ZUBEDA (DADA WA DIAMOND) AFUNGUKA KILA KITU // DIAMOND KWENDA NYUMBANI KWA P DDIDY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @rendozrendo7804
    @rendozrendo7804 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yaani hao wanaomsema diamond wivu tu unawanyevua nyevua badala ya kutafuta hela wamekaa kuumia tu dhidi ya maisha ya zuchu na diamond waambie waache roho mbaya

  • @SahimSahil
    @SahimSahil 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Acha uongo mama ww km zuchu ana sauti nzuri kwahiyo rubi,maua sama na lady jd umewaacha wap ana sauti nzuri kwako cyo kwa watanzania wote

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mbona unaonekana una umri sawa na Mzee Abdul, inakuwaje unamwita Mzee Abdul baba wakati mnalingana umri, lngependeza ukimwita kaka

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tena ana miaka 5 zaidi ya mzee Abdul

    • @ladooladoo1285
      @ladooladoo1285 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jamani ndo hayo anoyasema huyu mama watanzania tunakwamia wapi?
      Mimi mwenyewe nina dada zangu wa baba mmoja wakati mimi nimezaliwa siku moja na mwanangu yaani dada angu wa baba mmoja anajifungua mtoto wa kwanza na mimi nazaliwa na mama angu ni mke wa pili wa baba na aliowa mke wapili ambae ni sawa na mwanawe wa kwanza wa huyo ni mama angu, kwa maana nina umri sawa na mtoto wa dadaangu wa baba mmoja so ananiita mama mdogo na nina wadogo zangu ambao wao ni wajomba nahuyo mjomba ni mkubwa kiumri kuliko wao

    • @speciosermusika2009
      @speciosermusika2009 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😅😅😅😅

  • @SahimSahil
    @SahimSahil 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kafanywa bwana unashahidi gan km Ali escape toka uko mchukue uko London unamwambia nana sasa au tukusaidie nn

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu วันที่ผ่านมา +1

    Sasa uyu dada mmmh atar alisema mwenyewe yaliyofanyika ayafai kupostiwa 😂😂😂😂😂😂

  • @WannyDorcase
    @WannyDorcase วันที่ผ่านมา +1

    Jambo Wandugu jameni shangazi wétu hiyo unayo isema nikweli uwaambie wanasema mengi kwamaneno ya Daimonde wanamtesa kumusema waashe kusemwa uongo juyanini kumupatisha haya ndugu Yao mtanzania kwa ngambo ya Zuchu wali mwambia wanataka bibiwa pDidi Zuchu kasirikia mashabiki

  • @leonardyona1462
    @leonardyona1462 วันที่ผ่านมา +2

    Kwahiyo Diamond na mwenzie walikataa kwenda kuangalia movie kwenye cinema ya Diddy? Ebu tupe evidence kama kweli walikataa na kukimbia

  • @GRas-d7p
    @GRas-d7p วันที่ผ่านมา +1

    Huyo Ndugu yako Ni panchari Johnson and Johnson Oil ni kiboko yao walipakwa na P Diddy😂😂😂

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂😂😂😂 mbona waongea tu kimenyookaa nivipi tena aunt 😅😅😅😅 landan ni kwa bibi ako kila mtu eti nitakubeba landani. Sium bebe Mzee Abdul aendee kushangaa kidogo

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂 mjinga wewe umejua kunichekesha nimeshasikia mara nyingi nimemsikia akisema nitambeba nimpeleke London😂😂😂

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 วันที่ผ่านมา +2

    Mondi aseme ukweli tu? Je yaliomo yamo

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani diamond alivyohojiwa alisemaje

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 วันที่ผ่านมา +1

    Ww ndio unamtagaza ss

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 วันที่ผ่านมา +1

    PTV mmmmmm.

  • @rosemkude4804
    @rosemkude4804 วันที่ผ่านมา +3

    Kiswahili kimenyooka... Sasa hiyo accent vipi??

    • @rahmaabubakar3932
      @rahmaabubakar3932 วันที่ผ่านมา

      Lazima awe na accent hiyo sababu anekulia uigereza, mausha yake yote mpaka anakuwa mtu mzima.

    • @westmanmoses541
      @westmanmoses541 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mzee Abdul atakuwa kafurahi sana make huwa anamuongelea sana Zubeda​@@rahmaabubakar3932

  • @tomsijohni
    @tomsijohni วันที่ผ่านมา +2

    Watangazaji wa Tanzania apo ndo wanafeli sana ivi kweli mutu yoyote anaeishi ulaya maneno yoyote ya ulaya anayajua ulaya ni kubwa sana unaemuliza ya yeye hizo story kwenye mutandao kama wewe mutangazaji 😂

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 วันที่ผ่านมา +1

    Mondi apewe adhabu ya kuruka ruka kichura chura mara 10 basi

  • @faraj6700
    @faraj6700 วันที่ผ่านมา +1

    Sengere tuu hiooo wewe mwenyewee msengee.malayaa suguuu weeewe una forward England.

    • @tomsijohni
      @tomsijohni วันที่ผ่านมา

      Wanazeekea ulaya kwa sababu ya umalay na majigambo ya kuishi ulaya 😂😂😂

    • @margarethsaramaki3966
      @margarethsaramaki3966 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unamtukana vp huyu dada kakukosea nini? Wakati maisha yake ni London ebu acha ujinga wa matusi

    • @tomsijohni
      @tomsijohni 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@margarethsaramaki3966 kwani London ni nini wacha kushoboka na London ila sio shida zangu ni shida kuzaliwa masikni kusikia mutu yuko London unatetemeka kwa sababu umasikini wewe ulizaliwa Africa na ujawai kufika ulaya yoyote ndiomaana unatetemeka