Nakutabiria you'll get your own baby very soon ...lord wil make a way where there is no way.....mda mchache tuh..mola atakusaidia na roho yako pole kama wewe
Tunda honger sn ww n mwnamke shujaa wema unamoy mzur sn Una upend w hali ya juu nakuombea kw Alwaa inshaalw wakat wko bd hujafk ukfk utapat Hitaji la moyo wako mtt tyr amekupa ila hitaji la moyo wako atakupa muda ukifika inshaalwww❤❤❤❤❤
Dear Wema najua uchungu unapata kukosa mtoto , endelea tubkumpenda mtoto wa mmeo Mungu atakuonekania hata mm Sina mtoto nasikia uchungu sana ninaokumbuka kuhusu kukosa mtoto. Tumuombe mungu atatujahlia 🙏🙏🙏🙏
Mm nakupopoa mawe ivi umaraya wa tunda ulikua uon ww tunda umemjua Leo c shangai wkt anatoka na casto Dickson akamuacha na tattoo Yuko wp yong dalesalam ww mapenz popote
Yan we mama wema nikikumbuka ulivyo kua ukilisaport penz la tunda na whozu leo hii cielewi yani watu kama nyinyi dhambi mnazofanya hata shetan anasema sio zake maana zimepitiliza we hebu kufen mbwa nyinyi mso taka kuzeeka mmama wa hovyo😅
Mama wa huyo mtoto yuko wapi je nikwanini dunia imewateka hivyo uliimba wimbo.wa.huendi mbinguni na hutaenda unandoa na huyo mwanamke au unazini tu be care ids is kill
SEMA mdogo wangu wema punguza makeup zitakuzeesha haraka kila post una makeup tena nyingi punguza kidogo mbona we mzuri siku mojamoja jaribu kuwa necha
Wa TZ mko na maneno mno. Hamjui Wema Mungu Anamlipa na atampa mtoto sasa hv. Huyo wozu akimkimb8a atapata laana ya Mungu Wema Mungu Atambariki. Nyie ongeeeni midomo tu!
@@kellyngogo3319 respect bro good point. Wanaowaombea mabaya ni wivu na roho mbaya za kunguni. Wema my lovely nawaombea mdumu sn ktk mahusiano yenu na whozu fanyeni kweli wenye roho mbaya waone aibu.
Umu ndani Kuna watu wangejitua vidore uone wanavyonuka mnamsema wema kazeeka nyie vipi mama zenu wamezeeka mpaka vinena na nyie wenyewe sura mkizitia wema mala mia kuliko nyie halafu hakuna mtu ambae hatazeeka Sasa nyie mikundu inayonuka ongeeni tu
Nakutabiria you'll get your own baby very soon ...lord wil make a way where there is no way.....mda mchache tuh..mola atakusaidia na roho yako pole kama wewe
Wema has a big heart and a clean one.wivu itawaua.Kumbuke alikupa ndie aliyemnyima mwengine aweza akakunyang'anya akampa yule.
Naombeni mnisaidie namba ya wema
Tunda ana tabia zake peke yake anajielewa hii ni dunia tu well done wema love from Kenya
Hongera wema pamoja na mpezi wako Mungu awasaidie
Wema nakupenda mwanangu m.mungu awasaidie nipe no yako mwanangu nakupenda sana
Am proud of youwema yur my role model jina lako na matendo yaki yanaendan sana mola akubariki na usipungukiwe n lolote❤❤
Nakupenda wema ,!!!!! Mungu ndiye shahidi.
Whouz mtupu.angefanana na tunda👌👌❤❤lkn ka cute pia
Wema na tunda Allah awajalie upedo udumu mausiano yako daa a wema na chibaba....yadumu pia ❤❤❤🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏
Wema unaga mbaya.Nakupenda sana mammy❤❤❤hala unampenda mme na mtoto wake❤❤❤
😂😂😂whouz ana vtuko.wema ana furaha .furaha ndio kila kitu.raha sanaa.unaweza ukawa na mume mwenye pesa lkn hukakosa FURAHA
Wema sepetu anakaa ghost
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@susaniloke
Mama wote wa kifikia, oneni mfano mzuri hapa 👍👌😀😀💐🌺
Nakupendaa na kisauti chako chimama kinawatesa wengi ndo maana wanakuiga but wanashindwa,endelea kumpenda mtoto wenu 🥰🥰🥰
Good
Wema ume pata true love wako waona kila mtu mungu amepangiwa chake
Nakutabiria you'll get your own baby very soon ...lord wil make a way where there is no way.....mda mchache tuh..mola atakusaidia na roho yako pole kama wewe
Jamani Ninavyo Mpenda Wema Mungu ndo anajuwa Mungu awajalie Mpate Mtoto Ishaallah
Pia mm napenda wema saaaaaaana ❤
Ameen yarabii
Mungu azidi kukubariki kwa moyo mzuri wema sepetu
Utapata wako mwaya wema. Mwamini Mungu atakupa tu.
Unapenda watoto saana.
Beautiful welldone tunda ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪
Wema mwenyez Mungu awajalie xn
Wema mungu akufanyie jambo
Akh wema z Mungu akujalie mtoto siku moja hata Kam ni kilema instead ya kukosa kabusaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Leo ndio nimekubali kua kweli wema sepetu ni mrembo kwakweli , mwanangu wa miaka nane kaniambia maana huyu dada nimremboo❤
😂😂😂😂😂😂😂
Ameisha
Tunda honger sn ww n mwnamke shujaa wema unamoy mzur sn Una upend w hali ya juu nakuombea kw Alwaa inshaalw wakat wko bd hujafk ukfk utapat Hitaji la moyo wako mtt tyr amekupa ila hitaji la moyo wako atakupa muda ukifika inshaalwww❤❤❤❤❤
Hii ndio raha ya kuwa na mwanamke alokuzidi umri Yani anakulea wewe pamoja na mtt wako na unapewa mahaba yote hongera wema
😂😂😂😂kweli kabsa adi mi nimetamani wema aje achukue na mume wangu ili wanilelee na watoto make
@@PhinaGeorge-o5m😂😂😂
@@PhinaGeorge-o5m😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@PhinaGeorge-o5m 🤣🤣🤣
Wema jamn unapendeza sana nakupenda
Wema hadi kesho nakuombea kwa Allah akujaalie mtoto wakwako utakaemfill inshallah 🙏
Wema sepetu na Jokate Mwegelo... The beautiful of all time. Hawa wanawake ni warembo kupita maelezo... Halafu kichwani pia wako sawasawa....
Weeeh ucmlinganishe jokate na wema asilani...nitakushtaki😂
@@zenaycechanzinho6702😂😂😂😂😂😂😂
Beautiful welldone tunda🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Mungu awabariki muwe pamoja daima.
Allah akujaalie wema upate tulizo la roho inshallah
Wema sepeto mungu akujalie uzae msichana
Mwaka huu usiishe mungu hajafanya jambo kwako, hakika nakpenda saana madam wema.
Aamiin aamiin
ujasema katika clip yako wema kapata mtoto au not
Nice one gyz
Dear Wema najua uchungu unapata kukosa mtoto , endelea tubkumpenda mtoto wa mmeo Mungu atakuonekania hata mm Sina mtoto nasikia uchungu sana ninaokumbuka kuhusu kukosa mtoto. Tumuombe mungu atatujahlia 🙏🙏🙏🙏
Nahisi hata kuna ndugu yangu anatamaaa Sana na kila nachokifanya
Sina imani nae anapenda kunisifia sifia
Sema kuna kitu ndani ake kati ya baba mama na mtoto wema tace care.
Mnapendezana Sema mtt mleen kwa wakat mumrudiahe kwa mamake asije kumchukia na kuharbika kisaikolojia plzzz Asanten❤❤
Namwombea wema apate mtoto
Ama kweli nmeamini usipende kuhadithia madhuri yako kwa mwanamke mwenzio, kumbe chimma alikuwa namuonea wivu mwenzie
Umeonaeeeee
Ww nae una bwabwaja jaman sasa chimama.amuonee wivu mwenzie kwa lip yen
Dhu so kwa ukonde huo😅😅 lkn ulipenda mwenyew
Nakupenda sana wema
wema sepetu akona ukimwi
Ulimwambukiza sio!!!
Natamani wema ndo angekua mama wa kufikia wa mwanangu Yani ningeenjoy sana Sasa kelele zingetoka wap
Huyu mwanaume anajielewa na anafaa kuwa mume
Wema wangu ❤❤
Yani mi namshauri wema aendelee kuomba apate wakwake wameenzio ni wamwenzio tu iko siku atayakumbuka haya maneno
Mungu sasa ajampa mwatakaje
Love sana wema
Chibabaa anadekaaa
😂ila whozu kipo alicho fata kwa wema tunda mzur vile kuliko wema. Wema alikua zmn jmn sasa kachunda ila pesa inambeba.
Team wema mje mnipopoe.
Mm nakupopoa mawe ivi umaraya wa tunda ulikua uon ww tunda umemjua Leo c shangai wkt anatoka na casto Dickson akamuacha na tattoo Yuko wp yong dalesalam ww mapenz popote
Shobo ingekuwa a person 😂😂😂😂. If you get it you get it if you don't gerrit gerrarree here .
Yan we mama wema nikikumbuka ulivyo kua ukilisaport penz la tunda na whozu leo hii cielewi yani watu kama nyinyi dhambi mnazofanya hata shetan anasema sio zake maana zimepitiliza we hebu kufen mbwa nyinyi mso taka kuzeeka mmama wa hovyo😅
Lila la heri madam
Nice
i love you wema
Mke umepata ukijichanganya kumwqcha mtoto utamwaribu kisaikolojia maana mtoto kamzoe Mama yake kama nn
Chimama hako kasauti😂😂😂
Mwenzangu.
@@Catherine-mh8sw 😄 Mashaallah
Oa tu whozu wema anajua kutunza mme umenenepa. Mwanamke jikon kwanza pili chumban. Imeisha hiyo
Ila lichibaba liache kula misupu yambuzi nilinene khaaa
Wema she cute anavyoita lolaa
Mama wa huyo mtoto yuko wapi je nikwanini dunia imewateka hivyo uliimba wimbo.wa.huendi mbinguni na hutaenda unandoa na huyo mwanamke au unazini tu be care ids is kill
Hivi kuzeeka ni dhambi? Watu wanachekesha mnaomsema wema kazeeka nyie mtabaki vijana?
SEMA mdogo wangu wema punguza makeup zitakuzeesha haraka kila post una makeup tena nyingi punguza kidogo mbona we mzuri siku mojamoja jaribu kuwa necha
Uyo ni star lazima aish kiustar acha makasiliko dogo
Wemasepet2 havutii jamn kituko tu
Kituko kuliko wew mbwa
Kama mamako
Huyo wema sura kama jini
Mkundu wako
Yako iwapi tuione manake sisi ndio tunaweza kwambia ukweli mwenyewe hujielewi.labda yako kama kiatu
Unaonaje we mwenye sura kama Maria ukabakia ww pekeo duniani hapa
Mchaga kwishney umekwama kwa mnyaturu
Na wanaozaa wa wanyatuuuu😂😂
Mtani wangu wema.
Mumeowana ama come and stay
Whozu linadeka kweli wee Chaga land weee
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nawapenda
Wamependazana
Yaan Wema kama katoto. Nacheka tu 🤣
Wema kama alikuwa anamfuga mbwa kama mtot cpati pic kwa mtoto lola
Tafuta wa kwako madam huyo sio wako koTA
❤❤❤❤❤❤❤
He was okay or she was okay(correction though)
Yaani wewe unaweza kushindana na wema kiingereza. Hiyo na He na She are very minor.
Amesema it was okay ila ameongea American English so hakutaja hiyo t kwenye it ndo maana ukasikia he instead of it
Wema unazeeka please fanya mambo ya maana acha drama
Kuzeeka kupo kwa kila mtu tafuta pesa acha machungu na maisha hivii unateseka ukiwa wapi vile😅😅
@@fredrickoloo8046umejibu huyo nungu vizuri❤❤❤😂😂😂😅😅😂😅😂😅😂😅😅😂San asant wangu😂😅
@@fredrickoloo8046 nikiwa Rockville, Maryland 🇺🇸
Kwani ww.umefanya mangapi si yanatosha
We nawe una bwata anazeeka ww unataka akae Bila kuzeeka yanazeeka makalio sembuse binadam
❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Nawapenda nyinyi haswa wemaa
Wazazi wa pande zote wanajielew
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Fake tuu hamuna mapenzi! Siku Wema ata acha kumulea atamukimbia wema unapoteza mudaa
Whozu ana akili anajua akiwa na wema kazi zake zitauzika! wema wamemgeuza kanyagio yeyote anakanyaga tu
Wa TZ mko na maneno mno. Hamjui Wema Mungu Anamlipa na atampa mtoto sasa hv. Huyo wozu akimkimb8a atapata laana ya Mungu Wema Mungu Atambariki. Nyie ongeeeni midomo tu!
@@kellyngogo3319 respect bro good point. Wanaowaombea mabaya ni wivu na roho mbaya za kunguni. Wema my lovely nawaombea mdumu sn ktk mahusiano yenu na whozu fanyeni kweli wenye roho mbaya waone aibu.
Furah n kila kitu jmn mwachen afurah mlitaka apate sonona mwenzen aiii😅
Unaumia bado kambae Kuna hela yako inayotumika wanaadamu buana
Umu ndani Kuna watu wangejitua vidore uone wanavyonuka mnamsema wema kazeeka nyie vipi mama zenu wamezeeka mpaka vinena na nyie wenyewe sura mkizitia wema mala mia kuliko nyie halafu hakuna mtu ambae hatazeeka Sasa nyie mikundu inayonuka ongeeni tu
💓💓💓💓💓💕💕💕💞💞💞
Kajala
Chibaba nachimama
👍👍👍
Wema umeshazeeka uko ovyoooo
Kwani ww unaelekea wapi acha roho za kikunguni.
Wote tunazeeka Kila siku
Sote njia ni moja wacha makasiriko na roho mbaya
Na wew unaelekea wap 🤨🤨
Hata we utazeek😅😅😅😅
Acha maisha ya media "live normal life .ur looking very bad
Kwa ubaya upi mijitu mingine bwana mfyuu
Nakutabiria you'll get your own baby very soon ...lord wil make a way where there is no way.....mda mchache tuh..mola atakusaidia na roho yako pole kama wewe
Akh wema z Mungu akujalie mtoto siku moja hata Kam ni kilema instead ya kukosa kabusaa
Allah amjaalie mtoto mwema,mwerevu mzima wa afya ,mchamungu.amiin
Ukiomba omba vzr kwani mmungu ni muweza.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤