Allah atupe wepesi inshallah ktk kz zenu kwakweli mambo muhimu kbs mambo ni moto kesho mutamsikia kamanda wa polisi anatoa tahadhari mana ukweli hawa hawautaki
CCM ndio kwanza wao wapo katika mipango ya maboresho ya kura ya mapema ama kweli dhulma sio haki wanapojidai kuwa wana watu wengi na wanashinda kila mara halafu wakati huo huo wana mikakati ya (kisheria) ya kuiba uchaguzi 😅😅
ulinzi wa mh othman na umakini uongezwe ni mtu muhimu sana kwetu hasa kwa vile tumeshamgotoa mapema kwamba atakua candidate wetu jamaa wana vituko sana hawa chinja chinja
Mr president. Mtu makini sana mzalendo na mpendea mema raia wanyonge kweli ni nyayo za maalim.
MashaAllah ameelekea kabisa kuwa rais wa zanzibar mh othman masoud ni mbunifu sana huyu kiongozi
Allah atupe wepesi inshallah ktk kz zenu kwakweli mambo muhimu kbs mambo ni moto kesho mutamsikia kamanda wa polisi anatoa tahadhari mana ukweli hawa hawautaki
Wapo kwenye runinga kijani wanaskiliza😂😂😂
Swafu ipo sawa
Allahumma aamiin
Vizuri sana❤
Good job ACT
CCM ndio kwanza wao wapo katika mipango ya maboresho ya kura ya mapema ama kweli dhulma sio haki wanapojidai kuwa wana watu wengi na wanashinda kila mara halafu wakati huo huo wana mikakati ya (kisheria) ya kuiba uchaguzi 😅😅
Tunawapata mubashara❤
Safi kabisa
ulinzi wa mh othman na umakini uongezwe ni mtu muhimu sana kwetu hasa kwa vile tumeshamgotoa mapema kwamba atakua candidate wetu jamaa wana vituko sana hawa chinja chinja
Responsibility
Mpk ikulu
Sijaelewa!
Diaspora mumeisahau!
Farouk ana akili sana Allah amuhifadhi
Anaawkili ndio lakini yeye siooo ccm kichama wala kifikraaa bali ccm hawana izo akili alizo nazo farook
Mwinyi tutamrejesha kwao mara hii inshallah
si lazima kurudi kwao mwinyi mamake ni mzanzibari safiii mbumbwini na mwinyi mwenyewe yule ni chotara safiii
@@khamisjuma7616Usidanganye watu Mwinyi Zbar si kwao, Baba ake tuu alikuwa na Rafiki mangapwani ndo Mwinyi akaijuwa Zbar lkn si kwao
Mwinyi sie
@@khamisjuma7616machotara Zanzibar hawana nafasi
Choratara ananywele kama kibati@@khamisjuma7616