MASHAALLAH SHEIKH ALLAH AKUZIDISHIE ELMU NA AKUPE MWISHO MWEMA SHEIKH OTHMAN UNAPOITWA NA WATAWALA JARIBU KUWATOLEA MAWAIDHA KAMA HAYA WAMEJISAHAU SANA HAWA WATU KWAO DHULMA NI KAMA MAJI YA KUNYWA
MashaAllaah mwenyezimngu Azidi kukuelimisha tupate na sisi faidah.wenyeee kutoyajuwaaa in sha Allaah iwaingiyeee moyoni mwao wayafahamuh na kuyaelewaaa.Allaah Atuswameh kwa soteee.
Naam Sheikh wetu sah ,Allah atujaalie tuwe miongoni mwa wenye kutenda mambo mema, na tuwe wenye kusikiliza mawaidha yawe ni tiba ya kulainisha nyoyo zetu , pia atujaalie tuwe wenye kuingia peponi
Maa Shaa Allah. Mungu Akuhifadhi akulipe mazuri hapa duniani na Jannatul Al Firdaus iwe Mashukio yako na family yako. JazakaLlah Kheri. AlhamduLiLlah tulikua tukikusikia Kwanzaa kwa Tapes kisha dvds. AlhamduLiLlah Alaa Kulli Neemati. Sihaba sasa twakupata hapa. SUBHANALLAH. AlhamduLiLlah. Shukran for beautiful Darsa.
Asalaam Aleykum sheikh Uthmaan Maalim you are really helping us a lot out there l wish l could pay you but material things are not that important than what Allah has in store for you brother may Allah give you long life in this world so that we can keep on benefiting from your God given knowledge brother. Keep doing it and the results are in hereafter you won't believe it. May Allah grant you Firdausatil Aala..
Alhamdullilah tukona mtu aina yako duniani na Allah akulinde baba...inshallah mungu atukutanishe kesho katika nyumba yake ya kheri...na akujalie mazuri
Wallai othman maalim Allah akuruzuku tawba qabla ya umaut, hauchoshi kabisa Allah awabariki wazazi wako kwani wamefanya kazi ya ziada kwenye malezi na Allah akujaalie janat firdaws, your the best
Allah akulipe kwa mema yako mwanangu othman mm ni mama hako na allah amjaalie mwanangu othman awe kama wewe kaka yake amin insha allah nakupenda mwanangu kwa ajili ya allah
Je sheikh kw mfano mtu amenidhulumu mm heshima yngu(kanifanyia kitu flani kibaya kw nguvu), halafu cku moja namkuta yy ndo imam kwenye swala. Je huyu haifai mm kuwaambia waislmu kwmb huyu alinidhulumu cku moja kw kuwa alikua na nguvu.?

Jazakallah kherry daa tunapoteza mda kuangalia uchafu wakat yapo mambo mazuri yenye ukumbusho Allah atujalie ishaallah.
Dadangu nakupenda kwa ajili ya Allah umeongea kitu ambacho ni muhimu kushinda maelezo..Mashaallah
L
Amin sheikh
Naam Sheikh wetu sah ,Allah atujaalie tuwe miongoni mwa wenye kutenda mambo mema, na tuwe wenye kusikiliza mawaidha yawe ni tiba ya kulainisha nyoyo zetu , pia atujaalie tuwe wenye kuingia peponi
Amiin ya'a Rahman Amiin ya'a Rahiim ya'a Kariim
mashallah ustadh Allah akulipe yarabi kwa kutufunza tusisozo zijuwa yarabi
Allah (s.w) Akulinde na shari za wasiojua umuhimu wa kufikisha elimu katika jamii
Maa Shaa Allah. Mungu Akuhifadhi akulipe mazuri hapa duniani na Jannatul Al Firdaus iwe Mashukio yako na family yako. JazakaLlah Kheri. AlhamduLiLlah tulikua tukikusikia Kwanzaa kwa Tapes kisha dvds. AlhamduLiLlah Alaa Kulli Neemati. Sihaba sasa twakupata hapa. SUBHANALLAH. AlhamduLiLlah. Shukran for beautiful Darsa.
Mashaallah Sheikh Allah Akuhifadhi inshaallah ili uendelee kutupatia ukumbusho kwajili ya Diniyetu nzury ya Kiislamu najivunia dini yang
M/mungu atujalie mwisho mwema
Shukran sheikh mungu akujalie umri mrefu wenye baraka
MashaAllah, shukran shekhe othman Maalim jazzakallahu khery, ALLAH akulipe jannah nafarijika sana shekhe othman Maalim.
mashaallah mwenyezi mungu akujaze kheri
Saumu Hassan Ameeen thummah Ameeen
Allaahuma aamiin
Mashaa hllah
Napenda kusikiliza Mawaidha Ya Sheikh Othman Maalim, Allah akuzidishie ILIMU, Umma uzidi kuelimika kupitia ULIMI wako (Amin)
Shukran Sheikh. Allah atujaalie miongoni mwa waja wema. Ameen yaa Rabbil allamiin
Jazak Allahu khair thanks alot for you advice,i learn more and more about you mawaitha,
Aww.shekh nashkuru sana kwa ukumbuaho Allah akulipe zaidi na akuzisishie umri mrefu
MashaAllah.. Allah amjaalie shekhe wetu afya na kheri zaidi apate kutupa chakula cha moyo..Ameen
Abdallah Shabani allahumma aamini kwa wote biidhinllah
Hawa download Hawa Ameen
ManshaAllah
Nakupenda mno
ukitaka no ya Othman maalim utapata
Allahu Akbar,, mwenyezi Mungu Ni mwingi wa huruma
Jazzakkallah kheir🙏🙏shukran kwa mafundisho Sheikh wetu Allah akujaze kheir Sheikh wetu🤲
MashaAllah sheikh Mungu akupe kila la kheri fii dunia wal akhera
Mashaallah Mashaallah nakupenda kwa hajili ya Allah, Allah bless you for everything inshallah
ye
Shukran Jazzakallah kher
Yes 🤗👍
allah amzidishiye umri mkubwa tena mzuri kwake na familia yake hôte.amin
Maashallah ALLAH akujaze khery na na ukumpe umri mrefu na tuwe na mwisho mwema kwa pamoja In Shaa Allah
Kherry ishaallah
Jazakallah kheir
Shukran sheikh Othman Maalim, Allah akusimamie katika kazi zako za Dahwa
Allah akupe umri mrefu wenye kheri nyingi sheikh wetu!
mungu akuje Kheri sheikh wetu
mungu katujaaria kuwa na dini yenye mafundisho mazuri,mungu akupe maisha marefu ww unaetupa darasa hili
Asalaam Aleykum sheikh Uthmaan Maalim you are really helping us a lot out there l wish l could pay you but material things are not that important than what Allah has in store for you brother may Allah give you long life in this world so that we can keep on benefiting from your God given knowledge brother. Keep doing it and the results are in hereafter you won't believe it. May Allah grant you Firdausatil Aala..
Amiin
Aameen
Alihamdulilah tunakushukr sana maalim tunaelimaka mupitua ww
Shukran wajazaka llahu heri
Alhamdullillah 🙏 kwa ukumbusho huu 👍
MashaAllah SHEIKH Allah akuepushe na mabalaa
Aaamiin ya Rabbi
Shkran masha Allah
Shukran sana shekhe Kwa mawaidha mazuri.yenye kufundishanamuomba mwenyezi mungu atuongoze Kwa meme.
Hayyaka Allah
Mashallah
Mashallhaaaa
Alhamdullilah tukona mtu aina yako duniani na Allah akulinde baba...inshallah mungu atukutanishe kesho katika nyumba yake ya kheri...na akujalie mazuri
Wallai othman maalim Allah akuruzuku tawba qabla ya umaut, hauchoshi kabisa Allah awabariki wazazi wako kwani wamefanya kazi ya ziada kwenye malezi na Allah akujaalie janat firdaws, your the best
Allahumma Aaamiin Kwa dote
Marshallah mwenyezi mungu atupokelee dua zetu na ramathan hii ameeeen
Allah akujalie umri mref sheikh othuman malim
Mashaallah shkran kwa darasa zuri
JAZAKALLAHu kheir ALLAH akujali kheir nyingi
Masha'allaaaah!!
Namuomba Allah akuzidishie ilmu na ufasaha wa kufikisha da'awa.
Allah atuhifathy sheikh Othman, Allah akulipe kheir.
This was a great episode. Can't wait for more
Jazakaallah
Allah akupe mrefu shekhe wetu
MaashaAllah TaabarakaAllah
Mashallah
tangu zaman napenda kuckiza mawidha yako nakupenda kwa ajil ya ALLAH ALLAH akupe kher za dunia n akhera
mashaallah Ramadan Kareem nice
Abdul Ahmed تبارك الله
Umetusaidia sana mpaka mitihani ya kidato cha NNE tuna(A) kwa mawaidha yako! Nimekutafut San angalau nikushukuru !
ma shaa Allah
Mashaallah shekh allah akulpe kla la kher
Mashallah jazakallah khayra
Masha allah
Ma shaallah may Allah reward you with more knowledge sheikh
Mashaallah jazakaallahu khery shekhe wetu 🙏
siwez kuskia mawaida yako bila kuyategea skio nkayaskiliza na kila nkiskiliza nd kwanz ham inazd allah atukutanishe sote peponi kw rehma zake
Allah akulipe kwa mema yako mwanangu othman mm ni mama hako na allah amjaalie mwanangu othman awe kama wewe kaka yake amin insha allah nakupenda mwanangu kwa ajili ya allah
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته.
Naomba kuuliza waislamu wenzangu.
Mbona video hii watu 113 wamedislike.kwanini lakini?
Asante jazaka allah kherry
So interested
jazakallah kheira ALLA akujaalie uendele na dawa
Allah akujalie kheri
mwenyezi mungu akutangulie
Mashallah_Allah
Masha Allah shkhe allah akupe maisha marefu insha allah
M'Mungu akuwezeshe zaidi na zaidi Yarab.. Tunafaidika sana kwa mawaidha..Alhamdulillah...
Aminaaa
MashaALLAH 🤲🏽🌙
mashaallah mngu akuzidixhie iman
Allah akulipe pepo
Jazzak Allahu kheir.......
Mashallah shukran
Masha Allah
Jazaqa wallahu heri
asalam alekum mungu akulinde malim
Maalim seif
mashaallah jazzakallah kheir
Swadaqtah
jazakallahu kheir ALLAH akujaalie khusnu khatma
Shekh ni zulumiwa Mme wng na mwnamke wa nje roho inaniuma sana
Mashaallah
Darasa nzuri, I just want to know is Sheikh Maalim kenyan or Tanzanian? Thanks!!
Zanzibarian tz
darasa safi kabisa,kweli uislamu ungefundishwa hivi kwa upendo bila kukashfu dini zengine hata makanisa yetu yangebaki matupu bila wafuasi
Kweli kabsa
Amina
MASHAA ALLAH
Shukhran jazillah
Alikuwa wapi
Sukurani sana💫💫💛💫💫
Masha Allah
.enti liheluw rabbana maaki
Halima Halim naam
Maashaallah
mashaallah shukran jazillan
Jaszakkallah kheraa
kidasi kama unaipenda dini usiangalie mtu angalia maandiko yanasemaje. hapo UTAONGOKA. amua bado hujachelewa
Ma Shaa Allaah
Alhamudulillah
Je sheikh kw mfano mtu amenidhulumu mm heshima yngu(kanifanyia kitu flani kibaya kw nguvu), halafu cku moja namkuta yy ndo imam kwenye swala. Je huyu haifai mm kuwaambia waislmu kwmb huyu alinidhulumu cku moja kw kuwa alikua na nguvu.?
أنت نجم وغيرك كواكب إذا بدت لم تبد منهن كوكب
Barghash Ally,Hembu nikumbushe,hizi aya alizosoma,ولا يحسبن الذين ظلموا....
Zipo sura GANI?
Nzuri sana
Ahasante kwa dawa
Mashaallah
but sauti ipo chini
ulimwengu wakislaam
Chukurani kusikila mayahiza