Uyu dada wanao mkashif hajawai kua na narcissist.I can feel her pain mi nilikaa na mtu kama uyo miaka tisa Kila ukitaka kutoka anaku love bomb unahisi amechange ukirudi ndo mwanzoo alafu family haswa mama wanakuja wanachangia tena narcissist wengi washirikina.Nilikiitia exactly kama yeye tu miaka mitatu sai nauguza maumivu.Cha muhimu ukubalinuumie lakini uwe mtu wa kuomva sana akipata supply mwengine atakuacha tu akiona humshughulikii na humtaki.Ila watu kama Hawa kukudhuru pia hawaoni issue wabaya sana Hawa narcissist.
Ukweli ni kwamba abdul hakukupenda kwa dhati alikubali kuwa naww for a reason na situation alokua nayo cha msingi ni kuachana nae tu utateseka miaka mingi na mwisho wa siku mtaachana tu hamna la mana ktk ayo maisha
Yaani Diva ushindi wa maisha yake ni kumuacha huyo mwanaume, inavyoonekana bado anampenda sana. Atamsumbua sana, angerudi kanisani angeshinda, mwanaume anatumia uchawi, kushinda uchawi ni kwa jina la yesu tu
Yaniii kwakweli mda mwingine hua nacheka malalamiko aliyonayo diva Kwa huyu mume Kwann asinyamaze na maisha kuendelea Yan akiulizwa 1 anajibu 11😂😂😂😂 Yan Hana hata kumstiria Mwenzie aibu jmniiiiiiiiii hata kama mapenz yameisha sisi ni binaadam ifike mahali ukiachana na mtu usimuongelee Kwa ubaya wake ikibid muongelee Kwa mazur tu ila mtu akiwa mbaya ubaya utajidhihirisha tu siku1 Mungu atamuumbua
Diva watu wanakushauri kwa siri unakuja kuwataja majina azarani !!! Kila mtu alijua hamna ndoa weye na kimburukutu mwenzio upuzi mtupu kusumbua watu kila uchao.......Kwani nyie ndio wanandoa wa kwanza Tanzanai nzima ?????????!!!!!!

Wewe Dada akili yako kama mtoto mdogo kuna siku watu watakukimbia.kwa nini unataja majina ya washauri wako unatengeneza faraja kwa Abdul ambae hajawahi kujali maana kashajua madhaifu yako .Pambana na Abdul usiingize watu wa pembeni
Ila diva ww una matatizo kwel yule queen masanja aliipata talaka na anaish maisha yke sai ww kutwa mitandao wadai talaka kidogo umerudi kwa abdul yan hueleweki wataka vipi
Leo ndiyo nimejua Diva she's not okay up stairs kweli watu wanaomshauri then kawataja humu 😂😂😂😂😂😂Khaa after this interview hata Zama atakaa naye mbali maaana kamtaja km kati ya mtu aliyemshauri kuvunja ndoa yake😮 which siyo sawa kumshauri mwenzake kutoka kwenye ndoa
Diva darling it good you decide to live your life. Most men are narcissists, and that boy is one of them. Abdul is not a man he is a boy. Usikubali kupelekeshwa you are a Diva my dearest
IF!? U CAN CARRY HIS HABITS THEN STAY WITH HIM! OR IF!? U CANT!? STAY WITH HIM!? THEN ITS YR DECIONS TO DECIDE IT! SWEETIE" THIS MSG TO U! N HIM" ALSO👌 WISHING U BOTH A GOOD LUCK👍 N FOR ALL THE CREATIONS OF GOD" AMEEN🤲👌
Jamn fuatilieni interview za huyu dada zote tuseme ukweli diva ulianza kumsema mumeo mitandaon vibaya sana na hakuwahi kukujia juuu lakin kwa sasa sisi tupo na mabando yetu tunawaangalia wapendanao nyie weny kuchafuana kila kukicha mmeshindwana lakin bado mpo wote c muachane maana ww unasema unahela mzuri na yule naye anasema yuko vizur kwa achaneni ninyi mafahali hamuez ishi zizi moja
Mim ninachokiona abduli anakupenda diva ila anatamaa zakingono na pia hana uwezo wakifedha zakialali nandio mana anadanga kwa wanawake ili aweze kupata pesa zakumtunza diva
😂😂😂 Zama na Vunja bei mje uku mrudie mlio mwambia Kingangaa mtajuutaaa😅😅😅afu diva aki we fala sanaaa eti anamtaka Zari 😅😅😅 simba njoo uku mgangaa atamloga hadi Zuuuu 😅😅😅 mumuweke basi na wake zenu uyu mgangaaa😅😅😅
DIVA KAMA MUMEKULA AMIN MUMIACHANA LAZIMA UFANYE KAFARA TAFUTA SHEIKH ATAKUAMBIA KAFARA GANI UFANYE BAADA YA KUTOKU KEEP YOUR AMINI UTAKISHA MASIKINI 10 AU UFUNGE SIKU TATU ZAID TAFUTA SHEIKH ATAKUELEKEZA ILA CHINGA BORA MUSIACHANE HAKUNA MKAMILIFU ILA ALLAH NA MSTIRI MUMEO AIBU ZAKE PLEASE
Ninacho kiona hapa diva hakutegemea kuachika.kwanj kitendo cha MTU kukupa ushauri wakibinadamu Tu unakuja. Hapa unawataja huo nimsenge.mbwa kabisa diva.huyu Fred vunja bei wawatu unakuja Niongelea hapa unakisea mno mara Zama mara x mke hivi unakwama wapi dada???unachonganisha watu wewe mbwa.nasio Kwamba hujui simama wewe kama wewe.kwanj wewe wakwanza au wamwisho kuachika??Acha kubaha shenzi
Hajarogwa yeye hakukupenda from heart ni ngumu kuwa na furaha ndio sbb bado anahangaika moyo wake haujapata tulizo mtu wa furaha yake au alishampata ila ikashindikana pia kutokana na mvurugano wa mambo so diva kubaliana tu na uhalisia nenda bakwata uandikiwe talaka zako endelea na safari yako utapata naww wako ataekupenda na kukuridhia
Ukisha isha alone without your husband for 3months kisheria ya dini sio mmeo tena hata kama akiwa hataki kukupa talaka. Diva darling you deserve better
Nakshauri upotezee mitandao kwa muda then utulie kidogo kwa mda utakua sawa bila ivo unapoelekea si kizuri najua ni kwa asilimia ndogo sana utaweza kuona hii sms yangu ila nakuhurumia sana natamani ungenielewa, pia usiwataje watu wengine kivyovyote pls
Diva anaweza kawa anachosema ni ukweli lakini sasa kwanini kama anasema sehemu alipo sio salama anarogwa and all that, kwanini haondoki Yaan Kwanini bado anamganda mwanaume Mimi huyu dada simuelewi wallah..kuwa expensive or not hio haijalishi yaan kwanini anaongea yote haya af anaendelea kuwa sehemu ambayo mwenyewe anaona sio sahihi kwako?
Sielewe diva mgombania nini dudu lake nini si ukaye kimya kufuata taratibu kuachana achana naye upoteza nguvu hiyo nguvu weka kwa biashara tena unampa promo kweli bila kulipa ujinga sana wewe wakwanza kuachana yaani siamini huyu wazimu kweli mnaonekana mko wote kundi moja lakini pole kwa yote omba sana
Diva ulishafanya makosa kulazimisha Ndoa na Mganga wako. Matusi Diva ya nini?. Kwanini hufanyi maisha yako? Kila siku Abdul Abdul tumekuchoka na makelele yako. Ukiachwa, achika Diva. Hayo mambo ya Ndoa ya hovyo tumechoka nayo. Diva kaa kimya fanya kazi uloomba Wasafi. Hatutaki matusi Diva, tutakupeleka Basata. Diva huhitaji Talaka, ukitaka utaipata tu lkn yaonyesha unamng'ang'ania Abdul. Nina wasiwasi na Dishi kama liko sawa au laaa!. Diva rudi Kanisani na Ndoa itakuwa imevunjika. Usituchoshe na kutumalizia mbs zetu kwa ushubwada wako Diva. Hujielewi kabisa Diva, hauko sawa, mara umsifu mara umponde Abdul. Diva tupishe, unatuchosha na mambo yasiyo na maana. 😃😃😃😃 Hili li Diva halijielewi kabisa.
Diva usijishushe hadhi yako kwa huyu mshenzi wa adabu hadhi yako ni ya juu na kama unataka kuachana na huyu mpumbavu fuata njia halisi upate talaka yako la sivyo atakufanya uwe chini yake milele na utaharibu kazi na kukosana na marafiki na ndugu zako kwa ajili ya mjinga huyu Acha afanye ujinga wake kaa mbali na yeye au utajuta.
Abdul wala hajakulia Magomeni amekuja Magomeni akiwa mtu mzima kabisa na tabia zake za kisenge senge kutoka huko kwao Arusha Magomeni haiwezi kutoa product yakishamba kama abdul Abdul na dada yake sharifa ni watu wenye njaa ya hatari so wako tayari kufanya lolote kwa ajili ya pesa
Pia kumdharau mama wa mume haifai ht km hafai kaa kimya ukiona yamekufika shingon sepa nenda bakwata dai talaka km mume hataki kutoa talaka mrudishie mahari yake na talaka unampa
Sasa acha kutaja watu kwenye mambo yenu hyo ni ugombanishi,,Kuna haja gan ya kutaja watu waliokushaur??si kuwasababishia watu vichomi wafe na hyo bwana Ako mganga,,shwain
Ebu acheni kuwaoji awo pipa na mfuniko kuna mambo ya msingi ya kuwaoji watu sio awo wote ni watoto bado
Uyu dada wanao mkashif hajawai kua na narcissist.I can feel her pain mi nilikaa na mtu kama uyo miaka tisa Kila ukitaka kutoka anaku love bomb unahisi amechange ukirudi ndo mwanzoo alafu family haswa mama wanakuja wanachangia tena narcissist wengi washirikina.Nilikiitia exactly kama yeye tu miaka mitatu sai nauguza maumivu.Cha muhimu ukubalinuumie lakini uwe mtu wa kuomva sana akipata supply mwengine atakuacha tu akiona humshughulikii na humtaki.Ila watu kama Hawa kukudhuru pia hawaoni issue wabaya sana Hawa narcissist.
me pia ninafeel maumivu yake diva😥
Soo true
Naam ambaye ajapitia kama haya awezi muelewe
Wanawake wengiii wanapitia hayaaa........na dunia hiyi wanaume wanapewa Sheria zooote 😢😢😢😢😢😢😢
Ukweli ni kwamba abdul hakukupenda kwa dhati alikubali kuwa naww for a reason na situation alokua nayo cha msingi ni kuachana nae tu utateseka miaka mingi na mwisho wa siku mtaachana tu hamna la mana ktk ayo maisha
Yaani Diva ushindi wa maisha yake ni kumuacha huyo mwanaume, inavyoonekana bado anampenda sana. Atamsumbua sana, angerudi kanisani angeshinda, mwanaume anatumia uchawi, kushinda uchawi ni kwa jina la yesu tu
akufai uyo mganga ila umekosea kutaja watu wanaokushauri
Ila ndoa za hivi nilishakutana na mwanaume wahivi.inauma sana
Dah! Unahitaji mwanasaikolojia haraka sana diva ili uokoe afya yako ya akili. Pia pole sana Mungu akusaidie.
Sasa kwanini unataja watu waliokushauri vizuri uoni kama unaweza leta uhasama na Abdul
Ulijuwa umepata kumbe umepatikana 🤣🤣🤣🤣sasa yamekukuta huyo mwanaume anakutumia 🤣🤣🤣🤣unajizalilisha tu kwenye mitandao😝😝😝😝😝
Yaniii kwakweli mda mwingine hua nacheka malalamiko aliyonayo diva Kwa huyu mume Kwann asinyamaze na maisha kuendelea Yan akiulizwa 1 anajibu 11😂😂😂😂 Yan Hana hata kumstiria Mwenzie aibu jmniiiiiiiiii hata kama mapenz yameisha sisi ni binaadam ifike mahali ukiachana na mtu usimuongelee Kwa ubaya wake ikibid muongelee Kwa mazur tu ila mtu akiwa mbaya ubaya utajidhihirisha tu siku1 Mungu atamuumbua
Talaka unaipata bakwata au serikalini, stop deceiving yourself. Bado unampenda ungekua humpendi ungeitafuta talaka kwa nguvu zote na ungeipata
Diva watu wanakushauri kwa siri unakuja kuwataja majina azarani !!! Kila mtu alijua hamna ndoa weye na kimburukutu mwenzio upuzi mtupu kusumbua watu kila uchao.......Kwani nyie ndio wanandoa wa kwanza Tanzanai nzima ?????????!!!!!!
Sipendi anavyomsimanga mama mkwe wake hadharani😢
😢
Yaniii kwakweli mda mwingine hua nacheka malalamiko aliyonayo diva Kwa huyu mume Kwann asinyamaze na maisha kuendelea Yan akiulizwa 1 anajibu 11😂😂😂😂 Yan Hana hata kumstiria Mwenzie aibu jmniiiiiiiiii hata kama mapenz yameisha sisi ni binaadam ifike mahali ukiachana na mtu usimuongelee Kwa ubaya wake ikibid muongelee Kwa mazur tu ila mtu akiwa mbaya ubaya utajidhihirisha tu siku1 Mungu atamuumbua
Rudi kanisani Diva,Mungu atakupa desire ya moyo wako. Nakuombea sana Diva.
Kawafanyia hivyoooo....😂😂😂kawageuzaa kinyume duuuuu
Wewe Dada akili yako kama mtoto mdogo kuna siku watu watakukimbia.kwa nini unataja majina ya washauri wako unatengeneza faraja kwa Abdul ambae hajawahi kujali maana kashajua madhaifu yako .Pambana na Abdul usiingize watu wa pembeni
Mshukuru mungu amekufumbua mapema ila kiukweli alifata umaarufu alitaka asafirie nyota yako uwo ndoukweli toa sadaka
endelea kukaa naye mpaka akuue
Ila diva ww una matatizo kwel yule queen masanja aliipata talaka na anaish maisha yke sai ww kutwa mitandao wadai talaka kidogo umerudi kwa abdul yan hueleweki wataka vipi
Drama shall never end
Diva hapa uliingia kwenye mtumbwi wa vibwengo
Leo ndiyo nimejua Diva she's not okay up stairs kweli watu wanaomshauri then kawataja humu 😂😂😂😂😂😂Khaa after this interview hata Zama atakaa naye mbali maaana kamtaja km kati ya mtu aliyemshauri kuvunja ndoa yake😮 which siyo sawa kumshauri mwenzake kutoka kwenye ndoa
Nilikuwa naitafuta hii
Nimecheka et she not okay upstairs 😂😂
Diva ni mpumbavu kuliko. unaeza je interview mtu then awe mume
Kill mtu mwenye akili lazima amshauri kuvunja huu ujinga
Diva darling it good you decide to live your life. Most men are narcissists, and that boy is one of them. Abdul is not a man he is a boy. Usikubali kupelekeshwa you are a Diva my dearest
HIVI UMETEKWA ILI TULIPOTI SERIKALI IKUOKOE???MBONA HAUACHANI NA HIYO NDOA MPAKA UMEKUA KITUKO???
Wewe mpka utakufa kwenye hiyo ndoa kwa stress. That guy doesn’t love you anakutumia tu
DIVA hana akili...anasema hamtaki, mbona alimpost wakati ule wa msiba wa Gadna
Wanajuana hawa au tuachane nao 😂😂
Mambo ya wanandoa
Wanapendana ila kuna Ushirikina sio bure
@@pichunakichuna2111Ndio kweli
Ilove u diva😂😂 leooo mnajajwaa wotee ulipeleka maneno leooo kasheshee diva la madiva aweee kiboko kabisa malkia wa wasafi yaan divaa😂😂😂 open😂😂
Diva Bsi si udai talaka so that upate salama ya moyo wako “your mental health is more important
Jamani pole sana diva ila ungekumbuka siku unahoji studio ..hebu isikilize ile utapata jibu
IF!? U CAN CARRY HIS HABITS THEN STAY WITH HIM! OR IF!? U CANT!? STAY WITH HIM!? THEN ITS YR DECIONS TO DECIDE IT! SWEETIE" THIS MSG TO U! N HIM" ALSO👌 WISHING U BOTH A GOOD LUCK👍 N FOR ALL THE CREATIONS OF GOD" AMEEN🤲👌
Nenda kwa Masheikh au kwa kadhi bakwata kwajivue, inaitwa khuluu. Usilalamike kupewa talaka na mtu ambae hataki kukupa talaka.
Kweli kabisa amurudishiye mahali kisha amujivuwe kwasababu akisubiri kupewa talaqa nahuyo mume wake atasubiri sana
Jamn fuatilieni interview za huyu dada zote tuseme ukweli diva ulianza kumsema mumeo mitandaon vibaya sana na hakuwahi kukujia juuu lakin kwa sasa sisi tupo na mabando yetu tunawaangalia wapendanao nyie weny kuchafuana kila kukicha mmeshindwana lakin bado mpo wote c muachane maana ww unasema unahela mzuri na yule naye anasema yuko vizur kwa achaneni ninyi mafahali hamuez ishi zizi moja
Huyu nyanya anajisikia mkubwa sana, ajiona yeye ni brand, sura pana kama beseni.
Inaonekana unampenda na sisi Abdul tunamkubali hapa nikoa2
Kwani hii sinindoa mpya jaman akaah sasa musiropokwe mambo ya ndani ktk mitandao
Wote mnaosoma comment mliopo kenye ndoa wanaume zenu mchepuko wanayo lakn muhimu kuelewana mwanaume haitwi malaya tujifunze heshima kwa wasio tuheshimu ili waone haya sasa diva endelea kujidharirisha huku ss tunakuangaliaaa tyu mwanamke hutakiwi kujiongelesha ovyo mitandaoni chungeni ndim zenu
Kwan diva kungwi wako nani kwanza
Pole diva
Mim ninachokiona abduli anakupenda diva ila anatamaa zakingono na pia hana uwezo wakifedha zakialali nandio mana anadanga kwa wanawake ili aweze kupata pesa zakumtunza diva
Anampiga mama yake basi analaana huyu kwanza sio sheikh ni mganga pole Diva
Sauti ya diva kama ya wastara juma
Kwanyota yipi we bibi 😅😅😅 mbaka nimecheka kwa sauti😅😅😅
😂😂😂 Zama na Vunja bei mje uku mrudie mlio mwambia Kingangaa mtajuutaaa😅😅😅afu diva aki we fala sanaaa eti anamtaka Zari 😅😅😅 simba njoo uku mgangaa atamloga hadi Zuuuu 😅😅😅 mumuweke basi na wake zenu uyu mgangaaa😅😅😅
DIVA KAMA MUMEKULA AMIN MUMIACHANA LAZIMA UFANYE KAFARA TAFUTA SHEIKH ATAKUAMBIA KAFARA GANI UFANYE BAADA YA KUTOKU KEEP YOUR AMINI UTAKISHA MASIKINI 10 AU UFUNGE SIKU TATU ZAID TAFUTA SHEIKH ATAKUELEKEZA ILA CHINGA BORA MUSIACHANE HAKUNA MKAMILIFU ILA ALLAH NA MSTIRI MUMEO AIBU ZAKE PLEASE
Kwahiyo avumilie mpaka apatiwe UKIMWI 😂😂😂
Aluminium mpaka afe na wanaume wamejaa tele wee vp mzima lakini
Weeeeee 🤭
😂😂😂😂😂
Ninacho kiona hapa diva hakutegemea kuachika.kwanj kitendo cha MTU kukupa ushauri wakibinadamu Tu unakuja. Hapa unawataja huo nimsenge.mbwa kabisa diva.huyu Fred vunja bei wawatu unakuja Niongelea hapa unakisea mno mara Zama mara x mke hivi unakwama wapi dada???unachonganisha watu wewe mbwa.nasio Kwamba hujui simama wewe kama wewe.kwanj wewe wakwanza au wamwisho kuachika??Acha kubaha shenzi
KUSEMA UKWELI UMECHELEWA KUJITOA KWENYE MIKONO YAKE
nimefurah sana abdul kumuoa diva mana ametuonesha ubongo wa diva ulivokaza..😢
Ni kulogwa bana sio kawaida
Hapana nimapenzi 🤭
Hajarogwa yeye hakukupenda from heart ni ngumu kuwa na furaha ndio sbb bado anahangaika moyo wake haujapata tulizo mtu wa furaha yake au alishampata ila ikashindikana pia kutokana na mvurugano wa mambo so diva kubaliana tu na uhalisia nenda bakwata uandikiwe talaka zako endelea na safari yako utapata naww wako ataekupenda na kukuridhia
Izi mambo sizilisha pita toka last year??? Ao?
Hii moja ya afya ya akili diva the power
Ila Abdul akirudiana na Diva na kamtukana mama yake duh mtihani wallah
Mtihani kweli
Wewe acha kumsema mama wa watu kwenye mitandao ndoa yenu mmevunja wenyewe kwa ujinga wenu
Mie kweli ckupenda 😢😢😢hata km ana makosa haitakiwi kumsema vibaya mama mkwe 😢
Kweli kabisa 😭
Huyu naye kesho tu atarudisha majeshi😂😂😂
Ukisha isha alone without your husband for 3months kisheria ya dini sio mmeo tena hata kama akiwa hataki kukupa talaka. Diva darling you deserve better
Kwamba hakuna anayeweza kuacha KUYAANIKA mambo yao, sipendi kabisa hizi tabia
Dah huyu Diva mpaka anasikitisha 😮
Anasikitisha sana🤐
@@AmanaHussein mnoo
Rudi kwa ukristo dada utafute mume wa kikristo huwezani na waislam
Sema hawezani na huyo abdul siyo waislamu
Awezani na Abdul 😂😂😂
Ila nimempenda mtangazaj hayupo upande wowote safi...ila diva muache uyo Abdul kama kama hamuwez kusovu mana unajichoresha diva
Uliwasema wenzio waliachika kwa kuwa hawakuweza kumstir mume wao. Hawakumfichia siri. Sasa wew unafanyaje?
Diva ana akili zakitoto😂
Nakshauri upotezee mitandao kwa muda then utulie kidogo kwa mda utakua sawa bila ivo unapoelekea si kizuri najua ni kwa asilimia ndogo sana utaweza kuona hii sms yangu ila nakuhurumia sana natamani ungenielewa, pia usiwataje watu wengine kivyovyote pls
Huyu nae ni mgonjwa wa akili kwakweli kama huyo tapeli wake
Maskini Diva umerogwa na umerogeka pole sana ila iko cku utaweza kutoka.Nilipitia huko najua unatamani kutoka lkn huwezi pole sana.😢
Diva apelekwe Mirembe hospital
😂😂😂😂kasheshee 😅😅😅
@@rosehaule6765msemo huu mara ya mwisho kuusikia ni mwaka 1993
Tenaa si vidogoo mbona kinganfanizi zimerukaa daaa
@nahyialetomia9284:Hayajakukuta wewe omba Mungu yasikukute😢
@@RoseeyRoseey, yakukute wewe kwanza Ukiwa unamkwamia mwanaume 🤪🤪🤪
Sasa haulazimishwi..koukweli diva unampenda Mumewe mpaka basi...ungekuwa umechoka usiongea kwenye mitandao...onyesha vitendo
Divaaaa!! We kuruthumu dada yke Abdul ukibisha nina voice note yako Aiseee nyieeee
Diva anaweza kawa anachosema ni ukweli lakini sasa kwanini kama anasema sehemu alipo sio salama anarogwa and all that, kwanini haondoki Yaan Kwanini bado anamganda mwanaume
Mimi huyu dada simuelewi wallah..kuwa expensive or not hio haijalishi yaan kwanini anaongea yote haya af anaendelea kuwa sehemu ambayo mwenyewe anaona sio sahihi kwako?
Abdul anameza nini???😅😅😅 nyie Diva ni toa stress dawa za kaswende😅😅
Abdul kashaujua udhaifu wa diva atamtesa sana lamda akapigwe kisomo😂😂😂😂😂
Mpka anatia huruma aisee
Kama tahira aki. Wazungumza ubaya wa mzazi wa mwenzio wazi wazi badala akaeke kikao nyumbani. Hamna ndoa hapa
Ndio wakome wakwe wengi mafisadi sana na mawifi @@hopembeyu3376
Diva kweli jamaa kakuroga San'a
Tena sana, yalinikuta ikabidi nizame kwenye maombi mbona alikimbia mwenyewe
Ndoa imekua ndoana weeeee!!!!!
Sasa utalalamika mpaka linie???
Mungu wangu unawataja watu wanaokushauri Diva tafuta mwanasaikolojia itakusaidia sikwambii kwa ubaya 😢
Achana nae anza maisha Yako mwenyewe ,huyo cyo binaadam
Wanaume wanapenda kutembelea nyota zawatu
Wewe vipi diva si condone yaani mwanamke unangangania naona hupatagi mwanaume utafikiria wewe ndio ndoa wenzako ulivyowaondoa ulionaje hahaha naona hijawahi kuona -------😅😂
Ila yote kwa yote DIVA MWEHU
Sielewe diva mgombania nini dudu lake nini si ukaye kimya kufuata taratibu kuachana achana naye upoteza nguvu hiyo nguvu weka kwa biashara tena unampa promo kweli bila kulipa ujinga sana wewe wakwanza kuachana yaani siamini huyu wazimu kweli mnaonekana mko wote kundi moja lakini pole kwa yote omba sana
Hawa kwenye msiba tuliwaona pamoja hatariiiiiiii diva diva. Umelogwa
Kwani huondoki mpk utolewee rohoo akaaaa kilaaa siku mieee sikuelewi
Diva ukweli unampenda sana mshikaji nandiomaana unaendele kuteseka
Homa ya mapenzi usiombe,haipwaswi kumkejeli huyu dada anateseka sana
Anaongea kama cherean afu kesho utamuona anasonga ugali😅😅😅😅😅😅😅
Diva ulishafanya makosa kulazimisha Ndoa na Mganga wako. Matusi Diva ya nini?. Kwanini hufanyi maisha yako? Kila siku Abdul Abdul tumekuchoka na makelele yako. Ukiachwa, achika Diva. Hayo mambo ya Ndoa ya hovyo tumechoka nayo. Diva kaa kimya fanya kazi uloomba Wasafi. Hatutaki matusi Diva, tutakupeleka Basata. Diva huhitaji Talaka, ukitaka utaipata tu lkn yaonyesha unamng'ang'ania Abdul. Nina wasiwasi na Dishi kama liko sawa au laaa!. Diva rudi Kanisani na Ndoa itakuwa imevunjika. Usituchoshe na kutumalizia mbs zetu kwa ushubwada wako Diva. Hujielewi kabisa Diva, hauko sawa, mara umsifu mara umponde Abdul. Diva tupishe, unatuchosha na mambo yasiyo na maana. 😃😃😃😃 Hili li Diva halijielewi kabisa.
Nyieeeeeee
Hiv si uachike kwan ndoa ilifungwa jehanamu
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😅 shangaa
😂😂😂😂
😜🤪😜
Diva usijishushe hadhi yako kwa huyu mshenzi wa adabu hadhi yako ni ya juu na kama unataka kuachana na huyu mpumbavu fuata njia halisi upate talaka yako la sivyo atakufanya uwe chini yake milele na utaharibu kazi na kukosana na marafiki na ndugu zako kwa ajili ya mjinga huyu
Acha afanye ujinga wake kaa mbali na yeye au utajuta.
Mwandishi wa habari naye hajambooo anashadadiaa
Diva unajichoresha kipenzi... pole diva kwa maelezo yako inaonekana anakutumia... ulikuwa unatumika dia diva..muache diva uyo kaka atakuumiza zaid
Hawa wako hivyo pipa na mfuniko😅😅kiki tu watoto wakislam ujinga mtupu
Abdul wala hajakulia Magomeni amekuja Magomeni akiwa mtu mzima kabisa na tabia zake za kisenge senge kutoka huko kwao Arusha Magomeni haiwezi kutoa product yakishamba kama abdul Abdul na dada yake sharifa ni watu wenye njaa ya hatari so wako tayari kufanya lolote kwa ajili ya pesa
Hahaaa
Lol kama wana laana ya pesa vile
Laana tena 😂😂😂
Nataman kupata namba ya diva nimshauri
Uo usupastaa wako hukai na mwanaume yoyote wanaumme hawapendi kujieleza sana uende tu milembe kweli
Pia kumdharau mama wa mume haifai ht km hafai kaa kimya ukiona yamekufika shingon sepa nenda bakwata dai talaka km mume hataki kutoa talaka mrudishie mahari yake na talaka unampa
Ushauri mtu alafu akutaje kwenye media😂😂😂😂😂
Kha unawataja mpaka kina Chief na Zama. We akili huna.
Kka yangu hana mke akuoe diva ila ye ni maskini Zaidi ya Abdul ila upendo anao
mhhh anamiaka 32 kachakaa hivyo
Diva move on
Nenda Bakwata usituchoshe kwani ww ni wa kwanza kuplewa ??Kama humtaki acha kulalamika
Gari la taka mganga anastahili jina hilo?haahaha
Ilq huyu dadq sio mzima jamani! Akili hana kabisa.
Umeongea sahih kabisa akikuaza unyamaze ,ukmjibu utaitwa mkorofi
Sasa acha kutaja watu kwenye mambo yenu hyo ni ugombanishi,,Kuna haja gan ya kutaja watu waliokushaur??si kuwasababishia watu vichomi wafe na hyo bwana Ako mganga,,shwain
Ishi nae kama hujamrudisha
Wewe diva unaaibu kila siku wewe unaaibu wewe wongo umekuzidi Sana kwani walikulazimisha tumecho chwa na wewe mkosa akili
Nyiyi nao mmetuchosha hebu tuacheni tumechoka na hawa watu