BINTI LISA - PART 06

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Lisa hakuweza kufanya chochote zaidi ya kutikisa kichwa. Baada ya kusubiri tena kwa zaidi ya dakika 20, ilikuwa karibu kumi na moja na nusuza jioni. Alianza kuwa na wasiwasi kwa siri. Ilionekana kuwa angerudi tena nyumbani kwa kuchelewa siku hiyo.

ความคิดเห็น • 596

  • @Shadia544
    @Shadia544 7 หลายเดือนก่อน +145

    Humu ndani kila kitu wakwanza na miee pia wakwanza 😂😂😂haya sasa timu LISA LIKE 10 ili tujuwe itakuwaje huko nyumbani kwa ALVIN 😂😂😂✌️

  • @doricedeus7587
    @doricedeus7587 7 หลายเดือนก่อน +67

    Team Alvin na lisa gonga like apa

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 7 หลายเดือนก่อน +9

    Mambo c ndo hayo Alvin kumbe unajua kuwa romantiki😅😅ulikuw unakaaza 😂team Alvin wapi😅😅

  • @user-ox5zo9fr2c
    @user-ox5zo9fr2c 7 หลายเดือนก่อน +20

    Watu amlali jamani🤣🤣🤣 tuachana na ayo morning my friend ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 7 หลายเดือนก่อน +11

    Woyoooo anko jay Asante Kwa mwendelezo wa Binti Lisa ubalikiwe sana 🎉🎉🎉❤❤❤🌹🌹🇴🇲jaman. Tuko sizon 6 sijuwi mnaelewamambo🔥🔥🔥

  • @jasminetarimo6952
    @jasminetarimo6952 7 หลายเดือนก่อน +18

    😂😂😂😂😂😂😂anko jay acha kuongea kizungu mbavu zangu 😂😂😂😂😂😂

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 7 หลายเดือนก่อน +13

    Nimacheka Ankojay kwa kizungu chako tobaa yaraabi😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣asent kwa simulizi tamu sana 😊😊😊😅😅😅

  • @mayajuma3636
    @mayajuma3636 7 หลายเดือนก่อน +16

    Naipenda sana hii simlizi jaman😢 Asante ankojay

  • @eca-mlondanyiabokyo4416
    @eca-mlondanyiabokyo4416 7 หลายเดือนก่อน +34

    Yani, Kaka Mimi ukanivunja mbavu kwa Kingereza hiki😂😅❤

  • @mamudequeen
    @mamudequeen 7 หลายเดือนก่อน +10

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ yani hadi rahaaaa asante sana

  • @MishyYusuph
    @MishyYusuph 7 หลายเดือนก่อน +12

    Ahsante sana Anko kwa muendelezo wa simulizi yetu nzuri,bado tuko pamoya.

  • @ntihebuwayotaty162
    @ntihebuwayotaty162 7 หลายเดือนก่อน +8

    Anko yay mapessa ❤mungu akubariki kwakazi nzuri tutakusapoti daima, maana tunakupenda kindakindaki from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 7 หลายเดือนก่อน +22

    Better late than never 😅😅😅 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 listening ♥️♥️♥️

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 7 หลายเดือนก่อน +21

    😂😂😂😂😂😂 Anko jay hicho kingereza mwalim wako wa English anakijua kweli😂😂😂😂🙌🙌🙌

    • @Asiaabdull
      @Asiaabdull 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @HadijaSalum-kf6gy
      @HadijaSalum-kf6gy 7 หลายเดือนก่อน

      Jamn Lissa usiingie uko

  • @Rukiakimario
    @Rukiakimario 7 หลายเดือนก่อน +9

    ❤❤❤❤àaaaa anko ungeendelea tuu na kingereza,,maana Mimi nilishaandaa kuvunja mbavu,maana sio Kwa inglishi hiyo .🎉🎉🎉🎉🎉

    • @user-hq9gf7mk1l
      @user-hq9gf7mk1l 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂 tupo pamoja

    • @AsteriaMboya
      @AsteriaMboya 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂kumbe tupo wengi

  • @user-mx9go2qs9w
    @user-mx9go2qs9w 7 หลายเดือนก่อน +14

    Asante Ankojay mapesa kwa simulizi yetu nzuri ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 tunakupenda sana

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 7 หลายเดือนก่อน +12

    Kazi nzuri kaka,listening from Kenya,much ❤

  • @user-vr7os3so6z
    @user-vr7os3so6z 7 หลายเดือนก่อน +14

    😁😁😁 Ankojey bana umefanya mwenzngu amengoja Binti Lisa Kama msg ya mpesa 😂😂,asnte sana tunaendelea nayo

  • @batoolmwajuma3000
    @batoolmwajuma3000 7 หลายเดือนก่อน +4

    Uwiiiiiii,, jamn,, sekunde kadhaa,,watu nyomi jamn duuuu, patamu ,, San , aiseee ankooo wetu kipenz tunakupenda kiukweli,, na ahsanty , kwa mwendelezo wakutuburudisha na mafunzo mazuri

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 7 หลายเดือนก่อน +12

    mapema sana 😘😘lisa na Alvin

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 7 หลายเดือนก่อน +15

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hiyo kingereza..Anko ushaaanza online classes.mimi nangoja Alvin ampe kiss Lisa

  • @MamykevineIrakoze-ry5kq
    @MamykevineIrakoze-ry5kq 7 หลายเดือนก่อน +9

    Kuna watu hawalali kwa kwel😅Ivi Ankojay huna mchumba(Mke) wakukumbatia kwel😂😂😂😂😂

  • @blandinemasoka8625
    @blandinemasoka8625 7 หลายเดือนก่อน +16

    Daaah sisi wengine atulali tuna kesha kusubir binti lisa nipeni like bas 😊❤🎉

  • @Holiness-to3wp
    @Holiness-to3wp 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani huyu lina mbona Ana roho mbaya bivyo haki ya mungu atayalipia haya yote anayomfanyia Lisa mbona anamuonea dadake uivu lakini yawezekana si dadake vile Alvin alisema hebu wacha tuone but najua hatakufa Lisa bali ataishi thanks ankojay kwa simlizi tamamu na yenye kusisimua

  • @mariethamasika9125
    @mariethamasika9125 7 หลายเดือนก่อน +6

    Ani apa nasikiliza taratibu baada ya kumaliza kazi...mie wa mwisho... hongeren kwa mliowahi👏

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 6 หลายเดือนก่อน

      Aaah,wa mwisho?mie 551

    • @mariethamasika9125
      @mariethamasika9125 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@RahelIbrahim-id2li Dah! Yan huna hata stress 😅, wenzako tunawaza ni lini ataleta part 25, we unaenda zako mdogo mdogo...mpaka ufke itakua inaishia... congrats dear

  • @winfridakombe7366
    @winfridakombe7366 7 หลายเดือนก่อน +3

    Awwww❤❤❤ Hakika Tumepata twin wa x hii nayo imeenda ni Booom 💥💥💥✨💥✨💥💥✨💥⭐🌟Big up Mavoice @Anko Jay na @Jomba wajo.✍️✍️✍️✍️

  • @user-sh9cw6mj1y
    @user-sh9cw6mj1y 7 หลายเดือนก่อน +11

    Mapema ndio best ❤

  • @user-ip6hb1nq2u
    @user-ip6hb1nq2u 7 หลายเดือนก่อน +11

    Kama Kawa jamani hii simulizi tamu Alvin na Lisa wana nifurahisha sana❤❤❤😂🎉😂

  • @EagerRedRose-ee6xr
    @EagerRedRose-ee6xr 7 หลายเดือนก่อน +14

    Anko Jay unapendenza saana hadi laha mpaka nikikosa simulizi yako hata siku moja nahuzunika 🎉🎉🎉😂😂😂

  • @user-pr1uy3sh3o
    @user-pr1uy3sh3o 7 หลายเดือนก่อน +13

    😅😅😅Ankojay wewe unanifurahisha sana big up 📢 nakukubali sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @user-mq7tf5xh8y
    @user-mq7tf5xh8y 7 หลายเดือนก่อน +3

    Tunaishi na nduguzetu tunao wapenda ikiwa waohawatupend na sikuzote adui wa maishayetu ni watuwetu wakatibu na ndugu zetu wadam kabisa mfano Lina ni mtu wakarib na nindugu wa Risa lakin ni mchawi wa maisha yake duh mungu tujarie upendo mwema Kwa ndugu ambao wanamipango mibaya

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 7 หลายเดือนก่อน +11

    Anko Jay asante tuna kupenda sana ❤❤❤🇨🇵🇨🇵🇨🇵

  • @user-xt4rd7yj8o
    @user-xt4rd7yj8o 7 หลายเดือนก่อน +9

    Nimewai sana leo😂😂😂

  • @tabiasalum3381
    @tabiasalum3381 7 หลายเดือนก่อน +12

    Nimewai wazima wote❤❤🎉🎉

  • @agnessngala3589
    @agnessngala3589 7 หลายเดือนก่อน +6

    Anko jay barikiwa kwa uzungumzi wako hauchoshi hio talanta Mungu akubariki

  • @neutybebz3187
    @neutybebz3187 7 หลายเดือนก่อน +5

    Aah Anko Jay hilo kingereza kitamu😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AishaNanzua
    @AishaNanzua 7 หลายเดือนก่อน +2

    Anko hata sukutaka kuandika kitu ila uko juu kilikuja na meli kizungu😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 7 หลายเดือนก่อน +28

    Family ya Anko jay tumetuwa😂😂😂😂😂 jamani likes kwakuwa wakwanza leo

  • @lucyjohn1342
    @lucyjohn1342 7 หลายเดือนก่อน +4

    😅😅😅😅 mbona kigugumiz tenaaaa😅😅😅😅😅😅😅

  • @user-ts3so5nj3o
    @user-ts3so5nj3o 7 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani simulizi tamu sana ❤ please naomba part 7 maana lo! Inanipunga sana

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 7 หลายเดือนก่อน +5

    Uncle jay kingereza hicho mie hoi love u more

  • @MoshiMoshi-qy8dq
    @MoshiMoshi-qy8dq 7 หลายเดือนก่อน +5

    Nimecheka😂😂😂jaman sio kwa hicho kingereza anko Jay 😅😅 we love you 😍 ♥️ ❤️ tuko pamoja kila siku

  • @jfjgxcv5859
    @jfjgxcv5859 7 หลายเดือนก่อน +6

    Asante sanaaaa nasi kwa zawadi ya leo amekweli unatupenda mashabiki zako umetuskiy Nasi tunakupenda❤🥰pia Allah akuzidishie kazi yako iwe yeny mafanikio🤲

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 7 หลายเดือนก่อน +5

    Timu Alvin na Lisa mpoooo😅🎉🎉

  • @sososonia1956
    @sososonia1956 7 หลายเดือนก่อน +15

    Jamani hivi watu mnalalaga kweli 😅🤣😀🤣😀 maana in 2hours 360 like 240 comments kwakweli hongera sana Anko jay❤❤❤❤ you deserve better than this we love you ❤❤❤❤❤❤❤

  • @merrynasri
    @merrynasri 7 หลายเดือนก่อน +8

    Nakupenda bure jeyjey❤

  • @fransiscafransisca3883
    @fransiscafransisca3883 7 หลายเดือนก่อน +5

    Asantee sanaaa anko tuletee part 7

  • @user-sg1ec1mj6x
    @user-sg1ec1mj6x 7 หลายเดือนก่อน +6

    Anko Jay kizungu😂😂😂 kilienda na Meli we ❤❤❤ you so much

  • @vailethmwakipesile6698
    @vailethmwakipesile6698 7 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani please nmechelewa ten ank jey asante kipenz Kwa Lisa wetu na aloven

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty 7 หลายเดือนก่อน +9

    Pia nipo namie jamani siwezi kukosa 😂😂

  • @user-re9eo1jl1l
    @user-re9eo1jl1l 7 หลายเดือนก่อน +4

    Nzuri snaa mau 💐yako ank jee huna baya tajiri wa simuliz nzuri huna baya tajiri simuliz 🤣🤣😅

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 7 หลายเดือนก่อน +4

    Weeeh mara iyo iyo Alvin ndani ya mjengo lisa haezi kufa banaa ..gonga like km mnakubaliana namm🎉

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 6 หลายเดือนก่อน

      Hafi lkn maisha yake ni ya kitumwa kwa mwanaume wake Alvin

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 7 หลายเดือนก่อน +26

    Anko jay Bonjour! Merci de nous donner cette belle histoire ❤❤❤ from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 7 หลายเดือนก่อน +7

    Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤❤❤❤

  • @AishaAisha-yz3ns
    @AishaAisha-yz3ns 7 หลายเดือนก่อน +8

    Asante sana lianko j mapesa😂😂

  • @mwanaidimwabanda1248
    @mwanaidimwabanda1248 7 หลายเดือนก่อน +5

    Nimefika anko jeii usituzingue nakizingu bana 😂😂😂

  • @paulalove1223
    @paulalove1223 7 หลายเดือนก่อน +6

    Wakwanza 🎉 asante anko

  • @user-xx5fr8li1d
    @user-xx5fr8li1d 7 หลายเดือนก่อน +8

    Anko kingereza kilikuja na meli jamni 😂😂😂😂😂😂

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 7 หลายเดือนก่อน +14

    Hatimae simulizi hii tamu nakua wa 5 jameni like zen duguzangu ahsante AnkoJay Acha ni 🪑🎧🙏🥱🤭😂🤣

  • @happynesssamwel4249
    @happynesssamwel4249 7 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂 Ila Anko jay bhana unavituko mpaka bas kingereza kitakufanya ujing'ate ulimi😂😂

  • @user-po7sy5bd9p
    @user-po7sy5bd9p 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hongereni mlio wahi

  • @user-dp7bf5ss4y
    @user-dp7bf5ss4y 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kila sku nakuwa wa mwisho ila ank j we atalii❤️

  • @janetkazungu7795
    @janetkazungu7795 7 หลายเดือนก่อน +12

    Wow ankojay 😅😅😅😅ongea tu Kiswahili wengine english wapi na wapi😅😅😂

  • @zakiamsaraka-yi3kw
    @zakiamsaraka-yi3kw 7 หลายเดือนก่อน +5

    Haya haya jamanii kumekucha woyooo

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 7 หลายเดือนก่อน +5

    Anko kizungu ajia wazungu bana 😂😂😂😂😂😂 much love ankoj ❤❤❤

  • @salmakim557
    @salmakim557 7 หลายเดือนก่อน +8

    🤣🤣🤣 Anko Jay achana tu na kiingereza ingawaje umejaribu. Shukran kwa kutuletea sehemu ya 6, much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lisazainabu3626
    @lisazainabu3626 7 หลายเดือนก่อน +6

    Yani dakika6 watu mumesha jazana apa lol nirizani nakuwa wa kwanza kumbe wapi😂😂😂

  • @yusrambodze3804
    @yusrambodze3804 7 หลายเดือนก่อน +8

    Nimechelewa lkn finally nimefika nipeni moja bac ntafurai😊

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 7 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂😂😂😂 kwakizungu hico nica 2024😂😂😂😂😂😂

  • @LispaKadzoKalu
    @LispaKadzoKalu 7 หลายเดือนก่อน +2

    Japo kila siku ni wamwisho ila sijakosea kuwa mwanafamilia wa anko yani nikutam aiseee🎉🎉🎉🎉

  • @leilasalim-2009
    @leilasalim-2009 7 หลายเดือนก่อน +8

    Mashaallah asante anko

  • @user-sp9tq8mq6q
    @user-sp9tq8mq6q 7 หลายเดือนก่อน +5

    nimewai jamani nimekuwa wa kwanza

  • @bijouxbigaya2116
    @bijouxbigaya2116 7 หลายเดือนก่อน +12

    Nimewahiiii saaana ♥️🌹🎊

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 7 หลายเดือนก่อน +5

    Niko kwenye namba 42 am fine anko j familia 😂😂😂😂

  • @dhuhasaid636
    @dhuhasaid636 7 หลายเดือนก่อน +17

    Let go 😂 ankjay wetu We thank the Englishman for leaving Lissa Mwala❤

  • @batoolmwajuma3000
    @batoolmwajuma3000 7 หลายเดือนก่อน +2

    Uwiiiiii ,jamn wadau wa anko jey , yani tunacheka humu aiseee duuuuh, vituko vya huyo alvani ,duu huyu nikiboko aisee ,, tunacheka kama tulivokuwa tukicheka , vituko vya godi najudi kwenye , Ile simuliz ya , Eddy aiseeee😂😂😂

  • @winniekwamboka4229
    @winniekwamboka4229 7 หลายเดือนก่อน +7

    Huzuni umenitanda bibi kipenzi cha Lina kufariki na kubaki mbweke 😭😭😭

  • @user-fs7eu1be6o
    @user-fs7eu1be6o 7 หลายเดือนก่อน +4

    Angeskiliza mme wake akakaa nyumbani namuonea huruma maskin

  • @user-wz4sx7qv3f
    @user-wz4sx7qv3f 7 หลายเดือนก่อน +4

    Anko J kizungu achia wenyewe ,we baki na kiswahili banaa

  • @aminarama1633
    @aminarama1633 7 หลายเดือนก่อน +2

    Waow MashaALLALH shukran sanaa kaka Jay,haha kingereza nayo

  • @naomibitakara7972
    @naomibitakara7972 7 หลายเดือนก่อน +1

    Waoh superb cna Anko jay nimepnda God bless u cna.
    But Anko tunaomba kipande kipya

  • @DeboraAlimas-gu1rh
    @DeboraAlimas-gu1rh 7 หลายเดือนก่อน +6

    Aweeeeeh😂😂 watu mnawahi Xio poah😂😂

  • @user-hq9gf7mk1l
    @user-hq9gf7mk1l 7 หลายเดือนก่อน +18

    Mi naona inaisha mapema 😢😢😢 jmn tunaoomba mda wa hii smulzi uongezwe gonga like hapa vipenzi vyangu❤

    • @NeemaNyeula-ni5sf
      @NeemaNyeula-ni5sf 7 หลายเดือนก่อน

      kwani Lisa alikua ni bikra

    • @user-hq9gf7mk1l
      @user-hq9gf7mk1l 7 หลายเดือนก่อน

      Ndo inavosemekana tusubr part ijayo

  • @amenaafrica7046
    @amenaafrica7046 7 หลายเดือนก่อน +3

    congratulations Anko j ❤

  • @uwimanaantoinette6417
    @uwimanaantoinette6417 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hii simulizi mpaka tuvuke nayomwakani mana sio kwautamu 😘😘

  • @victorwesamba2520
    @victorwesamba2520 7 หลายเดือนก่อน +12

    😅😅😅😅😅mm nimesema kaa couple yangu itakua Kaa hii ya Alvin na Lisa wacha ikae nani ako yayari tutegeneze couple yetu❤❤❤❤❤❤

    • @AsteriaMboya
      @AsteriaMboya 7 หลายเดือนก่อน

      Aaaaah, weeee, nani awe mtu Wa kumtunza chalii(paka) alafu na kukupikia tuu😂

    • @victorwesamba2520
      @victorwesamba2520 7 หลายเดือนก่อน

      @@AsteriaMboya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣tutaweka chalii wetu nimtunzee 🙈

    • @AsteriaMboya
      @AsteriaMboya 7 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hebu acha kunichekesha aisee,,nimesoma Mara mbili mbili ili nielewe ni chalii gani unamtaka🤣🤣🤣🤣🤣

    • @victorwesamba2520
      @victorwesamba2520 7 หลายเดือนก่อน

      @@AsteriaMboya 🤣🤣🤣🤣🤣c charii paka wetu😂😂😂😂🙈🙈

    • @victorwesamba2520
      @victorwesamba2520 7 หลายเดือนก่อน

      @@AsteriaMboya 🤣🤣🤣🤣 khalas

  • @user-iq8ns3zg9m
    @user-iq8ns3zg9m 7 หลายเดือนก่อน +1

    Heeee Akjei ww unachekesha san🎉🎉🎉❤❤🎉

  • @user-hq9gf7mk1l
    @user-hq9gf7mk1l 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jmniii mm naumiaa wanavyo kasirikiana Lisa na alvin

  • @user-mq7tf5xh8y
    @user-mq7tf5xh8y 7 หลายเดือนก่อน +1

    Alvin na Lina much love 🎉🎉🎉🎉❤❤😂

  • @user-zj7hd6sg3y
    @user-zj7hd6sg3y 7 หลายเดือนก่อน +2

    Asant Ankojay kwa mwendelezo mungu akubari sana . Nakupenda bure tu❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @maggiesadock
    @maggiesadock 7 หลายเดือนก่อน +7

    Anko anglais imekufia kwako 😅😅😅😅😅

  • @agnesdondo-dz1ml
    @agnesdondo-dz1ml 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani Ankojay Mungu akulinde Daima...unajua kufurahisha katika simulizi zako... MTU husikii kuchoka.. Asante sana kwa Kazi mzuri

  • @RukiaYasini-dm1tr
    @RukiaYasini-dm1tr 7 หลายเดือนก่อน +4

    Asante anko jay tukisubili kwa hamu sana hubalikiwe best y2 maua yako jmn🎉🎉🎉❤❤❤😂😂

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 7 หลายเดือนก่อน +1

    Anko Jay kabla hatujaanza kukucheka umeanza kujicheka mwenyewe chezea kimombo weweeee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 7 หลายเดือนก่อน +4

    Anko jay umetisha sabaa kwa hii breakfast ❤❤❤

  • @user-yi1hb1hb2p
    @user-yi1hb1hb2p 7 หลายเดือนก่อน +2

    Habar zenu wanafamilia wa anko jay muwazma nyote Asante Anko kwa simulizi tamu ❤❤❤❤❤

  • @Nailah736
    @Nailah736 5 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu nipate mtu ananiambia nihame kwa anko jay ataniambia kama atanifuza kizungu kitamu kama hicho😂😂😂 nakupenda sana anko jay 🎉🎉🎉🎉❤

  • @Rahema123
    @Rahema123 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jombawajo ww ni noma tunakukubali sanaaaaaa🎉🎉🎉

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 7 หลายเดือนก่อน +1

    Anko hyo kizungu ilikuja na meli tafadhali cyo mkokoteni waachie tu wenyewe😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @aishablessings2961
    @aishablessings2961 7 หลายเดือนก่อน +26

    I love the way Alvin pretending he don't love liz 😅😅 drama counties