Hamisa she is beautiful 4 nothing kwa magizo hakuolewa kwa diamond mama mkwe hampendi kwa vunja bei ndio amesuswa vibaya☹️shida yke ameweka maslahi mbele Sanaaa kuliko utu kuhangaika tu...sasa ukijiachia mimba ingie ulikua hujaamua kuzaa au😏 dhambi Sanaaa
Huo hamisa hana bahati lilia bahati usiliee uzuli acha aumbuke sasa na tamaa za pesa uwiii nabado mimi sijui wanawake tupoje sasa kama mtu unakazi yako ukiona umefeli kwa mwanaume umoja na wa pili razima ujipange jamani
Wallah wanadamu wabaya yote hayo n kwamba mmesikia ataenda marekan ....uchawi achen aende akpata uraia n bas maisha ashayatoboa kwa watoto wake inshaAllah
Jaman kila mtu na maisha yake,huwenda imengia kwa bahat mbaya na hamuwezi juwa yy n mama anaelewa malez ya mtoto ameona kwanza apambane na hao wawili awaweke msingi mzr kwanza,mm nampenda hamisa wangu
@@عليغالب-ت5ر maana ww ndo mungu jmn Co lazma kuzaa hrf kila ktu mung ndo mpangaji wangp wamehangaika kutoa mimba na hazjatoka ?hadi mungu karuh mimba kutoka ujuwe mung hakupanga achen ujinga wenu akizaa nyie mtamsaidia kulea
We woz acha uwongo huyo fred si anaishi na mwanamke na amezaa naye watoto wawili na tunamjua mama fabian jina lake happy.ss inakuaje anaishi na mm fabian akamuoe hamisa usichanganye watu
Aliwaambia Ana ziki ya watoto bna we wawili tayari anao bado mmoja kutoka kwa rickyy vunja bei Kiki kupakuwa wapi kudate kawaida bnaaa wabongo Kiki wozhuu.
Sjui hamisa anakwama wap kaah🙄 Yan anatema bigjii kwa karanga za kuonjeshwa🙆 fredy mtu mstaarabu ,mchesh,mchapakazi,Ana pesa, anadanganya na ricklos huyo madevu😏😏 kaniudh😡😡
Rick Ross, ndiye mume halisi wa hamisa, hakuwa mja mzito, ni watu wanamhariria jina ili asiolewe na Rick Ross, juu ya wivu, Mimi najua Rick Ross, Bado anamgojea kabisa, ajitayarishe ili aende kwa Rick Ross nyumbani.maadalizi yameshaanza huko, Kila kitu najua Kiko tayari!! Harusi tunayo au hatuna???
Hizo ni porojo, vuja bei alisema uwenda huyo unaemthania sie, hampati usingizi kisa hamisa, kwaiyo Tanzania hakuna wanawake wazuri kuliko wamarekani, wajinga nyinyi,
Kwani cha ajabu ni nini hebu mwacheni mtoto wa watu jamani! Hebu muogopeni Mwenyezimungu jamani! Mbona Vunjabei kasema haijawahi kutoka na Hamisa ni marafiki tu hamlalamikibjamani? Ifike time tumuogope Mwenyezimungu yote hayo ni ya dunia na ya kupita. Rizki za Hamisa anazijua Mwenyezimungu. Imekuwa too much kila siku Hamisa Hamisa. Mtu wenye matunda ndio unaopigwa mawe kila siku ungekuwa hauna matunda asingepigwa mawe kila siku. Hivi hamuoni hata aibu katoto kadogo hicho kinaqanyima raha duuuu! Huyo shemeji katumwa na kaka yake kuharibu sifa ya Hamisa hakuna lolote. Lakini Mwenyezimungu yupo atamsimamia kwa uwezo wake na kila wanavyomshusha Mwenyezimungu ndio anampandisha hata iweje Hamisa ni kipenzi cha watu. Kwa hiyo kwa kuwa shemeji kasema ndio mkweli na ndio Hamisa ahukumiwe au sio???
Uzinifu umekuwa dili siku hizi! Innalillah!
Kisauti flan kitamu sanaa😘😘😘 love you mamy ❤
Hamisa unamjua vizuri Rick Ross shauri yako hana huduma kama diamond akisha kuchetua shuhuli yako imeisha tafakari kwa makini sana
Mioangobya Mwenyezimungu binadam hatuijui jamani mwacheni.
Prrrr...Rickross hawezi date this doughhead! Super power wana mabinti Beatiful sana design ya ZARI..huyu hamisa mphilipino au mchina
Hamisa sijuwi ali enda shule ya upumbafu ,nazani apewe ubalozi ya upumbafu kweli
Sio vizuri kuongea maisha ya ndani hapa kwenye mtandao.
Tuendelee kujipa moyo ataolewa na rick rose🤣😂😂
Hahahaha
Hamna kitu hapo kwa Rick 🌹
Hahaha,anaeza aka deti na Rick Ross alakini asimuowi,ndoa ni ingine storry🤣
Na uyo Freddy mwenyew alikua hajielewi kwa sabb alikua ana changia kuficha mahusiano yao, awakua serious wote watuache😏
Acha maneno yako we Whozu,kwani uzuri ndo nini?na uyo kesho atakua mmbaya! Whozu acha kutuongopea ukweli ni kwamba Freddy alikataa kubadili dini😅
Hamisa she is beautiful 4 nothing kwa magizo hakuolewa kwa diamond mama mkwe hampendi kwa vunja bei ndio amesuswa vibaya☹️shida yke ameweka maslahi mbele Sanaaa kuliko utu kuhangaika tu...sasa ukijiachia mimba ingie ulikua hujaamua kuzaa au😏 dhambi Sanaaa
Huo hamisa hana bahati lilia bahati usiliee uzuli acha aumbuke sasa na tamaa za pesa uwiii nabado mimi sijui wanawake tupoje sasa kama mtu unakazi yako ukiona umefeli kwa mwanaume umoja na wa pili razima ujipange jamani
Sio vibaya...ni maisha yake
Wallah wanadamu wabaya yote hayo n kwamba mmesikia ataenda marekan ....uchawi achen aende akpata uraia n bas maisha ashayatoboa kwa watoto wake inshaAllah
Ndoa upangwa na Mungu. Hamisa Mungu atampa yule aliyempangia. Insha Allah
These men talk like women, Hamissa you brought this to yourself
Yaani hamisa ni noma anaharibu kila pahali kwa kweli hakai akatulia duuhh
Jaman kila mtu na maisha yake,huwenda imengia kwa bahat mbaya na hamuwezi juwa yy n mama anaelewa malez ya mtoto ameona kwanza apambane na hao wawili awaweke msingi mzr kwanza,mm nampenda hamisa wangu
Na kule merekani hatopata mimba
@@عليغالب-ت5ر maana ww ndo mungu jmn Co lazma kuzaa hrf kila ktu mung ndo mpangaji wangp wamehangaika kutoa mimba na hazjatoka ?hadi mungu karuh mimba kutoka ujuwe mung hakupanga achen ujinga wenu akizaa nyie mtamsaidia kulea
Hamisa ni madam hero kweli kweli jmn 😂😂😂😂😂😂 kila media n yeye tuuu
Jaman shemeji mpya fayvyan 👌👌👌👌🙌🙌💃💃💃
Jokate
Mungu murehemu mwanao ufalme wako usiwe mbali .
Rickrose anamtangazia pombe tu jamani ila huko kutoa mimba kachemka Mwanamke mwenzetu
Sijachelewa sana alakini 😂🤗🔥
Mwanamke mwenyewe Joketi daaaa maisha ya bongo
Nakupenda sana hamisa
Huyo mwanaume kuna kitu wamekosana na hamisa ndo maana ameamua kuchafua jina lake,,,, sisi tunangoja fred na hamisa waongee ndo tujue ukwel upo wapi
Sioni hata cha ajabu anachokisema hapo huyo fala anatafuta kiki
Aliona haya zari alimwambia wajiita mdogo lakini wazaa kila mtoto babake ukifikisha miaka 30 watoto 6 kilamoja na baba wake duuuu
Kwani zari si akona watoto wa baba tofauti, huyo mwanaume taka,
We woz acha uwongo huyo fred si anaishi na mwanamke na amezaa naye watoto wawili na tunamjua mama fabian jina lake happy.ss inakuaje anaishi na mm fabian akamuoe hamisa usichanganye watu
Kumbe hamisa kivuluge jamani daah utazalishwa sana kwasbb unaonyesha ww limbukeni na wanaume uwezi kutulia sehem moja
Kaangaeieni ngoma kali Ongeza by king Élise kali sana ipo TH-cam
Wakwanza kutoka 254
Aliwaambia Ana ziki ya watoto bna we wawili tayari anao bado mmoja kutoka kwa rickyy vunja bei Kiki kupakuwa wapi kudate kawaida bnaaa wabongo Kiki wozhuu.
Huyu kenge mwanzo alisema hawana mahusiano wala hawawezi kuoana leo imekuwaje tena jinga sana mwanaume wa hvy
Muache akajichatuwe akaongeze hesabu 16 kwa rik Ros
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Daaaaaaaaaah
Muache akamuongezee hesabu awe 16 kwa rik roz muache akajichatuwe
🤣🤣🤣🤣Wako wengi zaidi ya hapo
Mambo ni mengi mdaa ndio mchache
Kwahivyo ilemimba alikuwa nayo haikuwa ya chibu🙄🙄🙄🙄🙄duu hayaaa
Alafu wanakuwa wakilalamika eti wanarogwa wanakosa kizazi haliakuwa mungu anawapa wao wanaamuwa kutowa mimba nahuyo Rick Hana jipya
Umeongea ukweli
Ww huyu dada anakizazi ila anazaa kwa kupasuliwa
Sjui hamisa anakwama wap kaah🙄 Yan anatema bigjii kwa karanga za kuonjeshwa🙆 fredy mtu mstaarabu ,mchesh,mchapakazi,Ana pesa, anadanganya na ricklos huyo madevu😏😏 kaniudh😡😡
Basinyiyehamukukuwanaona hamisanaFRED pamoja siyosiri tena arisemaka
Kwa kweli mwanaume mzima kuongea ovyo mambo ya mambo yao sasa wewe mwanaume mambo gani sasa hayo tuta sikiza wana wake ama wanaume
Wote
Ame pata mume marekani 🤣🤣🤣
Rick Ross, ndiye mume halisi wa hamisa, hakuwa mja mzito, ni watu wanamhariria jina ili asiolewe na Rick Ross, juu ya wivu, Mimi najua Rick Ross, Bado anamgojea kabisa, ajitayarishe ili aende kwa Rick Ross nyumbani.maadalizi yameshaanza huko, Kila kitu najua Kiko tayari!! Harusi tunayo au hatuna???
Oooh
Ubaya iko wapi sasa ? Fred mwenyewe alikana , mbona Hamisa akikataa unamlaumu ? Labda walisikizana kuficha uhusiano . Whozu nae kwake kunanuka na anachafuwa mtu .
Hamisa muongo mkubwa Sana hajawahi kusema ukweli cjui kwa nini hata huyo mtoto sio Wa diomond anadanganya huo mtoto ni Wa jaguar
Tuma mawifi wa Dida umewaona🤣🤣🤣pasuwa kichwa hemu tuletee tucheke
😀😀😀 mawifi pambeeee 👌👌
Eeeeeh Atuleteeeee😆😆😆
Hamisa bado anamtaka diamond
Whozu acawivu kakukataa amisa mobeto ulikuwa unamupenda
Whozuuu aache umbea,,,,penzi la Jirani yake kuliongelea linamuhusu nini kwa nini asiongee Fredy mwenyewe
Atakua ametumwa,, asinge yaongelea hayo bila Fred kujua 🤓😎
@@uwitekamimy3431 wewe umejua Ni ukweli kabisa katumwa achafue ....
Wataoana wanatuzuga sisi
Hamisa saidi sio hasan
Yaani amekosa bahati sijui kama itakaa irudi huyo Rickrose wala hawaendani
Watu wanatafutaga cha kuongea kitu chochote kuwalibia mtu jina alimuita wakati anatoa mimba watu wanamaneno Pole Hamisa wanajuaga kukungiaga maneno
Wewe nawe acha umbea na wakiludiana.USO.wako.Utauweka wapi?umpende.ww hamiss ndiyo ilikuwa unamkaza
Sauti kama babu wakati ww kijana mdogo hata siri ahuna kweli
Bora ange zaa hatakama angekosa Ndoa 😢 Dah kachezea bahati kweli 🤔😢
Huo hamisa tamaa tu hakili hana na bahati hana
Uwoya tayari ndio ameshikilia usukani hapo.
Whozu anatafta kiki hapo
Ama kweli katoa mimba si bora angempa wema huyo mtoto kisirisiri 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Mh! Wewe
😂😂😂😂wema mambo yake itakua ya siri,wolpa ka zaa ila tulikuja ku jua baada ya wiki mbili
Eti kisiri Siri 😂😂😂😂
@@samiraabdimahamed4449
😂😂😂😂ndo hivyo dia
angempa wema mtoto wakisiri siri hhhhhhh
Hivi huyu kijana anataka kuorewa yeye vipi chuki za nini
Ivi wewe unajiona mzuri kuiiko wa dada wa marekani wewe mmmm🙄🙄🙄
sasa kama ameona mwanaume haeleweki kila mwanamke wake huyo mtt anamzaa wa nn
Umeongea ukweli uyu jamaa c m2 mzur anapenda sana wake na anajifanya mpole
Afu hamisa anazaa kwa kisu ndio maana hakutaka mwanaume mwenyewe yule afu unakula kisu cha bule
Sasa huyo Wa merekani ndo mzuri au mtu ana ma babe mama Wa nne ndo mnafurahia 🤣🤣🤣🤣poleni Sana team Misa
Sasa wanataka nini hamisa mimba iliharibika as usual 🤣🤣🤣 itakuwa mimba ya kumi sha utamalizia rickross mayai
Huyu ni chizzy type hajui chenye anaongea. Ongea ya kwako.
Hizo ni porojo, vuja bei alisema uwenda huyo unaemthania sie, hampati usingizi kisa hamisa, kwaiyo Tanzania hakuna wanawake wazuri kuliko wamarekani, wajinga nyinyi,
Huyo vunja bey mwenyewe pia sihuwa yuwa kana hayuko na hamisa sasa ama alikua ana ficha nini
Au fred mwenyewe uwiiii . Mtihani loooh
Kwani Kuna ngeni ngani kwani hamisa n bikira ndio mujadili
Hamisa. Itakuwa. Mchoyo. Miss. Anakitu. Sikizuli. Hajijuy. Tuu. Familia. Yamondi. Inaroho. Mbayà. Je. Hapo. Vipi
Duh huyu dada anamatatizo gani jamaniii hadi huruma
Pepo .
Bora angezaa tu hata kama angekosa ndoa,, maskini kachezea bahati kweli
@@chayogasperi9783 tuliombee lishindwe kabisa akipata bwana aoleke huwiii
@@uwitekamimy3431
Sisi tunaona bahati labda yeye kaona kuna mapungufu , sie tunamuona kwa nje tu huyo Bwana Fred .
@@uwitekamimy3431 amechezea bahat kivp dada yangu hv hamjiskii aibu kila mtoto wake baba halaf ndoa hakuna??
Ataroga tena atarudiwa uyo jamani subirini
Duuuuu
Urishaona wanaowamutunamimba kapemukahamisa atambakichezewa kirasiku
Kuolewa sio lahisi sijui anataka nn
Huyu dada nae uchi wake niwakugawa pekupeku
Na wewe n tunda vp
Hamis ajatulia
Toweni fujo hajawah hata kupata mimba
Vunjabei muoe jokate mtuliee
Upuzi tupu
Hakunasiridunianiwangu
😂😂😂😂😂
Hafanani kutowa mimba, labda alimdanganya vunja bei
Naona hivyo pia.
Ina maana whozu ameumia sana hata zaidi ya Fred mwenyewe? Mmm umama tu. Ana Kijiba cha roho utasema hamisa mke mwenziye.
Mimbamukumbuke irisemwakatenanyumaikapoteya
Kwan ye wa kwanza kutoa mimba.....muacheni kama maisha hayakueleweka kwanin asijihami....mwee mnasema hayajawakuta