Aisee pole sana mzee sasa kwa maelezo hayo kama kweli mwanamke wa hivyo unawezaji kusema mtu flan safi mstarabu Bado hajawa mstarabu hapo alishajipanga kulifanya tukio mda mrefu sana ila muda wa tukio kamili bado hana tabia nzuri uyo
Kuna bro kakimboa mimba Toka Ina miez mitatu, nmeiliea kuanzia apo mbaka Sasa mtoto katimiza mwaka, alaf atarud kumdai mtoto kusema wake!!! Siamin kwenye vita lakin nitampa ni mtoto wake. Ila kazi anayo!!
Huyu ni stor yangu kabisa... Mm nliachiwa ako wa na mwaka mmoja.. Kwa sasa mtoto ana miaka 7...siwahi msikia hata akiulizia mama yake! Yeye anamjua Bibi na baba tu!

Huu ndio Uanaume sas✅
Umeongea fact sana Nanga wanaume tunapotia mengi Sana Sana lakini huwa hatusemi njia yako uliyopita hyo ndio njia yangu Mimi pia never give up
Hapa nanga katulia kama sio yeye daah 😂😂Ila hongera sana kumlea mtoto wako❤❤❤
Hongera kaka Mungu akusaidie
Big up kamanda mungu akufanikishie kila jambo👊🙏
Kuna bro kakimboa mimba Toka Ina miez mitatu, nmeiliea kuanzia apo mbaka Sasa mtoto katimiza mwaka, alaf atarud kumdai mtoto kusema wake!!! Siamin kwenye vita lakin nitampa ni mtoto wake. Ila kazi anayo!!
Bravo bro Nanga Ur a true man kip going.
Pole bro.
Nanga kama Nanga ❤❤❤🎉🎉
Nakukubari sana mwamba wangu baharia mwenzangu nanga ⚓⚓⚓
Big up bro
Huyu ni stor yangu kabisa... Mm nliachiwa ako wa na mwaka mmoja.. Kwa sasa mtoto ana miaka 7...siwahi msikia hata akiulizia mama yake! Yeye anamjua Bibi na baba tu!
Sawa akikuwa atamtafuta mm yake
Akikua atakuja kuimba "nani kama mama"😂😂
@@marymanoni5536Sio kwa mapenzi lakini
Polee
Hata mimi niliachiwa mtoto wa mwaka mmoja saiv ana miaka saba yeye ni baba na bibi tuu hata akionana na mama ake anamuita kwa jina lake
diva eti kashapigwa matukio uko😂😂
Huyu jamaa ako na brain👣
DUH KUTOKA KUWA MKE AKAJA KUWA MAMA HADI MWANA JESHI KUWA MAMA SINDO YALE YALE KUWA NWANAJESHI KAKA YANI NI FULL KOMANDI😂😂
NANGA🔥🔥🔥
Nanga is narrating my story😢
Dida mmezoea kusikia hivo kwa sababu huwa mnasikiliza story za upande mmoja na huwa hamuulizi
Fact upo sw
Mume nikumbusha mbali kweli maana aubasi
Safina sasa nanda ❤❤❤❤
Kumbe tuko wengi
Kama Mimi wallah
Huyu jamaa ako na brain👣
Huyu jamaa ako na brain👣
Huyu jamaa ako na brain👣