USIKU WA KWANZA NDANI YA KABRI //SHEIKH OTHMAN MAALIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 451

  • @muddyzanga7476
    @muddyzanga7476 4 หลายเดือนก่อน +29

    Ambao mpaka leo 2024 tunàpita kuàngàlia hàya mawaidha allah atufanyie wepesi

  • @MwanahalfaMsagula
    @MwanahalfaMsagula 2 หลายเดือนก่อน +3

    Allah atujaalie kher Leo dunian na kesho akhera,baad ya Dunia kwa rehma zake.. allahumma amiin

  • @meddyhazali1470
    @meddyhazali1470 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ya ALLAH...tupe mwisho mwema... Na ifanye siku ya QIAMA iwe siku yetu bora ya kukutana na MOLA WETU MLEZI

  • @kibenaomary
    @kibenaomary 5 หลายเดือนก่อน +14

    yah Allah tupe mwisho mwema na kizazi Cha kumbuka maneno ya allAh na utupe kauli thabit kabrin na atujaalie mwisho mwema na atuchukue roho zetu tukiwa tumelidhiwa

    • @MejumaaRashid-s8g
      @MejumaaRashid-s8g 3 หลายเดือนก่อน

      Amiin

    • @AsnatYunus
      @AsnatYunus 2 หลายเดือนก่อน +1

      Allahuma amina 🤲🤲🤲🤲

  • @ZaynabMohamed-c3e
    @ZaynabMohamed-c3e 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shekh othman maalim nakupenda kwaajili ya ALLAH

  • @mussataturu7189
    @mussataturu7189 ปีที่แล้ว +41

    Sheikh othaman maalim Allah akuepushe na adhabu ya kaburi na moto nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @abdulnuliat-ny7nf
    @abdulnuliat-ny7nf ปีที่แล้ว +16

    Shukran ya sheikh wetu
    Ewe ALLAH tunakuomba utupee roho nahakili ambavyo vinakumbuka kutenda mema
    Ili tupate makaburi ambao hayana maumivu huzuni na
    Utujalie mwisho mwema na sheikh wetu maalim othman
    Amiina ya ALLAH 🙏

  • @FaidhaEmanuel
    @FaidhaEmanuel 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mola tujalie mwisho mwema sisi na vizazi vyetu Amina

  • @superjay6162
    @superjay6162 ปีที่แล้ว +25

    Ya rabby utuepushie na kibri yadunia na uwaremu wale wote walitutanguria mbele yetu na utupe mwisho mwema amina 🙏🙏

  • @MussaSalanje
    @MussaSalanje 10 หลายเดือนก่อน +4

    Jazaakallah Khairan Sheikh!
    Ya Allah tunaomba utuzidishie Iiman na tujaalie kutenda yanayokupendeza na kuacha yanayokuchukiza na tujaalie subra ya kutenda mema na kuacha maovu mpaka mauti yatufike na tujaalie mwisho mwema.Aamin.

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 ปีที่แล้ว +14

    MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER INSHALLAH NA ATUJAALIE MWISHO MWEMA AAMEEN AAMEEN THUMMA AMEEEN

  • @Rahma-pu2iz
    @Rahma-pu2iz ปีที่แล้ว +17

    Yaa Allah tupe mwisho mwema yarabby usisitoe nafsi zetu mpk uwe umeturidhia

  • @athumanmnguruta338
    @athumanmnguruta338 10 หลายเดือนก่อน +5

    Ewe mwenyezi mungu naomba na familia yangu utupe mwisho mwema ewe mola wangu

  • @rajabukimosa3377
    @rajabukimosa3377 ปีที่แล้ว +28

    Allah tusamehe sisi tukinge na Adhabu ya Kabri na ya moto, uturehemu na kutupa Pepo Firdaus Inshaallah.. Aamin

  • @WachunyaTebeka
    @WachunyaTebeka 15 วันที่ผ่านมา

    MWENYEZI MUNGU Tujalie mwisho mwema yarabi na sheikh wetu

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez ปีที่แล้ว +10

    😢😢😢 Allah humma ajrin minanari amin. Asante ustadhi kwa hutba nzito yesterday Iman. Twakuombe mungu akuzidishie umri mrefu ishaallah❤

  • @HassanKipkorir-l6v
    @HassanKipkorir-l6v 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ya Allah utuepushe n kibrii y humu duniani, utujalie mwisho mema inshallah Ya Allah

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 ปีที่แล้ว +15

    Yaarabi mwenyezi mungu tusamehe viumbe vyako yaarabi kwa kila dhabi tuliolitenda la wazi na la uficho yaarabi ameen 🙏🙏🙏

  • @bintifikirini-wy3kc
    @bintifikirini-wy3kc ปีที่แล้ว +9

    mungu tujalie mwisho mwema 🤲🤲🤲🤲🤲😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @nuhubamanya3346
    @nuhubamanya3346 ปีที่แล้ว +11

    Mwenyeezi Mungu atusamehe mazambi yetu ishaaalllaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲

    • @neemamzande8547
      @neemamzande8547 ปีที่แล้ว

      Ameni thuma 🤲🤲🤲 amini inshallah 😢😢😢😢

  • @fatmehfaraj5188
    @fatmehfaraj5188 ปีที่แล้ว +15

    Allah atupe husnul khatima indal maut yaa Rabb.Yaa Allah tusamehe mapungufu yetu,tufishe ukiwa radhi nasi .Allah akuhifadhi akulinde akupe afya na umri uzidi kutuelimisha .

  • @YusufSalim-g2w
    @YusufSalim-g2w ปีที่แล้ว +7

    Nakupenda sheikh wangu othmaman maalim kwa ajili ya Allah

  • @nasrahassan2260
    @nasrahassan2260 ปีที่แล้ว +12

    Ya raby tupe mwishomwema wajawako na shekh wetu umueke ili azidi kutufundisha elimu ya akhera

  • @magrethimsangi4009
    @magrethimsangi4009 ปีที่แล้ว +8

    Mungu tujalie mwisho mwema🙏🙏

  • @mwajumashekue-z1w
    @mwajumashekue-z1w ปีที่แล้ว +6

    Alhmdulilah nimefarijika na mawaidha Allah akulipe kheir fi Dunia Wal akhera in Sha Allah

  • @DaRa-dz9ri
    @DaRa-dz9ri ปีที่แล้ว +20

    mungu atujaaliy mwisho mwema aamiin

  • @jumakaibgu-zn6mr
    @jumakaibgu-zn6mr ปีที่แล้ว +6

    Mungu atujalie mwisho mwema amini

  • @FaziraSaleh
    @FaziraSaleh 11 หลายเดือนก่อน +7

    Ya Allah tupe mwisho mwema.. utuondoshe uchungu wakati wa sakaratul mauti... utuepushe adhabu ya kaburini na utujalie jannatul firdaus kuanzia kwa ummat Muhammad🤲🏻🤲🏻🙏🙏

    • @RehemaSalim-m8s
      @RehemaSalim-m8s 9 หลายเดือนก่อน

      Ustadh mungu akujaje elmu upate kutuelimisha zaidi 😢😢

    • @halimaramadhan2000
      @halimaramadhan2000 3 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Amiin

  • @bintiomariwendo2279
    @bintiomariwendo2279 ปีที่แล้ว +58

    Ya Rabbi usizichukue nafsi zetu hadi ule wakati uko radhi na sisi.

  • @MaimoonaMaimu-s4r
    @MaimoonaMaimu-s4r 2 หลายเดือนก่อน

    Tupatie wanaume wenye Imani na ofu ktk din yetu ya kislam❤

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 ปีที่แล้ว +9

    Mungu akupe mwisho mwema yarabi 🤲

  • @mikeilas6979
    @mikeilas6979 2 วันที่ผ่านมา

    Allah atupe hifadhi njema,,,ayajaaliye makburi yetu yawe ni miongoni mwa mabustani ya peponi,, ameen

  • @AmperiusAhima
    @AmperiusAhima 7 หลายเดือนก่อน +2

    🙏🙏🙏Tujaliwe mwisho mwema wa maisha yetu mafupi 🙏🙏🙏🙏 Inshallah 🌃

  • @ffed1876
    @ffed1876 ปีที่แล้ว +5

    Aamin Yarabbi kwa sote Mola atuswameh tuwe miongoni mwa waja atakaowaridhia kesho inshaAllah. 😢

  • @zeitunamohamud-m1u
    @zeitunamohamud-m1u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allahuma inni as alukaa husnul khatima

  • @ramoyoni4485
    @ramoyoni4485 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yarab Allah atujalie mwisho mwema na wazaziwetu waliotangulia mbele za aki awajalie pepo amiin inshallah awape vitabu vyao na mkono wakulia amiin atisamee na sisi tuliobaki amiin 😭😭😭😭😭

  • @EuniceWai-cq3gi
    @EuniceWai-cq3gi ปีที่แล้ว +1

    Shukran shee wetu mungu akulipe kheri kwa kutukumbusha ilo

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 ปีที่แล้ว +13

    Allah atakupa mwisho mwema sote kwa jumila 🤲🙏😢😢

  • @LeilahRashid-fg3pt
    @LeilahRashid-fg3pt 9 หลายเดือนก่อน

    ALLAH ALLAH ALLAH 😭😭niajalie mwisho mwema ,muajalie mamaangu mwisho mwema kiajalke kizazi changu mwisho mwema yarabiiii zichukue roho zetu ukiwa uko radh n sisi InshaAllah❤❤ ♥️

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de 10 หลายเดือนก่อน

    Subhana Allah yarabby tujaalie mwisho mwema n tujaalie kauldhabit nutupe kitabu chetu kw mkonowakulia utuondoshee adhabu y kbry ameen yarabby

  • @MarriumSyombua-ki3nx
    @MarriumSyombua-ki3nx ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi mungu tujaalie mwisho mwema yarabi

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 ปีที่แล้ว +6

    Alhamdullillah, mashaallah jazakallah kheri shekh wetu, khusni lkhatima yaa Rabbi 😭

  • @ALLYSY-fp8qm
    @ALLYSY-fp8qm 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atujalie mwisho nwema ishaallah

  • @ShabaniTimamu-bc5ze
    @ShabaniTimamu-bc5ze ปีที่แล้ว +3

    Yaaaaah ALLAH nijalie mwisho mwema

  • @mtumzimambuuu140
    @mtumzimambuuu140 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ya allah tupe mwisho mwema insha allah

  • @fatmahassan4829
    @fatmahassan4829 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyeezimungu akuzidishie elimu ndani yakifua chako ili utufunze na mwenyezimungu atujaaliye kuyafuata uliyotufunza Amiin

    • @FatumaMussa-v4q
      @FatumaMussa-v4q ปีที่แล้ว

      جزاك الله الخير يا شيخ

  • @ashrafyyousuf6821
    @ashrafyyousuf6821 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh mm hofu sana sana ni qiyamah,nsija wai kuwa tayali kusimama mbele ya Allah...ya Allah tusaidie

  • @ParokoWaDar
    @ParokoWaDar 2 หลายเดือนก่อน

    Shubuhanala mwenyez mungu atuapushi naazabu za kabur ishaalh hakika sheh anatutakiya mema

  • @Sleman-e6e
    @Sleman-e6e ปีที่แล้ว +5

    Mwenyez mung atujaalie huslu lhatma❤❤❤ 3:40

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk ปีที่แล้ว +15

    Mungu atujaalie mwisho mwema...Aamiin

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e 4 หลายเดือนก่อน

    MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR SHEIKH U SAY EVERYTHING IS TRUE 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @jamilamchangamwe
    @jamilamchangamwe ปีที่แล้ว +5

    Shukran ALLAH akujaze kheir sheikh Osman, hakika twafaidika
    Lkn hapa ulikua kadogo nilikua nashangaa ni sheikh yupi

  • @meddyhazali1470
    @meddyhazali1470 ปีที่แล้ว

    Ya Rabbi... Tujaalie mwisho mwema tufe ukiwa umeturidhia

  • @FurahaYasin
    @FurahaYasin หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha marefu inshaallah Amin

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 ปีที่แล้ว +3

    Ewe allah tunakuomba waja wako utujaalie mwisho mwema kwani nguvu zako ni kubwa mno hatuziwezi ya rabbi😢🙏

  • @شريفهسليمان-ق9ش
    @شريفهسليمان-ق9ش 27 วันที่ผ่านมา

    Subhanallah tunakuomba Allah tujaalie mwisho mwema Inshaallah

  • @HuseinBayana
    @HuseinBayana 3 หลายเดือนก่อน

    Yaa Allah Tujalie mwisho mwema Ya Rabbi

  • @NancyMzee-z3d
    @NancyMzee-z3d 3 หลายเดือนก่อน

    Yarabbih tujalie na mwisho mwema 😭 😭

  • @ZakiaMusa-zt6gj
    @ZakiaMusa-zt6gj ปีที่แล้ว +3

    yaa rabby tunakuomba utuongoze na utujaalie mwisho mwema na mlipe kheri shekhe wetu in shaa allah.❤

  • @YahayaSalum-ho6hb
    @YahayaSalum-ho6hb ปีที่แล้ว +3

    mungu tuhifadhi utupe mwisho mwema amin

  • @swalexizumarshibez8579
    @swalexizumarshibez8579 ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭inna lillhai wainna illahi rajiun Allah tujaalie mwisho mwema🙏

  • @hafswanaaman2911
    @hafswanaaman2911 ปีที่แล้ว +8

    Allah humma ajirn minanari Amina atukinge na adhabu ya qabri. Mungu atujaalei tupokeliwe na Malaika wema. Atujaalei mwisho mwema😢

  • @HusseinKinyenga
    @HusseinKinyenga 4 หลายเดือนก่อน

    Yaaan Allah nisamehe nilio kosea hapa duniani na kesho Akhera

  • @MjunguMjungu
    @MjunguMjungu หลายเดือนก่อน

    Yaarab tupe mwisho mwema 🙏

  • @MejumaaRashid-s8g
    @MejumaaRashid-s8g 3 หลายเดือนก่อน

    Yaa Allah yajalie makaburi yetu yawe mabustani ya peponi

  • @AdaxcoeLubase
    @AdaxcoeLubase 2 หลายเดือนก่อน

    Allah tupe mwisho mwema yarabiii

  • @mohamedyeslam5194
    @mohamedyeslam5194 ปีที่แล้ว +2

    Wallahi kifo kinatisha, ALLAH atujaalie nwisho mwema

  • @MandelaJKema
    @MandelaJKema ปีที่แล้ว +3

    Mungu atunusulu na adhabu ya
    kabuli

  • @AbdallahRashidi-f8n
    @AbdallahRashidi-f8n 3 หลายเดือนก่อน

    Yeah Allah tujaalie mwisho mwema.🙏

  • @SalmaMasoudy-w2y
    @SalmaMasoudy-w2y ปีที่แล้ว +2

    Ya raby ufanye mwisho we2 uwe mwema ya raby

  • @rrk6425
    @rrk6425 10 หลายเดือนก่อน

    Ya Allah tusamehe madhambi yetu.tupe mwisho mwema amin amin yarab,

  • @FaaniAli-jg5zh
    @FaaniAli-jg5zh ปีที่แล้ว +62

    Hivi kuna mtu anaishi kwa kuogopa hapa duniani au ni mm tuu 😭😭ya Allah tujaaliwe mwisho mwema na uwape nuru walitangulia katika makaburi yao 🙏

    • @NasraSaid-qc5hf
      @NasraSaid-qc5hf ปีที่แล้ว +3

      Heeeeee kwaiyo unajiona pekeyako ndie mchamungu?

    • @NasraSaid-qc5hf
      @NasraSaid-qc5hf ปีที่แล้ว +3

      Ukijiona wewe nimchamungu kuna waliokuzidi zaidiyako naukijiona wewe ni mwenye kufanya asiyoyapenda mungu piawapo zaidiyakoo

    • @NasraSaid-qc5hf
      @NasraSaid-qc5hf ปีที่แล้ว +1

      Ukijiona unaelimuuu sanaaa wapozaidiyako naukiona hunaelimu pia wapoambao hawana zaidiyako

    • @FaaniAli-jg5zh
      @FaaniAli-jg5zh ปีที่แล้ว +3

      @@NasraSaid-qc5hf soma comment uelewe usikurupuke ku reply tuu huyo alokwambia mcha Mungu ni mimi pekee ni nani ?

    • @FaaniAli-jg5zh
      @FaaniAli-jg5zh ปีที่แล้ว +1

      @@NasraSaid-qc5hf Alafu mbona makasiriko mpaka una reply zaidi ya mara tatu kulikoni kwani mana naona imekugusa hii comment

  • @DimosoAbdallah
    @DimosoAbdallah 5 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu tupe mwisho mwema

  • @RUKIAGALGALO-l4e
    @RUKIAGALGALO-l4e ปีที่แล้ว +2

    Ya Rabi,tusamehe dhambi zetu
    Tufanye wa kutenda mema

  • @MbwanaMbega
    @MbwanaMbega 7 หลายเดือนก่อน

    Hamina ya Rabby mungu hatulinde na kila penye uzito hatufanyie wepesi ya Rabby

  • @SwifatSuki
    @SwifatSuki ปีที่แล้ว +3

    Ewe m,mungu tujalie waja wako tuwe na mwisho mwema inshallah

  • @Diwanimwarab
    @Diwanimwarab ปีที่แล้ว

    Mungu atujalie mwisho mwema

  • @AishaHussein-q1d
    @AishaHussein-q1d 3 หลายเดือนก่อน

    Yaa rabbi tujaalie mwisho mwema amini

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
    @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi mungu atupe kauli njema yarab

  • @HashimuMohamedi-n2i
    @HashimuMohamedi-n2i 3 หลายเดือนก่อน

    Yaa allaah tujaalie mwisho mwema yaarabb

  • @YizzoBizzo-wn7pp
    @YizzoBizzo-wn7pp 5 หลายเดือนก่อน

    More Years sheikh hosuman maalimu I like you mawadha God bless you

  • @rahmamohammed9678
    @rahmamohammed9678 ปีที่แล้ว +13

    Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
    Alhamdhulillah
    ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN ❤️
    Yaa Allaah Husnul hatma yaa rabb 🤲😭

    • @MOHAMEDKIMU
      @MOHAMEDKIMU ปีที่แล้ว +1

      yarab tujalie tufute yaliomema tukatea yalio maovu yarab

  • @AmiryAmiry-h9g
    @AmiryAmiry-h9g 5 หลายเดือนก่อน

    Yar b tujalie mwisho mwema Amin

  • @ZamzamDabaso-x6w
    @ZamzamDabaso-x6w 5 หลายเดือนก่อน

    Allah atujalie mwisho mwema inshallah

  • @LengaiLukumai
    @LengaiLukumai หลายเดือนก่อน

    Mungu Utujalie musho mwema

  • @MohamedBwana-rn7kv
    @MohamedBwana-rn7kv 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu atupe mwisho mwema yarwabi 🤲🤲

  • @garinchamkobe4582
    @garinchamkobe4582 11 หลายเดือนก่อน

    Ya ALLAH tuzindue na tujalie Mwiishilizo mwema

  • @omanmct135
    @omanmct135 ปีที่แล้ว +1

    Aaallllah atupe mwisho mwema yarab

  • @chachamtatilo423
    @chachamtatilo423 ปีที่แล้ว +8

    Allah atusamehe madhambi yetu,atujalie mwisho mwema Amen.

  • @LindaIrakoze-w1o
    @LindaIrakoze-w1o ปีที่แล้ว +1

    Allah atupe mwisho mwema yaraab

  • @mohamedamour2735
    @mohamedamour2735 ปีที่แล้ว +2

    Ya rabbi tupe mwisho mwema

  • @FatmaAbdallah-x3z
    @FatmaAbdallah-x3z 11 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadh sheh wetu uzid kutukumbusha

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 ปีที่แล้ว +2

    Yaa Allah tujaalie mwisho nwemaa🤲🏾😢

  • @SUHAIRASWEDIQRAMADHAN
    @SUHAIRASWEDIQRAMADHAN หลายเดือนก่อน

    Allah atupe mwisho mwema 😭😭🤲

  • @YusufWanga-de4sm
    @YusufWanga-de4sm ปีที่แล้ว

    Yaa Allah tujalie mwisho mwema

  • @Fatuma-j9z
    @Fatuma-j9z ปีที่แล้ว

    Allah atujalie kila tutakapojaribu kufanya kosa atulinde tusifanye amin

  • @AnitaMkuhili
    @AnitaMkuhili ปีที่แล้ว +1

    Allah tusamehe nawapunguzie azabu ya kabri wapenuru

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 10 หลายเดือนก่อน

    Allah akuepushe na misukosuko ya kabri akupe kher ww na sisi wenye kuamini

  • @Fettyallysimba
    @Fettyallysimba 2 หลายเดือนก่อน

    Allahu Akbar, MashaAllah Tabaraka

  • @Sleman-e6e
    @Sleman-e6e ปีที่แล้ว +1

    Mwenyez mungu atujaalie kauli thabit inshaallah