Hongera Chadema wananchi wanaitikia kuhudhuria mikutano bila wasanii kama ccm. Ccm inatakiwa ifutwe kuanzia wenyeviti wa vitongoji, mitaa, vijiji, madiwani, wabunge na Rais msiwachague hao mafisadi ccm uchaguzi huu 2024/2025.
Chadema inahubiri haki kwa wananchi! Asante wananchi kuitikia kuhudhuria mikutano ya chadema! Angalia ccm mikutano yao mpaka wasanii wawepo ndiyo wananchi waende kuwasikiliza kwa sababu ya wasanii!
Mungu asimamekatikati maanakamateso tunaumiasana
Mungu atusaidie tujue kuikataa CCM na Mama yao😮😮
CHADEMA Piga Spana Hadi CCM Tuwaondoe CCM Wasiotutakia Mema Taifa Letu"
Hongera Chadema wananchi wanaitikia kuhudhuria mikutano bila wasanii kama ccm. Ccm inatakiwa ifutwe kuanzia wenyeviti wa vitongoji, mitaa, vijiji, madiwani, wabunge na Rais msiwachague hao mafisadi ccm uchaguzi huu 2024/2025.
❤❤❤
Tunamuamini Allah ataiyondoa ccm kwakutuongoza sisi nyoyo zetu
❤Tatizo ni katiba, ila sasa hata bila katiba kitaeleweka tu.
Chadema oyeeeeee hapa kazi tu tena kufa konda kuwa dealeva lazima chadema tushinde
🤝🤝🤝
Chadema inahubiri haki kwa wananchi! Asante wananchi kuitikia kuhudhuria mikutano ya chadema! Angalia ccm mikutano yao mpaka wasanii wawepo ndiyo wananchi waende kuwasikiliza kwa sababu ya wasanii!
Mbeya nihatari sana
Safari hii nikudilinaotu samia aenei popote
Saana sugu
hicho kimoja sio kile kilicho badilika na kuwa mbao kweli tena mbao ya mpapai
Hiyo bodegani vipiii
Yani tunamaitaji mengi ata awatekerezi ata madiwani wao na wabunge sijui wamechaguliwa kama fenichatu awana msaada wowote barabara atuna mitaani
Msigwa mnafikitu anakimbilia kwa maadui zake kwanini asiende act akaendereze mapambano kana sio pesa nanjaa ndio kichompereka kaona CCM jikoni
Silikali sio selikali
Silikali tena 🤔
Tanzânia 🇹🇿 tuna mali asili nyingi tatizo ni uongozi kwakweli, tunastahili maisha nafuu