WEMA SEPETU AFUNGUKA KUACHANA NA WHOZU KISA MAMA YAKE KUINGILIA MAHUSIANO YAKE NA WHOZU...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • #harmonize #diamondplatnumz #live

ความคิดเห็น • 21

  • @annaandrew3051
    @annaandrew3051 7 หลายเดือนก่อน +3

    Uyu Dada nampenda sanaa ila whozu ni mjinga sana anaekupendea mtoto wako uyo ndo wako

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤ we love to Queen wema

  • @annamussa5556
    @annamussa5556 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sepetu wangu mmwaaa

  • @azizams5721
    @azizams5721 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Dada wema

  • @monikakagolo7827
    @monikakagolo7827 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hasiye sikia la mkuu uvunjika guuu

  • @mohamedmahmudali9346
    @mohamedmahmudali9346 ปีที่แล้ว +8

    Tumia kitambaa kinachoitwa hijjabu Kwa kuhifadhi manywele Yako ayo ,

    • @AbihudKaale-vt6hn
      @AbihudKaale-vt6hn ปีที่แล้ว

      Unamfundish unamfokea

    • @christinamussa6085
      @christinamussa6085 ปีที่แล้ว

      Sasa hiv kwelii wewe unaona huna dhambi

    • @mohamedmahmudali9346
      @mohamedmahmudali9346 ปีที่แล้ว

      @@christinamussa6085 Christina huna Cha kunieleza huyu ni Binti wa kiislamu anatakiwa kuhifadhi nywele zake na SI nywele tu kuna mengi tu ,ila ndio Ivo amehafilika na starehe za kiulimwengu ,zaidi Dunia inataka mazingatio kuna siku tutamalizika wote sisi tutarudi Kwa Mola wetu pamoja na wewe , kwaiyo nikufanya yalio Mazuri ,ya kumrizisha ALLah ndio tunakumbushana . 🙏

    • @justme5876
      @justme5876 ปีที่แล้ว

      Heee🤣 mwanaume kisirani

    • @mohamedmahmudali9346
      @mohamedmahmudali9346 ปีที่แล้ว

      @@justme5876 wanajisahau sana kwaiyo kuwakumbusha

  • @samiabashili9858
    @samiabashili9858 ปีที่แล้ว +4

    Umezeeka dada

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 ปีที่แล้ว

      Siyo shida ni kitu cha kawaida kwa mwanaadamu kuzeeka na kufa kama miti, wanyama pia huzeeka na kufa. Hata wewe pia utazeeka na kufa. Kitu cha kawaida.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 ปีที่แล้ว

      Mashaallah Wema Supetu unainawirisha Tanzania ❤ Hakuna kama wewe wapuuze wajiga na Commments zao.

    • @SantiaQwer-ij1ws
      @SantiaQwer-ij1ws 11 หลายเดือนก่อน

      Hata wewe pia hutobaki hivo,pesa inaongea wewe naumasiki wako kwanza utazeka vibaya

  • @KwizeraSalma
    @KwizeraSalma ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick ปีที่แล้ว +1

    huu anafamya kazi gani

  • @rehemathoya8754
    @rehemathoya8754 ปีที่แล้ว

    Kwahivyo hakuna chimama na chibaba tena?

  • @ChantalBuchunguZawadi
    @ChantalBuchunguZawadi ปีที่แล้ว +1

    Jmn