu khayran

  • @SakinaSakinat-qd9rs
    @SakinaSakinat-qd9rs หลายเดือนก่อน +29

    Mtakuja ua watu na pressure jmn 😂😂 khaa nimeshtuka yani jmn
    Allah amuhifadhi sheikh wetu kipenzi cha wengi ❤

    • @HawaaMkubwa
      @HawaaMkubwa หลายเดือนก่อน +1

      Allah humma ameen

    • @ziadanshimirimana-e2n
      @ziadanshimirimana-e2n หลายเดือนก่อน +1

      Amiin

    • @FASSALEHALIB
      @FASSALEHALIB หลายเดือนก่อน +1

      HATA MIMI NIMESHTUKA.
      SUB HAANA ALLAH.
      YAANI ROHO INAGONGA HARAKA HARAKA.

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli kabisa wanafaa kutafuta jinsi ya kuweka ujumbe na busara Mungu akwepushie mabaya shari sheikh wetu Allah akuweke ❤❤❤

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน +1

      Views

  • @sabrashebe6930
    @sabrashebe6930 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu nilikuwa moyo wangu unaenda mbio mtatuuwa watu wa you tube tunampenda Sana kishki

  • @AidathRweyongeza
    @AidathRweyongeza หลายเดือนก่อน +1

    We uliye andika hapo mungu anakuona sema ametembelea wafungwa gerezani shekhe waisilamu twakupenda kwa Ajili ya ALLAH

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 หลายเดือนก่อน +2

    ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH WETU KISHKI

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 หลายเดือนก่อน +1

    Jazaka llahul khair ❤

  • @Phantom123-p8x
    @Phantom123-p8x หลายเดือนก่อน +1

    MashAallah sheikh mwenyezimungu akujaze LA kila kheri

  • @FadhiliAhmed-z9v
    @FadhiliAhmed-z9v หลายเดือนก่อน +1

    Allah atamfanyia wepesi shekh wetu inshaallah

  • @swabirahaliazimio6127
    @swabirahaliazimio6127 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda kwa ajili ya allah sheick mpenda watu Allah akujalia umri mrefu uzidi kutupa Dawa insha allah

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallah nimehisi sheikh kakamatwa 😂😂😂Allah awahifadhi hao wafungwa

  • @aminamhina9129
    @aminamhina9129 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢😢 Allah akulinde kheihe wetu

  • @MinahShaban-jj9rd
    @MinahShaban-jj9rd หลายเดือนก่อน

    Mashallah shekhe wetu tunakupenda sana❤❤

  • @Brother_kakoso
    @Brother_kakoso หลายเดือนก่อน +14

    Dah nimestuka wallahir 😮😮😮 nikajua kakamatwa dah.
    Tunaomba mtuandikie maneno malain hii ni din habiib muamdishi

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 หลายเดือนก่อน

    MOLA AWASAIDIYENI KATIKA KUMTUMIKIA ALLAH..AWAWEKE WAZAZI NA VIZAZI VYENU..

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f หลายเดือนก่อน +2

    From 🇧🇮 mashaallah

  • @musasaguti4760
    @musasaguti4760 หลายเดือนก่อน +2

    Allah awatakabalie duwaa, subra inahitajika. Inshallah

  • @nooornoor120
    @nooornoor120 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi shekh

  • @mariyamhappy
    @mariyamhappy หลายเดือนก่อน +16

    Ebu eleweni maswali kabla ya kuandika utumbo wetu plz 😂😂 sasa sheik akatatwe kwa kosa gani 😂😂 jiongezen plz ❤❤❤ you sheik kishk mungu akupe kher popote ulipo na akuzidishe umr uweze kutuelimisha zaidi 🤲🤲🤲

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha หลายเดือนก่อน

      Aposasa mi sijaona Hapo kosa Kwa Watangazaji Anuani imeeleweka kwamba shekh Kishki Kaenda kufanya ziara Gerezani

    • @SalamaJonathan-x6o
      @SalamaJonathan-x6o หลายเดือนก่อน

      Asiyekuwa na makosa ni Allah tuh hivyo kustuka nilazima kulingana na walivyo andika

    • @mariyamhappy
      @mariyamhappy หลายเดือนก่อน

      @@DjumaAsha Exactly ❤❤

    • @mariyamhappy
      @mariyamhappy หลายเดือนก่อน

      @@SalamaJonathan-x6o Ata mwenye kuandika pia ana makosa watu ndio awakuelewa maandishi mtu wa kukamatwa usherekewa tusikimbilie cucoment kabla ya kuangalia kilichotekea

  • @HasanatHasani
    @HasanatHasani หลายเดือนก่อน +1

    Haki mi nimeshituka jaman had nimekosa nguv allah akuhifadhi shekhe kishik na mabaya kwan tunakupenda.sana kwaajil ya allah

  • @RiznhoMakulula
    @RiznhoMakulula หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah shekh Wang wa miaka yote, halafu hao masharifu hovyo wa kutoa mapembe wanataka washindane na wew mwamba

  • @mummeira3887
    @mummeira3887 หลายเดือนก่อน

    Sheikh wetu tunakuomba uje uwatembelee wafungwa wetu pia uwape daawah huku maeneo ya lamu hindi.hata wakitoka wawe katia njia nyoofu na wazingatie ilmu juu ya dini ya kiislamu kuna watu hawajui kilma chema kua ni swadaqa.mtu akitoka hapo anabadilika tabia na kua mtu mwema na kutotenda mambo yanao muudhi Allah na mitume wake.Allah atujaalie tuwe waja wema.tufanye yenye kumridhisha Allah.🤲🤲🤲

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 หลายเดือนก่อน +1

    Allah anisamee nilikuwa nimeisha ogopa nikitaka kusema wa Kenya hawana adabu kumfunga kipenzi chetu muwe mnapanga maneno yakuonesha watu Ivo sio vzr

  • @AishaAisha-u1q
    @AishaAisha-u1q 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu akuweke shehe kishki

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 หลายเดือนก่อน +1

    Haya yalikuwa matembezi au ziara.

  • @subbralssasubeerlssa7104
    @subbralssasubeerlssa7104 หลายเดือนก่อน +1

    Alalh awafanyie wepesi watoke lnshaallh

  • @NajmaAli-yw9iv
    @NajmaAli-yw9iv หลายเดือนก่อน +2

    Allah azid kukupa furaha zaid siku utakayokutana na Allah tabaraka wataala

  • @FaustoJanuárioLuge
    @FaustoJanuárioLuge หลายเดือนก่อน

    Kiukweli nime Chika Alla amuhifadhi shaik noro amin

  • @kombojuma312
    @kombojuma312 หลายเดือนก่อน +3

    Maashaallah huu ndio uislam unavotakiwa tunatakuwa tujifuze kitu kwa walioazisha fikira hii kwani hotel ni mapezi ya Allah isiishie hapa iwe muendelezo uwe wa kudumu isiwe kwa Kenya tu hata wafungwa wenyewe wanafarijika Allah awafanyie wepesi katika vifungo vyenu amin tuko pamoja

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha หลายเดือนก่อน

      Naaam Hakika 🤝 🤝 Allah awawezeshe

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha หลายเดือนก่อน

      Naaam Hakika 🤝 🤝 Allah awawezeshe

  • @RehemaKhamis-k8s
    @RehemaKhamis-k8s หลายเดือนก่อน +2

    Allah akujalie shehe uzidi kutuelimisha mawaiza mazuli

  • @rahmamohammed9678
    @rahmamohammed9678 หลายเดือนก่อน +1

    Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
    Alhamdhulillah
    Allaahumma salii wa saliim Ala Sayyidina Muhammad wala alihi wa Ass habihi wa Salaamu ♥️
    Allaah Abariiq ujio wako sheikh wabadilike kwa Idhin yake Allaah❤❤ mashaAllaah Tabarak Allaah Umeinawirisha jela ya ndugu zetu kwa ujio wako Namuomba Rahman Rahmin Awatoe hapo bii salama
    Allaahumma Amiin yaa rabbil Aalamiin 🤲🏾

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf หลายเดือนก่อน

    Daah kicha habar andikeni vizur na icho kinanda kinakumbusha mbaaali kweeeeli 😢😢😢

  • @Zainab-k3l6b
    @Zainab-k3l6b หลายเดือนก่อน +5

    Jamani nimestuswa nahiki kichwa chahabali mashekhe wore Allah awahifadhi