🔴
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- 🔴#LIVE: RAYA THE BAWSE AFUNGUKA - "BARNABA AMEANGALIA VIGEZO KUNICHAGUA MIMI, SIJAMLOGA"
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Raya umenifurahisha unawapenda wakwe zako, Mungu akubariki.
Wow Raya ni mwanamke bomba ❤❤❤❤alafu anajiamini nampenda adi basiii😘😘😘😘
Hongera ranya uko vizur sana my dear unajielewa mashallah ❤❤
Nampenda sana uyu dada mvumilivu mno nataman Mungu anipe moyo kama wa uyu dada katk mahusiano yangu nampenda kwa meng mpk saut yake we ni mwanamke na nusu
Mwenyezi Mungu akupe moyo thabiti sawa na hitaji la moyo wako.........
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
Interview 😅😅😅pambeeee raya MashaAllah hongera Sana ❤❤❤❤❤❤nimeinjoi haichoshi kuisikilizaa
MashaaAllah RAYA ❤ Hongera Dada AKILI KUBWA 🎉 Eti Hajuwi Kupika 😂😂😂😂
Dida jua Raya mtt wa kitanga so full malav'dave❤ ujavyo ndivyo tukupokeavyo
Huna mdogo wako nimpe mtoto wangu, lakini itabidi awe Mkristo wa kiukweli. Kama kweli unafanya kama unavyoongea hongera mwanangu raya.
Banalba ni mtaratibu,,asahau Utu,,angekuwa Msanii mwingine angemtupa mbali sana
Kwanza mrembo mwenyw@Raya Mungu akutunzie ndoa yako mwaya
Raya Hana ubaya jamani mbona ni Binti mzuri tuu❤❤❤❤ uzuri wa raya ukweri ana busara Sana msikieni tuu anavyojibu 🥰🥰
Ndio wewe ndio wewe Raya kwake uliyoipata namba kwa Barnaba mshipa haukutwangwi Raya ❤❤❤
Ma shaa allah Raya...Allah awalindeni na husda zawaja ...unamadini love❤❤
Ogopeni Allah kuishi na mume bila ndoa wanawake wa kiislamu wacheni zinaa lakini alhamdulillah umefunga halal
si kweli mwanamme anaruhusiwa kuoa wake wa3 hadi wa4.hata kama ww wa kwanza unazaa kama utitiri ..kuoa wake mpaka wa4 ni sheria kwa wanaume wa kiislam .msipoteze watu kuwaaminisha eti mpka mwanamke uwe huna kizazi ..cjui huwezi kufanya mapenzi..au cjui unaumwa c kweli.
Hiyo sheria kama uliambiwa lazima😏
Kuoa wanawake wanne suna kwa mwanaume mwenye uwezo wa kiafya na uwezo wa kuwahudumia wake zake kwa uadilifu
🔥🔥🔥🔥🔥wapi pete ya ndoa🔥🔥🔥🔥🔥tamba Ray
DIDA UMEPATWA NA BUTWAAA 😂. MTOTO MDOGO KONKI ❤
Love boss raya
Akili mingi ❤️🥰🥰❤️
😂😂😂😂😂 didaaaa nimecheka wallah big up Raya the boss
Raya mvumilivu pia anahekima nakupendaa❤
Mama yako raya kama mama yangu jamniii❤️
Raya wewe Ni Mpole Sanaa jamani uko vizuri kila la kheri karibu kwenye Chama
Sheria ya kiislamu haijasema hivyo Raya. Quran imesema wanaume waowe wanawake wawili, watatu , wanne na kama mwanamume atakuwa hana uadilifi basi mmoja anatosha. Na hekma yake ni kuwastiri wanawake mana ni wengi kiidadi kuliko wanaume na hiii pia inahekima ya kukuza nasabu(ukoo) na kuondosha uzalilishaji wa wanawake na watoto na mengine mengi.
Ni haramu kuongeza au kupunguza katika dini tusipojuwa turudi darasani kwanza.
Yaani hii mke wangu ya Barnabas,,imejua kunikosha,,yaani nimeirudia hapo hapo mara kibao
Huyu dada mtangazaji nampenda ana nogesha interview 😁😁
Uko vzr mdogo wng mungu awatunze siku zote
Mara ya kwanza Nimecomment 😂😂😂 Nmekipenda kipindi
Dada anajielewa sanaa had rahaaa❤❤❤❤❤
Raya nakupenda sana
Nampenda sana laya jmn😘😘😘
Ubarikiwe sana dada
Kila la kheir katika ndoa yko sister
Mwanaume anaruhusiwa kuoa mke zaid ya mmoja ikiwa ana uwezo wa kiafya kifedha na awe anauweza uadilifu sio mke akiwa na matatizo
Nakupenda raya na hongera sana kwa ndoa allah awasimamie mdumu zaid mpate watto wema
Hahaha huyu Dida
Mungu akulingiye ndoa yako kwamana yote unaongeya maneno yanayo stahili kuwa Muke materiel
Mimi ni mwanamke ila raya nimempenda,
Interview nzuri hii💞
Boss wenu mondi ajifunze atafute mke mzuri kama Raya (mtoto wa mama kimbo).. Raya ana sifa zote za kuwa mke
Nimekupenda bule kipenz unaongea vzur sana taratbu wanaokusema wivu tu hongera sana na ndoa yako enderea kumpenda tu mumeo
Akili kubwa huyu Raya🎉
Kanaongea vzr
Me sijaelewa kuanzana mahusiano 2016 mpaka 2023 ni miaka 9 au miaka saba au me ndio sijaelewa
😂😂😂😂hesabu imempita kushoto
Hahhahhhhh mimwenyewe imebidi nihesabu
Alianza naye akiwa bado na mama Steve
Nakupenda sana raya
Asallam maalequ maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala Allamdulirai Ishaalla Allah hjelp you Ishaalla Ishaalla Alaamdulirai Hasiallah waneema wakiil Il🥰VE Y🥰U S🥰 M Familien Besti Familien ❤❤❤
Huyu dada Anauwezo mkubwa sana. Ameongea mambo makubwa mnooo. Najihisi ni mtu anaweza kuwasaidia wanawake kujua umuhimu wa kulinda familia zao.
Mwambie uyo alovaa jezi ya simba anywe soda ntakuja kulipa
Mashallah
Mashaallah 👏🏻👏🏻👏🏻
Sasa Muslim huyu kweli maana kavaa kamvaa yesu😢😢😢 msalaba
Sio kila msalaba unaouona unamwakilisha Yesu,,
Mungu wetu mmoja jmn dahaaaaa 🙌🙌🙌
@@janetdundul3858sisi mungu wete hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana anaefanana nae na yesu sio mungu ni mjumbe wake
Nyie c mnasemaga yesu mungu ni mungu yupi wa kwetu sote na nyinyi wakiristo@@janetdundul3858
Dini hata kama huna tatizo sisi wanawake tupo wengi kuliko wanaume hivyo kama anauwezo, inaruhusiwa hata kama mkewe hana kasoro yoyote
Kabisa
mashaallh 🥰🥰🥰🥰🥰
Nimekupenda sn ❤️❤️❤️❤️❤️na nimependa meno yako raya kama kijitoto 🙏🙏🙏🙏
😂😂😂😂😂😂
Raya yupo km mm jmn mungu alinde ndoa yk
Nakunyoa
❤️❤️❤️❤️❤️
Ila kubali ulianza na barnaba akiwa na mama Steven
Watanga kama wazazibar wanakua na somo zao wa kuwafunda
Raya nakupenda dada ❤❤❤❤❤
Sheria za kislam hamzijui jaman msiziongelee mkitaka kufajamu jambo la kislam waulize waliowazid elimu
Zile ahadi za muende Paris mara Zanzibar!! Zmeisha ama 🤔 ilikuwa n nogesha sherehe tu!
My una confidence ya hatat
Binti mwenye akili 100 percent unajielewa huna shoo off
Hongera mwanangu
Sauti ya Raya vp unatatizo LA sauti. Au unakuwaga unapiga kelele Sana hadi sauti inaisha
Waja😂😂😂😂😂
Ila we mdadaaa😂😂😂😂
M naipenda ya hv
Mkufu wa msalaba inna lillahi wainna inna lillahi rajiun
Kwani unaua acha ushamba ayo mapambo nyoooooko
😅😅😅
Acha ujinga urembo msalaba bac aende kanisani@@agathaabogast4598
Uongo mbona mama yKo aliolewa mke wapili jamani acheni kututanganya nasheria hiyo haipo
hawa ndio wameishi kwa shida na raha sio wale eti miezi miwili kwa shida n raha dulla na naira
Ver brigt upstears
misaraba yann
Yuko vizur
Raha Jamani
Mashallah🎉🎉🎉 chukua maua yako❤❤❤
Haipo sheria hiyo imeandikwa wapi mwanaume akiamua ameamua
Mpk raha umefundwa sn sn
Ila hiki kipindi jmn😅😅😅😅😅😅😅
izo nywele za juma nilijua pepkon zilizoungua
😂🤣
😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dah jamani watu😂😂😂😂✋️✋️✋️
😂😂😂😂Jamani
😂😂😂😂😂😂😂
Raya natamaini nijuwe namba yako nikuletee udi uone udi wa omani
Kwani huyu Raya muislamu jamni mbona kavaa kidani cha msalaba jamanii jamani nyieee tumuogopeni Allah
Didaaaa! Endelea kubinuka sarakasi
Didaaaa unanivunja mbavuuuuu😂😂😂😂
Sasa huyo kamsilimisha Barnabas lakini yeye anavaa misaraba ndio vp hivyo.
Vichwa kama pangaa😂😂😂😂😂😂😂
Huo masala unafanya nn shingon wakati ww ni muislam
Dida jamani 😂😂😂
dida unanichekeaha ujue😂😂
Anachokisema mdogoangu ni sahihi kabisa. ila usivae misalaba u r a muslim woman. Huwa tunaambiwa watu wa Tanga tunaroga haturogi ni how we handle our husband.
Sio misalaba yote ni ya Yesu, mingine ya jambazi aliyesulubishwa na Yesu. Mwache avae huo ni wa jambazi
Hapo kwenye kuongeza mke mmetudanganya et mpk mwanamke awe namatatizo siyo kweli😜😜😜
Ila dida 😂😂😂mbona vichwa kama panga😂😂😂🙌
Dida unanichekeshaaaa😂😂😂😂😂😂
Mbona misalaba shingoni tena Raya???
Uyu Dada anakili nyingi sana
Naauliza musalaba wanini shingoni jaman sikuhizi wasilamu wavamusalaba mwezimungu anawaona kwani dada dida kwani huyo Raya musalaba wanini ??
Raya mwenyewe mdura mkubwa mbayaaaa
Samahn kma nitakuwa nimekosa wadau mbona raya ni Muslim ☪️ mbn kavaa cheni ya chapa ya ms7 kifuani....
Raya mdg wang unakosea kuvaa misalaba
We mtako nn acha wivu msalaba umekufanya nn ?
S n mapambo dini Ako nayo moyon sio shingon
@@mishikalama5448moyo gani na dini gani kuishi miaka pamoja bila ndoa
Raya🥰🥰🥰🥰♥️♥️♥️🙌🙌🙌🙌
@@reginardtibishubwamu1522acha shobo jinga niwewe mkafiri ndie anaetakiwa kuvaa msaraba sio Muslim
Fungeni milango bana
Juma limekushuka shuu,unajikaza tu😂😂
Raya sanamu lake achague tuliweke wapi 😂😂😂