HAJI MANARA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU KUACHANA NA ZAIYLISSA NA KUONGEZA MKE MWINGINE / SIWEZI KUOA TENA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024
  • HAJI MANARA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU KUACHANA NA ZAIYLISSA NA KUONGEZA MKE MWINGINE / SIWEZI KUOA TENA

ความคิดเห็น • 54

  • @jsabood
    @jsabood 4 หลายเดือนก่อน +4

    Haji ni mwislam, vipi badala ya kumsitiri alokuwa mke wake anakaa akimwongelea habari zake mitandaoni. Naompa Mungu ampe hekma. Kama katika hadisi za mtume wetu SAS, Amsitiri mtoto wa watu na mungu atamstiri duniani na akhera.

  • @IssaMukucha
    @IssaMukucha 4 หลายเดือนก่อน +6

    Nampendaga sana huyu mwamba,wakati mwingine huwa ananijenga kimaendeleo zaidi, pongezi sana father manyara, Aristote issa USA Arizona Tucson 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 🇺🇲🇺🇲 Marekani.

  • @fatyymohammed1378
    @fatyymohammed1378 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaa Allah usiseme haya ana haiba ya kike na anajitambuwa

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ngojeni kwanza kwani wameachana 😢😢

  • @ubongosahihi
    @ubongosahihi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Social Media ni shida Dunia Nzima siyo Tanzania Tu ni Ulimwengu Mzima Mwenyezi Mungu Awatunze Katika Ndoa Yenu na Muishi na Furaha Amen 🙏🏿 🎀🌸🎀♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🙇🏽‍♀️🧎🏾‍♀️👏🏾

  • @Dareaziz
    @Dareaziz 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mm huwa nakukubali tu

  • @maernov4257
    @maernov4257 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukweli manala umejibu vzuli sana nakupenda bule mwenyez MUNGU awafanyie wepesi kwenye ndoa yenu

  • @abddulqadir9779
    @abddulqadir9779 4 หลายเดือนก่อน +4

    Iyo story ya mama uliyoihadithi ni kama move lakini ni kwel uyo mama ni wa muhimu sana ktk maisha yako jitahid kumtafuta M/Mungu atakusaidia unaweka kuwapata japo watoto wake na ikitokea amefariki usisahau kumuombea Dua

  • @minnahhers7437
    @minnahhers7437 4 หลายเดือนก่อน

    Allaah azidi kuwasaidia daima katika maisha ...msisikilize ya binadam wengi hawana wema

  • @zainabmuhammed6294
    @zainabmuhammed6294 3 หลายเดือนก่อน

    I think mimi ni mdogo sana kwako kaka Nakupenda Pia nikwamboe kitu Ilindoa yk idumu wafaaharishe wasio jua maana zay lisa ni mtoto anaejua maisha yakiutu na si yakidunia nawaombea kwa allah awajaalie maisha mema mengi yenye Nuru . Km mnaitaji mengi kutoka kwangu kaka nitafute .mimi sio mganga wala si po kqenye shiriki. Nakupwnda kakangu na wifi yangu twinga.love you.

    • @zainabmuhammed6294
      @zainabmuhammed6294 3 หลายเดือนก่อน

      Naaam ndugu yangu si ziada na zaidi mwenyezi mungu hulipa

    • @zainabmuhammed6294
      @zainabmuhammed6294 3 หลายเดือนก่อน

      Kaka yangu umesema kweli kidini huwezezi kumuukumu mtu . Kaka pleas nataka kuongea nawewe kidogo mimi sina kitu labda nikitakiwa🎉 kuongea naww nalipia ? Pleas my bro

    • @zainabmuhammed6294
      @zainabmuhammed6294 3 หลายเดือนก่อน

      Like that shes good wife

  • @mamohamed1252
    @mamohamed1252 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kenya majina ya kijnga jinga. Maneno yako Bwana Haji si mazuri. Wewe uwe kiyoo. Heshimu wengine

    • @AngleAnglewakesho
      @AngleAnglewakesho 4 หลายเดือนก่อน

      Imagine anasema chakula cha wakenya kina majina ya kijinga jinga na ambapo alisaidiwa akashiba tumbo lake hadi akafika kwao tz...ni mjinga ajifunze kutumia kauli mbaya kwa mdomo wake

  • @fatimaabdullahmohd2347
    @fatimaabdullahmohd2347 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona tena hajji manara unatutusi wakenya majina yetu yakijinga jinga duh😢

  • @salimanguzo5553
    @salimanguzo5553 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtolee sadaka awemzima au amekufa mungu ataipokea nawenafsiyako itatulia

  • @LovelyGarterSnake-hx8pp
    @LovelyGarterSnake-hx8pp 4 หลายเดือนก่อน

    Iyo stor imenigusa Sana niliwai saidiwa na Kaka mmoja anatwa mudi kutoka Zambia kwenda Botswana lkn mpaka Leo Kama yupo au hayupo

  • @criminalminds7723
    @criminalminds7723 4 หลายเดือนก่อน +6

    Sasa huyu akiachana na mtu yuaita press??

  • @ArnoldSemeni
    @ArnoldSemeni 4 หลายเดือนก่อน +2

    Buggati ni mmoja tu

  • @meowzna
    @meowzna 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bukati wa hekima Sanaa👍

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli manara alihitahidi sana kwa simba

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 หลายเดือนก่อน +10

    Mimi huwa napenda sana mtu akikumbuka fadhila, yaani hiyo ulioiongea kuhusu mtu aliekusaidia kipindi ambocho ndio ulihitaji zaidi, hiyo ni kitu kikubwa sana, hata kama hujamuona huyo dada. Kuna watu waliosaidiwa vikubwa vikubwa na hawakumbuki, tena hata kutukanwa utatukanwa, hawakumbuki, tena watakwambia huyu alikuwa anaringa sana. mimi ni muhanga, nakumbuka wimbo wa Rose muhando, Tenda wema uende zako utafuteni.

    • @achouraachoura5763
      @achouraachoura5763 4 หลายเดือนก่อน +2

      Tenda wema nenda zako kuna watu hawana kumbe kumbu

    • @EuniceOdegea
      @EuniceOdegea 3 หลายเดือนก่อน +1

      Zai uishi kwenye ndoa yako...jaman mtoto kapendeza huko kwa mzungu...Kula unenepa mwamwrika zai

  • @Mshuta
    @Mshuta 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bugatti 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 4 หลายเดือนก่อน +1

    We koma hakuna shabiki wa simba anamtaka kilopoko huyuu utukomeee

  • @AzizaHamisi-o6z
    @AzizaHamisi-o6z 4 หลายเดือนก่อน +2

    Lakini kwa nn unamtangaza mkewe akiwa uch uch unamtangaza Kila mtu akuone

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 4 หลายเดือนก่อน +1

    imenigusa hii story tukumbuke waliotugusa mkono pale tulipo kwama,

  • @DakorTrony
    @DakorTrony 4 หลายเดือนก่อน

    Mnanikera kuwapa watu wa kuonja onja wanawake kama wakina mnara na wenzie kama kina Mond. Onja onja ya wanawake . Hawa ni wakora tuu

  • @MeshackMayenga
    @MeshackMayenga 4 หลายเดือนก่อน +3

    Lakini namna yakumpata huyo mama Martha utampata tu,starting point ni lale al8pokuwa anafanyia biashara zake ukienda ukaulizia lazima utapata direction na fununu au yamkini ukamkutahapohapo kamasiyo yeye hata watoto zake.

  • @mamohamed1252
    @mamohamed1252 4 หลายเดือนก่อน +4

    Apart FROM football sio part of Football. Suprise siyo Suplise. Kwani lazima kutumia kiingereza?

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 4 หลายเดือนก่อน

    unamsifia bure tu huyo Mpumbavu hana lolote zaidi ya ufedhuli tu

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 4 หลายเดือนก่อน

    Wanjiru ni mkikuyu

  • @MgishaMathias-jb4nh
    @MgishaMathias-jb4nh 4 หลายเดือนก่อน

    Brother unautulivu sana katika uongeaji wako ila jifunze kutousemea moyo wa mtu hujui mwenzio anawaza nini juu yako

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 4 หลายเดือนก่อน

    Kwan hii tv ya nani

  • @kazungualii5368
    @kazungualii5368 4 หลายเดือนก่อน

    Wanamuitaaa bughaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 4 หลายเดือนก่อน

    Wangechi ni jina la kabila la kikukuyu

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa simuelewagi mjuaji wa kila jambo maneno mengi. Mbona baba yako mzee manala ana hekima au ni ushamba unakusumbua kaka.

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 4 หลายเดือนก่อน +5

    Haji manara ni ng'ombe kama mbuzi zingine Zayliza ni MALAYA tu kama MALAYA wengine hizo ni choo za kulipia ukiwa na hela unakojoa tu

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 หลายเดือนก่อน

      @ntegrty Wewe mwenyewe unaewatukana ni nani si ajabu una shida sana ndio unakasirika ns kutukana hovyo tafuta pesa acha chuki hata ukiwatukana unapoteza nguvu zako na hasira zako bure wao wanaishi maisha yao. Hangaikia shida zako hayawani wewe.

  • @mwanahawamohammed8540
    @mwanahawamohammed8540 4 หลายเดือนก่อน

    Muongo huyu hatasema maovu yake.' Funika kombe mwanaharamu apite'

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 4 หลายเดือนก่อน

      Hata wewe unayo maovu pengine kuliko yeye

    • @mwanahawamohammed8540
      @mwanahawamohammed8540 4 หลายเดือนก่อน

      @@mohdkhatib223 Na wewe pia unayo. 🤣 Mimi nimesema hivyo kwa sababu najuwa ya uvunguni yaliyojificha, mwenyewe anafikiri hatujui nini kinatokea.
      Sasa wewe unaedhania, kakae mji wa kufikirika na majibu yako ya chakubanga 🤣🤣

    • @SikudhaniKulonda-jy1bq
      @SikudhaniKulonda-jy1bq 4 หลายเดือนก่อน

      Hbu niibie sir uku maskion🎉​@@mwanahawamohammed8540

  • @maniscamullah6282
    @maniscamullah6282 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu Ndo bugati😊

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtu mwenyewe anapenda sifa na nyinyi mnampamba pamba mauwa huyo masifa

  • @TheresiaRegan
    @TheresiaRegan 4 หลายเดือนก่อน

    In

  • @TheresiaRegan
    @TheresiaRegan 4 หลายเดือนก่อน

    J

  • @TheresiaRegan
    @TheresiaRegan 4 หลายเดือนก่อน

    Jjbf

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 4 หลายเดือนก่อน

    Ulishasema hapo nyuma ukiona mke mwingine tukuite mbwa na sasa umemuoa zaylisha kwa hiyo tunakuita mbwa mkubwa wewe

    • @jacqueli18
      @jacqueli18 4 หลายเดือนก่อน

      Manara ni mmoja tu kajambe huko

    • @aishaahmed5028
      @aishaahmed5028 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli aitwe mbwa