Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh BISMILLAH MAASHA ALLAH LA QUWWATA ILLA BILLAH sheikh #nurdeenkishk MWENYEZI MUNGU awahifadh na awasimamie katika kila hatua ya mihadhara,akupe Afya njema,umri mrefu Ummah mzima atuongoze katika swiratal mustakeem na atujaalie mwisho mwema Amiin ya Rabbil Allamin
Mashaallah tabarakka Allah mwenyizimungu akupe afya njema na akuhifadh akuepeshe kila LA shary machovu ya peponi ayachoshi shekhe pole Sana kwa kuchoka Mola atakulipa pepo ya fridius inshaallah
Allah akutie nguvu uendelee kuilingania dini ya allah na kueneza uislam naomba bi idhin ya allah akujaalie upate fursa uitembelee ushiromb nas tupate elimu juu y mas,ala y din inshaallah
Asalam alaykum warahmatulah wabarakaatuh Alhamdulillah yaani sheikh unatufudza vyema allah akuendeleze hivyo hivyo hadi siku zako za mwisho insha'allah na akubashirie pepo yarab 🤲👌
Shekh kishk nakuomba Allah akuwezeshe ufike na kwenu Toronto mana akitoka mabogo unapita kijiji kimoja ndo unaingia Toronto kwetu nakuomba sn sn sn Allah akuwezeshe ufike ukatoe dauwa
Naomba Allah jallah fii ghulaa akulinde na kila mabalaa kwan wap wanaokuchukia na ni kwa sabab ww unasem ukweli,sasa walipo potea ni pale wanapo amua kumchukia shkh badala wamfate shekh ili wakapate muongozo.
Alla akupe kheri nyingi sana akuzidishie elimu za idi kuliko hiyo ulionayo Amin mola akuhifadhi na halafu na kijicho cha Shattan na binaadamu allah akuhifadhi kila shari Amin Amin
Maa shaa ALLAH ..nakupenda sheikh kwa ajili ya Allah...na mawaidha yko daima huyapenda pia ...Allah akuzidishie na akupe umri mrefu uzid kutupa elmu....Aamiin
Mashaallaah subhanalah natamani Allah akupe umri miaka mia au zaidi hakika tutafaidika na elimu yako shehe kishki Allah akuhifadhi na timu yako inshaallaah
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh BISMILLAH MAASHA ALLAH LA QUWWATA ILLA BILLAH sheikh #nurdeenkishk MWENYEZI MUNGU awahifadh na awasimamie katika kila hatua ya mihadhara,akupe Afya njema,umri mrefu Ummah mzima atuongoze katika swiratal mustakeem na atujaalie mwisho mwema Amiin ya Rabbil Allamin
Mashallah
Allah akuhifadhi na akuepushe na hasad na akusamehe makosa yako na akuujaalie MWISHO MWEMA
Mashaallah Allah akujaalie uhai mrefu wenye manufaa sheikh kishk
Mashaallah tabarakka Allah mwenyizimungu akupe afya njema na akuhifadh akuepeshe kila LA shary machovu ya peponi ayachoshi shekhe pole Sana kwa kuchoka Mola atakulipa pepo ya fridius inshaallah
Shukurani sheik wetu mungu akujalie mwisho mwema na sisi tunao kusikiriza inshaAllah Allah atujalie makaazi yetu yawe peponi inshaAllah
Masha Allah Allah akupe umri mrefu wenye baraka tele sheikh wetu
Allah akutie nguvu uendelee kuilingania dini ya allah na kueneza uislam naomba bi idhin ya allah akujaalie upate fursa uitembelee ushiromb nas tupate elimu juu y mas,ala y din inshaallah
Aslm alkm ww.... Masha Allah. Darsa tamu lenye mafunzo na maarifa. Shukran Sanaa Sheikh wetu kipenzi. Allah akulinde 🙏
Asalam aleikum sheikh unatujenga Alhamdullah Allah akuzidishie duniani na ahera
Masha Allah,,,, Allah akupe umri mrefu shekhe wetu ,,,,,,, Asante kwa mawaidha mazuri
Subhanallah allah atusitiri yarabi tuende mstari ulio nyooka
Mashallah.shukran jazillah.mwenyezi mungu akueke tuzidi kipata daawa
mashallah sheikh kishki🕌🕌🕌🕌🕌🕋🕋🕋🕋🕋🤲
Shukran sn sheikh wetu allah akuzidishiye kila la heri inshaallah kwa mawaiza
Mashallah Shekhe kishki Allah akuweke.
Mwenyezi mungu akupe umri mlefu ewe kiongozi
Maasha'Allah...Allah akujaalie mwisho mwema na kuhifadhi
Asalam alaykum warahmatulah wabarakaatuh Alhamdulillah yaani sheikh unatufudza vyema allah akuendeleze hivyo hivyo hadi siku zako za mwisho insha'allah na akubashirie pepo yarab 🤲👌
Shekh kishk nakuomba Allah akuwezeshe ufike na kwenu Toronto mana akitoka mabogo unapita kijiji kimoja ndo unaingia Toronto kwetu nakuomba sn sn sn Allah akuwezeshe ufike ukatoe dauwa
Allah akuhifadhi na akujaalie umri mrefu wenye kheri mpaka mwisho amiin
MashaaAllah
Baraka Allah fikum YaaRaab
Maashaallahhhh, Allah atupe mwisho mzuri❤
Nyumban kwetu kabsa karbu sana mazinde shehe wetu mungu akuzidishie
Mashaallah shkh Nurdeen kishk hakika unaifanya kaz kubwa sana Mungu akupe umri mrefu uzid kutuamsha tulio lala.
Naomba Allah jallah fii ghulaa akulinde na kila mabalaa kwan wap wanaokuchukia na ni kwa sabab ww unasem ukweli,sasa walipo potea ni pale wanapo amua kumchukia shkh badala wamfate shekh ili wakapate muongozo.
Mashallah Mungu akupe zaidi baraka
Maasha allah Sheikh wetu allah azid kukuhifadh na akujaalie afya njema 🤲
Mashaa Allah, tabarakallah
Maa shaa Allah
Mwenyenzi Mungu atuwezeshe kuyafwata maangizo yake
REHMA NA AMANI ZA MWENYEZI MUNGU ZIMSHUKIE MTUME WETU KIPENZI MOHAMMAD SWALALLAHU ALLEYHI WASALLAM AHLI ZAKE NA MASWAHABA ZAKE WOTE
@@bibah-h2133 wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh habibty gulby Alhamdulillah nashukuru mi mzima
Amiin
@@albertdoherty9394 Amiin ya Rabbil Allamin
MashaaAllah, jazakumullah kheir
Mashallah mpendwa wetu🕋💞💯
Mashallah sheikh kishki🕌🕌📿📿🕋🕋🤲🤲🤲🇰🇪🇰🇪
ALLAHUMMA AMIIIN #SHEIKHNURDEENKISHK
Alla akupe kheri nyingi sana akuzidishie elimu za idi kuliko hiyo ulionayo Amin mola akuhifadhi na halafu na kijicho cha Shattan na binaadamu allah akuhifadhi kila shari Amin Amin
Ameen yaa rabbi
Masha Allha jazakallahu khairan
Nayapenda sana mawaidha yako Sheikh,hunipa furaha na kunifunza maishani mwangu.Mola Akujaalie neema Zake.
Mashaa allha baraka allha
Allah atujaalie mwisho uliokua mwema
maashaAllah sheikh wetu
Mashallah kanzu yako nzuri
🙏 Bonyeza hapa 👇
th-cam.com/video/m7FXfhJotT0/w-d-xo.html
Aaamiin ya Rabbilaalaminah
Mashaaallah
Ma sha allah
Allah akuhifadhi
Sheikh wetu kishk
MashaAllah Sheikh Wangu Nurdiin
🙏 Bonyeza hapa 👇
th-cam.com/video/m7FXfhJotT0/w-d-xo.html
MAA SHAA Allah.Allahumma Amiina
Allah Akuhfadhi Jaannat Fridaus shekhe wetu akuepushe na Adhabu za Qabrii ww Na waislam Woote Aamiin yarabbl alaamina.
Mashallhwahh. Allhwahh akilipe hery
Allah akujaalie kheri inshallah
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh MashaAllah Allah awalinde masheikh wote na sio waislam wote Kwa pamoja mkono Kwa mkono Hadi pepon
MashaAllah
Allah akuhifadhi shekh wetu na akupe umri mrefu Allahumma Amin
Mashallah,Allah akupe umri mrefu na akujaalie mwisho mwema inshallah
Amin, Amin, Amin
Alla atulinde naatuongoze
Masha Allah
Amiin inshallah yarabbi
Ma shaa Allah
JazzakaAllahu kheir sheikh
Allah akubarik sheikh kishki pamoja na masheikh wenzako
Allahumma Amin
MaishaAllah mawaidha mazuri Sanaa. Jazakallah kheir
Amin
Amiin Ya Rabbi
Masha Allah shekhe nurdini kishiki tunakupenda sana kwa mawaidhayako ni mazurisana
Allha akupe umri mrefu wenye heri na ww
Manshallah .
MashaaAllar mwenyezi mungu akulinde uendelee kutuelimisha
Maashaa Allah Allah akuifadhi shekh wangu Nourdin kishki
SHUKRAAN NA SIFA ZOTE ZIMUENDEE MUUMBA MBINGU,ARDHI NA VOTE VILIVOMO NDANI YAKE ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA
Ameen ameen
Mashallah allah akupe umri mrefu il nas tuendelee kufaidika na elimu yak
Masha Allah jazakallah kheir
JazakaAllah kheir
In sha Allah
Asalam alaykum warhamatulahi wabarakahu Alaah awepe subira nandiyo tutapate aje hayo mafuta hali tuko Burundi
Mashaallah
Masha Allah sheikh kshk
Mashallah
Ma sha allah
Allah akuruzuku pepo na ss wengine
Njo na kwetu Kenya..
MashaaAllh
Ameen. Allah. Yukopamoja. Nawe
MashaaAllah tabarakallah
Maa shaa ALLAH
..nakupenda sheikh kwa ajili ya Allah...na mawaidha yko daima huyapenda pia ...Allah akuzidishie na akupe umri mrefu uzid kutupa elmu....Aamiin
MashaaAllah Jazakallahu khaira
Manshallah
Allha atujalie kher inshallah 🤲
Asalam alaykum ❤❤❤❤❤🙏🙏🌹🌹🌹
Mashaalhu 🥰
Shukran shekh
Barakallahu fiq
Alhamdulilah
MASHAALLAH, MASHAALLAH, MASHAALLAH
🙏 Bonyeza hapa 👇
th-cam.com/video/m7FXfhJotT0/w-d-xo.html
Mashaallaah subhanalah natamani Allah akupe umri miaka mia au zaidi hakika tutafaidika na elimu yako shehe kishki Allah akuhifadhi na timu yako inshaallaah
Kishik mtonga
May Allah bless you. Akupe maisha marefu sheikh
🙏🙏🙏
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭dah subukhanalla
Bismillah Mashallah
Sasa kishki umenichekesha sana umesema wanalia miao miao ni wa nani hao