MWIJAKU afunguka HARMONIZE kurrudiana na KAJALA baada ya kuachana na POSH QUEEN, MBOSSO ataniajiri
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny
Jamani mwijaku umeongea pointi Sana hongera baba,,,,umenifundisha kitu shukrani👏👏
Kajala ndio mwanamke wake wa maisha tunamkubari❤❤❤
Umeongea. Pwenti leo mwijako. Mungu akubariki
Asante mwijaku nakupenda kwa kauli yako ya Leo mungu akusimamie
😂mwijaku yupo right ✅️ kabisaaaaa
Swadakta mwijaku umeongea poity kakangu. Hongera sana
Nipen like 150 leo nmekuwa wa kwanza leo
Sasa mbona karudi kwa kajala😂😂😂😂😂😂😂
Leo jamaa anaongea point👏👏
Asante kaka mwenjaku kwa maneno mazuli🎉
KAKA MWIJAKU,NAKUBALISANA KAZI YAKO NA MANENOYAKO. MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI DAIMA
Nakubali mwijaku mmbey unayefikisha jambo kam ilivyo😅😅
Point brother mwijaku
Mashallah Allah azidi kukuongoza umeongea ukweli
Mtu wa maana sana 😂😂
Kabisa kaka umeongea maneno ya hekima San ubarikowe
Maneno yap kweny mstar ❤❤❤
Kweli mwijaku umeongea point
MWIJAKU 😂😂😂
Nice Umeongea Point Mwijaku
Huwo ni huongo kazeka lini😅😅😅 mwijaku
Leo umeongea point kaka
Ila mwijaku mbona. Kusimama kweny jua🤣🤣
Nyie huyu jamaa anaongea points hapa nyi hamjifunzi mnaomba likes tu.Khaah!
Hapo kwa kuhalalisha umesema bro
Kweli
Mwijaku nimependa sana umengea vema
Kweli mwijaku
We chawa upewe kazi kwa mboso mboso usikubali
Mutu wamaaan kabisa😅😅 mwijaku leo hujalewa au umelewa😂😂
Kajala haoni haya twasubri twasubri party 3 ya. mchezo wao arud hapo hapo jihishim kidogo mama wwe huchoki kuibishwa
Wewe ni mtu wa maana kabisa😂
Ndugu yangu harmonize tafadhali punguza utakuja kufa na ukimwi umetembea na kajala na Paulo niabu sana kwa jami ustadh. Wangu. Mujaku mshauri vizuri sina sio nzuri hiyo ni lana wewe ni Haji
Acheni uzushi ulikuwepo wakati anatembea naye
Brother umeongea ukweli Sana musamaha muhimu
Simu yako simu ya mtu maarufu apa kuna point leo we nishai umeongea point, mamb za kushkiana cm nishai
❤❤❤❤
Harmonize ametomba waschana wote tanzania 🇹🇿 😊
Siwezi shika ya simu ya mume wangu
Mwijaku unaongea vzur sana waeza kuwa mshauri kaka
Asipekue kwanin wakat mmekubali kua mwili moja
Nakuvulua kofia mzee baba🫡🫡🫡🫡🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kaka wako uvailana na kajala bahi shida chan
Tena
Sijawahi shika simu ya mume wangu sitaki stress
Iogope hivo hivo Mimi lilinikuta jambo mpaka leo siwezi kushika sm ya mwanaume hata siku Moja utapoteza kila kitu vyote vinawezekena
Well
Endelea kujiambia vivo hivo,utastuka,Toa ujinga
Dah nimelia sana unaongea uongo zaidi ya mwanzo
Kaka kaongea mazima
Umeongey pwent sn
Raula😂😂😂😂
YustAr mgaya upo wapi njoo utupe habar za harmonize na kajala
Yes kajala ndiye mwanamke na nusu ndiye atakae mfaa kabisa harmonize huyo poshi hamfai kabisa
Mwijaku ni Mhaya et nimeulza tu naomba kujibiwa
Had nafurah nahik kipind kbs
Atakuwa anataka kutoa nyimbo huyo hamna lolote hapo
Bora umesema ukweli,, konde Kajala wanaendana
Mwijaku imenifundisha kitu
Kajala ndiye mwanamke anayemfaa Tena ni mvumilivu
Nawapendaaa
0:08
Mwijaku pi didy uyo
Mbona humuombi Diamond musamaha
Biashara na mapenzi tofaut
Muombe ww
Hakuna kumnyenyekea mwanadamu kumbaffff 😏😏😏😏😏
We chizi umerudi kutoka Marekani.
Sasa makosa si lazima mukikosana watu wajue
Kumbe unaongeaga mazima kakaangu😂😂 nimependa
Hana lolote yule poshi ww hamfai kabisa
kweli Kaka Leo umeongea poiti Sana chukua ma uwa yako
Mtu wamaana kabisa wewe
Badilika na wewe ss mstiri mkeo kwa mapambo yabheshima
❤❤❤